Nakubali sana kazi za lolern ana akili nyingi
Uyu mtoto kila siku anawapiga
Anajua sana uyu jamaa
uko vizuri kijana.
Juma choki na nassibu ramadhani wote waliopigwa na Loren japhet.
Ni kweli kabisa
Tuleteeni Nasib ramadhan mana tulimpiga ila majudge walimpa.
Tena kwa mkono mmoja
Champion
Nakubali sana kazi za lolern ana akili nyingi