ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAGUFULI ALIKUWA NABII ALIYOWAHI KUSEMA KUHUSU BANDARI YAMETOKEA MSIKILIZE INAUMA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2023
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 96

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน +9

    Tena inauma sana baba utakumbukwa daima mungu akulaze mahali pema peponi amina

  • @lilianvitus2488
    @lilianvitus2488 10 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani mm nimebaki kukulilia tu baba Mungu akupe pumziko la milele. Amina

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 10 หลายเดือนก่อน +7

    Na ndiyo kisa cha kuiwawa na mara baada ya kifo wakakabidhi bandari kama ilivyokua lengo lao tngu miaka mingi.Maana hayati Makufuli alikua mwiiba kwao.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน +7

    Jpm alikuwa nauwezo mkubwa wakugundua kila kitu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน +6

    Tangu uhuru tz iliwahi kupata rais mmoja tu magufuli

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 10 หลายเดือนก่อน +1

      Na mwalimu Nyerere JK

    • @aaroneu07
      @aaroneu07 10 หลายเดือนก่อน

      @@josephlorri431 Hapana. Ni JPM.

  • @filipomatondo4040
    @filipomatondo4040 10 หลายเดือนก่อน +8

    Najaribu kufikiri na kuwaza kuwa" hii speech hata Mama Samia anaiskiliza kweli...?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa hivi baba hayati magufuli bandari zetu zinauzwa mama kaziuza zote kwa warsbu wenzie

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 10 หลายเดือนก่อน +5

    Baba wa Tanzania husikii kuchoka kumsikiliza

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi Mungu akulaze kwa Amani! Omuzirankende

  • @user-zd3ds6vt7u
    @user-zd3ds6vt7u 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akumzishe salama mkombozi wawatanzania ilaumetuacha yatima hatuna wakutunyamazisha baba tunaelelea kuumizwa nakutoneshwa kidonda tuchoumia pindi ulipoondoka baba inaumasanaaaaa!aaainama

  • @christoemmanuel8210
    @christoemmanuel8210 10 หลายเดือนก่อน +4

    Yaan huyu rais wa sasa anajifnya mtakatif kumbe ndan yke sio mtu mzur, maana anafnya vitu vya ajab na hata kipenz chetu magu ametolewa kwa makusud kisa alikua anatetea lasilimal za nchi

    • @Pharadge
      @Pharadge 10 หลายเดือนก่อน

      kwa akili yako unadhani hapo magufuli anamaanisha nini kama sio kutaka mfumo mbovu wa bandari ufumuliwe acha chuki

  • @TadeiMallya-lq4wk
    @TadeiMallya-lq4wk 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu nakuomba maali pema peponi pamoja namapungufu yake yakibinadamu.lakini Kuna mahalo alikuwa anaenda Haki na alikuwa amedhamiria kulivusha taifa letu .uyu baba ilifika pahali ata taarifa ya abari ilikuwa inapendwa kuangalia nakula mtu wakubwa nawadogo .watu walikuwa wanapenda kuona Leo raisi atasema nini .alikuwa mtedaji kwel kwel ila basi imebaki stori mungu tupe viongoz wazalendo 👏

    • @user-zd3ds6vt7u
      @user-zd3ds6vt7u 10 หลายเดือนก่อน

      Miminiliposikia eti umefariki moyowangu haukukubali nilijipamoyo nakusemahapana itakuwa wamemteka lakini iposiku watakurudisha labda kunakitu wanachokitaka kutoka kwako sasaukiwapa watakuachia heee! Imekuwa tofauti siku,wiki,mwaka,nasasa imekuwa miaka basi nimezoea lakini moyo wangu haunyamaza kulilia baba wanaokusema kwamabaya wananiumiza sana nawalaniwe kwajina layesu kristo ipoisku iposiki,iposik

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa ndo mnaona maneno yake yanaishi? Kwa sasa tunamsikiliza mama samiah anafanya kazi nzuri tu . Mungu aendelee kumwongoza

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wasingekuacha uendelee kuwa hai, ningekuwa mm nawaondoa viongozi wote nawaajiri makuli

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน +4

    Alikuwa akiongea unapata raha sana

  • @lilianvitus2488
    @lilianvitus2488 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu baba usituache huyu ulitupatia kama zawadi na leo hayupo tumebaki kulia tu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jpm alikuwa anatoa maagizo.leo mama hatoi maagizo yy kila kitu akiongea anasema kaangalieni

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 10 หลายเดือนก่อน +10

    R.I.P kamanda wangu JPM kiukweli ulionyesha uzakendo wa Nchi yako mwenyezi Mungu akuongoze uko uliko ukweli unamuweka mtu huru sana😭😭😭

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน +4

    Baba ungebaki saivi hata wale ambao hatuna kazi tungelipwa mishahara kama ulaya

  • @RaphaelMatunguNdagambaniwe
    @RaphaelMatunguNdagambaniwe 10 หลายเดือนก่อน

    Walio nyuma yako baba watakuwa na cha kujibu mbele za Mungu Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amen

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mhe DR Hayati Magufuli maneno yake yana ashiria unabii Watanzania akili zetu zina kumbukumbu ya yote aliyoyahubiri Mpendwa wetu Tuyarejee,tuyatafakari,na tuyatumie kama maono ili tusimame pamoja Ameni

  • @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
    @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 10 หลายเดือนก่อน +4

    Eee MUNGU tunashukuru Kwa zawadi Hii uliyo wahi kutupatia wa Tanzania
    Ahsante. Tutamuenzi milele

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kiongozi bora na imara mwenye maono, mipango mizuri na misimamo dhabiti kama alivyokuwa mzalendo wa kweli JPM anapatikana mara moja kwa karne moja, hawa wa sasa hivi ni vibaraka watiifu wa mabeberu wanaamini bila mabeberu hawawezi kufanya chochote ndio maana kila kitu wanawaza wawekezaji.

  • @habiblalji8756
    @habiblalji8756 10 หลายเดือนก่อน

    Amiri jeshi mwenyewe...hatatokea tena kama huo...rip mzee wetu

  • @falesbanda7520
    @falesbanda7520 10 หลายเดือนก่อน

    Iwapo nikimuangalia ninalia alikua
    Babayetu Mimi murundi alikua anatimiza malengo ya EAC mufano tulikua tukinyanyaswa napolisi njiani ilikua imeisha lakini kwasasa halishugulikiwe
    Baba endelea kulala mahali pema
    Mungu azidi kukubaliki lakini tunahitaji watu kama
    Makufuli

  • @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
    @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 10 หลายเดือนก่อน +3

    Pumzika kwa Amani Baba
    Tutakukumbuka Kwa mengi yote uliyo yaongea tunayaona Sasa

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu makufuli ni zawadi kutoka Kwa mungu

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 10 หลายเดือนก่อน +3

    Tulisha tengenezewa
    Njia tuifuate

  • @edsonmasesa7966
    @edsonmasesa7966 10 หลายเดือนก่อน +1

    TANZANIA tulipoteza kiongozi mzalendo Rip rais wa watz

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 10 หลายเดือนก่อน

    Daaa!! Mzee tutakukumbuk Sana sanA

  • @BazirLukowo-vb4jb
    @BazirLukowo-vb4jb 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kama binadamu hawezi kukosa mapungufu KAZI zake zilikua nzuri

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 10 หลายเดือนก่อน +3

    DUU!😭😭😭😭😭 R.I.P,

  • @user-po1ho7jp2g
    @user-po1ho7jp2g 10 หลายเดือนก่อน

    Tulijuwa watanzania wanatesekaRip baba jpm

  • @BeathaChambo
    @BeathaChambo 9 หลายเดือนก่อน

    Ulisema tutakukumbuka leo yanatimia wewe ni zaidi ya nabii. Pumzika baba😮😮😮

  • @Emmanuel-oy6xj
    @Emmanuel-oy6xj 10 หลายเดือนก่อน

    Saivi ndiyo shida

  • @Emmanuel-oy6xj
    @Emmanuel-oy6xj 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani tulishidwa kumuombea huyu mwamba alileta hali ya uchumi na heshima , saivi ovyo kabisa hakuna maajabu

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 10 หลายเดือนก่อน

    tutakukumbuka daima,hakuna wa mfano wako,m," mungu akuweke mahala pema peponi" amina.

  • @GoseMasika-wj7jq
    @GoseMasika-wj7jq 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shujaa.kaondoka

  • @user-qo2nf6vm7k
    @user-qo2nf6vm7k 10 หลายเดือนก่อน +2

    R.i.p Jpm.

  • @MussaSuleiman-ui9fy
    @MussaSuleiman-ui9fy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Makufuli❤ameua❤wengi❤wasionahatia❤kwa❤maslahi❤yake

    • @HenryAnatoly-jg3df
      @HenryAnatoly-jg3df 10 หลายเดือนก่อน

      Wataje ndugu, wakina nani hao? Au ndo chuki zimekujaa mpaka masikion

    • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
      @RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 หลายเดือนก่อน

      Album na ni yako wee mpigadil?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@HenryAnatoly-jg3df Alimuua ndugu yako??!! Acha unafki unajisumbua bure jamaa bado anapendwa huwezi zuia😓

    • @magrethlubimbi4055
      @magrethlubimbi4055 10 หลายเดือนก่อน

      Ww kijana mbona unachuki binafsi Mungu ashuhulike nawe popote ulipo

    • @omaryyusuph7877
      @omaryyusuph7877 10 หลายเดือนก่อน

      Matako wewe kamuua mama yako.

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chanzo cha uharibifu kilikuwa hapa

  • @milkajm4762
    @milkajm4762 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kusaga TV kwa kuweka hii.

  • @user-bj6bv9xp4f
    @user-bj6bv9xp4f 9 หลายเดือนก่อน

    Dah ulinena bab naimenda hiyo

  • @user-me3df8pt1t
    @user-me3df8pt1t 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tutakukumbka milele

  • @kusemmanuel2211
    @kusemmanuel2211 10 หลายเดือนก่อน

    Rais wangu ,kweli unissait kuwa rais ,pole saaana

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy 9 หลายเดือนก่อน

    Unwell unaishi milele rip jembe

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 10 หลายเดือนก่อน +1

    Makosa makubwa wabongo walimpa muislamu wa kike kuongoza nchi mama anatumiwa na kina kikeetu kufanya fasaad Aibu kwa waislamu

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 10 หลายเดือนก่อน

      umesema ukweli

    • @omaryyusuph7877
      @omaryyusuph7877 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa.

  • @user-ef8pn2ut1y
    @user-ef8pn2ut1y 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu tunaomba tupe mwingine kama magufuli yani kungekuwa na kupiga kula nani atangulie mzee angekuwepo.

  • @CairoBenny-dp4vg
    @CairoBenny-dp4vg 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tuta kukumbuka daima

  • @hajimrinda4044
    @hajimrinda4044 10 หลายเดือนก่อน

    EWE MUNGU MLAZE PEMA PEPONI AMIN,,UNGEKUEPO HADI SASA UMEME USINGEKATIKA KIJINGAJINGA KAMA SASA MIEZI MIWILI OKA MVUA ICHE KUNYESHA MGAO TAYARI WAZILI KALALA SIJUI KAMA RAIS ANAJUA UKWELI TANESCO JIPU HALIJATUMBULIWA TUNALALA GIZA TUNAKUMBUKA MWAMBA

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 10 หลายเดือนก่อน

    Watanganyika mnaleta MAMBO YA UKABILA kuligawa Taifa la TANGANYIKA.

  • @MathaMponela-yn2cm
    @MathaMponela-yn2cm 10 หลายเดือนก่อน

    Magu magufuli Jonn upumzike kwa Aman baba tunakulilia Kila siku tunakukumbuka pumzika baba.

  • @majaysjrmtitu5300
    @majaysjrmtitu5300 10 หลายเดือนก่อน

    Baba alinyoosha maneno hadi sio vizuri. Mama vipi?.

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 10 หลายเดือนก่อน

    RIP jpm

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani nakukumbuka sana ww ulikuwa nabii wa waTanzania

  • @diltondilunga9915
    @diltondilunga9915 10 หลายเดือนก่อน +1

    Leo wanasikiliza haya maneno ?

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 10 หลายเดือนก่อน

    We miss U.

  • @YasintaKazori-jw9ip
    @YasintaKazori-jw9ip 10 หลายเดือนก่อน

    Hao watu wanaocheka wanafahamu, wanaoskitika ndo hawafahamu. Rais Samia ungefanyia kazi hizi changamoto kuliko kuleta wagen,. Kama unashindwa kuadhibu watoto wako utawezaje kumuhadhibu mtoto wa jirani????????????????????????

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 10 หลายเดือนก่อน

    Acha kabisa,pumzika baba kwa amani

  • @gofreypilla5687
    @gofreypilla5687 10 หลายเดือนก่อน

    My beloved daddy we mic u Soo much! 😭😭

  • @ShautielyOsiani-my1oe
    @ShautielyOsiani-my1oe 10 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atusaidie WA Tanzania

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 10 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa Nabii wa WAKRISTO maana kila mtu anajiita nabii Mungu gani aliyempa Unabii, kwenye kitabu gani kilichoandikwa kuwa amepewa Unabii ?

  • @yakobokakuni-jm2un
    @yakobokakuni-jm2un 10 หลายเดือนก่อน

    Ee MUNGU uirehemu nchi yetu,viongozi wetu,sasa kama ni hivi tutampata wapi Kiongozi kama huyu

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waliua mtu tunashukuruu kwa kuwa walishindwa kumuua Bwana Mungu. Tulioumia tuzidi kumwomba mabaya yanamda wake.

  • @nizwaoman8378
    @nizwaoman8378 10 หลายเดือนก่อน

    Sasaivi bandali zetu zimeuzwa wamebakia mafisadi amna wanachokifanya

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeliona li mbarawa jizi lipo hapo

  • @erickrichard1843
    @erickrichard1843 10 หลายเดือนก่อน

    Kwasasa mpendwa wetu tunaumia sijui mwisho wamaumivu nirini sjui

  • @Antiqueqwerty-ko9ey
    @Antiqueqwerty-ko9ey 10 หลายเดือนก่อน

    Uchafu wa Ccm wa bandari

  • @BarakaElnest-ox7pb
    @BarakaElnest-ox7pb 10 หลายเดือนก่อน

    wamebaki wachumia tumbo ndo wanaongoza nchi

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenzio hajawahi tumbua mtu hapo bandari

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz 10 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani

  • @user-lm3tx3rb9o
    @user-lm3tx3rb9o 10 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa vizosana uyu laisi

  • @emmanuelruben3690
    @emmanuelruben3690 10 หลายเดือนก่อน

    R i p magu

  • @jeremiahmwasomola1252
    @jeremiahmwasomola1252 10 หลายเดือนก่อน

    Tutakukumbuka

  • @masheyosteven9149
    @masheyosteven9149 9 หลายเดือนก่อน

    Mi nasom comment tu😔

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

    Unatutia chungu baba

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 10 หลายเดือนก่อน

    Hotuba Kama hizi tuwekewe tuzisikilize kabla na baada ya taarifa ya habari kila mara

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 10 หลายเดือนก่อน

    Samia piga kazi tuko na wewe watanzania.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 10 หลายเดือนก่อน

      waislamu ni funguo la kukosa

    • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
      @RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 หลายเดือนก่อน

      Tatizo myself waislamu rais akiwa mwislamu huwa mmepata nafasi ya kuonesha mabaya yenu mbona mlipomwuua JPM wakristu tuliiwaacha tu mmetuoona hatuna uwezo nanyi?

    • @user-fb6dh6sz2g
      @user-fb6dh6sz2g 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@RoseKimishabhalemi-oz9bn achana na udini angalia uwezo wa kiongozi. Udini ni tofauti na utaifa sijui unanisoma

    • @user-fb6dh6sz2g
      @user-fb6dh6sz2g 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@kwisa4899 brother unakosea sana speach ya Magu Haina udini ila Ina uzarendo pia utaifa. Achana na udini au ukabira

  • @MathaMponela-yn2cm
    @MathaMponela-yn2cm 10 หลายเดือนก่อน

    Pumzika baba tumekumis