DODOMA KUNA FURSA NYINGI ZA UWEKEZAJI,WAWEKEZAJI NJOONI MUWEKEZE : RC SENYAMULE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary S. Senyamule usiku wa tarehe 23.11.2024 ameshiriki uzinduzi wa 'LC Luxury Apartaments' mpya za kisasa zilizojengwa ndani ya Jiji la Dodoma.
    Akizungumza na halaiki iliyojitokeza kwenye uzinduzi huo, Mhe. Senyamule ametoa wito kwa wawekezaji wengine kuja kuwekeza ndani ya Jiji hili, kwani kuna fursa nyingi ambazo zimeletwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan.

ความคิดเห็น •