Wazo La Mjinga Part 1 - Mohammed Kombo, Mafunda Baraka, Dada Rose (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2018
- Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: bit.ly/WyldSubs
Wazo La Mjinga Bongo Movie 2018 Part 1 (Swaleh)
Wyld Pytch / 51 Lex Records
Web - wyldpytch.com/
Facebook - 51LexRecords...
Twitter - / wyldpytch - บันเทิง
Vizuri muelekeo wako mpeku
mwinyi mpeku wapeku laungo
mwinyi mpeku anaweza sana.
Mzee mwinyi tamaa.mbya ww kila uonacho wataka uliza jamani
Je kazi umebadilisha au ndio ile ile
hii kweli wazo la mjinga
Mwinyi mpeku anaweza ila anatamaa mwanawe ampa kachara
Ahsanten nlikuwa naitafuta hii dooooh
Kama m'muume kweli nchukue kwenu vitongoji ukampe nkee. Pemba rahaaa
Hata wapemba hatuna tamaa hii ni move tu
Ninakubali
Hahahahaha eti bc uyo mkeo ana n'guu wa ngamia😃😃😃😃😃
Anayoongea mpeku no ya kweli unasoma unamaliza hela tele halafu hairud man ajira hupat😁😁😁😁
kipande chandoa nimekipenda sana
mzee mwinyi kiboko
Wako pw sana
Mzee ana sura ngumu kama roho yake
good movie
mashallah.tuongeze.juhidi.tutaendelea.ilove.pemba💞
Nice love u all
Wapemba juuu😯😯😯😯😯😯
Mashallah Mpo vzr
Hujambo
nimpnd kwenye gari
Mzee mwinyi waniacha hoi mimi jamani
Wapemba mnaweza
Kweli wana weza sana👍👍👍👍👍
Mm nataka nifike pemba
Kwani jamani muna eka vp picha zenu hapa
👍👍👍👍👍👍👍
Wapemba wenzangu mungu atubariki
Tamu sana
Movie zenu,zina mafonzo,but zengine azina sauti
Vyuo vyuo tunaviona
Mwinyi usitulie aubu kojani yetu wazid sana
Abuu Raudhwat vsnrjdktkyofejrirorhtjsfirudfirjykrb
Nakuona baba yangu abuu raudhwat
😀😃😃mzee mwinyi
Tizama vile pua kama kituduuu. Mm naomba filam inayoitwa kura yangu alocheza mwinyi na kachara
@online tv ok lakn sio mbaya hata wewe kama utaufikisha ujumbe wangu nitakushukur
Haipo
Kwekwekwe!
Nc
MWINYI UNAVIPINDI VIZURI SANA LKN NAKUUSIA PLEASE USICHEZEE JINA ALLAH KWA KUAPA APA KWENYE MOVIES 2 PLEASE WAKOSEA SANA
SASA WACHEZA MOVIE NA JINA LA ALLAH WALICHEZEA NI KUKUUSIA USIAPE APE KWA KUCHEZEA MOVIES VIBAYA KAKANGU
SHUKRAN
S NASIR Said nikweli
S NASIR Said cimchenzo.kiapo
Nyumba ya kukodi 😂😂😂
Mnaweza haswa na mafunzo yapo waacheni wacheza movie uchi
Mwinyi Mimi natafuta mke ila sifaniitakayo awe anasomesha chuo na asiwe bonge .
😂😂😂😂
Mmmhh jamani Mwinyi mwanivunja
Waolewe punda na Ng,ombe
Mzee ana tamaaa sana kasahau utuuu
Khjk
Kuveve toba
Kunkopesa Gubii
😯😯😯😯😯😯😯
👍👍👍👍👍👍👍
Kwa kitumbo hichi saa sita kashakula huyu😃😃😃
Wapemba tunaita "babaake mai au mamaake mai" sio baba mai wala mama mai
Hahahaaa
Hhh
Haha
🤣🤣🤣🤣🤣
Mwinyi unapenda kuongea kwakelele nazipenda sana tamsilia