MARUFUKU KUTEMBEA NA BASTOLA NA KUMILIKI ARDHI ZANZIBAR “KWA MAMA KIZIMKAZI HAPA HAIPO”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2024

ความคิดเห็น • 470

  • @opportunities2767
    @opportunities2767 3 หลายเดือนก่อน +15

    Wazungu mnawauzia Ardhi ila sisi ni marufuku sio😂 sheria za hovyo sana.

    • @rashadmohamed4357
      @rashadmohamed4357 3 หลายเดือนก่อน

      Wazungu hawajauziwa ardhi, wanakodishwa

    • @opportunities2767
      @opportunities2767 3 หลายเดือนก่อน

      @@rashadmohamed4357 Nashukur kama ni hivyo sawa

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 3 หลายเดือนก่อน

      😂tatiza .wanaasira baya hao wanajaziba alafu wanawevu na wabogo

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 หลายเดือนก่อน +2

      Anasema tuu mbona wabara Tele tuu wanamiliki Ardhi ZANZIBAR 😂😂

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 3 หลายเดือนก่อน

      Wanyamwezi na Wamakonde kibao wanamiliki ardhi Zanzibar, tena ardhi yenyewe ni ya kugaiwa bure na serikali ya Mapinduzi. Je, Mzanzibari gani kagaiwa ardhi huko bara?

  • @marwajoseph8060
    @marwajoseph8060 3 หลายเดือนก่อน +36

    Nimarufuku mtu kutoka zanzibar kumuliki eneo Tanzania Bara natowa onto

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 3 หลายเดือนก่อน +2

      nna mpango wa kununua kiwanja kigamboni kule😂😂😂😂😂

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 3 หลายเดือนก่อน +7

      @marwajoseph8060 wee mpumbavu sasa raia milioni 1 tu wakinunua ardhi znz hao waznz wenyewe wakakae ktk bahari su?

    • @user-tq2rk8jw3s
      @user-tq2rk8jw3s 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @Hasnspop
      @Hasnspop 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mangofish9079😂

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo mumezidiwa akili na viongozi wenu mtanganyika hapigi kura zanzimbar lkn mzanzibari anapiga kura tanganyika na aridhi ndio hivo hivo lkn yy hamuna serekali ya tanganyika ipo ya muungano tu ndugu

  • @osupatkarenolesieku
    @osupatkarenolesieku 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaha mkuu Asante kwa hilo la mfano wa kimasai

  • @200Stella
    @200Stella 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very good move....

  • @jeandezanzibar
    @jeandezanzibar 3 หลายเดือนก่อน

    My beloved teacher 🎉❤ long time 💓

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 3 หลายเดือนก่อน +26

    Yaani mimi hua nawashangaa sana ndugu zetu wa damu...Kwani inchi kua na kanuni zake kuna ubaya?...Kwani hamuoni inchi kama vile Brunei, Singapore si wana sheria zao...Sasa kwanini mshangae na sheria za Zanzibar??
    Mfano mwengine: **Pale T.bara unaweza kula mchana Ramadhani na baa hua ziko wazi na ndio utaratibu wao na hawajaingiliwa na wazanzibar ila njooo ule Zanzibar uone**..Sasa kila races ina tabia zao

    • @AhmedHassan-vl5zf
      @AhmedHassan-vl5zf 3 หลายเดือนก่อน +4

      Waarabu na wahindi na wazungu NI Sawa kuwapa

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน

      KUTEMBEA NA BASTOLA NJIA
      YA
      KUWAUWA WAZANZIBARI
      @hamadsuleiman5177.Mimi nawaita ndugu wa jirani sio wa damu kwa sababu wanakuja kumwaga damu zetu kulinda
      Ukoloni kwa jina la Muungano.
      Wanatuharibia mila zetu na kutulazimisha mila zao kwa kizingizio cha nchi moja. Ndio maana wameondosha Kadi za Uraia wa Zanzibar baada ya Rais Karume kuondoshwa😂😂

    • @hanifahkhamiss8485
      @hanifahkhamiss8485 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@AhmedHassan-vl5zfhao wote wana kodi hakuna muhindi wala muarabu anaemiliki ardhi....hat ukiona muarabu ana miliki ardhi ujue ni mzanzibar.......

    • @Worldunite
      @Worldunite 3 หลายเดือนก่อน

      Wakija wawekezaji wazungu wakitaka kununua ardhi znz mtawanyima?

    • @MarckyCholla
      @MarckyCholla 3 หลายเดือนก่อน

      Nashindwa muelewa kiongozi anasema sheria sheria atuambie ilitungwa mwaka gani na iliptishwa na bunge gani

  • @salumhaji1906
    @salumhaji1906 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nyerere na Karume walikubaliana kutotokea kumezwa kwa Zanzibar,
    wazanzibari wapo kidogo kiidadi,ukiruhusu wabara kumiliki ardhi wazanzibari watapoteza haki na na nchi yao, Zanzibar iliunganishwa na Tanganyika kwa lengo la kulinda mapinduzi na sio kuifanya usiwepo tena.

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 3 หลายเดือนก่อน

      Ila wazungu wanarusi
      Wa😂 hatuna heda naarizi zakibinasi sisi wa bogo tunawajuwa yee niwebinasi mno ila mnasitirika kw jina lakisilam

    • @kheirdulla9046
      @kheirdulla9046 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@surusuru1994wazungu hawauziwi ardhi bali wanakodishwa au wanatumia kwa jina la mtu, Zanzibar mgeni yoyote haruhusiwi kumiliki ardhi

  • @JamalSleiman-yc1er
    @JamalSleiman-yc1er 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wazanzibar tukimpata huyu Jamaa kama raisi hapa visiwani tuta enjoy sana 😂

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 3 หลายเดือนก่อน +2

    sasa mbona wao wapemba wana miliki viwanja nyumba na biashara sasa kunamaana gani kua na muungano wa znzbar mungano ni koti lililotubana watanganyika

  • @othmankhalfan9675
    @othmankhalfan9675 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii sio fair kabisa.. i love u my natural nation TANGANYIKA

  • @binmussahaji4932
    @binmussahaji4932 3 หลายเดือนก่อน +3

    Safi Sana

  • @AbdallahMohamed-bs7gb
    @AbdallahMohamed-bs7gb 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, Mkuu wa mkoa uko Sawa

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 3 หลายเดือนก่อน +15

    Na wenywe wasimiliki ardhi bara😮

    • @MaNsaMMs
      @MaNsaMMs 3 หลายเดือนก่อน +2

      Tatizo Tanganyika haipo tena ila Zanzibar bado ipo. Ndio maana Zanzibar ina sheria zake na TANZANIA bara inatumia sheria za Tanzania na wazanzibari ni watanzania pia. Kama hamutobadilisha ilo wazanzibari wataendelea kumiliki ardhi na vyenginevyo uko bara

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo hamuna raisi wa tanganyika yupo wa muungano tu

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mm mzanzibar lakin kwa mbongo asimiliki arthi sio haki mbona mm namiliki aridhi bongo

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yani ndo utaona huu Muungano ulivo wa kinafiki.

    • @AwatifAly-gw9qo
      @AwatifAly-gw9qo 3 หลายเดือนก่อน

      Unataki haki gn weye wacha ujinga kila nchi na taratibu zake

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio useme ww

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 3 หลายเดือนก่อน

      @@AwatifAly-gw9qozanzibari ni nchi?

    • @msemakweli371
      @msemakweli371 3 หลายเดือนก่อน

      Sio yako hiyo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน +5

    .bona nyie Wazanzibar mnamiliki ardhi zetu ondokeni kwetu rudini kwenu na mama yenu awe Rais wa huko kwenu na Hussein Mwinyi arudi kwetu awe Rais wetu tumewachoka rudini kwenu mtoke huku hatuwataki kabisa

    • @makamekhamis871
      @makamekhamis871 3 หลายเดือนก่อน

      Pombe zako hizo!!!!

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@makamekhamis871ulimnywesha wewe 😏😏😏

    • @suleimanomar6214
      @suleimanomar6214 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe mchukue hussen Mwinyi tuletee samia Zanzibar sir tutampokea kama una uwezo

    • @ZalkhaRawahi
      @ZalkhaRawahi 3 หลายเดือนก่อน

      Ivi hw waandishi wa habari huchunguzwa ss hapa imekuwa kioo kwa jamii au mchonganishi wa jamii
      Mana tujue kila mmoja na uelewa wke huko mitaani wanaoishi ni mchanganyiko huoni km icho kitu so sw habari nyengine so kuzimwaga mitandaoni km humu msiangalie hapa angalieni pia mtakuja kuonana wachungu kisa mtu mmoja tu

    • @ZalkhaRawahi
      @ZalkhaRawahi 3 หลายเดือนก่อน

      Mana huko znz wapo watanganyika wengi tu wanamiliki ardhi na washajenga tena nyumba za kudumu kabisa wanamiliki nyiwanda wanalima bukheri ila habari km izi wizara husika wangekuwa wakiziangalia kwa makini tusipojenga ufa .......

  • @SilaMinanda
    @SilaMinanda 3 หลายเดือนก่อน +13

    Mimi natokea Tanganyika, hizo sheria safi sana nawapa big up. Zanzbar mko safi sana kwenye sheria, haki na misimamo, sema mnaharibiwa na muungano

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa siwavunje huo mkataba?

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

      Sila hatuwataki wsrudi kwao hawa walioko huku warudi hatutaki muungano kinachotakiwa ziwe Serikali 3

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mlioko kwetu nyie Wanzanzibar rudini kwenu mmejaa huku mpaka bandari zetu zinauzwa kwa warabu kauzeni bandari zenu hatuwataki jamani muungano ufe kabisa

  • @Pemba680
    @Pemba680 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaa

  • @donpablo7698
    @donpablo7698 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa muungano Gani huo?

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu kiongozi ndie mzanzbar halisi sio mzanzbar mkaazi

    • @hanifahkhamiss8485
      @hanifahkhamiss8485 3 หลายเดือนก่อน

      Eeeeee......mzanzibar halisi uyo

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 3 หลายเดือนก่อน

      hhahahah ukute huna ata kibanda unasapoti upuuzi wa majumba ya wenye pesa mtz anamiliki nyumba south africa ije ashindwe kumiliki ardhi zanzibar em toeni upuuzi@@hanifahkhamiss8485

  • @mohddelo
    @mohddelo 3 หลายเดือนก่อน +7

    Zanzibar ni nchi ya kula bata tu

  • @djbare2421
    @djbare2421 3 หลายเดือนก่อน

    Perfect Zanzibar ni kisiwa kidogo tumilki wenyewe tu

  • @salumally663
    @salumally663 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wadanganye wasiojitambua....kwanini mnatafutaa watu WAGENI KUJA KUMILI ARDHI ZNZ?!

    • @saidali1166
      @saidali1166 3 หลายเดือนก่อน

      Ukikua utajua

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 หลายเดือนก่อน +6

    Daah mimi ta nunua bastola maaana naona ntakuja ibiwa 😂

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ zanzibar

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 3 หลายเดือนก่อน

    ahhh maneno ya mfamaji wabongontele.wanamiliki ardhi

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน +19

    Hayo yote yataisha soon as possible...Sheria si msahafu..Umilik wa bastor ni muhim kwa ulinz binafsi...Mwenye nia ovu ata kwa bisibis atakuchom mithir wamasai na fimbo, virungu na sime....Suala la ardhi nalo mkisema hivy ni ktk kuwabagua wabara then uku tuwachukulie poa...Kama TZ ni moja kwann tuwekean mipaka...Mzazibar ana uwezo anunue hana adje bara na huu ndio muungano...Hii sheria haitadumu ila wawekezaj toka nje mnawamilikisha...None sense....inabid mjitathmin... Kama itawezekan muish kama kisiwa bila mashirikian nasi basi iwe hivyo...Na kwa hiz scenario zenu zinalet chuki baina ya vizaz vya bara na kisiwan na huu ubaguz unaend kuanzia mashulen ad vyuo vikuu...Kuwen makini

    • @DicksonIgnas-pq1rj
      @DicksonIgnas-pq1rj 3 หลายเดือนก่อน

      Shida nini hawaaminiki au wabala

    • @josephvenus3259
      @josephvenus3259 3 หลายเดือนก่อน

      Umeongea sahihi

    • @dondallas6683
      @dondallas6683 3 หลายเดือนก่อน

      Hujamuelewa

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน

      @@DicksonIgnas-pq1rj Hawa wenzetu wanakasumba san...Zandaaani kbs tuish nao tu halafu pia wanahis kuwa bara bahat mbaya yan bora wangekuw karibu na wakomoro ila si wabara

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน

      @@dondallas6683 Nifahamishe akhy

  • @moxmed5539
    @moxmed5539 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu huyu hajafafanua vizuri katika kumilik ardhi zanzibar,ili umiliki ardhi zanzibar ni lazima uwe na kitambulisho cha mzanzibar ,kwahiyo hata waliozaliwa zanzibar ambao asili ni wazanzibar lakin wanaisha tanzania bara basi pia hawaruhusiwi kumiliki ardhi ikiwa hawana kitambulisho na kwa mtanzania bara akienda kukaa na kupata kitambulisho cha mzanzibar nahisi kama sijakosea kwa muda wa mwaka anapata kitambulisho na anamiliki ardhi,so kuna watu wengi wanamiliki ardhi kutoka tanzania bara na haikatazwi kwa mtanzania kumiliki ardhi kwani hata hao wazawa wa zanzibar kama hawana vitambulisho vya pale hawamiliki ardhi

  • @NuruJara
    @NuruJara 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya pia twatumia security na hapa ipo eti

  • @Tawazone
    @Tawazone 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyewe anajiona ameongea point kabisa kumbe pointless, huyu kiongozi anaonekana ana ubaguzi wa ndani kwa ndani kabisa, anaichukia Tanzania bara

    • @chibudenga8977
      @chibudenga8977 3 หลายเดือนก่อน

      Mshamba uyooo anaonekana anachuki malaya uyoo

  • @AbdallahMohamed-bs7gb
    @AbdallahMohamed-bs7gb 2 หลายเดือนก่อน

    Maji ya bahari hayaathiriki kwa kuingiliwa na maji mto, Ispokuwa maji yamto yanaharibika yakiingiliwa na maji ya bahari, Mkuu wa mkoa wa mjini Maghrib apandishwe cheo kwani ni msema kweli hamung'unyi maneno, acheni chuki binafsi , kazi iendelee.

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mnafeli xhana ndugu zetu

    • @AwatifAly-gw9qo
      @AwatifAly-gw9qo 3 หลายเดือนก่อน +3

      Hatuna ndugu sisi wenztu pemba

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Munafeli yy hamujielewi mzanzibari anapiga kura tanganyika lkn mtanganyika hachangui raisi wa zanzimbar ni uzembe wenu yy wenyewe hamuna raisi wa tanganyika yupo wa muungano tu

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 3 หลายเดือนก่อน

      lakini anahangaika na maendeleo ya bara kuliko visiwaniutaelewa raisi ni wawapi ukitafiti vizuri hata wanaopata uraisi wakuchaguliwa wengi ni wabara hivyo maakamu ndo wazenji mwinyi ni mbara mkapa nyerere kikwete magufuli kwahiyo adi kufikia sasa raisi mzanzibari ni mama samia tena hakuchaguliwa amepita kikatiba haya endelea na mswada wako binafsi@@user-sl2hk8wp1p

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ardhi yao ndogo bora ununue nyumba tu za Bakharesa

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa mkuu hususani kwnye ardhi

    • @happynesssamwel2917
      @happynesssamwel2917 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona tushanunua na hayo miliki tunazo na Bado tunaendelea kununua😂😂😂😂 sote wa moja bhana lol

    • @saidmohamed4619
      @saidmohamed4619 3 หลายเดือนก่อน

      ​@happynesssamwel2917 Siku utayoambiwa acha kiwanja au nyumba usije sema umedhulumiwa, ni sawa na watu wanaojenga kwenye barabara, siku ukiambiwa vyunja uondoke unasema tunadhulumiwa.

  • @YamunguMuha
    @YamunguMuha 3 หลายเดือนก่อน +3

    Duuu,k na hapa haipo Zanzibar 😢

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 3 หลายเดือนก่อน

      Huku bogo hatuijui

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 3 หลายเดือนก่อน +10

    YAANI KATI YA WATU WABAGUZI HUYU ANAONYESHA DHARAU WAZIWAZI NA KWA KWELI SIMPENDI KAMA JINI VILE,

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wabara hawawezi kuwa na ardhi zenji hatuendani Mila kwanza nyinyi mmefanya Hadi zenji iwe finyu kimaendeleo

    • @izack9191
      @izack9191 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuongea ukweli sio ubaguzi, tanganyika na zanzibar ni muungano wa mdomoni tu

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamicpina1151😂😂😂uvivu umewajaa mnataka kuzaa tu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 3 หลายเดือนก่อน

      @@hamicpina1151matako nyie

    • @Official83640
      @Official83640 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamicpina1151KWAHY WAZUNGU MNAOWAUZIA NAO MAENEO VP MMEWAPA URAIA?

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mm sion faida ya huu muungano cjui wann na ili iweje cye tz tunajtosheleza vyakula madin hifadh za taifa bahari maziwa mito nk so yann kuwa na muungano na hawa

    • @user-tq1jz3wm3f
      @user-tq1jz3wm3f 3 หลายเดือนก่อน

      Tulokuwa tunajiuliza ni wengi hata huku zenj tulokuwa hatujuwi ukwelini tunajiuliza Nyerere lengo lakin kutaka muungano na visiwa hivi ila hapo ukifatilia ndugu ndo utajuwa, SISI ni watu wakusema alhamdulillah ukivunjika wew unaringia Mali sisi tunaringia imani Kwa MOLA wetu hatuna shobo na maisha

    • @bilalkhamis_
      @bilalkhamis_ 3 หลายเดือนก่อน

      Mm ata leo ukivunjika sawa tu hamn ttz

    • @tinejuxfrancis729
      @tinejuxfrancis729 3 หลายเดือนก่อน

      Ni sababu za kiusalama Kaka Ila hakuna faida kiuchumi Wala nini

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 3 หลายเดือนก่อน

      @@tinejuxfrancis729 kiusalama hapo sawa imani tuidumishe

    • @abuuridhwan3661
      @abuuridhwan3661 3 หลายเดือนก่อน

      Hamna bahari bara

  • @fadhilhamdu7063
    @fadhilhamdu7063 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaaaaaaaaa ,hatutaki majambqziii
    Kwann utembeee na silahaaa tena ZANZIBAR ?

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naona viongozi wetu ni wabinafsi sana hii nchi ilitakiwa kuwe na Raisi mmoja tuu kuanzia Pemba mpaka Ruvuma pesa ya dhahabu Geita itengeneze hospital Zanzibar na pesa ya karafuu ifike mpaka Mbeya Bunge liwe moja tuu nchi iwe moja tuu

    • @mussahamad404
      @mussahamad404 3 หลายเดือนก่อน

      Ile pesa ya Zra na TRA inayokusanyw bot inaenda wp

  • @loycealute8283
    @loycealute8283 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Zanzibar haipo Tanzania kabisa n nchi nyingne 😂😂😂

  • @hajially4527
    @hajially4527 3 หลายเดือนก่อน +3

    Zanzibar inasheria zake bara tungeni zenu pia tutazifatz

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani nyie nao Sasa nchi

    • @Worldunite
      @Worldunite 3 หลายเดือนก่อน

      Tukitunga za kwetu mtaweza kufuata? Km wabara hawqwezi kumiliki ardhi znz, basi hivyo hivyo na wazenji wasimiliki ardhi bara,na waliokwishamiliki ikiisha lease warudishe hizo ardhi serikalini huku bara wauziwe wamilikishwe wabara na wasiweze tena kumiliki

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo ni propaganda tu za serikali lakini wapo wabongo wengi sana wanamiliki majumba na mashamba sisi wananchi tunawajuwa na hao wanasema hawaruhusiwi kumiliki ardhi ndio wanaowapatia haki za kumiliki

  • @almasimasia4045
    @almasimasia4045 3 หลายเดือนก่อน

    Sija Elewa kwa wawekezaji au hata raia walala hoi kutoka bara hawaruhusii kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule au ndo haipaswi kabisa hata miguu miwili ya uchochoro

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao หลายเดือนก่อน

    😎

  • @user-sm7gj4mn5n
    @user-sm7gj4mn5n 3 หลายเดือนก่อน

    CCM na watanganyika je kwanini wazanzibari wamiliki kwetu tunataka selikari 3

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona wapenba Wana ardhi huku ...huu ujinga sana

  • @lilraizo9597
    @lilraizo9597 3 หลายเดือนก่อน

    ni bora watanganyika musimiliki ardhi Zanzibar muje huku tuwatume murudi mukajenge kwenu uko hatutaki immigrants.

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 หลายเดือนก่อน +3

    asa kama kuna mtu nataka nimalizane nae uko uko

  • @DrOmaryJuma-zj6se
    @DrOmaryJuma-zj6se 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi anaongelea sheria lakini zanzibar mitaani watu wanatishiwa kwa mapanga.anachozungumza angewakumbusha wakuu wa wilaya wenzake wafike maeneo yao ya kazi na kupata maoni ya wananchi wasikilize wataelezwa kama ni kweli hiyo sheria ya silaha inafuatwa

  • @rojadecoration996
    @rojadecoration996 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anaongea nini huyu mim sio mzanzibar na niko na nyumba nungwi nimenunua kialali kiwanja nanikajenga mwaka wa 7 sasa

    • @user-cf6kq7bf2t
      @user-cf6kq7bf2t 3 หลายเดือนก่อน

      Hujijui ndio ushakuwa mzanzibar

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtanganyika haruhusiwi kumiliki aridhi ila waarabu wazungu mnawapa unagizi udini acheni

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 3 หลายเดือนก่อน

      Wazungu pia ni waislam ndiomana wanapewa

  • @dulatizo2970
    @dulatizo2970 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli hakuna tajiri uyo atakae nunua kisiwa hichi wwe acha zarau iyo serikali haina uwezo wa kuwalipa raia kwakila mmoja wabara 3 wawenauwezo acha zarau hakuna kisiwa masikini

  • @zangzang1574
    @zangzang1574 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi atuna mawazo ya kufikilia mbele wazungu tunawamilikisha aridh ila sisi kwa sisi atuna ruhusa ya kumiliki aridh hii ni fky 😂😂😂

    • @kheirdulla9046
      @kheirdulla9046 3 หลายเดือนก่อน

      Mzungu gani unamjua anamiliki ardhi Zanzibar

  • @Pemba680
    @Pemba680 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni nchi ya kistaarabu

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu jamaa anajiona kwamba wazanzibar ni watu flani special sana..!! Kumbe Kuna njaa sana na umasikini uliopitiliza.

    • @AwatifAly-gw9qo
      @AwatifAly-gw9qo 3 หลายเดือนก่อน

      Zanzibr kuwa na njaa vp lakin tofaut na uko bara maan kazi zote za kuuza njugu embe mbichi , machungwa ukwaju nyiny ndo mnakuj kufny huku na kuchoma mahind mzanzibr humkuti kutoka nchi yke kenda sehem akapiga debe

    • @YosephAndrew-zm8zw
      @YosephAndrew-zm8zw 3 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli iyo yakusema et amna mzanzibar anaefnya ukonda bara mbna wapo wengi sana nawengine wanauza juice zamiwa wapo wengi tuu nawanafnya kaz zakawaida tuu

    • @AwatifAly-gw9qo
      @AwatifAly-gw9qo 3 หลายเดือนก่อน

      @@YosephAndrew-zm8zw unawatuma weye hoja so kazi za kawaida hoja njaaa zanzibr na bara wapi kwenye njaa ndo alivosema zanzihar njaa zaid kuliko bora kwa akili ya kawaida icho kitu hakiwezekani

  • @zuanshimchina2278
    @zuanshimchina2278 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu anatakiwa km anacheo atumbuliwe

    • @AwatifAly-gw9qo
      @AwatifAly-gw9qo 3 หลายเดือนก่อน

      Wee mtumbue sasa kosa lake lip apo

  • @ChristopherEmanuel-os1xw
    @ChristopherEmanuel-os1xw 2 หลายเดือนก่อน

    MBONA SS WANAMIRIKI AONIMATAPELI

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wapo wengi tu watanganyika wanamiliki ardhi Zanzibar

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 3 หลายเดือนก่อน

      wabongo sisi tanganyika ndo mdudu gani🤣🤣🤣🤣

  • @mohammednyemaga4793
    @mohammednyemaga4793 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh

  • @MnaitheBigname
    @MnaitheBigname 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani leo mi wakwaza

    • @godlistenJohn
      @godlistenJohn 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha ushamba, wenzio wameona mda tu, hawana mambo mengi wametulia

  • @user-rg5sg1xz8p
    @user-rg5sg1xz8p 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wanajichongea wenyewe maaana ivi vitu avivutiki kabisa

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Hutaki ww km nani km huna raisi wa tanganyika ni bure ndugu

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 3 หลายเดือนก่อน

    Sheria ya aridh imetungwa kwasabab znz visiwa havihimili watu wengi na mwisho wa siku kutawaliwa wazawa watakuwa hawana haki ndo tulipo sasa mnachaguwa rais wa mkuranga halafu mnalalamika pembeni

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 3 หลายเดือนก่อน +4

    Daimond alikuwa nayo mbona

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Ile wanapewa watu wenye akili ww umemuona nayo lini

    • @khamismgunya4519
      @khamismgunya4519 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-sl2hk8wp1p wewe angalia video akiwa zanzibar utaona anaitowa

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUFTI FUWATILIA WAPO WABARA WENGI WANAOYO MAENEO HAPA

  • @edwardgafachu8932
    @edwardgafachu8932 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kosa pia mzanzibar kununua ardhi ya Tanganyika, siyo Tanzania hapo ndipo wote tunapokosea. Kama ilivyo ardhi haiuzwi kwa wageni vilevile wazanzibar kwenye masuala ya ardhi ya Tanganyika si wenyeji ni wageni vilevile. Tubadili katiba na sheria zetu zitende haki kila upande.

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 3 หลายเดือนก่อน

    Ubinafsi,utengano,ujinga na masifa ya kipumbafu☹️🤫

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 3 หลายเดือนก่อน

    kuhusu mguu wa kuku police wanatakiwa wazungumze sio wewe ndomana mnalizaraulisha jeshi la police

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Na mama anakabizi na kuingia na lungu?

  • @salmabasil385
    @salmabasil385 3 หลายเดือนก่อน

    Iwepo sheria pia mzanzibar asimiliki ardhi Zanzibar wamalizie kununua ardhi kwao

  • @EliasJohn-si9es
    @EliasJohn-si9es 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo anajenga ubinafsi co kiongozi

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio Kwa maana mama anauza tuu ardhi ya bara

  • @talents7934
    @talents7934 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muungano upi sasa hapo daaah hawa jamaa wanahila sana Nyerere Uliwaza Nini??😮😮😮😮😮

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 3 หลายเดือนก่อน

      Hukijui alichokiwaza na wala hutokijua unatakiwa uishi kwakutulia

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 3 หลายเดือนก่อน

      ukila na kipofu usimshike mkono

  • @RamadhanMohamed-jz6xm
    @RamadhanMohamed-jz6xm 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Kati waznzri nnaowataka mm mana nazani tulizaliwa siku moja nakupongeza Sana na exclusive km hizi unatakiwa uzifanye nyingi sana

  • @denismvamba7480
    @denismvamba7480 3 หลายเดือนก่อน

    Duh, wao Tanganyika wanamiliki, ila kwao no, udumu muungano.

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna tanganyika kuna Tanzania 🇹🇿 tu

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 3 หลายเดือนก่อน

    Nimesema hivi kama Mtanzania bara marufuku Mzanzibar kumiliki eneo huku wala kupiga kura olewenu niwakute ntawanyoosha

  • @TECHSMARTSWAHILI
    @TECHSMARTSWAHILI 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi munajua hata wachezaji wa bara kwenye kulipa kodi ni tofauti pale ZFF

  • @user-qt3sk6pj7j
    @user-qt3sk6pj7j 3 หลายเดือนก่อน +1

    DOTTO MAGARI TYPING 😅😅😅

  • @richardjosh2636
    @richardjosh2636 3 หลายเดือนก่อน

    Haya yanaubinafisi sana

  • @Mosses8
    @Mosses8 3 หลายเดือนก่อน +1

    sasa mbona nyiye mnamiliki ubaguzi wa rangi

    • @user-hy7op6tr8p
      @user-hy7op6tr8p 3 หลายเดือนก่อน

      Na nyie tungeni sheria

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo sheria zipo kwenye makaratasi tu lkn wangapi kutoka tanganyika wanamiliki ardhi

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kuishi zanzibar ufake sheriya huwezi ondoka ndomana mkatuona wazanzibari wakarimu na wastaarabu sana ila mnakuja kutoka bara sasahivi zanzibar imekuwa tafrani tupu machangu dowa walevi wauwaji majambazi kila kona. HONGERA MKUU WA WILAYA KAZI IYENDELEE

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 หลายเดือนก่อน

    Hatanyinyi huku bala hatuwaitaji kumiliki arizi

  • @abuuyasir4684
    @abuuyasir4684 3 หลายเดือนก่อน

    Ubaguzi huu kwa nini wao huku bara wamiliki huko tusimiliki ila ipo siku yatafika mwisho na iwe haki sawa

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Muongo hata huko Pemba kuna Watanganyika tele wanamiliki ardhi na majumba ya kifahari

  • @domitirakomba2989
    @domitirakomba2989 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa sijamuelewa aliposema Tanzania inaruhusiwa😮😮😮😮😮

    • @domitirakomba2989
      @domitirakomba2989 3 หลายเดือนก่อน

      Kuwe na kiwango Cha umiliki. Sio kukataza kabisa kumiliki ardhi

  • @user-qh3og3xq2c
    @user-qh3og3xq2c 3 หลายเดือนก่อน

    Hata hatujui nani kamchagua huyu jamaa hanaga akili

  • @zangzang1574
    @zangzang1574 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna busara,kuna kiongoz, hivi vitu tofauti

  • @saudatoller642
    @saudatoller642 3 หลายเดือนก่อน

    Watnzania bara kibao wanamiliki ardhi na wanauza zanzibar.

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wazungu, wahindi, warabu wamenunua sana aridhi Zanzibar na wanaishi, si kwamba wanaishi kama wawekezaji hapana, wamenunua wamejenga nyumba na wanakaaa, na wakati huo huo watu kutoka Bara hawaruhusiwi, sheria imewabagua kwa kigezo cha zanzibar ni kisiwa kinalindwa. Mh. Mkuu wa wilaya hii sheria kwa upande mwingine haiko fair kwa upande mwingine wa muungano tunaheshimu sana sheria na taratibu za Zanzibar lakini kuna haja ya kuliangalia upya. Je wale watanganyika wanaouziwa viwanja hapa na wazawa wanatapeliwa? maana sheria iko wazi haiwapi haki ya kumiliki aridhi Zanzibar.

    • @josephfungwa5719
      @josephfungwa5719 3 หลายเดือนก่อน

      Hawajatapeliwa, watu wanamiliki aridhi na wanajenga! Sheria inamtambua mtu wa Bara kuwa Mzanzibar mkaazi, baada ya kukaa Zanzibar Kwa muda usiopungua miaka 10! Na uwe registered kutoka ngazi za chini na ushiriki shughuli mbali mbali za shehia na mitaa!! Anachoongelea mkuu wa wilaya ni Ile MTU amajisikia kuja kununua aridhi kutoka Bara na kupata ardhi hiyo ni ngumu! Ukifuata masharit ni rahisi na watu wanajenga vzr!. Ukija Kwa jina la mwekezaji unapata Kwa utaratibu ulio wekwa!
      Kwani Tanzania Bara Kwa mjibu wa sheria za aridhi kuna MTU anamiliki aridhi au tunakodisha?.

    • @user-nq2np6de6l
      @user-nq2np6de6l 3 หลายเดือนก่อน +1

      Si kwel ukiangalia hati zAo ni kwa ajili ya udhibiti ila mzanzibar imeandikwa kuimiliki nenda kaangalie

    • @ahmedalbalushi6239
      @ahmedalbalushi6239 3 หลายเดือนก่อน

      Passport pia irudishwe wanaoingia wawe na passport

    • @mohamedally5225
      @mohamedally5225 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hamjamuelewa mbn raia wa kawaida wapo kibao wamejenga zanzibar mm ninaojiran zang watatu na washikaji pia ni watanganyika na wamenunua na wanejenga

    • @user-pm7yo3xi3h
      @user-pm7yo3xi3h 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo sheria ya ardhi zanzibar haifuatwi na si sheria hiyo tu .sheria nyingi za zanzibar zimetiwa kapuni. Katika makubaliano ya muungano pia mengi yamevunjwa.

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi 3 หลายเดือนก่อน

    😏😏😏😏😏😏

  • @user-jt7uv6vu1d
    @user-jt7uv6vu1d 3 หลายเดือนก่อน

    Basi wote wakae iwao zanzibar watuachie bara kwetu hata sisi hatuwataki kwetu wamiliki ardhi

  • @zangzang1574
    @zangzang1574 3 หลายเดือนก่อน

    Makamo wawili wa raisi hiyo siasa banaa

  • @samhadas788
    @samhadas788 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona sisi wamasai ngorongoro
    Hawatuachii uhuru kwenye aridhi yetu

  • @WATUWAMJUEMUNGU
    @WATUWAMJUEMUNGU 3 หลายเดือนก่อน

    kwenye ardhi hapo mh! ila chamuhimu Amani kama kumiliki ardhi kwa wa Bara ni hatari kiusalama basi wacha tuenzi wazee

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 หลายเดือนก่อน

    Imeeleweka hyo ndio shida ya kutoelewa sheria

  • @Askari22
    @Askari22 3 หลายเดือนก่อน

    Yoooo wow 😢manaake wao wanaweza miliki tz lakini sisi hatuwezi kumiliki zanzimbari

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa si ndio sheria ya Tanzania na sheria ya Zanzibar coz zanzibar ni ndogo sana tofauti na Tanzania bara

    • @RamadhanMohamed-jz6xm
      @RamadhanMohamed-jz6xm 3 หลายเดือนก่อน

      Tanganyika sio Tz

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmh mbona wapo wabara wana ardhi muheshimiwa..kama kweli hawatakiwi..basi wacha tukupe urais akimaliza hussen mwinyi ..ww uta tufaaa pengine 😂

  • @asyachetu2388
    @asyachetu2388 3 หลายเดือนก่อน

    Wako wa bara tele wananunua viwanja tena wengi hawana lolote story tu hz

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 หลายเดือนก่อน

    Ardhi ya Znz almodt inamilikiwa na watanganyika walioko kwa madaraka hiyo sheria iko kwa kitabu tu . Wazanxibar wenyewe wanaondoshwa kwa ardhi zao .zikitakiwa .Hadithi za jaba hizo .

  • @utaani1
    @utaani1 3 หลายเดือนก่อน

    Hatutaki wageni waruhusiwe kumiliki ardhi Zanzibar isipokuwa Mzanzibar tu

  • @ericmitti2649
    @ericmitti2649 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂Na hapa ipo ardhi kamilikini bara uku njoo utusalimie ila mie nikija uko mtanimilikisha😂😂😂 any way zanzibar ni nchi naiheshimiwe