MASHARTI YA AJABU NI KICHAA TU ANAWEZA KUKUBALI "HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2023
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

ความคิดเห็น • 230

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 11 หลายเดือนก่อน +11

    Duh jembe Tanzania tumepoteza kwa kweli R.I.P Mzee JPM u will always be missed

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 10 หลายเดือนก่อน

      Vizuri Huwa havidumu jmn,na vizuri kupotezwa ni mara moja

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo ปีที่แล้ว +7

    Nacho mshukuru Mungu nilimpenda sana Magufuli akiwa hai na nilimsapoti na hata mtoto wangu nimempa jina lake

  • @SilvesterRaphael-xb6it
    @SilvesterRaphael-xb6it ปีที่แล้ว +38

    Narudia tena kusema nadhani hii comment ni ya mwisho kuandika kuhusu hayati magufuri.Nasema hiv haitakuja kutokea Tanzania kuwa na Rais mzalendo kama magufuri sahau kwa nchi yenye walamba asali kama hii wenye fikira za kuifisaidi tu nchi yetu na wenye maono ya kuishi milele na family zao bila kufa wakimiliki pesa ndefu huku wanyonge tukibaki kukosoa macho tu keki ikigawanwa na kikundi kidogo tu cha karakana la shetani wakitamba na kuumiza kila atakeyejitokeza kuwatetea wanyonge RIP mwamba uliyekataa kamwe kuwa upande wa waabudu shetani wakakuua na wao watakufa tu kama ss

    • @mustaphamasobe8343
      @mustaphamasobe8343 8 หลายเดือนก่อน

      Nambii Eliya alidhani amebaki pekee yake Mungu alimjibu wapo elfu saba,Mungu atainua wengine zaidi

  • @Devidi-xq4wj
    @Devidi-xq4wj 11 หลายเดือนก่อน +2

    Polesana

  • @mariamswalehe3312
    @mariamswalehe3312 ปีที่แล้ว +15

    Tutakumisis sana Magufuli. Raisi wa mfano hajawahi tokea kama wewe. Ulisema na yametimia sasa

  • @AllyLali-sg5cd
    @AllyLali-sg5cd ปีที่แล้ว +4

    Mungu ailaze pema kwa kazi nzuri iliyofanya kwa manufaa va nchi pia ni mkombozi wa wanvonge.

  • @joshuanjughuda5540
    @joshuanjughuda5540 ปีที่แล้ว +5

    Ee mungu baba usikiae maombi kama ni watu walihujumu maisha ya magufuli watanzania tunakuomba uwajibu hao makatili sawa sawa na matendo Yao patiliza mpaka na vizazi vyao maana ulisema ktk neno lako utawapatiliza Wana maovu Ya baba zao kizazi Cha kwanza hata Cha nne. In the name of Jesus I prayed aaamen!

  • @titoraphael7329
    @titoraphael7329 ปีที่แล้ว +3

    Logical thinking very critical.
    SALUTE JPM kwa kweli hawa wawekezaji wana hawana nia ya kukuza uchumi wala mapato yetu. Sasa Mama na Watu wake wanampotosha tu. Tumesharudi kule kule kuibiwa sana.

  • @gracesage989
    @gracesage989 ปีที่แล้ว +4

    Uliyaona haya baba. Tunaomba Mungu tu ainusuru nchi yetu. Endelea kupumzika kwa amani.

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 ปีที่แล้ว +12

    Da tutakukumbuka sana,ndio maana uliuwawa ili waishi Kwa kutunyonya ,pumzika baba

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 ปีที่แล้ว +2

    Baba nitakukumbukaaa daimaa ww ni genius unaishiiii .....spiritiiii yako inaishiii milele .....ubet wako wa mtanikumbuka kwa mzr na sio mabaya yangu

  • @emanuelbalama-el2jd
    @emanuelbalama-el2jd ปีที่แล้ว +12

    JPM, JPM, JPM.....ooooooh the son of Africa..., we will be missing u MWAMBA.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Jipm ibilis akukupenda kabisa ila mungu wetu atatusimamia sis wengine tunajua maana ya mikataba ya keep shetani ninani asiyejua maana ya mikataba ya kihuni awezekani lijitu limoja liongwe theni watu wa mungu wanajaribu kuongea. alafu anabezwa na wamalacki walio laaniwa na mungu

  • @adelaudarutagwela5070
    @adelaudarutagwela5070 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naamini huko Mbinguni uliko endelea kuliombea Taifa mipango ya manyangau walio ndani ya Nchi na nje ya Nchi Mwenyezi Mungu aingilie kati isifanikiwe hata moja

  • @jamammussa8424
    @jamammussa8424 ปีที่แล้ว +7

    🤲 pumzika kwa amani

  • @selemandaniel6179
    @selemandaniel6179 ปีที่แล้ว +8

    The African hero

  • @user-le4wd1eb2y
    @user-le4wd1eb2y ปีที่แล้ว +10

    Our mzee magufuli mpendwa ,
    You did lillte in your life time
    But you are doing a lot after you left us africans in general .
    Viva magufuli ,putin is helping to
    Magufulication of africa .

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 ปีที่แล้ว +8

    Daah.!! Basi tu hakika mzee alikua ni mzalendo 😔😔😢

  • @saidymalumbo4530
    @saidymalumbo4530 ปีที่แล้ว +14

    Pumzika anko hakika uliupiga mwangi na hakika mungu akiniweka nitakuja kumsimulia mjukuu wangu kuwa ulipita jembe hakika magu ulikuwa mwanga wa African kwa ujumla

  • @andrew29468
    @andrew29468 ปีที่แล้ว +1

    Graeat man

  • @sophiajohn2958
    @sophiajohn2958 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akumbuke sadaka yako Magufuli wetu, ulikitoa kuitetea haki ya wa Tanzania mambo yamekua hofyo
    Mungu mjalie mtoto wako Magu apumzike kwa Amani na atuombee sisi na Tanzania nzima Amina

  • @nakali79
    @nakali79 ปีที่แล้ว +27

    Magufuli alikuwa peke yake, wote waliokuwa wamemzunguka walikuwa wanafiki wote, ilikuwa ngumu mno kuendelea kuwa hai mzee wetu, maana alizungukwa na mazombi kila kona

    • @godfreyshirima1480
      @godfreyshirima1480 ปีที่แล้ว

      Tuta mkumbuka kama alivosema na kawaida yetu tunamkumbuka mtu akisha fariki aliona mbali sana kiufupi

    • @amirlehao8945
      @amirlehao8945 ปีที่แล้ว

      Naungana na wewe ndugu yangu alizunguukwa na mzombi Tu

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 11 หลายเดือนก่อน

      ni kweli yote yalio baki ni maxombi or tuseme mazezeta ya kihongwa bahadha tu kila kitu wapiga makofi majizi yote

  • @ThomasMoiyo-uf8sx
    @ThomasMoiyo-uf8sx 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio president nzur zaidi

  • @charleskawo5572
    @charleskawo5572 ปีที่แล้ว +3

    Ninani aweza kushindana Na Mungu,,machozi ya rohoni anayaona,,,ATAJIBUU UPESi

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 ปีที่แล้ว +6

    Ehhh Mwenye Enzi Mungu amsha tena hii roho ya John Pombe Magufuli pamoja na ya Julius Kambarage Nyerere zianze kufanya kazi ndani ya miyoyo ya watu bila uwoga eeh Mwenye Enzi Mungu tutendee nchi yetu Tanzania 🇹🇿
    😢😢😢😢😢

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo ปีที่แล้ว

      Alipo kua hai nyie ndo mlikua wa kwanza kusema ni dikteta

  • @stupendous1
    @stupendous1 ปีที่แล้ว +26

    We lost a naturally born intelligent man in our country. RIP sir!

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 ปีที่แล้ว +4

    Naamini uko ulipo unayaona yanayo endelea mungu akulinde uko ulipo msema kweli

  • @aliemdogo
    @aliemdogo ปีที่แล้ว +6

    Tutakukumbuka daima mwamba

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว +6

    Kuhusu bandari waliokuunga mkono wamekugeuka baba lile jambo linaendelea

  • @francoismalenge1373
    @francoismalenge1373 9 หลายเดือนก่อน

    Merci beaucoup Mzee 👏👏

  • @hamidaabdillah5190
    @hamidaabdillah5190 ปีที่แล้ว +6

    Waliyokupigia makofi Leo ndio wamekugeuka mzee Bandari imeuzwa kwa miaka isiyojulikana...!

  • @iddykarumanga2157
    @iddykarumanga2157 ปีที่แล้ว +9

    Sina hakika kama wameweka masikio pamba 😢

  • @charleskawo5572
    @charleskawo5572 ปีที่แล้ว +5

    WaTanzania tuache mambo mengi,,hakika tumemkosea Mungu,,tutubu tumrudie ;Mungu Anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mambo yetu yakakaa sawa kabisa

  • @Ndawoo
    @Ndawoo ปีที่แล้ว +4

    mzee uko wap tunauzwa jaman

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leo wameuza Baba Pumzika kwa Aman.

  • @sylvesterrusenyana4050
    @sylvesterrusenyana4050 ปีที่แล้ว +5

    What ever happened, we will never forget our Hiro , acha yote yafanyike ila ulisema

  • @yohanamasebo3478
    @yohanamasebo3478 ปีที่แล้ว +7

    Hakika tutakukumbuka tumebaki na manyang'au wa magharibi ndiyo wanatuongoza wanaitafuna nchi yetu kweli R.I.P Magufuli

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว +5

    Hivi nyie wabunge hamsikilizi hizi hotuba za jpm? Ama kweli siasa ni unafiki, wakati jpm yupo mlikubaliana nae saivi hayupo mnajifanya hamjui nn alisema. Ndugai oyeeee

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 ปีที่แล้ว +3

    Dah! inasikitisha Sana.

  • @JumaKhamis-kz5vs
    @JumaKhamis-kz5vs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Saluti baba

  • @shijalushona4298
    @shijalushona4298 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jembeee

  • @DonardLufumbe-hc1rp
    @DonardLufumbe-hc1rp ปีที่แล้ว +1

    Mungu mulaze mahalo pema peponi magufuli mhh tunanyanyazwa

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tutapate wapi kama Mtazania Magufuli jamani uzalendo mnao kama Magufuli

  • @evanstum5032
    @evanstum5032 11 หลายเดือนก่อน +1

    Great people especially in Africa they don't leave only dictators rule forever

  • @BenjaminiJoel
    @BenjaminiJoel ปีที่แล้ว +2

    Sawa baba tulikusikia wananchi naturi kusikitikia sana pale ulipo umariza mwendo urikuwa mbaya kwa waovu urishangiriwa kwa unafki na marafiki zako

  • @emmanueltuppa5459
    @emmanueltuppa5459 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤RIP JPM

  • @hamidaabdillah5190
    @hamidaabdillah5190 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio kiongozi shupavu aliyeweza kutunza rasilimali za nchi hii na kukabili mikataba mibovu...😊

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 ปีที่แล้ว +4

    Mungu mwenyezi akulaze mahali pema peponi amen,ila hawa watu wako wa CCM pasua kichwa sana yale yote uliyo waambia hawaelewi cjui vichwa vyao vimejaa kutokujali wameamua kubinafsisha bandari zetu ambazo wewe ulikataa zisibinafsishwe

  • @DonPrince11
    @DonPrince11 11 หลายเดือนก่อน +1

    profesional ni ujinga kweli kukubal ujinga kma huo

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว +2

    ...then he died. he died with so much potential and vision of our country. dah tunakukumbuka mno. Mungu Tunaomba umpatie hekima Rais wetu Samia binti yake Suluhu wa Hassan

  • @HarunaMohamed-ui7nq
    @HarunaMohamed-ui7nq ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo maana mungu akatoa maamuzi sahihi

  • @gelvaskatapa3080
    @gelvaskatapa3080 ปีที่แล้ว +15

    RIP Jpm Will miss you

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว

    Pumzika mahala pema mungu akuweke peponi amina

  • @SalmaMatatu-yt4hn
    @SalmaMatatu-yt4hn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia husikii kauli za raisi mwenzako mbona unadanganyika wananchi wako watapata shida sana angalia hilo

  • @donathtarimo7221
    @donathtarimo7221 ปีที่แล้ว +5

    It is very sad & shameful too

  • @DicksonDouson-yo6xr
    @DicksonDouson-yo6xr 10 หลายเดือนก่อน

    Good president

  • @Juma_Ally
    @Juma_Ally ปีที่แล้ว +1

    uliona mbali sana mzee

  • @Bryboe_tz
    @Bryboe_tz 10 หลายเดือนก่อน

    Maneno yataishi milele💪💪

  • @user-zf4hh2uo2i
    @user-zf4hh2uo2i ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mshara pema pepon

  • @molengoodlever5561
    @molengoodlever5561 10 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi mwenye akili mungu akulaze maharapema peponi

  • @user-bp7yk4mb4d
    @user-bp7yk4mb4d 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli

  • @user-zx3he3lp3o
    @user-zx3he3lp3o 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ret in peace! Hali ya bandali ni hiyo kwa sasa

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +4

    Sasa tunajua kwa nini walikuua

  • @RizikiAbdala
    @RizikiAbdala ปีที่แล้ว +2

    Mimi sio mwanasiasa ila kwa kinacho endelea picha tunaliona hata kama hatuna digrii zao za mchongo sasa nasema hatukubali

  • @FloraMoyo-wz1ow
    @FloraMoyo-wz1ow ปีที่แล้ว +1

    tunakumbuka kaurizako mheshimiwa

  • @mrbmmwakipesile2150
    @mrbmmwakipesile2150 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭

  • @edwardelias4745
    @edwardelias4745 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu huyu mzee aliyaona nakwel hayooooo

  • @swahumukareemu7224
    @swahumukareemu7224 ปีที่แล้ว +2

    Mzee uliyoyasema yametia😭😭😭😭😭😭

  • @nelsonbushiri2296
    @nelsonbushiri2296 ปีที่แล้ว +1

    pumzika mzee uliona mbali

  • @bejoytv2702
    @bejoytv2702 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa wa Sasa Hawatafanikiwa kwa Jina la Yesu

  • @kipupwefedede7130
    @kipupwefedede7130 ปีที่แล้ว +3

    Asiye sikia la mkuu

  • @mariamswalehe3312
    @mariamswalehe3312 ปีที่แล้ว +5

    Wale wale waliokuwa wanapiga makofi ndo Walewale wamegeuka leo

    • @yussuph-lx7cu
      @yussuph-lx7cu ปีที่แล้ว +1

      Sasa hapo sisi wengine tunashangaa,hawa ccm wa sasa na wale wa makufuli ,wa sasa wanataka kuuza nchi ajabu

    • @mariamswalehe3312
      @mariamswalehe3312 ปีที่แล้ว

      @@yussuph-lx7cu 🤣🤣🤣

  • @nzenzulejoseph22
    @nzenzulejoseph22 ปีที่แล้ว +1

    Walimuuwa ili wale nchi walifanya mapinduzi kikwete na jopo lake ila wote mtakufa

  • @bilioneabichwa
    @bilioneabichwa ปีที่แล้ว +3

    Yesu ni Mungu, na anatupenda wanadamu wote

    • @johnsonbernald11
      @johnsonbernald11 10 หลายเดือนก่อน

      Yesu sio mungu bali na mwana wa mungu kama ulivyo wewe, yesu usitake kutuongopea

  • @MaigeKatemi-pb1st
    @MaigeKatemi-pb1st ปีที่แล้ว +4

    Yametimia yaliyo taburiwa

  • @andreasmkwenya9628
    @andreasmkwenya9628 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba hiyu hapa. Tayal tunakukumbuka kma ulivyosema

  • @HadjiMbugi-hw2hf
    @HadjiMbugi-hw2hf ปีที่แล้ว +3

    Ushauri wangu naona bunge letu Liwe linaweka tuu clip hizi za mzee wawe wanasikiliza tuu mpaka bunge linaisha maana naonaga wanajadili ujinga tuu

  • @mrishohassanimrisho8454
    @mrishohassanimrisho8454 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahyo wanaendelea kutuchezeea et

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 ปีที่แล้ว

    Uko sawa baba

  • @LucasNtalima-wq6ok
    @LucasNtalima-wq6ok 10 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tunapaswa tuombe Mungu sana.

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nilikuwa ccm but magu ccm alikuwa pekeake

  • @Qweenvero
    @Qweenvero ปีที่แล้ว +1

    Mzeee Amka uoneee kweli kikulacho linguini mwako

  • @lazaromshamu3521
    @lazaromshamu3521 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuomba walau urudi uwaone watu uliowaachia kijiti wanachofanya

  • @KuntukumuSadam
    @KuntukumuSadam ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana😢😢😢😢😢

  • @teshastivin974
    @teshastivin974 10 หลายเดือนก่อน

    Tunakukumbuka Sana!!

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa aman jpm"tuta kukumbuka kwa mazuri ulio tufanyia"

  • @bkonga
    @bkonga ปีที่แล้ว

    Baba alisema

  • @linusbalthazar-wu6qf
    @linusbalthazar-wu6qf ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭🤲🏾🙏🏼baba

  • @nellynathan-hf2by
    @nellynathan-hf2by 11 หลายเดือนก่อน

    Missed you alot

  • @jumamkuchutito1121
    @jumamkuchutito1121 11 หลายเดือนก่อน

    Natamani uwamke mwamba uwone wanachofanya huku wala nnchi daah Allah akupe kauli thabit mwamba

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 ปีที่แล้ว +1

    Baba ulitupenda tutakukumbuka daima

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 ปีที่แล้ว +2

    RIP ❤❤❤

  • @mahadiathumaningemela8414
    @mahadiathumaningemela8414 10 หลายเดือนก่อน

    Ulala salama baba

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว +2

    Wew kweli ndio ulikuwa rais wa Tanzania kweli ila wapo wenye roho mbaya wamekuuwa ili wakae wao kwenye kiti shenzi sana

  • @adow9musictz931
    @adow9musictz931 11 หลายเดือนก่อน +1

    We loose something

  • @mikaeljoshua6999
    @mikaeljoshua6999 ปีที่แล้ว +1

    Magu R.I.T God be with you

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hata kama sikukuelewa wakati ule sasa nimekuelewa ijapokua nimechelewa.

  • @beriasmasanga6859
    @beriasmasanga6859 11 หลายเดือนก่อน +1

    Xmbona leo wanaccm waliompigia makofi magufuri Leo wanapiga makofi bandari iwekezwe kwa waarabu tena masharti ya ajabu?ccm kumbe tuifikirieje watanzania?

  • @annaNgaiza-hu8ki
    @annaNgaiza-hu8ki 9 หลายเดือนก่อน

    2025 tunaomba mabadiliko Asante

  • @amanilucy
    @amanilucy ปีที่แล้ว +1

    Huu mkataba was Sasa wamepewa kote

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 ปีที่แล้ว

    CCM inakubali