ความคิดเห็น •

  • @benjaminlawi1400
    @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว +4

    Pastor,, ulicho nacho ni kikubwa sana,, pengine wengine hawakuelewi,, Tunahitaji maelekezo ya Mungu kwa 100% ili tuwe salama,, Bwana akurehemu kwa lolote lile,, maana jinsi ulivyojitoa kwake si kawaida.
    Ngoja tusafiri tutafika kwa Rehema za Bwana wetu Yesu Kristo

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 ปีที่แล้ว +1

    Mahubiri mazuri sana kabisa. Mungu Akubariki sana Mchungaji wangu mpendwa.

  • @user-ns1jw3rl3g
    @user-ns1jw3rl3g 4 หลายเดือนก่อน

    Your preach always bless me,be blessed aboundetly.

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina nabarikiwa sana na mahubiri haya, Bwana akutunze mchungaji.

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina! Bwana atubariki sote

  • @nurugasaya6001
    @nurugasaya6001 2 ปีที่แล้ว +1

    MONGO ATUTURII 🙏🙏 TWIGWE ENG,ANA YAEEE🙏🙏🙏🙏 . UBARIKIWE MTUMISHI WA BABA

  • @zaburiwazoel6215
    @zaburiwazoel6215 2 ปีที่แล้ว +1

    Murungu atufwie mbonea na uongejiwe lute lwedi mrisha.

  • @samsonelisha388
    @samsonelisha388 2 ปีที่แล้ว

    Somo zuriiii sanaaaa BWANA atutie nguvu

  • @eunicebukokhe8983
    @eunicebukokhe8983 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor pamoja na nyumba yako

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Mungu akubariki mchungaji Semba na familia yako.

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina, na wewe pia

  • @eliamikael5344
    @eliamikael5344 2 ปีที่แล้ว

    Nxur

  • @landiismollel4075
    @landiismollel4075 2 ปีที่แล้ว

    Hakika mahubiri yametubariki mno

  • @zaburiwazoel6215
    @zaburiwazoel6215 2 ปีที่แล้ว

    Murungu atufwie mbonea na uongejiwe lute lwedi mrisha.

  • @zaburiwazoel6215
    @zaburiwazoel6215 2 ปีที่แล้ว

    Murungu atufwie mbonea na uongejiwe lute lwedi mrisha.