UKWELI KUHUSU ROLLS ROYCE, FEKI ZIPO, YA DIAMOND TOFAUTI YAKE "ITAMTESA SERVICES"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2021
  • Leo AyoTV inakukutanisha na Muagizaji magari kutoka UK, Dubai, na Japan BenCars ambapo anatuelezea juu ya gari aina Rolls Royce Cullinan 2021, bei yake kutoka UK na faida pamoja na changamoto zake.

ความคิดเห็น • 407

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 2 ปีที่แล้ว +162

    Kama unaamin ndo kinara wa kuongelewa mtandaoni tujuane hapa!

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 2 ปีที่แล้ว +1

      Balaaaa

    • @festovenas502
      @festovenas502 2 ปีที่แล้ว +7

      Bila yeye tanzania haijulikan 😂😂😂

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว +4

      Yaani we acha tu mwanangu,yaani Diamond akifa sijui itakuwa je??

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว

      Bila yy hakuna sanaa

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 2 ปีที่แล้ว

      @@kassimrajabu7805 si ndo atakuwa tayar kasha kufa au kuna kingine

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 2 ปีที่แล้ว +7

    Wabongo wachen roho mbovu huyu dogo Nasseb hamumuwezi itachukuwa miaka mengi sana kuja msaani kufika level ya Diamond dogo amefika mbali sana tena sana 🔥

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 2 ปีที่แล้ว +32

    Mie sio shabiki wa Diamond lakini jamaa ana hela, tuache masihala bana! Kingine wivu utawaua! Dogo kawanyoosha!

  • @barakambangulila5360
    @barakambangulila5360 2 ปีที่แล้ว +33

    Diamond kaleta gumzo big up Sana

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +8

    Mondi anawatesa wengi sana TZ .. kweli mziki vita!!

    • @neemayusuphu1591
      @neemayusuphu1591 2 ปีที่แล้ว

      Kasemaa yeye mwenyewe mziki ni vita ile nyumban ni yamama ivo usiwaze madale

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 ปีที่แล้ว +10

    Rolls Royce Haina underlincence na ingekuwepo SOUTH AFRICA WALIKUWA washaitengeneza kitambo .Kumbe Bongo ipo Moja tu Ya MONDI 🤣🤣🤣🤣 fantastic super star#diamondplatinun
    #swahilinatiin
    #wcbWASAF🇹🇿🇹🇿💎💎💎💎💎🤣🤣🔥🔥

  • @husnapongwa1841
    @husnapongwa1841 2 ปีที่แล้ว +10

    Millard kua makini sana na hizi interview unajishusha snaa

  • @safariautoservice7032
    @safariautoservice7032 2 ปีที่แล้ว +16

    Service yake ni kama gari nyigine. Ukifwata utaratibu kutoka Rolls-Royce no worries .

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz 2 ปีที่แล้ว +111

    Sisi maskini ndo tunabishana wengine hatuna hata baiskel hata angeita helicopter sisi ni nani tumbishie SIMBA 😂😂😂

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 2 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa 🤣🤣🤣

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 2 ปีที่แล้ว +1

      Dah 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 ปีที่แล้ว +1

      Jiung freemasonry km mond. utamilk gali hilo 🤪🤪🤪

    • @pcmofficialtz
      @pcmofficialtz 2 ปีที่แล้ว

      @@allanothuman2941 fikra ikitumika ndivyo sivyo inaua ✍️

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 ปีที่แล้ว

      @@pcmofficialtz nitaftie tajir ambae atumiaa uchwi.... saw ....ww si unataka magali mkali nn jiunge freemasonry...... km ginimbii.... Utamiliki zaid ya hayooo.... mzeee bb

  • @saidyoriyori9697
    @saidyoriyori9697 2 ปีที่แล้ว +9

    kwaiyo kainunua shiling ngap zabongo namie jipange nichukue ndinga iyo

  • @saidalzakwani8402
    @saidalzakwani8402 2 ปีที่แล้ว +17

    Duuuu sio mchezo mwezi sasa watu wazungumzia kuhusu gari 😂😂😂
    Kazi ipo

  • @safariautoservice7032
    @safariautoservice7032 2 ปีที่แล้ว +26

    Rolls-Royce haitegenezi engine kwa hizo gari. Anaposema kwamba wanaweza wakatumia engine which is not from Rolls-Royce. Hapo kakosea. Rolls-Royce wanatumia engine za BMW V12. Hapa Zaventem Belgium wateja wangu wanazo, ingawa siyo nyingi kwani ni gari ya garama kido. Kwayiyo amekosea kidogo hapo.

    • @activestudios.
      @activestudios. 2 ปีที่แล้ว +6

      SAFI KABISA BRO MIMI NIPO UK NAFANYA KAZI BMW lakini naona hawa watanzania wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajui wanaongea nini

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 2 ปีที่แล้ว +4

      Naomba nikuulze swali, Je, kama RR awatngenez engine na vipi kuhusu ndege mbona wanawauzia Boeing nk engine inamaana ni wananunua pia kwa BMW hahaaaaa?? Kama wanauza engine za ndge kweli washindw kutngneza ichi cha gariii ???

    • @activestudios.
      @activestudios. 2 ปีที่แล้ว

      @@happyjohn5882 kwa uelewa wangu mdogo engine ya RR inatengezwa na BMW ambayo ni V12 na IKUMBUKWE RR ni SUB branch ya BMW so its all BIMA

    • @safariautoservice7032
      @safariautoservice7032 2 ปีที่แล้ว +1

      @@happyjohn5882 siyo kwamba hawawezi kutengeneza engine. Ila tukumbuke kwamba ni wafanya biashara kama muuzaji wa nyanya au vitunguu. Wanangalia faida kwanza. Kwa sababu kutengeneza engine zagari hasa kwa kipindi hichi siyo jambo rahisi, kwa sabubu ya hizi CO2 AND NH AAND NOx regulations. mambo ya (euro 5 euro 6) . Kama unavyo juwa London, Bussels ect kama gari yako siyo ya petrol hairuhusiwi kutembea. Na kama ni Diesel hapo basi kiboka. Kama siyo euro 4 and euro 5 next year. Huruhusiwe kuingiya Brussels. Na ukibisha ni unapigwa fine ya 350 euro. Kwa hio Wawo hawoni faidha ya kutengeza engine wakati BMW tayari wamekwisha fanya kila kitu. Inakuwa ni rahisi kwawo kununuwa kwa BMW. Kama wengine wanavyo fanya. Ukiangali pangani zonda katumia engine Mercedes AMG V12 ya zamani kido, ukija kwa Aston Martin naye pia katumia AMG Engine. Kwahiyo kila kitu ni mahesabu. RR wawe wameamuwa kutengene egines za ndege. Na siyo lazima wateja wajuwe kwamba ni v12 kutoka kwa BMW muteja yeye kazi yake ni kuwekabmafuta kuendesha. Nasisi mafundi tufanye kazi zetu. Ila RR ni gari kama nyingine kwa sababu ina 4 tyres kama magari mengine. Sema yu mtu ukipata vi cents inabidi ujifurahisha baada ya kazi yako. Hivyo ndivyo binadamu tulivyo wengi wetu.

    • @safariautoservice7032
      @safariautoservice7032 2 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi, ila kama jama alivyo sema yeye ni anaagizia magali. Siyo fundi, yani yeye atacho angalia ni nini mteja anahitaji. Akilipa basi anamuagizia. Hata hapa wapo ukienda kwenye ma dealers kama Mercedes, BMW ect. Utakuta kuna mafundi, na watu wengine wakiwa réception. Wale wa réception maranyingi huwa wao wana kazi zawo maalumu. Siyo lazima wajuwe kila kitu. Na kama mtu kakosea siyo vibaya. Anaweza akarekebisha kama akipenda. Kwa sababu tunajifunza kila siku. Na tatizo tulilo nalo sisi huwa ni wabishi sana huwa hatupendi kukosolewa nahilo ni tatizo linalo sababisha tusijifunze. Ila tuwe wakarimu kwenye mitandao. Ili tujifunze siyo lazima matusi, kejeli na mambo mengine.

  • @rajablutambi4063
    @rajablutambi4063 2 ปีที่แล้ว +1

    Hajui architecture ya magari specifically hio imemshinda hatoi mechanical specifications anaongelea bei tuu

  • @thomasmaila3834
    @thomasmaila3834 2 ปีที่แล้ว +12

    Ww yakwako og,iko wp?acha kudic mambo ya w2,mwenzako kaonyesha uthubut,amna kazi za kufanya?

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 2 ปีที่แล้ว +47

    JAMANI NYIE HAMNA KAZI ZAKUFANYA EH,DIAMOND PLUTNUMZ ANUNUE ORG ANUNUE FEKI INAWAHUSU????.
    NUNUENI NANYIE IYO FEKI TUONE SIO KIMNANGA MTU UTADHANI UMEMSAIDIA KUNUNUA FYUUU!!!!.
    MILLADY AYO NYIE NI MEDIA KIBWA ACHENI SASA AYA MAMBO YAKUONGELEA GARI YADIAMOND MANAKE HAIWAHUSUUUUU.

    • @emmanuelmhosole5421
      @emmanuelmhosole5421 2 ปีที่แล้ว

      Hongera dada Wew inakuhusu😅

    • @ashamahmoud3895
      @ashamahmoud3895 2 ปีที่แล้ว

      Hivi umesikiliza interview kweli maana comment zenu Kama Kuna ugomvi wakati interview Ni ya kawaida kabisa Wala haina baya

  • @aidanmaganga7051
    @aidanmaganga7051 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa ukweli bro

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 2 ปีที่แล้ว +34

    Hahahaha gari ya monde ni gumzo tz nzima sababu ni moja tu

    • @mpajikasunzu117
      @mpajikasunzu117 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaani nakwambia nipo nasoma coment nacheka mwenyewe

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 ปีที่แล้ว +2

    Unajia diamond katufanya saivi bilion tunaona ni ela ya kawaida sana tofauti na zamani

  • @rudhwanjumbe2970
    @rudhwanjumbe2970 2 ปีที่แล้ว +12

    Yan Bongo bwana hivi maendeleo ya jamaa bado yanatesa nafsi za watu Daa

  • @johnmunyoro4428
    @johnmunyoro4428 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa nini mzituletee aina za machine za kukamua mafuta ya alzeti. Au machine za kutengeneza mafuta ya maparachichi ya nywere. Au machine ya kutengeneza viatu za ngozi.kuongelea gari za watu kunafainda gani?hizo handithi ndizo watoto watu watarithi?

  • @davidfrancis7347
    @davidfrancis7347 2 ปีที่แล้ว +15

    Aise! Hii interview inawashusha sana.

  • @muhammad_alhinai
    @muhammad_alhinai 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeye ndio wa kwanza kushusha RR hapa Tz? Bakhressa na baadhi ya wengine ameimiliki RR kitambo sana tu kabla ya diamond.. model tu zinatofautiana.

  • @alihussein1027
    @alihussein1027 2 ปีที่แล้ว +6

    Diamond is rich anaweza Afrord

  • @mauricempinga935
    @mauricempinga935 2 ปีที่แล้ว +20

    Kweli kumtaja diamond ni ajila Tz 😅😅😅🤭

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa wanajtahid vyovyote ili wa title jina la Mond

    • @ashamahmoud3895
      @ashamahmoud3895 2 ปีที่แล้ว

      Hivi nyie mnatoka vijijini Nini? Kwahiyo msanii mkubwa Kama mondi anunue gari Kama hiyo mnataka isiongelewe? Huo ndo uchawi Sasa

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 2 ปีที่แล้ว +6

    Hata baskelu sina nasema mabrukin hongera nasiib

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว +2

    Rolls Royce ni ya Daimond. Ikiwa feki or original unahusikaje? Ni ya kwake mwenyewe kwa nini tunapoteza muda kuzungumzia?
    Ni aina ya wivu na kejeli. Daimond ni tajiri.Anao uwezo.

  • @vybzfaruqh2712
    @vybzfaruqh2712 2 ปีที่แล้ว +17

    Rolls Royce gari nzito 🔥🚘🚗

    • @mwajeymajid4988
      @mwajeymajid4988 2 ปีที่แล้ว

      Uzit wake upi baba unabeba mgongon amaaa

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 2 ปีที่แล้ว +1

    Itamtesa wapi ..aweze nunua gari mpya akose kuweza kununua spea? Wabongo bwanaa... Hongera tena brother.

  • @amosaruta22
    @amosaruta22 2 ปีที่แล้ว

    Namshauli daimondi sasa awekeze kila mkoa wa tz sio dar tuuu na mimi naona wa tz wengi wanao mchukia daimondi ni kwasababu ajawekeza kwenye sehem ya upigaji maana wa tz wanapenda sana madili

  • @nyash2542
    @nyash2542 2 ปีที่แล้ว +3

    Vgard can't wait ☺☺

  • @angelshirima2289
    @angelshirima2289 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake wenzangu acheni upuuzi huu wa kuchoma nyumba nusunusu, seti mipango hakikisha ukiwasha moto hakibaki kitu zimamoto wenyewe hawana maji ni uwakika huo..🙂😗 acheni kuchoma kiboyaboya ivo

  • @joniejr750
    @joniejr750 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndo maan umeona kwa TANZANIA ndo kwa Mara yakwanza kainunua diamond ,,mond mtu mbad 🔥 🔥

  • @davidmongo3203
    @davidmongo3203 2 ปีที่แล้ว +18

    Yan imefikia wakt hag millard ana wivu na Simba🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mamarachel9286
    @mamarachel9286 2 ปีที่แล้ว +23

    Mbona mmeiandama sana gar ya mtoto wa tandale? Amafanya kosa kuileta bongo eeeh...Mwachen na gar yake, ongeleeni hata IST

    • @kinasatz7266
      @kinasatz7266 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂wasenge sana hahahaha bado wanaongea tu.

    • @omaryally198
      @omaryally198 2 ปีที่แล้ว

      Nyange kwao kigoma sio tandale

    • @malakiyazidu0080
      @malakiyazidu0080 2 ปีที่แล้ว

      @@omaryally198 kwao kwao sio kigom kigom nikwakina mama ake🤣🤣🤣kwao ni nimorogoro

    • @omaryally198
      @omaryally198 2 ปีที่แล้ว

      @@malakiyazidu0080 bas itakuwa matombo, Kwan mzee nyange Moro ndio kwao.

  • @CLB717
    @CLB717 2 ปีที่แล้ว +32

    sio feki ndugu zangu Rolls royce ina badge nyeusi !!!!

    • @amoskizigha6856
      @amoskizigha6856 2 ปีที่แล้ว +5

      Kuna black badge, silver badge na gold badge ila watu weng wamekariri ile silver badge 😁😁😁😁

  • @younglegit7194
    @younglegit7194 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnachambua gari ya rois rois 😃😄

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa hana ujuzi wa kutosha cz hiyo gari campany yake ni kubwa sn dunian na huwez kuruhusiwa kuichakachua,hii ni interview ya kisenge

    • @karimmunis8302
      @karimmunis8302 2 ปีที่แล้ว

      Do kumbe na wew umeona hee ,huwezk kubadili injeni ya hiyo gari ukabak salama lazima iwe kituko tu

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 ปีที่แล้ว +1

      @@karimmunis8302 jamaa hana jipya ni mtu tu anayetaka kujulikana tu

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 2 ปีที่แล้ว +3

    Ostazi juma upo mzee wa majungu . Mavi yanagonga chupi mzee

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante simba

  • @jordanjeremy1643
    @jordanjeremy1643 2 ปีที่แล้ว +13

    Sasa itamtesaje service akati yupo na mbongo yakushato?

  • @faizislam2378
    @faizislam2378 2 ปีที่แล้ว +13

    Watangazaji tuelewaneni banaaa sio rose royce ni rolls royce muna feli wapi kutamka

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ni mtu wa kuagiza gari tu hajui lolote kuhusu gari

  • @neemayusuphu1591
    @neemayusuphu1591 2 ปีที่แล้ว

    Simbaaaa nawakubaki ayo TV Na platnumz

  • @josephgitau169
    @josephgitau169 2 ปีที่แล้ว +33

    Waah one car as given TZ bloggers job over a week now... There is nothing like Rolls Royce fake in the world 🌍 hiyo ni air force shoes.

    • @activestudios.
      @activestudios. 2 ปีที่แล้ว +1

      BRO WAAMBIE COZ NAONA HAWAELEWI WANACHO POST KWENYE MEDIA ZAO

    • @limajblessed7132
      @limajblessed7132 2 ปีที่แล้ว

      There is a fake rolls royce
      Am here in dubai and nimeona crestler imegeuzwa kuwa rollsroyce

    • @josephgitau169
      @josephgitau169 2 ปีที่แล้ว +2

      @@limajblessed7132 wewe uliona body ya tractor

    • @senny6290
      @senny6290 2 ปีที่แล้ว +2

      @@josephgitau169 😁😁😁na kweli

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว +1

      @@josephgitau169 😂😂😂😂😂

  • @lloydmanongi5095
    @lloydmanongi5095 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anajitahidi lakini hii gari haijui maelezo yake kuhusu hii gari ni mepesi sana ...hakufanya research ya kutosha amekurupuka

  • @cisselamerverille5286
    @cisselamerverille5286 2 ปีที่แล้ว

    Ninavyo jua mie kua kila gari ikiwa latest ushuru si unapungua...cz Haina uchakavu...

  • @rogersfredrick9715
    @rogersfredrick9715 2 ปีที่แล้ว +7

    Gonga like Kama zote

  • @mjungufackson3932
    @mjungufackson3932 2 ปีที่แล้ว +10

    Cyo gari la kwanza tz,,,imetumiwa na mwl nyerere ndo Mara ya kwanza

    • @edsonbandiko3592
      @edsonbandiko3592 2 ปีที่แล้ว +2

      Inawashusha wakati nawe umeongez vrwz umesha angalia tayali unafeli Sana

    • @imanijohn6069
      @imanijohn6069 2 ปีที่แล้ว

      Kweli aisee, ukienda makumbusho ya taifa ipo aliyo tumia Nyerere kitambo hichooo

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว

      Cullinan Black badge alitumia lini wee naee

  • @stafordjr34
    @stafordjr34 2 ปีที่แล้ว

    sauti iko powaa sanaaaa

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi mnayo waandishi

  • @jeremiahgeorge3552
    @jeremiahgeorge3552 2 ปีที่แล้ว +8

    🤗🤗🤗

  • @genalphalyrics8729
    @genalphalyrics8729 2 ปีที่แล้ว +19

    Iyo ngoma haitaji service ndo maana ni expensive!... It was built to last!...sio Chinese models

    • @donaldmutegeki5031
      @donaldmutegeki5031 2 ปีที่แล้ว

      We fala kweli

    • @donaldmutegeki5031
      @donaldmutegeki5031 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndege yenyewe inafanyiwa Service

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 2 ปีที่แล้ว +1

      Uyu limbukeni kwer kuna gar au ndege au pikipiki au baisker icyofanyiwa service uyu boya kwer

    • @genalphalyrics8729
      @genalphalyrics8729 2 ปีที่แล้ว

      @@officialelltz8533 then why iko expensive?... Kwanini material yake ni expensive?....

    • @genalphalyrics8729
      @genalphalyrics8729 2 ปีที่แล้ว

      @@donaldmutegeki5031 kwa nini material yake ni expensive?

  • @innocentmwakabanji827
    @innocentmwakabanji827 2 ปีที่แล้ว

    Ikizingua tutatulia nayo na uchebe😎

  • @Wilsonmapinduzi
    @Wilsonmapinduzi 2 ปีที่แล้ว +1

    Ayo kaanza ku upload usenge

  • @timothypillay5525
    @timothypillay5525 2 ปีที่แล้ว

    Safety next level that

  • @rashidnasoro1065
    @rashidnasoro1065 2 ปีที่แล้ว

    Duuh Mond katisha sana yaani Bongo nzima ana gari ya Pekee yake

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 2 ปีที่แล้ว +3

    Diamond platinumz anawatesa Sana bado mnaichambua gali yake wakati hata mwenyew ameshasahau anawaza mengine

  • @markethan1899
    @markethan1899 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimetulia zangu nawacheki tu. Njooni muone magari yangu, buggati Chiron, Lamborghini, ford mustang, Nissan Gt v12 twin turbo charged. Napatikana arusha

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 2 ปีที่แล้ว +1

      AA kaka aunishindi Mimi Nina laum ya milioni kuminambili nanusu 😃😃😃👍👍👍

    • @markethan1899
      @markethan1899 2 ปีที่แล้ว

      @@mosesmwailenge5192 kwel bana uko juu nimekubali

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 2 ปีที่แล้ว +1

      @@markethan1899 haya lafiki yangu nimekupenda Buree 🤗🤗🤗

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Wivu mbaya sana jamaa

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh nimetulia zangu hapa hata kibanda similiki, kiukweli wenzangu tupambane, muda ukifika wakati utaongea. 🤐

  • @safariautoservice7032
    @safariautoservice7032 2 ปีที่แล้ว +3

    Ila uzuri kanunua gari ambayo Steering wheel iko upandi mzuri. Siyo wrong side of the road kama nyingine. Kwahilo na mpongeza. Ila ni gari kama nyingi.

  • @samsonsikazwe1762
    @samsonsikazwe1762 2 ปีที่แล้ว +23

    Simba wakilisha tz na watu wote wanao kupiga unawapa wakiti mgumu wakufatilia vitu unavyo nunu mamm🙆🙆🙆 kila kitu anacho kinunua lazma wafatilie

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +2

      Acha wateseke Mond anajua kunyooshaa

    • @kezziathadeo1414
      @kezziathadeo1414 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu nae bize anajieleza masikn tunashida nyie achani mwez unaisha bdo watu wanamzungumzia mtoto wa watu mwenyew

    • @malakiyazidu0080
      @malakiyazidu0080 2 ปีที่แล้ว

      tunasubri nandeg baad yamwezi itaingia waje waseme nifeki🥱🥱🥱

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa mzito Sana kuelewa MASWALI. Hajibu ipasavyo

  • @castroonesmo2311
    @castroonesmo2311 2 ปีที่แล้ว

    Jamaaa anaonekana haijui kabisa hiyo gari

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 2 ปีที่แล้ว +16

    Hhahaha Bila Mondi Hamuna CONTENT!!!Nyau nyie😀😀😀😀Mtoto wa Tandale anawatesaa sana…Yaani munatamani adondoke leo ili mupate furaha ila MUNGU Atamlindaa

  • @lucyrenatus3940
    @lucyrenatus3940 2 ปีที่แล้ว

    Jamn kazi mnayo kwan mbna ss maskini ndo mnakzi yakupekenyua mambo ya watu mwachen kaka wa watu

  • @hashimkinara1377
    @hashimkinara1377 2 ปีที่แล้ว

    Ayo njoo Kenya utaikuta Tesla ya kwanza Africa. Upate kumuhoji mmiliki.

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 2 ปีที่แล้ว +4

    Rolls Royce ziko nimeziona tatu hapa mjini moja ya phantom ya family ya bakhresa na ghost nyeusi ya mchaga

    • @nottyally9187
      @nottyally9187 2 ปีที่แล้ว

      Acheni hiyo huku vijiji hawajua huyo Rolly Rose sijui.nn,wanasema zoto ndio gumzo.huku tunakufa

    • @jamesshao538
      @jamesshao538 2 ปีที่แล้ว +1

      Siyo Kama ya Diamond broo yake ni 2021

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 2 ปีที่แล้ว +2

      Omar Bahkresa anazo Rolls Royce mbili ( Wraith na Ghost),Na Davis Mosha anayo 1 Rolls Royce Phantom ile aliyotumia Professor Jay kwenye wimbo wake Wa UTANIAMBIA NINI

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว

      Hizo umeziona ww ila cc tunazungmzia tunachokiona public

    • @isaackalbert6234
      @isaackalbert6234 ปีที่แล้ว

      ​@@ndegejr4218 ya mosha 🙌

  • @shedrackatanasio9734
    @shedrackatanasio9734 2 ปีที่แล้ว +5

    Milard ayo umekuaje tena pga kaz mzee achan na habar hzo za magar ya watu nakuamn

    • @drpeter3760
      @drpeter3760 2 ปีที่แล้ว

      Siuache kuangalia! Ana post kitu kinacho vutia kuangalika

  • @abuibra
    @abuibra 2 ปีที่แล้ว

    Umasikini tabu sana oh kanunua viatu oh kanunua koti, oh kanunua gari, oh hana nyumba oh oh oh.sijui hizo tabia za hasada na tamaa za vitu vya watu mtaacha lini tafuteni vyenu pumbavu babako anapekua kamnunulie viatu.

  • @alvinebrand_
    @alvinebrand_ 2 ปีที่แล้ว

    Haipo moja acha uongo

  • @hamadurio3765
    @hamadurio3765 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @arlecoboazsote5056
    @arlecoboazsote5056 2 ปีที่แล้ว

    Vp naweza gari ya Bei ndogo Tena used kupitia nyie na nisikutane na matapeli?

  • @jamesoduororawo8379
    @jamesoduororawo8379 2 ปีที่แล้ว +20

    Dubai ni Dirhams, Singapore ni Singaporean Dollar..

    • @itsvipi
      @itsvipi 2 ปีที่แล้ว +7

      No problem, but do Kenyans import/buy their cars from Dubai in Kenya Shillings, Dirhams or in USD? Thats what he meant Omera bwanaa!!

    • @mussabalola8406
      @mussabalola8406 2 ปีที่แล้ว

      Huyo BEN anazenia anaongea na walugaluga. Utakuta hata Dubai hajawai fika.

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 ปีที่แล้ว

    Mond kakomesha kenge, sa hv wamehamia kwenye cheni,

  • @umbaliche9175
    @umbaliche9175 2 ปีที่แล้ว +3

    @Millard Ayo unafeli kwenye hii content. Umeanza kuwa kama weleeee....kichwa cha habari na content haviendani. Ukuposema ukweli kuhusu gari ya Diamond nkajua unaongea na mtu ambaye ameingiza hiyo gari hapa TZ kumbe unatangaza biashara ya huyo jamaa tena wala hana maelezo yaliyoshiba

  • @mussahamis1703
    @mussahamis1703 2 ปีที่แล้ว

    kwekweli pongezi

  • @MrTariQ345
    @MrTariQ345 3 หลายเดือนก่อน

    Ah kazi basi sasa kama anaagiza magari sasa afanyweje,wacheni utoto kama amenunua uwezo anao wa kuimiliki

  • @ramadhanyange8957
    @ramadhanyange8957 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaribu kufatilia kwa makini ware woote wanaolumbana kwenye Jambo la mtu basi asilimia kubwa ni maskini uwezi kuona matajili wanalumbana ahaha mondi ww ni atali

  • @feristagaspa2692
    @feristagaspa2692 2 ปีที่แล้ว +3

    Swali kwanini matajiri wote was tz hawajanunua hiyo gari?

  • @shabymaizer456
    @shabymaizer456 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii interview ya kisenge Kam wasenge wengin leten maada za maan achen ushangaz

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahha wanachosha yaani bila Diamond maisha hayaende kabisa

    • @shabymaizer456
      @shabymaizer456 2 ปีที่แล้ว

      @@kassimrajabu7805 wanazngua San cjui wamemtoa wap huyo chok mak hat anachokiongea halet maan yoyot

  • @avizpaul3086
    @avizpaul3086 2 ปีที่แล้ว

    Mbona ya kawaida sana ,jifunze kuona kila kitu ni cha kawaida wala usihamaki sana ,katafta hela kanunua ,ht mimi nkitafuta hela ntanunua hata Starlet na kuna watu mimi nitawashika pia so duniani kila mtu aishi uwezo wake 😂

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 2 ปีที่แล้ว

    Kwani hiyo na ıct ipi bei? Mbona ıct kibonge hv

  • @jamesoduororawo8379
    @jamesoduororawo8379 2 ปีที่แล้ว +4

    Dubai haya ni gari ya kawaida Second hand kibao sana.. Diamond alinunua Second hand car at cheap price he can't afford Brand new

    • @twahirujuma2412
      @twahirujuma2412 2 ปีที่แล้ว +2

      Kama huna hela ni wewe

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 2 ปีที่แล้ว +1

      Ila jaman Mungu atupe yanayo tutosha maana gubu nimzigo

    • @daudsnopdissa5662
      @daudsnopdissa5662 2 ปีที่แล้ว +1

      why he can't and why when you comment u look like you know him more more than himself. is the same for me to say u can't get money forlife while i don't know u deeply not good u have a problem some where you need change your attidude

    • @maxwellsanga3662
      @maxwellsanga3662 2 ปีที่แล้ว

      huyu hata mlango wa Dubai haujui itakua bei hata ya Probox 😂

    • @chicharitoronaldo5950
      @chicharitoronaldo5950 2 ปีที่แล้ว

      Wewe na MAMAKO NA UKOO WAKO WOTE HATA PROBOX HAMUNAA!!!

  • @godrzysalema4841
    @godrzysalema4841 2 ปีที่แล้ว

    Mbna hii gari inawatesa sana s mkaze nyonga za matako izo mmb yaishe

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 2 ปีที่แล้ว +22

    Bado mna discuss hiyo gari, kazi ipo

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +1

      MOND round hii kawawezaa

    • @efronaaron6772
      @efronaaron6772 2 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😃😃😃😃

    • @mwajeymajid4988
      @mwajeymajid4988 2 ปีที่แล้ว

      Nyieeee mwabwabwaja buree Ilo gar atangia nalo kweny jeneza au ktk sanda em wazeni vityu vya msing ata angekuj na mkokoten Ni wake waja mna mno hamuish maneno

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mwajeymajid4988 Tatzo kwnunua wanaemchukia sasa wanateseka kila namna lkn hawapati pa kujificha😂😂

  • @saydimtepende1704
    @saydimtepende1704 2 ปีที่แล้ว +2

    hojiii

  • @christianmaboko2054
    @christianmaboko2054 2 ปีที่แล้ว

    Mnasumbuwa

  • @JayJay-qc1ky
    @JayJay-qc1ky 2 ปีที่แล้ว +4

    Changamoto nyingine ni uchebi haigusi.. hata tairi abadilishi.

  • @aymansabuni2299
    @aymansabuni2299 2 ปีที่แล้ว +8

    I was expecting you to show us that Diamond's car instead unatuonesha Video za gari nyingine.
    Na ulitakiwa wewe umtafute Diamond umuombe ulinganishe hiyo gari yake na hizo Genuine.

    • @fettyabiola1389
      @fettyabiola1389 2 ปีที่แล้ว

      Sasa iyo inayooneshwa na ya mondi ina tofaut gani.

    • @denisksylivester7846
      @denisksylivester7846 2 ปีที่แล้ว +1

      Mchawi uyo,we hujasanuka bado?@@fettyabiola1389

    • @chescomnyangali8601
      @chescomnyangali8601 2 ปีที่แล้ว

      Mbona na yeye amekaa juu yake hapo unasemaje sio hilo acha tamaa

  • @mbombopatrick4084
    @mbombopatrick4084 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Anafanya Biashara ya kuuza magari afu anadanganya bei..Hiyo gari ni bei sana ndio ila sio Dola laki tano.. Jamaa anauza magari lakini A small knowledge ya kuhusu price ya izi Gari za Kifahari anatupanga... In dollars iyo gari ikiwa mpya market Price ni $382,000 in USA. in Uk ni £276k... sasa yeye iyo laki tano kaitolea wapi...na Hizo ndio Price zilizopo sokoni kwa Izo Gari zikiwa 00......

  • @hassanmwaguzo7621
    @hassanmwaguzo7621 2 ปีที่แล้ว +5

    So Tanzania nzima RR ni moja tu😂🤣😂

    • @stevenfrancis5191
      @stevenfrancis5191 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa sure Ni ivyo mo mwenyewe alikuwa nampango wa kununua akahairisha akaenda kuwekeza simba

  • @hafidhchoi3186
    @hafidhchoi3186 2 ปีที่แล้ว

    Watu kazi wanayo kumchunguza mtu maendeleo yke duh

  • @user-ih7os3ht6d
    @user-ih7os3ht6d 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa muongoa anadanganya watu Rolls Royce inatengezwa kwa oda ya mteja ndo inauzwa sasa anavyo sema zinauwza dubai yeye ndo anauziwa feki ajui

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 2 ปีที่แล้ว +5

    HIYO HELA ANGEAMUA KUUNUNUA MTAA BASI BUZA YOTE INGEKUA YAKE🙈

  • @ammanjnj8716
    @ammanjnj8716 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna engine inayo ingiliana na rolls Royce dunian kutokana na wenyew walivyo weka security katik brand yao na wala uwez modify muongo uyooo

    • @ammanjnj8716
      @ammanjnj8716 2 ปีที่แล้ว

      Eti mtu ununue rolls royce kwa bei kubw uka change engine alaf uuze kwa bei poa iyo ni akili kwel

  • @davykundy3963
    @davykundy3963 2 ปีที่แล้ว

    Angalieni movie inaitwa VANQUISH mtaiona gari ya mondi

  • @emanuelmwaipaja2062
    @emanuelmwaipaja2062 2 ปีที่แล้ว

    Sema diamond kaziingizia hela media maana daah amezua gumzoo

  • @shabansamwi9891
    @shabansamwi9891 2 ปีที่แล้ว

    hizo feki zinunueni na nyie tuzione mnataka kuaminisha watu hiyo gari ni ya kawaida2 MTU akikuzidi MPE hongera2 hatuwez fanana wote hiyo cyo cm ni brand kubwa hiyo

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah watu hawataki kuaamini kama inawezekana