Lakini hivyo ndivyo hawo wanavyotaka ili wanaangushe wenzao tu hawo kina mwijaku ni mijitu ambayo yanaropokwa mambo hâta hayana maana nchi zote hushangiriya wasanii wao ambawo wametobowa Sisi watanzania tunakaa tukuchimbana tuu jamani hakuna mtu tanzania wakueza kumpiga ngumi kali huyu mwijaku mdomoni akamstopisha,iwapo hamna basi tutamtafuta
But uongo Ndio sipendi sisi hatujanunua gari mpya lakini tunaziona kila siku kwenye viwanda showroom na kwenye magari ya kusafirisha. Sasa wasiongope km 0 sema nimenunua gari ya kifahari imekwisha.
Wabongo muangalie mtashtakiwa kwa kuharibu brand za magari ya makampuni ya nje hakuna rolls royce fake hiyo ni ya brand ya juu na haiuzwi laki tatu mtakuja shtakiwa
@@enemtatuka5863 ataweka sawa kauli yake halafu utaonekana wewe ndio hujui gari inawezekana alitaka kusema horsepower 500 ila ulimi ulimtangulia kutokana na furaha ya kuendesha gari kama hilo akatamka horsepower 5000
Zerow🔥 zerow 🔥 dereva mzuri Sanaa huyu
It’s Rolls Royce not ‘lolo loyce’😂😂😂
Petit Diamond acha ufahari.sisi wa congo njo wenye magari🌇🚘🚘
Ndege au
Yes hii ni latest Rollsroys, mi ni Valet parker Saudi Arabia, naziendesha na nazijua fast cars zote, as you know Saudia they have it all
Ati io gari ina horse power 5000...ata ndege haijafika uko🤔🤔🤔
Mwijaku alipokuwa akili LAZIMA atagundulika is not normal .Sijui mkewe ana vumilia kiasi gani.
Mshaambaa
Eti ndugu mtangazaji, linaitwaje hilo gari? Ebo 🤣🤣🤣🤣
Dereva kuna Rambogini tena.
Da, bongo ndio nchi pekee kila jina linabatizwa tena upyaa. 🤣
😅😅😅 Lamborghini itapita wapi kwa hizo barabara za bongo jameni
Hakuna gari ambalo ni zero Km, likitengenezwa kiwandani lazima litembee ili kuangalia system zote kama zinafanya kazi vizuri.
Salam alshasema kuwa amenunua ikiwa na 83 km
Mmmmh hiii intrview apana ile sku ya kutest msafara aliendesha mond
Raha ya Pesa nini kuweka kutumia? wenye nazo acha watumie tusionazo tujitahidi kutafuta
Hajui gari tu huyo kazoea mikangaf kuendesha halina ugumu wowote ule
Mtangazaji kiswahili chako ni kibovu sana yan hufai kutangaza mitandaoni
Nakubli mzee walhy tena
Lakini hivyo ndivyo hawo wanavyotaka ili wanaangushe wenzao tu hawo kina mwijaku ni mijitu ambayo yanaropokwa mambo hâta hayana maana nchi zote hushangiriya wasanii wao ambawo wametobowa Sisi watanzania tunakaa tukuchimbana tuu jamani hakuna mtu tanzania wakueza kumpiga ngumi kali huyu mwijaku mdomoni akamstopisha,iwapo hamna basi tutamtafuta
Mtangazaji umesema gari aina gani???? 2:45
Hv mnazijua vizur BENTRY...??
Huyu jamaa hajui ata anachokiongea, mara hp 5300 hamna kitu kama iko, af mara altezza lexus ni modifier wa altezza au lexus harrier ni modifier
@MWINYI
Lexus, kuna altezza lexus na harrier lexus(NX)
Uyu kaka anatabasamu lizuri heeeeeeee naskia nakupenda
Ao kina mwajuma chupi kubwa washanza tena
@@emiliaalyhibraimo6367 🤣🤣🤣🤣
Loise Loise
ajali nikawaida kabisa siyo swali la kumuuliza deleva
Dah, Safi tunaendelea tulizoe kuona kwa wenzetu ila platinum kafanya maajabu
hawa wanamuchukiya diamond wana lolote
Hahaha...eti lol Lois...hata jina la gari huwezi kutamka vizuri tu...uvivu na ushamba tupu
Good broo achana na wakina mwijaku na h mama ni wivu wa maendeleo ndio unawaumiza
But uongo Ndio sipendi sisi hatujanunua gari mpya lakini tunaziona kila siku kwenye viwanda showroom na kwenye magari ya kusafirisha. Sasa wasiongope km 0 sema nimenunua gari ya kifahari imekwisha.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Mond atakuja kutuuwa jamanii Mtangazaji hajui kuita jina la ilo gari eti lololoisi🙌
😂😂😂 yani nimecheka
🔥🔥🔥👏
Na aliyoachiwa nyerere ni ya tatu ipo makumbusho
Tanzania apana Africa 🌍
Hangers sana diamond
Mwijaku msenge
HARMONIZE and KING KIBA are the best
Hiyo gari nahisi bima wataikataa ,,,
Achana nao wackuumze kichwa
jamaa amejieleza vizuli kbs
Ww dereva situmesoma wote umejua magari lini
Wabongo muangalie mtashtakiwa kwa kuharibu brand za magari ya makampuni ya nje hakuna rolls royce fake hiyo ni ya brand ya juu na haiuzwi laki tatu mtakuja shtakiwa
Mmmh Loloys tena
Niiteni hizi gari nazisukuma zote Saudi Arabia hamna inayo nishinda kuendesha hapa
Cheki youtube yc mbeya kicheche
Kutamka tu jina huwezi mtangazaji gani wwe
MNYONGE MNYONGENI LKN DIAMOND YUKO JUUUU
🤣🤣🤣lolls lloyce.hilo jina la dada wa kazi hapa kwa jirani
I'm I here alone hears Diamonds instead of Diamond
Lolosi hyo VEPE???
🦁🦁🔥
mtu mwenyewe msela
Mnaongelea kuhusu gari hamna akili kabisa
Mbona dereva muchafu🤣🤣
Tumia lugha poa pls
Hamna gari ya 0 mileage
Rolloros😂
We hakuna Royce roll unaweza kupimp tazama kanuni za kununua royce roll
Jamaa hongera yako tuhache wivu wa kijinga amefanya vizuri , uongo wekeni kando hakuna km 0 bila plastiki hata viti. Mbon
Duh huyu Dereva keshafundishwa uongo na Bosi wake horse power 5000 mbona unatulisha matango pori
Ujui gari wew
@@enemtatuka5863 ataweka sawa kauli yake halafu utaonekana wewe ndio hujui gari inawezekana alitaka kusema horsepower 500 ila ulimi ulimtangulia kutokana na furaha ya kuendesha gari kama hilo akatamka horsepower 5000
Waongo et ilo gr bilioni 2 haaaaa
Hyo ni V12 mjomba tulizana
Lolls loyce
Lololoois🤣🤣
Metisha tisha
Mwijaku NA echibaba nyinyi maskin acha wiv
plânt
🤣🤣🤣🤣🤣 eti 5300HP 🤣🤣🤣🤣 huyu hawezi kuwa dereva aisee. Hiyo si ni machine ya kupakia kifuzi migodini mzee 🤣🤣🤣🤣. Unasifia hadi unaharibu sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Google boss
Ni rolls Royce sio roll yoyce mwandishii wapii unakwamaa? 🤨🤨🤨
Tuzo nini utakula tuzo maela ndio ishuu wewe
Eti rose roizi 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣, imebakia kidogo tu, tutavumbua ya kwetu maana majina tunayo tayari.