Hii ni Range Rover Sports HSE! Unaipata kwa TZS Milioni 45 tu! Creez Favors anaikagua ndani ilivyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Hii ni Range Rover Sports HSE. Imetua kutoka UK ikiwa upgraded. Bei? 45m unaichukua. @Creez_Favors amepita @v_completemotors kuikagua ndinga hii. Hebu muazime macho yako akuoneshe ukali wa hii Range!

ความคิดเห็น • 23

  • @kenanimwakanemela483
    @kenanimwakanemela483 8 หลายเดือนก่อน +2

    Range yeyote ya chini ya mwaka 2015 ni shida tu, utakuwa unashinda kwa fundi kila siku

  • @melkizedekikalanga3349
    @melkizedekikalanga3349 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana kwa kutupa taarfa sns tuepukane na wahuni mjini hapa

  • @universalenergy8060
    @universalenergy8060 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona video fupi hujaongelea hayo mengine?Thank you for information great work,more knowledge please.Waiting for long video part2

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 8 หลายเดือนก่อน

    Creez_Favors wewe ni salesman mzuri sana wa magari unafanya nini kwenye tasnia ya habari? fanya mpango uchanganye habari na uuzaji wa magari, utatoboa fasta

  • @michaelmgege4600
    @michaelmgege4600 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaz unaiweza ya promo mzeee🙌

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 8 หลายเดือนก่อน

    Hiyo range ya bei rahisi hivo Ila kuihudumia sasa

  • @landrywakilongo5304
    @landrywakilongo5304 8 หลายเดือนก่อน

    Hi vipi kuhusu apa marekani njooni uku USA tunaangaika

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 8 หลายเดือนก่อน

    Iyo pesa full na kodi tayari

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 8 หลายเดือนก่อน

    Garı ya 2005 milioni 45 aaaaa hamna hiyo bei kubwa sana na garı yenyewe nzee

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 8 หลายเดือนก่อน

    Mi bora nnunue gari sio niagize

  • @nafoinvestimento9688
    @nafoinvestimento9688 8 หลายเดือนก่อน +1

    VIP 39 wanachucua

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 8 หลายเดือนก่อน

    Magar yamechoka cc tunaojuwa magar hkuna gr hpo

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 8 หลายเดือนก่อน

    Yan nmekuangalia video yote utazan utazani naela ya gari😂😂😂😂

  • @rashidkatundu9674
    @rashidkatundu9674 8 หลายเดือนก่อน

    Onyesha engn t gar tair n nn bro😅

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 8 หลายเดือนก่อน

    Talifa za Ronaldo ajaona mnakwama

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 8 หลายเดือนก่อน

    Kumiliki sio shida inanyonya acha masiala

  • @nelsonmaganya5391
    @nelsonmaganya5391 8 หลายเดือนก่อน

    Tutafute tu hela aise

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 8 หลายเดือนก่อน +1

    UK ni left hand drive au ???

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂kuna bajaji zipo kama hii Range

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 8 หลายเดือนก่อน

      @@philemonmagesa5548😂😂😂niliona ila mchina

    • @erickenock3198
      @erickenock3198 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊。