- 818
- 1 231 687
ORIONe TV
เข้าร่วมเมื่อ 6 ม.ค. 2014
MABALOZI WA YESU - PR. PAUL SEMBA
EVERY YOUTH HAS THIS POWER - THE POWER TO MAKE DECISION. BY THE AID OF THE THE HOLY SPIRIT, THE VICTORY IS YOURS!
มุมมอง: 156
วีดีโอ
MAKAMBI 2024 | I WILL GO: LIVE OR DEAD? DAY 7 - SABBATH | PR. PAUL SEMA
มุมมอง 3225 วันที่ผ่านมา
MAKAMBI 2024 | I WILL GO WITH MY FAMILY DAY 6 - MCHANA | PR. PAUL SEMBA
มุมมอง 2426 วันที่ผ่านมา
MAKAMBI 2024 | I WILL GO WITH MY FUTURE DAY 5 - JIONI | PR. PAUL SEMBA
มุมมอง 2646 วันที่ผ่านมา
MAKAMBI 2024 | AN APPEAL NOT TO STAND BETWEEN DAY 5 - MCHANA | PR. PAUL SEMBA
มุมมอง 3507 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : HITIMISHO YA MAHUBIRI YA RUDI NYUMBANI I SABATO I BUHONGWA 2024-UIMBAJI
มุมมอง 909 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : HITIMISHO YA MAHUBIRI YA RUDI NYUMBANI I SABATO I BUHONGWA 2024
มุมมอง 1509 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : BUHONGWA 2024 I RUDI NYUMBANI SIKU YA 13
มุมมอง 10710 วันที่ผ่านมา
MAKAMBI 2024 | AN APPEAL TO BE SET APART PRT 2 DAY 4- JIONI | PR. PAUL SEMBA
มุมมอง 51311 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : BUHONGWA 2024 I RUDI NYUMBANI SIKU YA 12
มุมมอง 9911 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : BUHONGWA 2024 I RUDI NYUMBANI SIKU YA 11
มุมมอง 11212 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : BUHONGWA 2024 I RUDI NYUMBANI SIKU YA 10
มุมมอง 10013 วันที่ผ่านมา
MAKAMBI 2024 | AN APPEAL TO BE SET APART PRT I DAY 4 - MCHANA| PR. PAUL SEMBA
มุมมอง 43114 วันที่ผ่านมา
MAKAMBI 2024 | THE HIGH CALLING DAY 3 JIONI | PR. PAUL SEMBA
มุมมอง 56714 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE : BUHONGWA 2024 I RUDI NYUMBANI SIKU YA 9
มุมมอง 14814 วันที่ผ่านมา
Bwana akutunze Pastor
Bwana ni mwema natumai mko salama Kuna somo nimeona notfication linaitwa INTERMIDIATE GREECK 1 nimefungua likapotea kama ikiwa yawezekana naombeni link nilipate
Be blessed Pr.
Pastor namshukuru sana Mungu kwa ajili yako since nabarikiwa kila wakati
Amina, Bwana atukuzwe kwa ujumbe huu tukutane na Bwana pamoja na familia zetu kwa kutengwa na ulimwengu,,, barikiwa sana Pr
Hilo neno wali azimu moyoni mwao leo ndio nimeli elewa
Mabalozi❤❤
Pastor Mungu akubariki sana
Barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yanayotubariki. Mwenye masikio asikie.
Mchungaji ww ni mtumishi.shambani mwa Bwana umetufundisha kweli ktk kitabu hiki cha ufunuo roho wa.Bwana atusaidie kuyakumbuka haya mahubiri Nawe Bwana akutunze ktk mbawa zake
AMINA
Mungu baba azidi kukutumia na kukubariki
Amen 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana pasta kwaujumbe mzuri
Tutapataje number zako pastor?
0621154690
Tutapataje number za mchungaji
Kwa neema na upendo wa Mungu BABA na wa Bwana wetu Yesu Kristo, hatuhitaji kuwa na elimu kubwa ya philosofia au theologia au kuelimika katika lugha ya kiyunani au kilatini ili kumjua MUNGU WA MBINGUN. Mungu wa Mbinguni anajifunua wazi kwetu kama ulivyoandìkwa: Yohana 17:3 UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYOTUMA. Soma bibilia katika nyaraka zote za Paulo Mtume kwa kuungozwa na Roho wa Mungu/Yesu (barua zote sura 1:1-2) alizowaandiaka makanisa hivi: NEEMA ZITOKAZO KWA MUNGU BABA NA KWA BANA WETU YESU KRISTO. Mungu BABA ndio yeye Mungu wa pekee na ni wakweli. Na kwa yeye huyo Mungu BABA tuna MWANA. MUNGU alimzaa mwana pekee tokea milele yote. Na katika Mungu kuupenda ulimwengu/mwanadamu wenye hatia kutokana na anguka la Adamu pale Aden akamtuma Mwanaye wa pekee ili azaliwe katika mwili wa kibinadamu kupitia kwa bikira Maria akajulikana kama YESU KRISTO ili kwa njia ya kafara ya msalaba amwondolee hatia mwanadamu aliyoanguka. (Injili ya Yohana 1: 1-5) Mungu BABA ndio MUNGU PEKEE NA KWELI. YESU KRISTO NI MWANA PEKEE WA MUNGU ALIYEKUFA MSALABANI KWA AJILI YA WAKOVU WA MWANADAMU. ROHO YA MUNGU/YESU MDIYO INAYOONGOZA NA KUFANIKISHA MAPENZI YA MUNGU TOKA ZAMA ZA MANABII NA WAKATI WETU HUU NA HADI KUAMA. Huo ndio UUNGU. Na sio UTATU kama inavyohubiriwa kwa upotofu. Yupo Mungu BABA, yupo Bwana wetu Yesu Kristo na Roho ya Mungu/Yesu inayongongoza mwanadamu katika kutimiza mapenzi ya MUNGU. Fundisho la utatu sio la Kibibilia ni la uwongo katika upagani na nifundisho KUU la shetani. Fundisho la Mungu mmoja katika nafsi tatu yaani UTATU wa mungu baba, mungu mwana, na mungu roho mtakatifu ni Udanganyifu na hila ya kutisha ya kumpandisha Lusfer aabudiwe kama MUNGU WA MBINGUNI. Ezekieli 28:1-19. Tuikatae hii hila hatari ya shetani ya kumwabudu katika makanisa kwa jina la upotofu la kuwa nafsi ya tatu ya MUNGU kama "mungu ROHO MTAKAIFU
MUNGU nimwema ameona wafaa kuendelea nakazi ya utume jiina la bwana litukuzwe
Amina
Mungu akubariki Pastor Semba kwa ujumbe huu Makini
Pr barikiwa sana sana mimi ni mmoja wa wanafunzi wako nafuatilia sana mafundisho na mahubiri yako,,napenda sana mafundisho yako. Mimi ni mchungaji nilietoka kwenye makanisa ya kilokole baada ya kuujua ukweli kuhusu sabato,pambano kuu na nyakati sahihi za kiunabii. So nasali sda church mzizima ni mkurugenzi wa shule ya sabato pale ni master guide pia. Nina miaka minne tu kwenye usabato. Mungu akubariki sana sana.
BWANA AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUTUMIA
God bless you 🙏 Pastor
Hakika Mungu azidi kukubariki Pastor
Tunazid kubarikiwa
Ubarikiwe sana mtumishi
Wonderful message of blessing, thanks for placing the nail on assure place, even though is a stumbling block for the middle class, thanks again
AMEN
Bwana akubariki Pastor
Msimamo tunabarikiwa sana
Wachungaji vipofu
Jina la Bwana libarikiwe
Pr be blessed 🎉🎉
Amina
Pasta Asante sana kwa ujumbe muzuri Ila jitaidi sana uzungumuze luga moja yani kuna mambo mengi hatuelewi ( kingereze kinatusumbuwa sana)
AHSANTE
Good bless you pastor
Live from igowole Mufindi Mabarikiwa sana na pr semba
Mungu akujalie afya njema
Mungu hawabariki sana wapendwa katika Bwana
Amen
My love for pastor Semba is on another level,haogopi kutuambia ukweli...keep up pastor from kenya
THANK YOU FOR YOUR PRAYERS
Waoooo natamani uyaweke yote mana kule ni marefu sana yakiwa hivi itakuwa vizur hata kwa ku download itachukua Mb chache. Mungu akubariki sana pastor nimebarikiwa sana na lile somo la Day 4
AMINA
Barikiwa mtumishi kwa ujumbe wa pekee katika kipindi hiki ambacho wengine wanaogopa kusema
AMINA
Mungu azidi kukutumia sana mtumishi wa Mungu
Amen barikiwa mutumish wa Mungu asate Kwa neno
Nabarikiwa sana.
Mungu awabariki San, 🙏🙏🙏
Hakika nimeuona mkono wa bwana
Mkalimani abarikiwe sana
Ameni pasta
Amin and Amin,watching from Kenya.
Huu mjadala naona nkama unaendeshwa kitheologia
Amina