MashaAllah MashaAllah, Kaz nzur, Naomba nakukubal kw utendaji wko wa kz uk seriously, Allah awazidishieni vpaji nyenu Inshaallah, lkn km kawaid ya bnadamu hatuach kukosea kw7bu mkamiliz ni Allah pke yke, kw iyo mwisho kidog imemalizia vbaya lkn msijal ndy mambo
Mashallah muko vizuri wazanzibar mnajua mihigizo filamu nzuri sana,# mahaba niuwe.
Kutoka saudia movi mzur wapemba wenzangu ila tuu haija ishia vizur
baada yake huja majutoooooo kweli mahab Niuwe mwisho wake utakufaaaa
Maudhui mazuri mashallah
Ahasanten san wapemb wenzangu nawafatilia nikiwep oman jaman nawapenda 😂😂😂😂
MashaAllah MashaAllah, Kaz nzur, Naomba nakukubal kw utendaji wko wa kz uk seriously, Allah awazidishieni vpaji nyenu Inshaallah, lkn km kawaid ya bnadamu hatuach kukosea kw7bu mkamiliz ni Allah pke yke, kw iyo mwisho kidog imemalizia vbaya lkn msijal ndy mambo
Shukran
kazi nzuri🎉❤❤
Si kwa mahaba hayo 😅😮❤ jitahidi unaweza
😊😊😅😅😅😅 Hadi rahaaa
❤❤❤❤❤🎉🎉asanten wapemba wenzangu
Umezid gubu Naomba.duh
❤
Nhatari vyooo😂
Next place
Kaz safi sana❤❤❤❤❤🎉❤
Mbona munarejea rejea pati mara mbili
asanten kazi mzur sana na siye tupo ka kupokeya vitu vizur munajuwa sana
Kazi mzuri ❤
Mbona mumeukatisha papaya jamn
Leteni muendelezo ianzie hapo
Insha Allah
Kazi imeenda ❤❤❤
Sai umeupiga mwingi sio siri ❤❤❤
Jamani wadau wengine wako wapi ila muko poa lakini napenda lile grop lenu
Wakwanza leo kwa siku nyingi leteni
Hongera sana 🙌
Mwisho ilikuwa mwanamke na yeye apate tabu, na mwanaume ajutie alicho kufanya kuzarau ndugu zake.
Hamn mbaya nipambe ataliii❤😘
Naomba bana mnyambi eti udugu wa makopaaa😅
Kwani kufua niuupuunzi mbona mnatoka nje ya maandiko😮😢
Stara imepungua, musijiachie mutajivunjia heshima yenu
Mkosa kiukweli
Mahaba niuwe na ndio ashakufa mana ulikata yaushauri kwa kumpenda mkeo hayo ndio madhara mahana wahenga lisema mficha maradhi kifo umuhumbua😂😂😂😂❤.
AsumaNi ilikuwa utumie jina hilo hilo🤗
👏👏❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
♥️♥️♥️♥️
Nikopa1 nayiyi kwamichezo yenu wapemba wenzangu
Lakini huyo niduguyako
P1 cn mpo vzr
Mm pia Mumbai nawapata vizuri sana...Muhammed Aly roed
Hadi raha
Asanteni wapemba wenzangu nawapata bukheri kutoka india nafatijika sana ,naelimika kiukweli mumekuwa stress removal wangu
Asante sana tunakupenda ❤❤
Wapemba wenzangu,,,naangalia kutoka isiolo kenya
@@salimmoha7962 Asante sana tupo pamoja
Hello
Huyo wa miaka 12🤗
Mhhh
Hiyo nyumba Ina mlango mmoja tuu??
@@mussasaidhamad1891
Hhhhhh ni ya zenengo iyo