BALAA! KAMANDA MULIRO AFUNGUKA MAZITO UTEKAJI WA SATIVA, "SISI NDIO TULIMUOKOA SATIVA KATAVI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 42

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Odemba ni mzalendo sana, Mungu akutangulie kila hatua

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wewe kamanda muliro muogope mungu hufai kuwa polisi ni mnafiki

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Polisi ya Tanzania lazima ibadilike. Uonevu umekithiri sana kwa raia watanzania. Watu wanakufa kwa kuwa mistreated na vyombo vya usalama. This should be stopped.

  • @kudrahalfan5767
    @kudrahalfan5767 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Watu hawanaimani kabisa na police mbka Aibu dah police embu nyookeni fanyeni haki bhana!!!!

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jeshi la police haliaminiki

  • @khalifeamani7742
    @khalifeamani7742 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Katika yote aliye ulizwa hajajibu swali hata moja hatari sana

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ngoja Mungu aanze kulipa kisasi kwa watekaji,mtaongea yote,hakuna la kujificha machoni pa Mungu,kila andalo Mtu lazima avune

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Je uchunguzi wa lisu kupingwarisasi ni miaka mingapi tutaipata majibu lini

  • @TumainMwanyalu
    @TumainMwanyalu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mpaka maelezo hayo watu kuzomea Kuna shda ktk maelezo hayo😂😂😂😂😂

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Siku mtoto wake atatekwa au mke wake hataongea ujinga hata samia mwenye i think hawataongea ujinga

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Watanzania si wajinga. Polisi na serikali tunaomba tendeni haki.

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaz ya polis ni changamoto sana

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Odemba mulize muliro ajui kweli wakina soka yeye ajui???

  • @mgendijr7380
    @mgendijr7380 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ivi IGP yupo? Yuko kimyaa sana,haoni jeshi lake lina tuhuma nzito na kubwa
    "IGP MUST GO"

  • @Asajilemwanjala
    @Asajilemwanjala 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    kwanini ulikuwa mstari wa mbele kuzuia maandamano ya chadema?

  • @mgendijr7380
    @mgendijr7380 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muliro is so brave,anyway

  • @MajaliwaKapolo
    @MajaliwaKapolo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kudaiwa tena

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Muriro😢

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wwe nikamanda unakuajee watekaji hapooo daresalaaamu unafanyika ujuiii.munajua kila kituuu porojooo mwingi kulko.kila.kituuuuuj😊

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kamanda watanzania wa sasa tunajielewa mbona mada huzijibu ipasavyo

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wwe mhongo unamuhokowa aliyeachwaaa porini amekufaaa mungu wakee ndioo ulimuokoa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Basi polisi mmezidiwa km mtu Ana smg na pingu then umwite ni jambaz 🙄🙄

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tutajie watu wa vya hivyo wewe uchunguzi wako au wenu ni batili

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe muliro kama haumo hao vijana wako wanatajwa nawaliotekwa nakubahatika kurejea uraiani

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi tz raia haruhusiwi kumiliki siraha, ila kiukweli polisi wanahusika na matukio ya kutekwa kwa watu , mbona mpaka leo hatujapata taarifa yeyote tangu watu waanze kutekwa na kuuliwa

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchunguzi gani mnafanya lisu alipigwa lisasi mchana kweupe na eneo lenye ulinzi wengine wamepigiwa simu wakatekwa mnashindwa kujua

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 57 นาทีที่ผ่านมา

    MNASEMWA KILA CK WAONGO MNAKATAA
    MNASEMA MLIMUOKOA NINYI WAKATI ALIELEZA KILA KITU!!!

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jeshi la police lichunguzwe haiwezekani mtu apigiwe simu nakutekwa halafu wasijulikane na mwingine kanusulika kuuwawa na kamtaja mtu aliyemwona lakini hakuna hatua iliyochukuliwa

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haiwezekani mtu kutekwa ndani ya basi harafu wasijulikane

  • @CostarbatoniMwaleleka
    @CostarbatoniMwaleleka ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Endeleheni na mabaya kunasiku mutalia

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mbona umekuwa mkali mulilo sakaya la sativa

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hataki upelelezi huyo

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kudaiwe tena

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 55 นาทีที่ผ่านมา

    Polisi ccm hawa

  • @bestman3651
    @bestman3651 55 นาทีที่ผ่านมา

    Mmh

  • @humbimusisa-db1tg
    @humbimusisa-db1tg 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Afande Mulilo ameiva na vyeo alivyonavyo hajabahatisha .....nimemsukiliza Kwa makini Sana

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ameiva katika kueleza kiCCM na SI kama mwenye dhamana ya ulinzi

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@bcozhenry2698waziii

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@ozhenry2698 achana na chzi

  • @migombaelinest3500
    @migombaelinest3500 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @migombaelinest3500
    @migombaelinest3500 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂