MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA PILI || Muhammad Bachu || 2023.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 384

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 ปีที่แล้ว +18

    Hivi mpaka iweje ndiyo mtamuelewa
    Muhammad Bachu!!
    Hana uwezo wakuwazuia kufanya biashara zenu lakini anawafafanulia kwa mapenzi mujiondoe katika uovu na msiwapeleke watu kwa mapenzi yenu katika upotofu. Allah atuongoze sote.

  • @ahmadabdallah740
    @ahmadabdallah740 ปีที่แล้ว +6

    Al hatimy na diwani jogoo limeshawika na asubuhi kumeshapambazuka na watu wameshainuka ... mulidanganya watu kwa miaka mengi lakini Allah aliahidi hii dini yake atailinda yeye mwenyewe na Allah huwa ana majeshi yake na mmoja katika jeshi la Allah ni sheikh muhammad bachu Allah amuhifadhi na amlipe mema hapa duniani na kesho akhera endela na kazi yako sheikh yakuelimisha watu na usichoke biidhnillah

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 ปีที่แล้ว

      mm nasema hivi Allah sw ndie anaejua kila kitu lkn mwendo wako kijana muhamad bachu unasababisha mvurugano wa dini na si jambo zuri mm kma mm nna waswas cjui kna hujanunuliwa na makafir uharbu din ya uislam kwani unakosa ata hekima ya din msiba mkubwa yaani waislam tumekua hiv baada ya kuendesha mbele dini tunafanya ujinga wa kujadiliana

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 ปีที่แล้ว

      jitafakar ww unayofanya yote Allah sw ameyaridhia na una uhakika wa ibada zako kma ndizo ktokana na vtabu unavosoma? nakunasihi tujitosheleze ile tawhid ulioisema na ww uwe nayo kwamb Tumuache Allah sw awe kila kitu

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 ปีที่แล้ว

      ndio cio vbaya watu kuomba kupitia Mtume saw kwan yy ndio muombezi wetu wala hutoenda kuitwa ww unaepotosha watu

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +8

    Allaah akulinde na akuhifadhi Shekh Muhammad na Shari zote za wenye kuku tazama kwa macho ya husda na uaduwi.
    Na tuna muomba Mola Mlezi wetu akupe umri mrefu na afya njema, ili bayana ifike mahala husika

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 ปีที่แล้ว +9

    Allah akuhifadh Sheikh wetu Muhammad Bachu, na wakikunyamazisha bac na sisi tunainuka kuitetea Sunnah

  • @yussuphsaleh767
    @yussuphsaleh767 ปีที่แล้ว +18

    Tupo pamoja shekh bachu, hakika hili darasa la leo umetowa ushuhuda mkubwa kuhusu maulidi kwamba hayafai

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 ปีที่แล้ว +5

    Allah akulipe kheri na akuzidishie ilmu Al akh Abuu muhaddith Muhammad Bachu,,, hakika unafanya kazi kubwa sana katika dini yetu ,,,wabainishe hawa makhurafi masufi maovu yao ili waislamu wawafahamu ,,,,wala usirudi nyuma kwenye kazi hii hakika waislamu wanafaidika sana ,,, Allah akulipe kheri na akutilie baraka kwenye ilmu yako aaamiin

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 ปีที่แล้ว +16

    Ma Shaa Allah endelea na Rudud wanafunzi wako tuko nyuma yako tukikuombea Elim zaidi na duaa tukikuombea Nakupenda sana Sheikh Muhammad bacho tuko nyuma yako usijisikie unyonge tuko nyuma yako warudi kabisa hawa masufi ....halafu huwa wanafunga sana comment tusicoment ajabu sana hawa masufi

    • @swaumamiriy2234
      @swaumamiriy2234 ปีที่แล้ว +1

      Wanaogopa watachambuliwa kila nukta. Iwekwe sawa ndomana Walillahil hamdu dawaa tumeipokea Allah atuthibitishe

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 ปีที่แล้ว

      @@swaumamiriy2234
      Hawana hoja ndio maana wanafunga comment

    • @swaumamiriy2234
      @swaumamiriy2234 ปีที่แล้ว

      @@alybinmana6197 ndio halafu wanahis sisi kukoment kwa sh.muhamad bachu ni kufanya ghuluu ss tunafuata haq ilipo, km matango pori walitulisha lkn sio ssa

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 ปีที่แล้ว

      Hatarudi nyuma

    • @yussufmassoud2790
      @yussufmassoud2790 ปีที่แล้ว

      mm na shangaa hawa wanaojiita masufi xjui kwa nini wanafunga comment yaani hii inadhihirisha kuwa wamekosa kujiamini

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 ปีที่แล้ว +24

    Unajua haswaa kunifurahisha Akhy❤️
    Allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika sisi tupo na wewe bega kwa bega

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 ปีที่แล้ว +37

    Baraka LLAH fik, Simba mwana wa Simba ALLAH akupe umri mrefu swiha njema na uwezo wa kuwanyosha hawa watu, ALLAH akulinde na kila aina ya shari maana washirikina wana vitimbi, tuko pamoja nawe bega kwa bega, wewe Simba mmoja umezungukwa na koko wengi sana na fujo zao za kubweka wala hushtuk, hoja zako safi wao hata hawaeleweki hawana mashiko.

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya allah yaarabbi mzidishie elimu sheikh wang sheikh muhammad bachu mashallah

  • @dachala-jz7pc
    @dachala-jz7pc ปีที่แล้ว +11

    Mashallah Allah atueke sehem moja atujaalie tuwe kitu kimoja ktk Imani ya uislam kwa Yale yalio ya hakki anayo yaridhia Allah

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 2 หลายเดือนก่อน

      Hata siku moja madhebu ya Din SI uislam wala ukristo kua kitu kimoja hadi dunia inakwisha imani ikisha muingia mtu iman hata awe msomi kiasi gani imani inamteka na anaona imani ya mwingine ni upumbavu na hiyo ndio maana ya Iman sasa wawe kitu kimoja wakati Kila mmoja anamuona mwwnzake anaamini upumbavu?! Kamwe madhehebu ya dini ya kiislam au ukristo kamwe hayawezi kua kitu kimoja mtapiga kelele hadi mtakaa kimya wenyewe

  • @muahammedseif
    @muahammedseif ปีที่แล้ว +34

    Nikiwaskiliza wale jamaa hua naisubiria point itoke lkn mda wangu wote pamoja na MB zangu zinapotea Bure ..lkn Kwa Al akhi Ma Sha Allah mpaka moyo unakua na furaha Kwa uwazi wa pont zako ma Sha Allah

    • @MohammedOmar-wt3vg
      @MohammedOmar-wt3vg ปีที่แล้ว +4

      Wazi kabisa👍

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi ปีที่แล้ว +5

      Kabisa yaan ukimsikiliza bachu roho inapenda ila nashangaa hao watu wa maulidi wanaropokwa tu ila hawatoi point mbona km anavyotoa sheikh bachu

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 ปีที่แล้ว +3

      Mimi hata upuzi wao naskikiza tu dakika moja mbili za kwanza!

    • @khalidjamadi6016
      @khalidjamadi6016 ปีที่แล้ว +1

      Lakini jamaa si ameomba Munaqasha ili tujuwe elimu na ukweli uko wapiiii?

    • @khalidjamadi6016
      @khalidjamadi6016 ปีที่แล้ว +2

      Tena katuma barua na kutuonyesha na kasema kwenye Video (TH-cam)

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +14

    Kwakweli Ww Allah amekuleta kufagia fagia uchafu ktk dini Afrika masharki
    Mm nakuomba ktk ikiwezekana utengeneze kwa lugha nying Kiingereza kifaransa ili darsa zifike dunian kote
    Cjawah ona ukitoa darsa kwa akili zako kila darsa zako n full vitabu dalili
    alhmdulillah Allahu taala akuhifadh shekh ibnu Bachu❤❤

    • @husseinmahmoud7000
      @husseinmahmoud7000 ปีที่แล้ว

      Allahumah amiin

    • @abdillah7705
      @abdillah7705 ปีที่แล้ว

      ni kweli kabisa na hii ndiyo raha ya kufuata qur-an na sunna ya mtume Muhammad kila kitu kiko obviously i really i really ni raha sana hoja zina mashiko tena yenye nguvu lkn ukija kwa upande wa wale watu wa maulidi yani huelewi unchanganywa changanywa tu hakuna hoja hata ile ya ambayo kidogo ina mashiko hata moja Allah azidi kutupa uelewa katika dini yake

  • @hammadaliomar4556
    @hammadaliomar4556 ปีที่แล้ว +12

    Wanajifanya hawajaelewa illa Allah anajua kua wameelewa Ila wanajifanya Kama wale Allah anavosema, viziwi, mabubu, vipofu hawaamini. Endelea kuwaelimisha

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 ปีที่แล้ว

      Pia tuwaombee kwa Allah wawaongoze kwenye njia sahihi. Hawa ni ndugu zetu na waumini wenzetu lakini Iblees naye yuko kazini. Njia sahihi ni kuwafahamisha kwa utulivu na hikma kwa kutumia dalili za Qur'an na hadeeth sahihi. Tusimpe nafasi Iblees kuwatia hasira na kibri kukataa kusikiliza dalili za Qur'an na hadeeth. Lengo ni kutaka radhi za Allah ili kesho atuepushe na moto wa jahanam na sisi tuweke malengo ya kutaka kuwasaidia hawa ndugu zetu. Allah atupe hikma na elimu ya kuwasaidia wao na sisi pia. Inshallah.

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 ปีที่แล้ว +15

    Tunakuelewa Shekh vizuri kabisa.usitusahau kwenye Darsa ya Lugha ili,tuwe tunakwenda sambamba.Shukran.

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 ปีที่แล้ว +15

    ماشاء الله تبارك شكرا جزيت خيرا .علي هذا التوضيح...سلمك الله من كل شرور

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 ปีที่แล้ว +17

    Elimu yako ni Barka na duaa za mzee wako SHEIKH Nassor juu yako..
    ALLAH akuhifadhi Sheikh Muhammad..

    • @saeedabunajash6235
      @saeedabunajash6235 ปีที่แล้ว +2

      Amin

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 ปีที่แล้ว +6

      @@saeedabunajash6235 Anao uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuvunja hoja kwa Dalili..

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 ปีที่แล้ว +10

    Sheikh Muhammad bachoحفظه الله

  • @omarsaidbarisa4677
    @omarsaidbarisa4677 ปีที่แล้ว +8

    Maa shaa Allah imeeleweka sheikh Mohammed Allah akuzidishie elimu na maarifa hakuna mambo mengi ni vitabu tu vifunguliwe haki ibainishwe.shukran sana

  • @suleimanahmadaali5989
    @suleimanahmadaali5989 ปีที่แล้ว +16

    Baaraka Allah laka
    Ushahidi na hoja zako ziko wazi kwa wenye akili timamu

    • @husseinmahmoud7000
      @husseinmahmoud7000 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @abdallahhamad8808
      @abdallahhamad8808 ปีที่แล้ว

      She muhamad Allah akupe hifadh ili wale wenye kulinda matumbo yao wabadilike inshaallah

  • @ShabanKindinda
    @ShabanKindinda 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishie Kila lenye kheyr, aturidhie sote aamin, sheikh Hadi chozi lataka kunitoka. Allahu akbar

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 ปีที่แล้ว +18

    Asalaamu alaykum shekhe bachu? Allah akuongoze mimi kiukwel tangu nimeanza kukufatilia nimepata elimu kubwa sana na pia nimekua answer kwasasa nimeachana na maulid nimegundua meng sana kua sisi watu wa maulid hatuna hoja za kielimu bali tunatumia kibri na kujitoa ufahamu nahali tunajua kua tumepotea na kupoteza watu kwanza sisi walimu weng wa maulid tukimaliza tu masomo yetu ya din tunakua waganga washikina wakubwa kabisa asante shekhe bachu

    • @anwarKhan-gn6yt
      @anwarKhan-gn6yt ปีที่แล้ว +2

      @bwagizo sio kusema umekuwa answar,sema umekuwa ahlu Sunnah wal jamaa,na kufuata mwendendo wa wema waliotangulia

    • @omarjuma3678
      @omarjuma3678 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 ปีที่แล้ว

      Salafi = mfuasi wa Swahaba na Taabiina

    • @mvungijuma2025
      @mvungijuma2025 ปีที่แล้ว

      ALLAH akuongoze

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 ปีที่แล้ว

      ​@@mvungijuma2025 Allah atuongeze sote ndungu

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 ปีที่แล้ว +8

    Subhaanallah llah!!..shekh Muhammad me nimekuelewa sana.

  • @abynduwimana1767
    @abynduwimana1767 ปีที่แล้ว +14

    Mhamedi bachu nakupenda kwajili y'a allah kwasababu wewe nimkweliii

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +10

    MAASHAALLAAHU. SISI HATUKUSIFU ILA JITIHADA UNAFANYA. MAADUI WATAONGEZEKA LAKINI GIZA HALIWEZI KUUZIMA MSHUMAA .

  • @midahalomwanga9328
    @midahalomwanga9328 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allahumma barik alaihi

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 ปีที่แล้ว +9

    Maa shaa allah
    جزاك الله خيرا

  • @mgungachannel9280
    @mgungachannel9280 ปีที่แล้ว +16

    Maashaa Allah unazungumza kwa dalili na wao pia wajibu kwa dalili kama wao niwakweli sio kulumbana

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +10

    Diwani Nataka Umjibu Sheikh Mohammad Bachu Kwa Hoja za Kiushaidi wa Qur'an na Adith Sahihi Na Sio Maelezo. Atutaki Maelezo Diwani Hii Sio Siasa Tunataka Ushaidi Kma Anavyo Fanya Sheikh Mohammad Bachu

  • @issicajosefu9681
    @issicajosefu9681 ปีที่แล้ว +5

    Jazakallah khayra akhi fillah
    Allah akuhifadhi usitetereke na hawa ahlu bidaa na shirkiyaat
    Wewe tufikishie haq na Allah anaipenyeza kwenye vifua vetu Allah akuhifadhi ili uendelee kutupa darasa
    Sisi tupo na wewe tunafatilia darasa kwa umakini sana
    Tunamuomba Allah akuhifadhi ili tuendelee kupata faida

  • @swalehmohammed3491
    @swalehmohammed3491 ปีที่แล้ว

    Shukran hiyo ni shirki wazi hata mtoto mdogo anaelewa kuhusu masala hayo wewe kama unashida zako muombe Allah hiyo iko wazi shukran sheikh bachu allah akuhifadhi hao ni watu wa ubwabwa tu

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 ปีที่แล้ว +8

    Wauza pweza hawana hoja, kaka nakupenda sana kwaajili ya Allah simamia haqi Allahu maalihaq

  • @mussanyangasa6049
    @mussanyangasa6049 ปีที่แล้ว

    Upovizuli sana muhamad Bachu ukweli maulidi ni bidhaa tuwaaombee Mungu watu wamauli Mungu awaongezee waijue haki waifate amyi

  • @9119-r4t
    @9119-r4t ปีที่แล้ว +7

    Huyu kijana bachu anazungumza point kabisa alhamdulilah tumepata faida sana masha Allah

  • @hassanabdalla746
    @hassanabdalla746 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh Allah Akuhifadhi Uzidi kutuelimisha. بارك الله فيك

    • @saeedabunajash6235
      @saeedabunajash6235 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @ahmadmanswab
      @ahmadmanswab ปีที่แล้ว

      Huy hawlimishi wallah yuwapoteza

    • @hassanabdalla746
      @hassanabdalla746 ปีที่แล้ว

      @@ahmadmanswab huo ni mtazamo wako
      Tatizo lenu watu wa twarika muko na maneno ya lesso hamuna dalili

    • @mbaroukkhamis4191
      @mbaroukkhamis4191 ปีที่แล้ว

      Wachakukurupuka mtoto wa bachu akili yako inakupeleka vibaya na kundi lako unalolipotosha ,usitake kujifaharisha Hali yakuwa hunaukielewacho kwenye barazanji wachakujipoteza na kujitafutia laana zaidi unaelekea pabaya shekh

    • @mbaroukkhamis4191
      @mbaroukkhamis4191 ปีที่แล้ว

      Asie na mwalimu shekh mwalimu wake Huwa shetani tafuta mwalimu mtoto wa bachu ukapige magoti uanze kufundishwa barzanji labda utaelewa yaliomo

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว

    Allah akuinue akupe afya na akujaalie kuweza zaidi wanaopinga na nawe wanajua kabisa kua wanapinga ukweli tamaa zimewashika wanatafuta umaarufu tuuu zidi kutoa elimu Allah azidi k ukuhifadhi akuepushe na hasad

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh usiwaonee hayaa waambie waekee wazi ushirikina wao. Allah akulipe kwa jannaht firdaus. Aamin

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 ปีที่แล้ว +2

    Raha sana, aitha waongoke au wazidi kupotea (fikulubihim maradhun fazadahumuLLAHU maradhwa)

  • @aliabdalla-qu4om
    @aliabdalla-qu4om 10 หลายเดือนก่อน

    Shekh Muhammad Allah akuhifadhi ili uwendeleee kutufunza

  • @abdallahshomari793
    @abdallahshomari793 ปีที่แล้ว

    Allah Akujaalie Kila La Kheir....Waambie Ukwel Hao

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

    SHEKHE SABASIBUL QUBRA USIMJIBU SIO MADA . ATAKUJA KUTUKANA TU MAANA YUSUFU DIWANI AKIFELI HOJA HUMTUMA HUYO RAFIKI YAKE ALOJITOA UFAHAMU NAKUJA KUTUKANA MARA KO MARA SIJUI MAPIGO GANI NI HOVYO TU. WE TUPE ELIMU TUZIDI KUKINAI . KUWAONGOZA WATU NI JUKUMU LA ALLAAHU

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 ปีที่แล้ว

    Hafidhwaka Llah😊

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 ปีที่แล้ว +2

    Nawewe yusufu diwani mche allah kilitu allah atakusamehe

  • @AminaHussen-xh5pp
    @AminaHussen-xh5pp หลายเดือนก่อน

    Bachu mungu akuzidishiye na akuhifadhi uzidi kuuzungumza ukweli

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว

    Bin Nassor Allah akuepushe na husda simama imara songa mbele

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 ปีที่แล้ว +5

    Shehe tunakuelewa vizuri mashaallah allah amekupa elimu na hekma na faswaha asie kuelewa moyowake umekufa

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe nguvu kwa kuifahamisha haqi Awa washirikina allah atawa dhalilisha

  • @naahla19
    @naahla19 ปีที่แล้ว +5

    Maasha Allah. Barakallahu feek

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 ปีที่แล้ว +4

    Alhamdulillaah asiye faham maulidi niuovu uliyojaa shirki zote kubwa na ndogo zote. Allah hajampa tawfiqi tuy maana nimsiba mkubwa zaidi. Allah AKUJALIE Kheri AFYA njema uziti kutufunza. Tatizo wanaotetea BARAZAINJE Hawana Tawhidi uislam wao unamatatizo

  • @kombojuma7835
    @kombojuma7835 ปีที่แล้ว +6

    Tangu nianze kukufuatilia nimejifunza vingi Shukrani sana

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 ปีที่แล้ว +1

    Mm nashangaa wanapokuja kuku raad wanakuja kinywa kitupu hawaji nadalili walahoja zilizowazi wanakuja kwakujikweza ushabiki natakubbbur napiya wanakuja pamoja namajina yakutunga nakuudhi lakini ukiona umesemajambo namtu akapanik nakukuita majina mabaya ujuwe mtu huyo umempiga kwenye mshono tunacho kuomba shekh Muhammad endeleya tunakuelewa natutakusaport 100% biidhini Llah Allah akuhifadhi bado unayo yakutufunza nakutukumbusha Allah akuwezeshe ktk kaziyako hii ngumu

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 ปีที่แล้ว +13

    Hongera unazungumza kwa hoja na dalili tupu, wapinzani wako hawana dalili.

  • @AliAlichaurojo
    @AliAlichaurojo ปีที่แล้ว

    Masha Allah maadui na wanafki hawatasimama mbele yetu juhudi ikiendelea kama hiv maana yapo mengi sana sana na wanajifanya viziwi na vipofu hawaoni hawaelewi

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 ปีที่แล้ว

      Hawa siyo maadui bali wameghafilika kwa sababu Iblees anafanya kazi yake. Tuna wajibu wa kuwaelimisha kwa kutumia hikma na subra. Hawa ni ndugu zetu na waumini wenzetu japo wamepotea kwa kiasi fulani. Tusiwachukulie kama maadui bali tuwapende kwa ajili ya Allah na tufanye juhudi ya kuwaelimisha. Naamini tukiwa na nia hii Allah atawasaidia wao na sisi. Jazakallah.

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว

    Salute to you MUHAMAD BHACHU

  • @shelalialishelali958
    @shelalialishelali958 ปีที่แล้ว +6

    Mashaa Allah

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 หลายเดือนก่อน

    Umetoa ufafanuzi mzuri sana hata mimi mkristo nimekuelewa

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว

    Jazaakallaahulkhairi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 ปีที่แล้ว +6

    WAKITAKA WASITAKE WATAELEWA TU, NJAA ZAO ZITAWASUTANA, BACHU OYEEE!! 👍👍👍

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah sheikh wangu shukran tunafaidika na elmu watu wa maulid ni balaaa kumeingia dance humo mashia wamevamia humo shirki kwenda mbele hamna kheri yoyote kwenye haya maulid mcheleee tuuu

    • @mashamassingisa8738
      @mashamassingisa8738 ปีที่แล้ว

      Ni khatar ndugu yangu... Allah atuongoze sote

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 ปีที่แล้ว

      pia usione unakundi jingi la watu wengi wanapenda kumfata shaitwan kuliko kumfata Mtume saw hivo na ww zinduka hivo kufatwa na wengi ni dalili ya kua makini sana kwan ikiwa hupo sahihi utakuja jibu maswal ya wat wengi

    • @hamadshaibu6013
      @hamadshaibu6013 ปีที่แล้ว

      huu ni mtihan mkubwa na haya ni mambo yaliyokwisha kutajwa ni dalili za kiama waislam tutashukiana wenyew kwa wenyew na kuacha kuelekezana mabaya na kuelimishana mema , mm naona kila mmoja anataka aoneshe kuwa kasoma vitabu vingap sas tuelimishe katika mambo mengine sio mijadala ambayo itapelekea hasara baadae na sio faida

  • @lylatdaud-md4ok
    @lylatdaud-md4ok ปีที่แล้ว +3

    Hongera sheikh Muhammad n Bachu waambie kweli wote waache senema zao za uzushi

  • @abynduwimana1767
    @abynduwimana1767 ปีที่แล้ว +6

    Asalam aleykum tutawaombeadua allah awahifadhi awakinge navijicho vyawashirikina ambao niwatu washerekea maulidi amin

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 8 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah masheikh wanajitahidi sana kuelimisha lkn ni wabishiii he Allah atuongoze sote yaarab

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 ปีที่แล้ว +16

    Huu ni mjadala kati ya watu wa haki wa tawheed nao wana hoja nzito za Quraan na sunna na watu wa baatil wa shirki nao wanalinda matumbo yao na wanafuata tamaa na mazoea na wabaki wakicheka leo sana lakin akhera wasiorudi watalia sana. Utawakuta hawana dalili zaidi ya kejeli laki sheikh Muhammad Nasor Allah amuhifadh anatia hikma na sio jazba na kejeli kama hao wa upande wa baatwil wanaotetea tamaa na matumbo tu. Mzes Shahran kasome na uwache kufuata tamaa maana wewe u mzee hufai kusema uyasemayo. Nilifikiria una bisara kabla lakin nakunasih umashuhur hauna muda na hautakusaidia ķitu

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 ปีที่แล้ว +5

    Yaani Me Mfatiliaji sipitwi na Vedio xa Sheikh Bachu Na Hawa wengine ninachokiona Ni Kutokubal kama Sheikh Yupo Ktk Haki wanaumia Kwann Kijana Huyu Haendani na matamanio Yetu tatizo lipo wazi Ukwel Siku zote utakujja Juu na sasa Sheikh anatuletea Wengi tumefunguka Kifikra Sheikh Mkono kwa mkono mpka Firdaus

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +5

    Sijaona mpaka sasa wa kujibu hoja hizi za huyu kijana
    Naona kelele tu

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Waislamu kwa waislamu..wanafikia kuitana maadui au kafiri !!! Usitoe hukumu juu ya muislamu mwenzako .. na sisi tunaojiita waislamu itokezee kiongozi wakisiasa kakosea au katoa kauli ambayo inarejesha nyuma dini hii …wallah hawezi na hatoweza kumkosoa ng’ooo ila shegh mwenzake akiona tu yupo tofuti na yeye hazipiti dakika atakamata 🎤 😢😢😢

    • @SalimVunga
      @SalimVunga หลายเดือนก่อน

      Dini sio siasa lazima wakikosea waambiwe ili wasipotoshe watu

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 ปีที่แล้ว +5

    حفظك الله يا غالي

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 ปีที่แล้ว

    Tumshukuru Allaah kututoa katika Usufi. Katika nchi za kwetu masufi wanafuata usufi wao kwa upofu. 99.99% katika wao hawajui hata wanachokisema ktk vitabu vyao vilojaa ushirikina

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 ปีที่แล้ว +4

    Allah kujaze kheri shekhe wetu tupo bega kwa bega na wewe maana sisi tumepigwa sana na vitu vizito kwa hoja zao zaungo uongo then so watu watwalika asilimia kubwa wana vilinge vya uganga na tiba zao sio zakisheria alafu wakiwa kwenye ibada zao mfano wakiwa wana zikili lazima wapandishe yani ushilikina mtupu Allah atusamee

  • @ahmedseif743
    @ahmedseif743 ปีที่แล้ว +4

    tupo PAMOJA mwalimu wangu na kipenz changu kwa ajili ya ALLAH akuhifachi akupe umri mrefu ili umma upate faida kubwa kupitia elimu yko

  • @shaibuhammad-l6d
    @shaibuhammad-l6d ปีที่แล้ว

    Mungu akujaalie

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee Shaharani Naona ni Mzee ambaye Elimu yake haimuongozi kunako uongofu bali kwenye bid'aa na upotevu tu ALLAHU AMUONGOZE kwenye haqqi na masheikh wa twariqqa zooote waache shirki Kisha watubie kwa ALLAHU kabla ya kubla ya kufa ALLAHU atawasamehe In'shaa ALLAHU.

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 ปีที่แล้ว +3

    Baraka llah fikum

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว +4

    Mzee nasoro bachu kichwa rahimahullah halafu kasomesha kichwa hafidhwahullah

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 ปีที่แล้ว +1

    Wakiona comment zawatu kuuwelewa ukweli wanachukiya, shabbbash watu wamepigwa kwenye mshono shekh ww endeleya kuwasafisha biidhini llah watanyookatu

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 ปีที่แล้ว +4

    Unafikisha kijana wetu. Allah akuzidishie ilmu kubwa zaid.ili utufunulie haqqi

  • @mgungachannel9280
    @mgungachannel9280 ปีที่แล้ว +10

    Sheikh Bachu, nakuomba uwaite wwe ssi tutajitahidi kuchanga ili tufanyeni Mdahalo Tena ufanyike MOMBASA.
    Maana wao hawawezi kukuita na hawatakuja eka no: ya M-pesa Inshaa Allah.
    Kisha uwaite uwaalike wote wafike kwa ushahidi wako wa vitabu na wao pia sio kuongea kwa akili zenu.

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 ปีที่แล้ว +1

      Swadakta sheikh rai nzuri sana nasi tupo tayar kuchangia!

  • @abdallahmwabungale
    @abdallahmwabungale ปีที่แล้ว +2

    Ma Sha Allah Allah Akulinde na Kila aina ya Shari,,,Na Kama Haumuelewi Sheikh Basi juwa Akili Yako haina Akili Ndani

  • @mohdsilima8828
    @mohdsilima8828 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah baraka allah

  • @oscarotanga7756
    @oscarotanga7756 ปีที่แล้ว +3

    Uxtadh tunakushukuru kwa kufikisha ujumbe Alhamdulillah. Allah akazidishie Elimu Inxhallah.

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shekh bachu Dawa lazima iwaingie watu wa maulidi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +2

    Yussuf diwani ni mganga wa kienyeji

  • @ShabaniAyubu-m3m
    @ShabaniAyubu-m3m ปีที่แล้ว

    Sheikh nassor akupe maisha malefu awoma sheikh mengin makefile makubwa hawafai

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 ปีที่แล้ว +3

    Ni washirkina kama mashia tu wakishafika hizo ziara za makaburi ya maiti wao.

    • @shariffomar
      @shariffomar ปีที่แล้ว +1

      Hata kama hujasoma lkn hapa wamezidi kuomba makaburi usichoke kuwasomesha sheikh bachu tunakuelewa vzuri Allah akuzidishie kila lenye kheri

  • @Kassimjey73
    @Kassimjey73 ปีที่แล้ว +4

    ماشاالله

  • @khamisfundi9911
    @khamisfundi9911 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuhifadhi akhii muhammad nassor

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini ปีที่แล้ว +1

    Wanakukimbia sheikh wangu comment wamezifunga kwa kukuogopa na kutuogopa sisi tunaokoment

  • @faizamri7144
    @faizamri7144 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 ปีที่แล้ว

      Itakuja kufikia kika kitu kwenu bidaa kuomba Dua pia bidaa jaman bac ata adhana bidaa acheni kuleta hoja zenu za kipuuz ss tunataka tufundishwe din yetu tuijue na sio kutuonyesha sifa za mabishano yenu hayana faida kwetu

  • @khamissalafy
    @khamissalafy ปีที่แล้ว +1

    😍🤐

  • @abdulkawingaabdulrahman-sc8284
    @abdulkawingaabdulrahman-sc8284 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ajenda hazina Afya na Maendeleo ya uislamu. Mayahudi wametutengenezea hii mifumo ya kukinzana kimadh-habu ili tutumie nguvu kubwa kwenye hii mifumo ili kutupumbaza kifikra

    • @mwanakomboabdala-bt4po
      @mwanakomboabdala-bt4po ปีที่แล้ว

      Wala hakuna ugomvi hapo, watu wwnaelimishwa kuachana na shirki na bidaa/ uzushi

  • @abbasmosi4481
    @abbasmosi4481 ปีที่แล้ว +2

    Haya,tumemsikia Muhammad Bachu,na nyinyi akina diwani tunawasubiri!

  • @RashadMurshidMussa
    @RashadMurshidMussa ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi sheikh

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว

    RAMADAN IMEFIKA WACHENI MAJUNGU .

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 ปีที่แล้ว +2

    Allah akubark

  • @rashidkhalid5645
    @rashidkhalid5645 ปีที่แล้ว +4

    Shekh Mohamed waelimishe inshaAllah watakufahamu

  • @AyubuAbubakari
    @AyubuAbubakari ปีที่แล้ว

    subhanallaah shekhe wetu tunakuelewa fikisha tawhdi allaah akupe sbra katk kubainisha haqi

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 ปีที่แล้ว +2

    Sadakta

  • @azgaraligulamhusseinnargis5949
    @azgaraligulamhusseinnargis5949 ปีที่แล้ว

    Kusema ukwli ustdh Mohd bachu nakubali coz unasema na unatoa point ymana lkn hawa maustdh wngu hwa wengne sijawtukana bali nasema mbna hwtoi point vzr

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +3

    Tuna Taka Diwani Na Wanafunzi Wake Wajibu Kwa Hoja zenye Ushaidi Wa Qur'an na Adith Sahihi
    Kma Anavyo Fanya Sheikh Mohammed Bachu Anavyo Jibu
    Atutaki Maelezo Hii Sio Siasa Ni Dini Ajibu Kwa Hoja Zenye Ushaidi Wa Qur'an na Adith Sahihi
    Sheikh Mohammad Bachu RABBANA Akupe Umri Mrefu Na Afya Njema Na RABBANA Akuepushe na Ma'aswii Ya Dunia Wew na Kizazi Chako

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 หลายเดือนก่อน

    Shetwani alimuahidi Allah nitawapoteza waja wako katika wao hutoona wakikushukuru isipokuwa wachache sana ndo watakao kushukuru hivi leo waislamu shetwani katuingiza kubaya sana yani katupambia shirki mpk tunaiona nzuri na tumesahau Aya za mwenyezi mungu zinazokataza ushirikina tunazisoma hazikai nyoyoni mwetu watu wakiambiwa wanakuwa wakali matusi yanamrudi mkatazaji na kejeli nyingi kabisa na kumbuka watu watakapoingia motoni wataulizwa na wale malaika vip hamkujiwa na waonyaji ninyi watasema tulijiwa na tuliyapuuza maneno ya mwenyezi mungu ndo watapoambiwa kaeni humu jahanamu ndo mafikio ya watu waovu