Yaleo ndo kiboko mashallaah...haya walewalowakiuliza naomba nyele zako au help me...naomba ana shungi la nyele kichwan km mie vile mashallaah tuendlee kuzifunika wajiulizeee 😂😂😂
KWAHAPA MAU UMANZA KUFELI HIVI MUNAWAFUNZA WATU NINI KAMA SI KUAMIN USHIRIKINA NA KWAHILI MAU MEMEKOSEA MULITAKIWA KUWAFUNZA WATU KUMRUDIA ALLAH SIO KUWA WASHIRIKINA KWAHILI MUMEFELII KABBISAA...
Kama kuna tuzo za uigizaji bora kwa wanawake Zanzibar basi Naomba awepo kwenye list, kaza mama unaweza sana.
Bv
Mnanifurahisha sana kumleta Kombo Bichwa ktk Team ynu
Wa kwanza naombeni like
Mau leo mumejua kunichekesha hahahahaha hongera maulid na timu yako
Ukwel mpo vzur San, mungu azid kuwapa nguvu na afya mzid kutuburudisha na kutuelimisha
Fundi wazidi chafukwa Sasa huwezeki tena unguja na pembaye
fundi mau wacheza ngoma siyako😅
Ma Shaa allaha 👌
Mwinyi mb zanguuuuuuu
Kwenye hizi drama kuna m2 anaitwa Kitatange daaaah!!! Tuleeni jmnii
Naomba Ni best actress in Zanzibar. She deserve to be awarded.
Wamejificha nyumaa kimyàaa😂😂😂😂😂
Mzee mwinyi upo vzr tn cn😂
Alhamndullillah mnatufurahisha na kutuelimisha
Ebwana mko vizuri tena so kdg sana
😂😂😂 mkojuu nikija znz nitawatafuta Ahmed zungu nawafuatilia kila siku huku niliko nimemis pba sana salam boss hafidh
Yani nyinyi nimafundi hongereni sana
Always always much love from damam city 🎉🎉🎉🎉🎉
Tukifanya masihara atakatolewa ntu roho.hahahaaa mau umetisha
Nawapata vizuri nikiwa Oman Naomba uko vizuri kama huna mume mm nipo
Kweli Naomba Ana weza mashalla ila mm Nasha yangu nampa Asikae uchi
Munaacha mlima bungumi munkuja kwenye kitonga hichi😀😀😀
Nawaunga mkona sana
Mzee mwinyi naomba mnaubika mwingi hakika
Allah awepe wepesi kwa kila hatua ammiin
Hizi dua baada mkawaombea masheikh wanaosomesha dini mnawaombea hawa wanaofanya upuuzi na maneno ya uongo.
Mau we fundi
Hataki kuku mtwana ❤😅😅😅
Mashallah,
Maa shaa Allah
Jaman simuoni makame nuhusi
Naomba umenikumbusha mbali❤❤❤❤
Yaan mau hiyo ndio character anayopatia kuliko zote
Haaaaaaaaaaaa nimecheka mapaka naana waganga wawachunguliya huku nyuma ya nyumba
Nilijua Tu yaani filamu zooote tukose moja mau amekua mganga 😅😅😅😅😅😅
Kweli kabisa yaani naomba yupo juu ..juu saaana
Haaaaa mau weye kiboko eti kunaacha kichwa cha kombo kichwa na huyu ana kichwa hatari
Hahaha 😂😂🤣🤣 mau na kombo jichwa wawapi hahaha gombe ume huyo
Hilo samba soti
Dongoooooo😆😆😆😆😆 mashavu yote yakuwaka Moto kwa kupigwa maganja 😂😂😂😂😂 Dongo hujawahi kuniboaaaa
😂😂😂mau wee
Maashaallah kazi nzuri
Towa ya 8
😂😂😂 mau
ÅSSÃLÅM ÅLÀYKÜM jmn ÑÃØMBÃ like🙏🙏🙏
❤❤
Yaleo ndo kiboko mashallaah...haya walewalowakiuliza naomba nyele zako au help me...naomba ana shungi la nyele kichwan km mie vile mashallaah tuendlee kuzifunika wajiulizeee 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nipo saudiya naomba❤
Mau mukoovizurisana
❤😂❤😂❤😂❤
❤❤❤❤😊😊😊😊
Apa kwenye Sean ya uganga mau ndio namkubali na hakuna anaemfikia na utafikiria ni kweli 😂😂😂
😅😅😅😅😂
Hakika naomba tunzo inamuhusu
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Mau 😂
😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
KWAHAPA MAU UMANZA KUFELI HIVI MUNAWAFUNZA WATU NINI KAMA SI KUAMIN USHIRIKINA NA KWAHILI MAU MEMEKOSEA MULITAKIWA KUWAFUNZA WATU KUMRUDIA ALLAH SIO KUWA WASHIRIKINA KWAHILI MUMEFELII KABBISAA...
Mbona hakuna sehem sehemu iloonesha mau kafanikiwa kutibu kaonesha kuwa uganga ni uwongo hajamtibu ata mgonjwa mmoja