EXCLUSIVE NA MCHEKESHAJI LEONARDO, ANAYEPENDA POMBE “MAMA ALINIPINGA, NILIMPA MIMBA MWANAFUNZI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 215

  • @smprotz
    @smprotz 4 หลายเดือนก่อน +114

    Leonardo ni very smart and real. Naamini atakuwa icon ya Tanzania kwenye Comedy muda si mrefu. Sijui Kama unakubaliana na mm.

    • @vallencymacdonalds
      @vallencymacdonalds 4 หลายเดือนก่อน +8

      Yah kwasababu anapiga both English na Kiswahili itamsaidia kwenda far

    • @deniskatunzi146
      @deniskatunzi146 4 หลายเดือนก่อน +3

      Pia anafanana na mch, Ananja

    • @smprotz
      @smprotz 4 หลายเดือนก่อน

      aaha Ananja ana namna Yake Bhana. Kila MTU ana Radha Yake​@@deniskatunzi146

    • @smprotz
      @smprotz 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@vallencymacdonaldsHata pure English mshikaji anaweza. Anatutoa kimasomaso

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅​@@deniskatunzi146

  • @mozeekamana
    @mozeekamana 4 หลายเดือนก่อน +36

    Namkubali sana huyu Mwamba, Kuna Vigingi amefaulu kuvivuka baada ya Ushindi ilikuwa ni Ishu sana Kuikalia Nafasi yake ametumia akili sanaa chupuchupu apite kuleee ✍️ Hongera sana

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 4 หลายเดือนก่อน +37

    Hii comment naomba iwekewe lamination , Leonard atakuja kuwa comedian mkubwa sana 😂😂😂

  • @alhajikangalawe6178
    @alhajikangalawe6178 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mm kama mwl. Inanifurahisha na kunifariji. Huyu ni mfano nzuri wa kuigwa Kwa wanafunzi....usanii umeshikiliwa na wasomi

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 4 หลายเดือนก่อน +7

    Leonardo is so smart and very honest ❤

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 4 หลายเดือนก่อน +16

    Hongera sana dogo. Wajita wengi tuko smart isipokuwa yule Cyprian Musiba wa CCM 😂😂😂

  • @jogechi2105
    @jogechi2105 4 หลายเดือนก่อน +4

    Fellow Eng. Namkubali sana kutoka Kisii Kenya

  • @NadhiriFootball
    @NadhiriFootball 4 หลายเดือนก่อน +10

    Leonard ni fundi wa stend up comedy... Sana

  • @EricMbilinyi
    @EricMbilinyi 4 หลายเดือนก่อน +61

    Vido ni mwanahabari mzuri sana, anajua kuuliza maswali na kutawala interview. Exclusive inayohostiwa na Millard pamoja vido ina mvuto wa kipekee sana
    Tuwape maua yao hawa watu jamani

    • @vidovidox2632
      @vidovidox2632 4 หลายเดือนก่อน +3

      🙏🏾🙏🏾🤝 Asante sana

    • @allysaid5800
      @allysaid5800 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@vidovidox2632 unajua mwanangu

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah point kabisa 💯

    • @Kushgang-cr4pv
      @Kushgang-cr4pv 4 หลายเดือนก่อน +1

      nawakubali sana vido millard ayo pamoja na frida amani,meena ali pamoja na mjomvu B12 na Kennedy the ree .​@@vidovidox2632

    • @Kushgang-cr4pv
      @Kushgang-cr4pv 4 หลายเดือนก่อน +1

      ayo and sns...bundala

  • @lazarofredy
    @lazarofredy 4 หลายเดือนก่อน +5

    namkubali sana leonardo so big up

  • @ibrahim_Kagoma.jr1
    @ibrahim_Kagoma.jr1 4 หลายเดือนก่อน +6

    Jamaa Anajuwa Sana Halafu ana kipaji endelevu

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe sana Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 4 หลายเดือนก่อน +10

    Leonardo sikuoni Tz bali nakuona kimataifa ila tu ukizidi kujitambua,kupambana kumwomba Mungu nakutafuta fursa yakupenya nje ya mipaka yetu.
    Keep it up bro.👌👌👌

  • @langemwepesi
    @langemwepesi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Namkubaali huyu mwamba mi nko kenya anga za kilifi mwana anaweka siku barida wakti mwingi😂❤

    • @mapenzisylus7325
      @mapenzisylus7325 3 หลายเดือนก่อน

      Oe wa kilifi 🇰🇪 tujuane😅

  • @JamalManzi
    @JamalManzi 4 หลายเดือนก่อน +12

    Golani, kimbiji hiyooo Safi sana kumbe uliletwa kwetu

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kichwa kinamadini sanaaa ❤❤Hua nakukubali Sanaa 🎉🎉🎉

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 หลายเดือนก่อน +8

    Nampenda sana vido anavyohoji

    • @vidovidox2632
      @vidovidox2632 4 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🏾🙏🏾🤝

  • @Youngvoice-sj6eg
    @Youngvoice-sj6eg 4 หลายเดือนก่อน +11

    Me Nina d2 nakuelewasana😂😂😂 👍

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 4 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa yupo viri❤❤❤

  • @yles2220
    @yles2220 4 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa yuko very smart, interview yake haichoshi

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu azidi kukubariki, mola ajalie uwache pombe kabisa

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 4 หลายเดือนก่อน +2

    Congrats sana.

  • @VenanceGilbert
    @VenanceGilbert 4 หลายเดือนก่อน +12

    Leonardo masta fundi kabisa wa hii kazi, sisi tumekukubali mwanetu piga kazi, endelea kuiwakilisha Ukerewe duniani na useme bila aibu 😄

  • @BakoPoultry
    @BakoPoultry 3 หลายเดือนก่อน +2

    Leonard ungekuwa ulaya kwa mazungumzo yako basi ungeshuka sana maana kitu Kizuri ni kuiweka familia yako vizuri sasa wewe umaarufu umeshakuchanganya hadi unazungumzia pacome na Gwede.

  • @Doremi_pro
    @Doremi_pro 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ilii jamaa linaakili mbwaaaaa😂 nakubali kk💯💯💯

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde leo nakesho pia

  • @lameckmndeme1969
    @lameckmndeme1969 4 หลายเดือนก่อน +5

    Eti kameza shoka😂😂😂😂 mzee vido 🎉🎉

  • @mkodojoseph-kt8wd
    @mkodojoseph-kt8wd 4 หลายเดือนก่อน +18

    Vido anatumia kiswahili jumuishi, (mlivopata ujauzito)

    • @YamunguMuha
      @YamunguMuha 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kwamba ujauzito ni wao wote wamebeba😂😂😂😂

    • @vidovidox2632
      @vidovidox2632 4 หลายเดือนก่อน +1

      😅 dah ulimi huu

    • @sleifikhajjir262
      @sleifikhajjir262 4 หลายเดือนก่อน +2

      Katika kiswahili iyo sentesi ni sawa tu.na ndio maana akijibu ujauzito niliishi nao tu.

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah ❤❤❤

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 4 หลายเดือนก่อน +2

    Leonardo best comedy ❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kama Ahuna D Mbili Uwez Muhelewa Leonard❤🎉🎉

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa uandishi huu.... una sub F zote

    • @digitalworld5577
      @digitalworld5577 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@rebbywealth9869😂😂😂

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga หลายเดือนก่อน

      ​@@rebbywealth9869kiswahili Cha huyo mwamba daaaah

  • @renatuskimaro4805
    @renatuskimaro4805 4 หลายเดือนก่อน +3

    Boss golani ni town sikwizi alafu Kuna mgogoro flan hv fanya ukaangalie uko HIVI karibuni

  • @Naahlyan
    @Naahlyan 4 หลายเดือนก่อน +2

    Minapenda anavoongea yan yuko smart unamuelewa katulia

  • @HezronReuben
    @HezronReuben 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shenzi kabsa,,,,, bila D 2 huwez nielewa😊😊😊😂

  • @georgecopter460
    @georgecopter460 4 หลายเดือนก่อน +5

    Karibu kenya lkn kutukomesha sahau

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 หลายเดือนก่อน +5

    ajitahidi kujifunza kupitia kina Trevor Noah

  • @RashidKilindi-nm4qf
    @RashidKilindi-nm4qf 4 หลายเดือนก่อน +4

    Leonard is genius of his stylish....too far mile away in cognition

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 4 หลายเดือนก่อน +3

    I can't wait with English Comedy 🙏🏽🙏🏽

    • @punchlinetz
      @punchlinetz 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mfatilie vzr tayari contents zipo kitambo anapost..

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 4 หลายเดือนก่อน +14

    Leonard is the best

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 4 หลายเดือนก่อน +5

    Leonardo ndo ujitanue hivo kweli kwani unataka nini 😅😅😅😅😅

  • @fedlob4
    @fedlob4 4 หลายเดือนก่อน +24

    Leonard baba mjita wee kwenu ni Mara sio Mwanza 😅

    • @melchadesmagongo4185
      @melchadesmagongo4185 4 หลายเดือนก่อน +3

      mchukueni ndugu yenu anajifanya hajuhi kwao

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa unampangia mtu na lazima ujue kwao kivipi hauwezi sema mm kwetu Morogoro hali ya kuwa umezaliwa Dar es Salaam na umekulia Dar es Salaam na huko Morogoro hujawahi fika...

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 4 หลายเดือนก่อน +3

    THE FUTURE IS LEONARDO.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 4 หลายเดือนก่อน +13

    Yani kabla hajaongea neno hata moja nimeshaanza kucheka.😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣

  • @EmaxiellEfazz
    @EmaxiellEfazz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Leo boy ni balaaaa

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 3 หลายเดือนก่อน

    Upo vzr sana

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kushindia kitavi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 4 หลายเดือนก่อน +7

    Duh me nakukubal Leonardo lkn apo kwny kunywa pombe na uo mwili wako khaaa hapan usijisifie kua ulevi 😢

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 4 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂kwnn hujavua shati au uliogopa kumgonga mifupa 😂😂😂nimechek

  • @JafariChisagwa
    @JafariChisagwa 4 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂😂😂 NIMECHEKA SANAA HUYU JAMAA KUMBE BWEGEE SANA ETI SIKU YA KWANZA KUFANYA TENDO LA NDOA SIKUVUA SHATII AIBUUU KIMBAU MBAU SANAAAA😂😂😂😂😂😂

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 4 หลายเดือนก่อน +6

    Swali zuri ndugu mtangazaji 😅😅😅😅😅😅😅vido upambe utakumaliza 😅 interview boma san

    • @vidovidox2632
      @vidovidox2632 4 หลายเดือนก่อน +3

      😅🙏🏾🙏🏾🤝

  • @IddyAmos-z1x
    @IddyAmos-z1x 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂 msenge chizi huyu et km 7bu tu anatokaa pacome

  • @oirishgervas6603
    @oirishgervas6603 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mtu kasema leonard ni handsome jaman wanawake

  • @ibrahim_Kagoma.jr1
    @ibrahim_Kagoma.jr1 4 หลายเดือนก่อน +5

    Vido Umesahau kumuuliza Hiyo pete aliovaa kwenye kidore cha mwisho😂

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu kakak ban😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @LugyPlan
    @LugyPlan 4 หลายเดือนก่อน +7

    Shenzi kabisa maninjinia mkaacha kujenda miundombinu ya maji mkajenga familia shenzi kabisa huwezi elewa kama hauna d mbili

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 4 หลายเดือนก่อน +3

    Vido anza gym ndugu yangu maana sio kwa kunona huko!!naona hela zimekupata

  • @crazybinboy
    @crazybinboy 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe we ni WA kwetu yego mlaunu

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dubai lini

  • @GervasMwageni
    @GervasMwageni หลายเดือนก่อน

    Focus na juu 😅😅

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kiboko 😂😂

  • @RehemaMustafa-x6o
    @RehemaMustafa-x6o 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eti swala letu la uzazi😂

  • @Alhasibu05
    @Alhasibu05 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mwehu kweli ety sikuvua shati

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 หลายเดือนก่อน +3

    Apo aliefanikiwa nikajua utasema ni yule at least ana d mbili

  • @siwemasalehe192
    @siwemasalehe192 4 หลายเดือนก่อน +1

    Why katav is passing btwn our interview

  • @jameslukosi1735
    @jameslukosi1735 4 หลายเดือนก่อน +4

    335,000*145,000= 38,575,000,000
    Duh

  • @sasi_tv6702
    @sasi_tv6702 4 หลายเดือนก่อน

    Interview Mzima ilikuwa leornado na codox lkn Kwenye kuzidisha namba naona crew nzima imeingiya,,,,YAni km wame surprise kidog

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa vido mtu anawezaje kumeza shoka si ungesema hata kameza pini😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน +3

    mi kila ciku nasemaga ila natukanwa😊,,kwasasa uyo nado ukimuweka tena na eliudi hachukui hata mia...anakaa vibaya....nikatukanwa na waja

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 4 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli ....Leonardo is smart than you think ...hatukatai eliudi ni bora lakini Leonardo bora

  • @Buster_Tyler_OG
    @Buster_Tyler_OG 4 หลายเดือนก่อน +3

    HUYU HANA SIKU NYINGI ATAAJIRIWA 😁🇹🇿

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 2 หลายเดือนก่อน

      Anaingiza fedha nyingi hawezi kuajiriwa labda kwa mkataba avute pesa ndefu kwa muda mfupi kama Masanja Mkandamuzaji.

  • @AllanNestory
    @AllanNestory 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe ngosha

  • @tetri-numz96
    @tetri-numz96 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan Hadi interview yake inachekesha 😂😂😂

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo ya kingereza wacjekaji nao wawe na B mbili

  • @MarcoMsunqa
    @MarcoMsunqa 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli Kuna huzidisha na hesabu ni tofauti

  • @sadamawaz2613
    @sadamawaz2613 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mlivyopata ujauzito😂😂😂😂

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 2 วันที่ผ่านมา

    Water resources and Irrigation Engeneer, hakikisha pia una ifanyai carrier yapo kazi usibaki tu na Comedy aki

  • @maggiefrankluck7309
    @maggiefrankluck7309 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah ko alijua kimbau mbau maskini 😂😂😆 ila Leonard 😂

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 หลายเดือนก่อน

    Leonard ni kibonzo kweli. Eti anaenda kuangalia kiwanja analala pafu za kutosha ila bado hakufika

  • @swadatimmbaga7435
    @swadatimmbaga7435 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka ako akiona hii 😂😂😂

  • @ChidyMfululu
    @ChidyMfululu 4 หลายเดือนก่อน

    Hatar sana leo

  • @dennisnyakilambo3992
    @dennisnyakilambo3992 4 หลายเดือนก่อน +2

    akili ya kijita kabisa

  • @jomba6514
    @jomba6514 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wakondya mno mkaluka

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bia 5 ni nyingi, bia za afya ni 2.

  • @ntibashimadicksonmathiasna2915
    @ntibashimadicksonmathiasna2915 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msanii

  • @kazimoto-eq2th
    @kazimoto-eq2th 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo anaakili hadi anakela

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 3 หลายเดือนก่อน

    Na Mungu je?

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hhahahaah shenzi kabisaaa😂

  • @DamariJohn
    @DamariJohn 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa busiri we home boy😂

  • @privadinhodomician6661
    @privadinhodomician6661 4 หลายเดือนก่อน +2

    Araf huyu reonardo muongo

  • @fatumahossein754
    @fatumahossein754 4 หลายเดือนก่อน +2

    Waooooooo❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @GeofreyBalyo
    @GeofreyBalyo 3 หลายเดือนก่อน

    kijna kuwa makini usipokua makini utapotea...mpende mama mtoto mjali na ikiwezekana muoe utulie..umalaya sio poa

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu si yule aliyeanzusha D 2 au.

  • @gambajunior138
    @gambajunior138 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wajita asili Yao ni mkoa wa MARA sio Mwanza

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 4 หลายเดือนก่อน

    Vidox unajitahid sana kuhoji kama Ayo na Salama

  • @martineemmanuel657
    @martineemmanuel657 3 หลายเดือนก่อน

    Majita makojo moja hiyo

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 3 หลายเดือนก่อน

    😎

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nina d2 Ila hizo hesab naweza pewa adi 4figa na nisitoboe

    • @khadijarashidy9304
      @khadijarashidy9304 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @Zahara-or3cf
      @Zahara-or3cf 2 หลายเดือนก่อน

      Diana umejua kunichekesha

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 4 หลายเดือนก่อน

    Nendeni na nje Mkawakomeshe!

  • @asha-z3n
    @asha-z3n 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtangazaji anamacho mazuri maashaallah

  • @Mwalimu-wa-Math
    @Mwalimu-wa-Math 4 หลายเดือนก่อน +1

    Btw mnisaidie D mbiii ndio nini D sini grade mbaya ama rada ni gani

    • @TitusMutemi-y4b
      @TitusMutemi-y4b 4 หลายเดือนก่อน

      D' inamaanisha degree banah..acha upuuzi

    • @Mwalimu-wa-Math
      @Mwalimu-wa-Math 4 หลายเดือนก่อน

      @@TitusMutemi-y4b 😭

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 4 หลายเดือนก่อน

      Anamaanisha D2 za form 6, sifa ya kujiunga University tz ni D2 kutokana katikati masomo 2 kati ya 3. Kupata D somo lolote Advanced level sio mchezo 🤣🤣🤣

    • @Mwalimu-wa-Math
      @Mwalimu-wa-Math 4 หลายเดือนก่อน

      @@iskiji1240 shukran

    • @josephlokai4013
      @josephlokai4013 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anamanisha qualification ya kuingia campus yaani C+huku kwetu kenya😂😂

  • @ShukuruadamMllay
    @ShukuruadamMllay 4 หลายเดือนก่อน

    Chembechembe za unyerere naziona kwa huyu jamaa ukerew mara