Clips zenu ni nzuri na hongereni kwa hilo.... napenda nitoe mapendekezo yafuatayo... a) kuepo na mwendelezo wa clips hixi kila wiki...(alhamisi) b) mwisho wa clip wasanii wenu waweze kuhamasisha watu juu ya ku--share, comment, subscribe and like... c) mujaribu kutengeneza movies mbali mabli ambazo zitawavutia wanajamii kwa kuzingatia maadili ya kizanzibar.....
Assalam alykum!! Lazima tubadilike na Aina hizi za Usanii wa Kumshirikisha ALLAH na kuwapa wanajamii mawazo ya kuwa Washirikina ni watu wenye Nguvu na kuogopewa....haya ni makosa makubwa na mabaya kuliko hili jina la mchezo!!..... Washirikina ni Wabaya!!!!
Moja ktk utovu wa nidhamu, tuwaheshimu mama wa wenzetu, imeniuma sn, lkn mtaka la makusudi haambiwi pole, lkn tunaifunza vp jamii, je uyo bikidecha hana watoto, Innalillahi waInna ilayhi Rajiun
Haahaa dingo umemach sana utauwa bonge yutaban jitahada yako utafikambli inshaallah
Pemba oyeeee
Dah sjawahi kucheka xn Kama leo
Waizi wakeshwe
Haha Dongo atafutiwe mume aolewe
Mashallahu raha sana mungu awabarki m
Safi bi kidecha, sasa anataka nije nitowe mahari mzee mwinyi
Oi sho sho
Hhhhhh nmecheka kwa nguvu😃😃Pemba moja
Jamoon bonge hana bahat safar hii
Clips zenu ni nzuri na hongereni kwa hilo....
napenda nitoe mapendekezo yafuatayo...
a) kuepo na mwendelezo wa clips hixi kila wiki...(alhamisi)
b) mwisho wa clip wasanii wenu waweze kuhamasisha watu juu ya ku--share, comment, subscribe and like...
c) mujaribu kutengeneza movies mbali mabli ambazo zitawavutia wanajamii kwa kuzingatia maadili ya kizanzibar.....
Bi kidecha ogopa sn wahuni si watu wazur
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapemba mnaniuwa mbavu jamaniii wahuni si watu wazuri
Wahuni si watu wazurii hahaha
Dah nmecheka mpaka bc wallah mung akzdishien vpaj vyenu msikate tamaa
Big up wapemba wenzangu Allah atuzidishie vipaji
They are born with talent
They are born with talent
Sherry mpemba was wapi weye
Dongo subiri muume tu sasa uolewe😂😂😂
Jufe muko juu 👍
Mukovzur hongeren mungu awazmamiye nawapenda sana
nimechekaaaa mjuuueeee😁😁😁
Wahuni siwatu wazuri jamani sauti mbamba kama dadee bikundecha noma kwakumtia mtu adabu mbavu zangumieee big job shukran jufe
wizi sio ishu mjifuxe vijana
Bora nikubebe nikuzungushe kujiji kizima 😁😁😁
Wow 2👍😃
😂😂😂🤣😂🤣,,ama kweli wahuni siwatu wazuri
Dongo mzee mwinyi muko vizuri
Nimeipenda sana flm hiii
Mie aje aniavye maziwa😅😅😅
Wallahi nimecheka kwa sautii kubwaaa #big up dongo
Hahahaha hahahaha mbavu zangu mm toba roho yangu mie uuuwiii mdomo koma dongo
Tizamaaaa hiyo sauti nyembamba km dadeyee
😚😚😚😚😚😊
Assalam alykum!! Lazima tubadilike na Aina hizi za Usanii wa Kumshirikisha ALLAH na kuwapa wanajamii mawazo ya kuwa Washirikina ni watu wenye Nguvu na kuogopewa....haya ni makosa makubwa na mabaya kuliko hili jina la mchezo!!..... Washirikina ni Wabaya!!!!
Umeongea kitu muhimu sana
Mzee mwinyi hi
Dah nimecheka sana😂😂😂
kweli wahuni si watu wazuri hahaha.. nikumbukwe kwenye like😂😂
Thubutuuu! ww kankufanya Sauti ya Kike mie wataka Aje anivye Maziwa?
@@abulqadirellajmy431😅😅😅
Bonge umeuwa 😆 😆 😆 hizo pushap noma sana
Wakwanza
Watu wasijesema nabaka mwanangwa
Nzuri
Bi kidecha kashafanya mambo yake🙃😆😆😆😆😆
Kakupa sauti ntu nke,wataka na mm anilavye maziwa,sauti kama dadeye
😂😂😂😂🤣🤣🤣 dongo mara hii umeingia pabaya
Hahah subiri mume dongo...😅
Kiswabi mbon hayumo dongo
Nitakuw njaa wa aanui😄
Hhhhh mchez mzur mpo juu jufe
Big up dinho bikindecha sio m2 mzuri
ALLAH akupe rehma zake mama yetu
Moja ktk utovu wa nidhamu, tuwaheshimu mama wa wenzetu, imeniuma sn, lkn mtaka la makusudi haambiwi pole, lkn tunaifunza vp jamii, je uyo bikidecha hana watoto, Innalillahi waInna ilayhi Rajiun
kuna umuhimu wa kuweza kutofautisha kati ya 'IGIZO' na uhalisia wa nje ya igizo
😝😝😝 dongo ume uwa iyo akcheni
Safi sana sanaa inazidi kuimarika Pemba
Hahahahahahaa nimecheka sana eti utakaa hivo mpaka aje mume😀😀😀😀
Kusema ukwel wanajuwa sana tena sana tuuuu na mm tupo pamoja
😆 🤣 😂 😹 😆 🤣 😂 😹 😆 🤣 😂 😹
Wahuni si watu wazuri
Lakini hatujajua kama dongo kabadilika sauti tu au kuna na chengine. Hahahaha
Hahahaha nimecheka mpaka dongo angojee mume aolew
Hatariii iii
🤣😂😁kweli cwa2 wazuri
Kidecha kidecha hebu toka uko njeee hahaha daa Jufe muko vizuri sana
Kaswida kadiria
Wahuni si watu wazuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mieeee
Nyie mko vizur kwely
Wahuni si wat wazr
Balaa belua
Aasalala?ww kankufanya sauti ya kike mie wataka aje aniavye Maziwa!?
wahun siwatu wazuri
Wahuni si watu wazur
😅😅😅asanteni
Kiswabi yupo wapi jaman
Like z wapemba eka hapa👎
Hahaaaaa nnatumwa ni mama kitunguu na bizari
Hhhhhhhh!! Duh! Hongereni sana
Tusiogope wahun tuogope watu wazim
Kali sanaa 😄
DONGO👍💯
😂😂😂😂😂😂😂 bi kidecha
Kazi safi sana tunafurahi sie tulioko nje ya pemba inshallah
Hahahaha hahahaha hahahaha
Mumetisha baba God kazazeni but I tutafika tu
Maskini Puto amekipata pata mara hii😂😂😂😂ila big up Mr big raisi wangu nafurah kukuona jufe😎😎
Akwita bi kidecha ukamkunie nazi
Muhuni harogeki
Vibwengo wenyewe wanaogopa hizi stymu
WAHUNI SIO WATU WAZURI
dongo💪
Sauti ya mwanamke mumechemsha sauti ipo chumbani imeharubu
Lakini si haba tumecheka
Baalaa beluwaa
Wambita ngwere manywele🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Nnatumwa kitunguu na bizari mmamaa
Hahhhaa na yule nae kapt saut ya dadee
Hahahaha hahahaha
@@aishasaid5702 hahahaha
Sheh
🤣🤣🤣
Jaman kitatange yupo wapi
Bi kidecha wataka mfata bi mwenda ss🤔
Bi Kidecha hataki mchezo 😂😂😂
Good
Kashamfuata mpaka babayo
Hahahaha
Kichwa cha habar ni cha kuiga ila maudhui nzur
Nimecheka ati hii simu pesa zi huku🤣🤣
🤣🤣🤣☝️mpk aje mume.....
Bi kidecha bi kidecha bi kidecha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu mm wewee ilaa kisauti kitam kweli
Saut embamba kama dadeee
Kiswabi yukowap mbon hatumuoni
😂😂😂😂😂
👏👏👏👏👏
Nice ila muwavivu wa kufany kaz wajuba
Kitungu na bizari. Naumwa mama. Hahahaa🤣🤣🤣
Waumwa nn kitunguu na bizari