BWANA MWINYI_Kiswabi I Dongo I Mwinyi Mpeku I Bi Kidecha
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2021
- D.O.P
Said Negro
Boom Swinger
Dinyo
Editor
Said Negro/Eddy Best
Directed by
Eddy Best
Mob: +255 656600704
Email: jufepro@gmail.com
Tafadhali Subscribe/Like/Share/Comment
#Jufefilm#Comedy#Wapemba - ตลก
Ukisema nlaki na nusu kwani ni mashine ya kunyolea sharafa😂😁 kiswabi hatari sana!!!
dah safi sana wasanii wetu tupo pamoja nanyi bega kwa bega
Unauza nyumba unanunua gari ... Heehe
Hongera Kwa mafunzo
😀😃😃kiswabi lete 10 😀😃kumi nini 😃spana
😀😃😃masikini hajengi aataabisha mafundi tuu
Ujenzi wa kimasikini ni kutabisha mafundi tu. 🤣🤣
Wapemba mwenzangu nawapenda bure🤩🤩🤩
Kazi ipo vizuri sana ety kiswabi upo juu zaid
Zinga safar utakayo nkakufise🤣🤣
Jamani mnakaa mda mrefu mpaka twa wasahau
Kiswabi na dongo jamani mnavitoko 😁😁😁mbavu zaniuma jaman
Nampenda sana uyo kiswabi chizi asa uyo
Nawakubali mupo juu
Kiswab anakwambia laki 1nanusu unafikiri mashine ya kunyolea sharafa 😄 🤣 😂 😆
Jufe muko vizuri eti kumbe nimame change daa muna burudisha napia muna elimisha ujumbe umefika kwa hadhira 😊
Niliwamiss kiswabi n dondo wallah 😅😅
Hayyaaa mafundi washarudi n jini
Naitizama nikiwa nakunywa urojo😂😂tamu nimejifunza kitu
Hahaha aliyekamatiwa.....😅
Hatwebu gar
Nakubali sana . Masha Allah
haste haste vp roonaa
Huyu dada mwenye nyumba mmemtolea wap Hahahahha mana huko alipo da hongeren sana
Yaah bwana mwinyi nimekusoma , masikini hajengi ataabisha mafundi tu.
Kazikwelikweli Mzee mwinyi umepatikana lol
Si y kucheka lkn nimecheka eti gari ndo nyumba😅😅😅😅
Masikini hajengi ataaabisha mafundi tu😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Hahaha 😆
Wa mwanz ku comment leo 🤗 jufe mmpo vema sanaa hngern
Wapemba mlikua wap kazi zenu nzuri Sana maasha allah
hastehaste ronaaa
Rohonaaa
Kipara weye unaroho mbaya...
Haya y mwinyi ndo yalomkuta mkojani akili 1
Haste haste roonaa
asanten sana mnatufurahisha sans ss tulio kua dabai
sehm gn
Mzee gari kushaikangaa hiii
Hhhhhh kiswabi yupo
jufe mupo juu sana
Dah alieskia masikini hajengi ataabiaha mafundi nimeiona leo toka oman
hasite hasite vipi njoo nipulize basiii
Bwana mwinyi.
Yaani mwinyi unachekesha
Kiswabi kw mmashine yakunyolea sarafaa hiii
Wapemba wenzangu mwanikosha
Hasite hasite vp ronaa
Kumbe nnabahatikaaa
Dah film ina mafunzo tosha. Watu waache tamaa
Hahahahah kumbe nna bahatika
Mungu amlaze mahali pema bi kijecha
Mko vyema wenzetu Allah awabarik
Safi sana elimu Tosha
Bwana Mwinyi anaona bora Gari kuliko Nyumba
Ni mda mrefu Sana hatujaona kazi zenu jufe film production Sana Sana kwa filamu.much love from Bahrain
Mtaiona InshaAllah mambo mazur yanakuja
@@JufeFilmCompany inshaallah
😮
Mna filam nzuri mnoo ila filamu nzima hazpakuki tunaomba mzifungue tuzpakue
Nlete kumi nin
Jamani endeleeni kazi nzuri saaaaana jamani.👍 Wapemba wenzangu mupo juu Allah awasaidie
Hahahaha jmn eti kumbe nabahatika mchumba wng kwao kuna gar
Masha Allah kazi nzur
Mashaaallh ❤️❤️❤️❤️
Bikidecha njoo mbuzin
mbuzini ipi hiyo?
Nawapenda Sana Sikosi kucheka 😂 nikiwaona
Nimemiss kitatange jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwinyi bwana
Kuvukwa nguo panapo wakwezo😁😘
Jmn jufe nawapendaje? Mngetoa na full movie zile za episode
Eti nanye mtakaa nyuma kama mwamize mbuyu hahahaha mbavu zangu jmn mie uwiii nafaa mnaniwa kwa kucheka nikiwa Oman
Mambo fatma coll me 0673458881
Kushaikaanga gari
Kuzaa ni kupenya penya
Hhhh kummpata sita izi😀😀
Mzee mwinyi umeumbuka kweli
🤣🤣😂😂🤣🤣🤣
😂 😂 😂 Atakuja lkn
Gari kushaikaanga kiswabi 🤣🤣🤣
Bi kidecha njoo mbzn
Shukran sana jufe kwa burudani na mafunzo pia huezi amini nilikua na akili za mwinyi kuwaza gari kwanza kabla nyumba ya kuhifadhi familia 😂😂 good idea with more gainfully 👏
Gud
Pole mzee wangu
Hahaaaa mwamize mbuyu
ukifanya kitu hukiwezi aaah inauma
Masikini hajengi atabisha mafundi t
Kanume nume mzee
safi sana mzee mwinyi
Masikini hajengii ataabisha mafundi tu
Mashine ya kunyoleya sharafa
🤣🤣🤣Mzee mwinyi
Zinga safari nkakufise
lete 10 spanner
Hahahah mashaallah
🤣🤣
wallahi nimecheka mpaka basi dah
Hhhhh hhhhh hhhhhh
Kaz mzuri
Nzur
Asante sana mupo juu
Hahahaha
Duuu
Niasheni nikanumenume
Mm nahs mungeomba kipind zbc ikawa kma vle zecomedy show
Wazo lako ni zuri sana InshaAllah tutalifanyia kazi..shukran
Nikimaliza masomo nikiripot pemba nitajitahd niwatafute tukae pamoja na wizara ya vijana tuangalie namna kma kuna fursa tuitumie kwa maslahi ya taifa letu
@@salymking1892 sawa haina shida anytime InshaAllah
@@JufeFilmCompany Nawakubali xana ila Msikae sana kutoa cklips
Dongo kashakuwa nguru hhhhhh
Hahaha