Truth will not change when delivered to two or more audiences.The statement of the MP to the Parliament and the people does exact transparency and not offer any substantial variation of the truth.
Hiyo crases kwa taarifa yako iliandaliwa, kwa makusudi ili wahusika walenyeze dili zao. Si mara moja serikali ya ccm na watawala wake wanasababisha tatizo na kisha kuja kulitatua kwa nia ya kuwahadaa wananchi. Rejea la kikokotoo, kukopa fedha kwenye mifuko ya hifadhi na kisha kupakazia menejiment ya mifuko uzembe, nk. Msome vizuri Mpina babu.
Sawa baba doctor! Kuhusu Imani ya Bunge, huenda nimekuelewa maana na wewe inaonyesha unamashaka. Ngoja tusubiri huenda kama wewe sio msemaji wa serikali basi naamini spika na yeye atakuja na majibu yake ili sote tuelewe kinachoendelea.
Lengo sukari ishuke bei ndio maana ya kuagiza namkubali sana mpina lakini kwenye sukari,hapana viwanda vya ndani vilimgomea hadi magu kushusha bei 1800-2500 kurudi tena 1800 japo kuwa mimi situmii sukari
Unatetea mpaka kampuni ya kuuza simu yenye mtaji wa milioni 5 kupewa kibari cha kuagiza sukari kwa matani ya mabilioni. Na kwanini vibari vilichelewa kutoka? Kwanini kiwanda cha kuzalisha sukari kipewe tani elfu 10 alafu kampuni ya kuuza simu ipewe tani elfu 60. Ufisadi wa wahindi na waarabu wa nchi hii.
Nadhani Spika yuko wrong katika Mh.Mpina kuuhabarisha wananchi maana Tulia ni spika kigeugeu sana na ni biased mwenye kuipendelea Serikali kuficha hujuma za serikali . Mpina anatakiwa kusifiwa na kulindwa na wananchi kuutoa uozo huo. Inawezekana hii ni sehemu kupata fedha za uchaguzi wa Oct.24 na mkuu wa Oct.25. Mpina unaungwaji mkono wa Watanzania wazalendo. Jamani wana ccm muwe mnatuenea huruma watanzania. Nimemsikilaza mwanzo mwisho Mh. Mpina na kwa mara kwanza ndani wanajitokeza akina Slaa, Tundu Lisa akina Heche akina Msigwa. Naamini '25 tutashuhudia mengi wakati Mama na chama mama wakituaga Watanzania na likizo ya milele. CHANGE IS ENAVITABLE COME 2025.
Jambo la sukari halikua la dharula lili kua lina julikana Sasa ni kwenye Gazeti gani? Wizara ili Tangaza wenye uwezo wakuagiza sukari Waagize Au Ali wajua Yeye Mwenye ni Akina nani wana uwezo wakuagiza?
Huyu mtu anaisemea serikali na bunge kwani yeye ni nani independent you should do it for your family and your friends. It doesn’t matter umesomea nini..! Go apply for counselling CCM
Mpina nilishindwa kumuelewa, wakati tunashida ya upungufu wa Sukari, watu wote walitaka Ifutwe sheria ya kulinda viwanda vya ndani wakati vinazalisha Sukari ambayo haitosherezi maitaji ya ndani ya nchi, Sasa Mh Mpina anataka TUENDELEHE KUWA NA UHABA WA SUKARI KULA MWAKA, Watu wenye uwezo wa kuagiza Sukari walete kuwe na Ushindani tupate unafuu wa Bei
Sasa yeye mbona anai-preempty kamati ya bunge kwa kusema kuwa makampuni yale yanaweza kutumika kuagiza sugaring wakati wa dharura? Hamna DK hapo, walewaleeee!
Tometoka bandarini sasa tupo kwenye sukari I.tukitoka kwenye sikari tinaelekea wapi.majigambo majisifu kibao .eti Mama anaupiga mwingi..kumbe ni kejeli wanamzunguka mbuyu.wanahujunu nchi sana..jpm angekuwepo leo sijuwi ingekuwaje? Ufisadi wa waziiii wazi
Mbona kama spika na yeye anausika maana wakati spika anamuomba mpina kuleta ushahidi watanzania tulikuwa tunaona live hakuna siri ila watu wa serikali wanatafuta pa kujificha
Watu wengi hawapendi kusikia ukweli kwa wale wanao wapenda mpina ni mshamba sana hasa baada ya kuvuliwa uwaziri ana hoja dhaifu yy amefilisi wavuvi wa samaki Kwa kuchoma Moto nyavu za wavuvi allkuwa anatembea rula kupima samaki
huyu ni mchunguzi wa nini? Mpina ameweka vidhibiti juu ya meza, Bashe amewaambia watanzania kwamba sukari ilifika hadi kuuzwa Tshs 10,000/= kwa kg1 jambo ambalo halitaki tochi ni uongoo uliopitiliza, nadhan Kamati iendelee kuchambua, bashe huenda ana maslahi binafsi kwenye huo mradi wa kuagiza sukari toka nje
Wewe kalala yumban huna hoja mpina kaweka hoja ya ukweli au kwakua msema kwer hana haki kwa selekali tunasumbir majimbu Kama kwer kamat ya mbunge na kamati mpina yupo sahihi ?
Kachambue matembele mzee
Kufukuza mpina sio haki hatakamaunatumia sheria kwakuwa sisi wananchi tupata shida Mungu anajuwa
Mpina Yuko sahihi
Wasomi wa Nchi hii hamna msaada wowote, kwa wananchi
Duh! Hii ndo Tanzania yenye wasomi walevi wenye uono hafifu
Mimi sijajua unachoongelea ama kweli tuna madokta
Watanzania sasahv tunachokozwa sana tena kwa nguvu...endeleeni tu
Huyu Dr. ni wa mchongo aise.
Kwendraaa kule mchumia tumbo weye
Wewe ni chawa
Chawa
Haya
Truth will not change when delivered to two or more audiences.The statement of the MP to the Parliament and the people does exact transparency and not offer any substantial variation of the truth.
Hiyo crases kwa taarifa yako iliandaliwa, kwa makusudi ili wahusika walenyeze dili zao. Si mara moja serikali ya ccm na watawala wake wanasababisha tatizo na kisha kuja kulitatua kwa nia ya kuwahadaa wananchi. Rejea la kikokotoo, kukopa fedha kwenye mifuko ya hifadhi na kisha kupakazia menejiment ya mifuko uzembe, nk. Msome vizuri Mpina babu.
P
❤
Sawa baba doctor! Kuhusu Imani ya Bunge, huenda nimekuelewa maana na wewe inaonyesha unamashaka. Ngoja tusubiri huenda kama wewe sio msemaji wa serikali basi naamini spika na yeye atakuja na majibu yake ili sote tuelewe kinachoendelea.
Yaani ni bora ungekaa kimya kuliko ulivyo fungua huo mdomo wako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lengo sukari ishuke bei ndio maana ya kuagiza namkubali sana mpina lakini kwenye sukari,hapana viwanda vya ndani vilimgomea hadi magu kushusha bei 1800-2500 kurudi tena 1800 japo kuwa mimi situmii sukari
Unatetea mpaka kampuni ya kuuza simu yenye mtaji wa milioni 5 kupewa kibari cha kuagiza sukari kwa matani ya mabilioni. Na kwanini vibari vilichelewa kutoka? Kwanini kiwanda cha kuzalisha sukari kipewe tani elfu 10 alafu kampuni ya kuuza simu ipewe tani elfu 60. Ufisadi wa wahindi na waarabu wa nchi hii.
Bora tutunze maneno tujipe muda tusije kukurupuka na kuropoka hivi
Mbona kama nduguye Professor Lipumba
Anajichanganya hana msaada kwa wananchi, tatizo la Wahaya wanapenda kujisifia badala ya kuchambua issue husika.
Weee ni doctor wa serikali ,sisi hautuhusu na nafikiri nafasi za uteuzi zimeisha umechelewa sana ,
Nadhani Spika
yuko wrong katika Mh.Mpina kuuhabarisha wananchi maana Tulia ni spika kigeugeu sana na ni biased mwenye kuipendelea Serikali kuficha hujuma za serikali . Mpina anatakiwa kusifiwa na kulindwa na wananchi kuutoa uozo huo. Inawezekana hii ni sehemu kupata fedha za uchaguzi wa Oct.24 na mkuu wa Oct.25. Mpina unaungwaji mkono wa Watanzania wazalendo. Jamani wana ccm muwe mnatuenea huruma watanzania. Nimemsikilaza mwanzo mwisho Mh. Mpina na kwa mara kwanza ndani wanajitokeza akina Slaa, Tundu Lisa akina Heche akina Msigwa. Naamini '25 tutashuhudia mengi wakati Mama na chama mama wakituaga Watanzania na likizo ya milele. CHANGE IS ENAVITABLE COME 2025.
Kweli ata mie nimesema kuwa Ni kama kuna bif nyuma ya pazia ,na nimelisema mara kadhaa ,
Tutabaki kwako Mungu
Jambo la sukari halikua la dharula lili kua lina julikana Sasa ni kwenye Gazeti gani? Wizara ili Tangaza wenye uwezo wakuagiza sukari Waagize Au Ali wajua Yeye Mwenye ni Akina nani wana uwezo wakuagiza?
Wale wale
Huyu mtu anaisemea serikali na bunge kwani yeye ni nani independent you should do it for your family and your friends. It doesn’t matter umesomea nini..! Go apply for counselling CCM
We mzeee nimbwa
Wahaya kweli huwa tuna akiri sana ulivyojibu ndo utaratibu
Mhaya chawa tu wew huna unachokijuwa unabwabwaja tu na kukodoa hiyo mimacho
Mpina nilishindwa kumuelewa, wakati tunashida ya upungufu wa Sukari, watu wote walitaka Ifutwe sheria ya kulinda viwanda vya ndani wakati vinazalisha Sukari ambayo haitosherezi maitaji ya ndani ya nchi, Sasa Mh Mpina anataka TUENDELEHE KUWA NA UHABA WA SUKARI KULA MWAKA, Watu wenye uwezo wa kuagiza Sukari walete kuwe na Ushindani tupate unafuu wa Bei
Chawa la ccm likinyonga suti
wewe hufai mnafiki mkubwa duniani hauko ahera hauko
Huyu chawa kizee wa wapi shikamoo mpina
Sijui huyu jamaa anaongea kitu gani
Kwa maelezo yako na Spika nimeona nikweli Mpina alitakiwa kwanza kwenda kwa spika
Sasa yeye mbona anai-preempty kamati ya bunge kwa kusema kuwa makampuni yale yanaweza kutumika kuagiza sugaring wakati wa dharura? Hamna DK hapo, walewaleeee!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Satumbo mkubwa
Mzee acha uchawa
Tusubiri kauli ya bodies ya fisadi ushidwe mpina yuko sahihi. Huna jipya..
Mzee watanzania wasasa siyo wale waenzi zako wanajitambuwa mlalamikio katulia kmya
Wanaotuchelewesha haka kamo, eti body language😂 sijui preposition mavi TU hiki kizee... Ebu kikojoe kikalale
Huyu baba ni chawa pevu la CCM na atakufa macho wazi
Msikilizeni Mwakipesile
Mchunguzi kasaidie kule kwetu Kagera kunayo shida sana.Itagite haki utaiona amani.
Mbona huduma I Urais badala ya hako ka Tundu Lissu
Wewe Upo tofauti na Wahaya wenye akili wewe ni sifuri kabisa,
Asijichanganye kwa tulia hamwwesi
Wale wale hakuna tu
Hili Kupe, Na Likunguni Linaloitwa Dr. Muchunguzi ni Parasite la Kisiasa. Ni Kama Mzoga wa Nguruwe, Ni Takataka tu.
Tometoka bandarini sasa tupo kwenye sukari
I.tukitoka kwenye sikari tinaelekea wapi.majigambo majisifu kibao .eti Mama anaupiga mwingi..kumbe ni kejeli wanamzunguka mbuyu.wanahujunu nchi sana..jpm angekuwepo leo sijuwi ingekuwaje? Ufisadi wa waziiii wazi
Huyu mzee mjinga sana sasa hapa ameongea nini k wewe
Mbona kutumbua hivyo macho???
Kumbe chizi hili nikajua linajielewa
Huyu nae ni wale wale, spika alishatutoa imani toka alivyotuvuruga kwenye sakata la bandari, hata sisi wananchi wengi wetu hatuna imani na spika
Huyu mwehu kachambue mchele ndio kazi yako
Mbona kama spika na yeye anausika maana wakati spika anamuomba mpina kuleta ushahidi watanzania tulikuwa tunaona live hakuna siri ila watu wa serikali wanatafuta pa kujificha
Huyu anatumalizia bando tu.
HIZI NILAANA ZA WALE WATU WALIOMWAGIWA SAMAKI NA KUCHOMEWA NYAVU SASA AMEAMUA KUSHAMBULIA CCM NA MAWAZIRI WENZAKE
Watu wengi hawapendi kusikia ukweli kwa wale wanao wapenda mpina ni mshamba sana hasa baada ya kuvuliwa uwaziri ana hoja dhaifu yy amefilisi wavuvi wa samaki Kwa kuchoma Moto nyavu za wavuvi allkuwa anatembea rula kupima samaki
Kureta ulaiani tulimchagua lazima tumhoji mpina nimbunge amevumilia uwizi unaotumika ndani yabunge hatakiuongo nimsema kweri
Tume iundwe kuchunguza, kuna wezi
bunge lilikuwa wazi na maigizo yalikuwa wazi;
Acha uongo ww
mzee unaongelea nini. msomi wa hovyo
Acha uchawa ujui kamauna angamiza taifa ww
Mchunguz unatuangusha wahaya polojo nyingi ila Huna pointi
Mmmm uongo mtupu acheni siasa watanzania tumeshazoea tumelizika
huyu ni mchunguzi wa nini? Mpina ameweka vidhibiti juu ya meza, Bashe amewaambia watanzania kwamba sukari ilifika hadi kuuzwa Tshs 10,000/= kwa kg1 jambo ambalo halitaki tochi ni uongoo uliopitiliza, nadhan Kamati iendelee kuchambua, bashe huenda ana maslahi binafsi kwenye huo mradi wa kuagiza sukari toka nje
ulivosoma vyote havina maana vimezidiwa na njaa.
sasa unamsifu speaker aliyeuza bandari?muchunguzi huna jipya ni CCM inayo tengeneza tume fake isiyo huru ya uchaguzi
Kweli una akili
Wewe nakuzidi kuchambua uwezo wako ni wakawaida
Dr.mchunguzi.naona.kama.uko.biased.Huna la maana.
Huyu ni mchambuzi gani hatusaidii
Uyu mzee anamatizo kwa ukali inapo isha wewe unakosaje kujua kuwa itaisha lini acha ujinga
Wewe kalala yumban huna hoja mpina kaweka hoja ya ukweli au kwakua msema kwer hana haki kwa selekali tunasumbir majimbu Kama kwer kamat ya mbunge na kamati mpina yupo sahihi ?
Mpina yukosawa ayamajitu tangu magofuli amekufa mamboya ovyonimengi tunayaona arafu awajamaa wanaisi sisiwachini atufatilii etikiongozi anakumbatia wizi spika watanzania atumuerewi analindavibaka
Vipi huyu mbona macho yake kama anatumia dawa za wendawazimu
Hueleweki unatumalizia bando
Huna lolote wwe?
Psychologists wote wamekuelewa!
NEGATIVE
Funga domo lako
Huna lolote unatupigia kelele tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Umwachie sipika toka lin sipika akawawajibisha cm wewe
Wewe unaongea nini ujui kitu mchumia tumbo tu au unatafuta uteuzi nini.
Na ww acha properganda
wewe katafute uteuzi mbele Wacha kutueleza ujinga
Negative - - -
kwenda zako uko wewe ni zuzu tu unasulia wenzio wanye na we ndio ukaalishe
Wewe Tuna ma
Satumbo mkubwa
Kureta ulaiani tulimchagua lazima tumhoji mpina nimbunge amevumilia uwizi unaotumika ndani yabunge hatakiuongo nimsema kweri