MAOMBI YA SAA TISA USIKU/KUVUNJA MAAGANO YA UHARIBIFU-Pastor Myamba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024
  • #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
    This is the Official TH-cam Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
    -----------------------
    For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
    -----------------------
    Follow Us:
    Instagram: / pastormyamba
    Facebook: / pastor-myamba-12973112...
    TH-cam: / pastormyamba
    Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030

ความคิดเห็น • 56

  • @marthamahule2120
    @marthamahule2120 8 หลายเดือนก่อน

    Nimwhudumiwa Mtumishi Ahsante sana Mungu akulinde Mungu aendelee kukupigania katika kazi unayoifanya

  • @user-jh4dc2om5j
    @user-jh4dc2om5j 4 หลายเดือนก่อน

    Hasantee sana ubarkiwe sana nambayako mtumishi

  • @concmaster
    @concmaster หลายเดือนก่อน

    Myamba kama myambaaa

  • @salahdaniel3541
    @salahdaniel3541 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu unapodhuru wengine na mimi unikumbuke kupitia mtumishi wako uliempaka mafuta na maombi haya yesu ukakutane na aja za moyo wangu amen

    • @lucynyaguthii6978
      @lucynyaguthii6978 ปีที่แล้ว

      Nifurahi sana kwahio maombi yasatinza nimembarikiwa sana

  • @kathykatagondoa3334
    @kathykatagondoa3334 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen

  • @marthamahule2120
    @marthamahule2120 8 หลายเดือนก่อน

    Navunja maagano ya kiukoo yote kwa jina la Yesu navunja agano la kiukoo kiugonjwa na ndoa hata kwa vizazi vya watoto na wajukuu zetu.navunja kabisaa

  • @bahatimwitike4701
    @bahatimwitike4701 2 ปีที่แล้ว +1

    Mawasiliano yako mtumishi

  • @annahwangari8970
    @annahwangari8970 2 ปีที่แล้ว +1

    Omba nami mchungaji

  • @barasa5635
    @barasa5635 ปีที่แล้ว

    Karibu kenya mi ni apostle Dennis barasa kutoka chwele bungoma count

  • @nurungendelo1023
    @nurungendelo1023 9 หลายเดือนก่อน

    Mahusiano

  • @qmasele2070
    @qmasele2070 2 ปีที่แล้ว +1

    Mahitaji maombi pia pastor nasongwa na hofu yakifo Sana kimala nasikia sauti ndani yangu

  • @LucyNgowi-dv4xl
    @LucyNgowi-dv4xl ปีที่แล้ว

    Amen

  • @DeborahDaud-ks6tk
    @DeborahDaud-ks6tk ปีที่แล้ว

    Uniombeye,kîzàzi,kurudi,tumboni,kikoinje

  • @user-qs7fw8ws9x
    @user-qs7fw8ws9x 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeen

  • @hoseametel9297
    @hoseametel9297 2 ปีที่แล้ว +2

    Nionganishe wassup posted

  • @anethlaurent4844
    @anethlaurent4844 2 ปีที่แล้ว +1

    Shalom,naomba uniombee kufunga agano kwa mchumba wangu,alitamkiwa kwamba hatokuja kuoa maisha yake yote na mwanamke aliyekuwa naye kabla yangu,sasa uchumba wetu umekuwa na mafarakano hataki hat kuniona,

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana timiza haja za moyo wangu kupitia maombi haya

  • @youngbilioners4631
    @youngbilioners4631 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni

  • @aidaa8253
    @aidaa8253 ปีที่แล้ว

    AMEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU

  • @rukiandunguru1462
    @rukiandunguru1462 หลายเดือนก่อน

    Niunganishe wasap mtumishi

  • @doreennekesa9769
    @doreennekesa9769 ปีที่แล้ว

    Amen. barikiwa

  • @jolieingabire1992
    @jolieingabire1992 2 ปีที่แล้ว

    Amin Amin

  • @maorinebarongo7789
    @maorinebarongo7789 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN

  • @saumusaumu890
    @saumusaumu890 10 หลายเดือนก่อน

    Usaidizi

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 ปีที่แล้ว

    Bwn nisaidie kuvunja maagano ya kifamilia,kichawi,njfungulie maagano ukoo

  • @josephinevicent1010
    @josephinevicent1010 2 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nipate cheo ninacho kinda ktk moyo wangu na kinywa changu

  • @josephinevicent1010
    @josephinevicent1010 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji yesu answerable yote.naomba niombee nipate cheo kikubwa ktk siasa bila kutumia nguvu za kiza.natamani ukuu wa mungu ujidhihirishe watu wajue mungu ktk kugombea.sio waganga.nataka nionyeshe ukuu wa mungu

  • @sakinaamundala8314
    @sakinaamundala8314 2 ปีที่แล้ว +3

    Jambo mutumishi unisaidiye nanamba yako yawasp asant kumaombi yausiku inafanya kazi

    • @LucyNgowi-dv4xl
      @LucyNgowi-dv4xl ปีที่แล้ว

      Mimi mwenyewe nataka namba yake ya wsp ukipata unipe

  • @qmasele2070
    @qmasele2070 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @joycekumwembe5269
    @joycekumwembe5269 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor nipo ktk Hali mbaya mama yangu ni mgonjwa tangu mwezi wa 8 kidonda Cha oparetion ya nyonga akiponi naomba msaada wako nakupataje ututembelee maana awezi ata kutembea

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 ปีที่แล้ว

    Wow 😲

  • @nadinezena6039
    @nadinezena6039 2 ปีที่แล้ว

    Nuonganishe namimi mugroupe

  • @monicamichael-sr4kx
    @monicamichael-sr4kx หลายเดือนก่อน

    niunge kwenye group

  • @jakiejakie2906
    @jakiejakie2906 2 ปีที่แล้ว +2

    Jackei

    • @bonventureminja9697
      @bonventureminja9697 2 ปีที่แล้ว

      Mtumishi naomba niombee wazazi wangu walifanya maagano na matambiko mengi na yananiafect uchumi wangu na afya yangu

    • @mwanaashapati6385
      @mwanaashapati6385 ปีที่แล้ว

      Mtumishi naomba uniombe ninasumbuliwa na maumivu ya tumbo takriban miaka 9 sasa nimetumia dawa nyingi sana bila mafanikio nisaidie

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 ปีที่แล้ว

    Maagano ya waganga ,kila kikabila zote majini mapepo

  • @IsabellaKiamba
    @IsabellaKiamba 4 หลายเดือนก่อน

    Mnachukua muda mwingi Kwa maongea bila kuingiankwa maombi! Ni vyema kuokoa muda Kwa maombi sababu MTU anaamka Kwa maombi !

  • @irankundamireille9998
    @irankundamireille9998 2 ปีที่แล้ว +2

    Pray for me how can I be in the WhatsApp group

  • @ghatynyantebu592
    @ghatynyantebu592 2 ปีที่แล้ว +1

    Niunge kwenye group la what's up la ancha siku na Bwana

  • @zenacomu3673
    @zenacomu3673 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji naomba n yako

  • @user-ev8kp3lb8e
    @user-ev8kp3lb8e 11 หลายเดือนก่อน

    Naomben namba ya huyu mtumishi wa Mungu

  • @claricethoya8730
    @claricethoya8730 2 ปีที่แล้ว +1

    Maombi yako hua yananitia nguvu sana .kwa sasa na hitaji maombi niko saudia ninaumwa sana na mkono ulianza tu wenyewe vidole vinauma siezi shika kitu naumia sana nahitaji maombi mm ni mkenya

  • @clarissidi1437
    @clarissidi1437 ปีที่แล้ว

    Amen naomba namba ya watsap mtumishi nina mahitaji😢

  • @nadinezena6039
    @nadinezena6039 2 ปีที่แล้ว

    Amen munipe number zapasteur

  • @priscajoseph6341
    @priscajoseph6341 2 ปีที่แล้ว +3

    Namba uniunge kwenye group la watsapp

  • @LucyNgowi-dv4xl
    @LucyNgowi-dv4xl ปีที่แล้ว

    Mtumishi namba ya whsp please

  • @wilfredmarius2071
    @wilfredmarius2071 2 ปีที่แล้ว

    link ya group mtumishi

  • @marrymwanjala4801
    @marrymwanjala4801 2 ปีที่แล้ว +1

    Niomba maombi mtumishi niunge wasp

  • @euginerolack4747
    @euginerolack4747 ปีที่แล้ว +1

    Namba ya kujiunga kwenye group la WhatsApp naomba.

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @marrymwanjala4801
    @marrymwanjala4801 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen