VITASA | Charles Tondo vs Haidari Mchanjo | Dar Boxing Derby 29/06/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • DAR BOXING DERBY | Ngoma imemalizika ‘droo’ baada ya raundi nane….na hivi ndivyo ilivyokuwa raundi ya nane…. Ni Charles Tondo vs Haidari Mchango.
    Lilikuwa ni pambano la tano katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
    Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
    #NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa

ความคิดเห็น • 12

  • @YusuphSomo
    @YusuphSomo 3 หลายเดือนก่อน

    Majaj mikundu yenu mbwa ninyi watu wanasaklifai roho zao halafu mnazngua,tendeni haki mbwa nyinyi.

  • @GyftyMazinde
    @GyftyMazinde 3 หลายเดือนก่อน

    sio kweli adali kashinda kumamake majaj mnzingua kinaz

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 3 หลายเดือนก่อน

    Hili pambano lilikuwa wazi saana haidari kashida

  • @ALLYATHUMANI-i4w
    @ALLYATHUMANI-i4w 2 หลายเดือนก่อน

    Nice Fighting

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto yake ni Nepi.Haydary Ameshinda hii fight vizuri sana.Drow nikutomuharibia mtoto ambae nae anakuja vizuri japo hajaingia kwenye viwango vya wakongwe

  • @YusuphSomo
    @YusuphSomo 3 หลายเดือนก่อน

    Mchanjo kashinda.

  • @Faridaally-ko5sb
    @Faridaally-ko5sb 2 หลายเดือนก่อน

    hiyo droo kabisa

  • @ALLYATHUMANI-i4w
    @ALLYATHUMANI-i4w 2 หลายเดือนก่อน

    Aidar kashinda

  • @ShabanKambare
    @ShabanKambare 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kaka, haidary champion. Tangulini champion akawa tozi ndo

  • @salumbabu1602
    @salumbabu1602 3 หลายเดือนก่อน

    Haidar ameshinda ipo wazi kabisa

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 3 หลายเดือนก่อน

    Haidari kashinda

  • @yussufmohamed-nn5ro
    @yussufmohamed-nn5ro 3 หลายเดือนก่อน

    Haidar ameshinda