VITASA | Loren Japhet vs Issa Nampepeche | Dar Boxing Derby 29/06/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • Raundi zote nane zilikuwa moto… lakini raundi ya tano na raundi ya nane zilikuwa kali zaidi, Loren Japhet akiondoka na ushindi wa pointi dhidi ya Issa Nampepeche.
    Al manusura tupate ‘KO’…..!!!!
    Lilikuwa ni pambano la sita katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
    Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
    #NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 13

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huuuuuwi 😂😂🎉🎉 nampenda Loren ❤❤❤❤❤

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v 4 วันที่ผ่านมา +1

    Issa Ameanza ngumi akiwa mdogo sana na nibondia mzuri sana.lkn kuna kipindi Alipoteza umakini.Akaacha kutembea ktk ring na kasi yake yakushambulia na hata umakini wa kulenga na kunyoosha.Kiwango kimeshuka mapema sana.Inampasa Mwalimu wake Big Right amfanyie kazi upya arudi ktk ngumi za ushindani

  • @MamuJuakali
    @MamuJuakali 4 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani Peche wangu

    • @UniqueFurnitures33
      @UniqueFurnitures33 4 วันที่ผ่านมา

      Ata kama kushindwa round hi issa ni bingwa tuu

  • @UniqueFurnitures33
    @UniqueFurnitures33 4 วันที่ผ่านมา +1

    Asie kubali kushindwa sio mpinzani issa bondia mzuri sana ni mistake ndogondogo tuu

  • @sofiamsuya2254
    @sofiamsuya2254 3 วันที่ผ่านมา

    Jafet bondia wangu of all the time

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 4 วันที่ผ่านมา +3

    Tupandishieni komando madafu bana

    • @johnbidya119
      @johnbidya119 2 วันที่ผ่านมา

      Mmetuudhi sana mlisema pambano lipo kumbe wizi

  • @user-gb9ez3rq8j
    @user-gb9ez3rq8j 4 วันที่ผ่านมา

    Safiiii

  • @ShafiiMawe
    @ShafiiMawe 4 วันที่ผ่านมา

    Apaa ushindi tyuu

  • @user-pk4cy6gw2c
    @user-pk4cy6gw2c 3 วันที่ผ่านมา

    Ushinditu

  • @IssaJfoul
    @IssaJfoul 3 วันที่ผ่านมา

    Laurent Chama langu