Amekosea kwenye kusema tu it's the best suv in the world that's a lie maana duniani the best is still the range rover by far na ndio maana rolls royce,bently, lambo nao wameleta suv zao kucompete
Nimecheka sana.. yaani huyu anatufanya sisi hatuyajui magari... Escalade iwe the best SUV.. unaiacha wapi Lincoln Navigator au Bentley Bentayga Mulliner, au Range Rover SAVautobiography Dynamic.
Dalali wa magari nikushauri tu angalia kipindi cha *top gear* cha wale waingeleza utazifahamu the best car uache kutoa sifa kwa mbwembwe cad sio best of the best SUV, inapaishwa sababu ni ya USA basi
Huyu jamaa katupa chai ya baridi😅 1, 🙄 iyo gari sio ya 2021 ni ya 2015 Search apo uone 2021 inafananaje 2, 🥴kuinunua iyo gari mpaka ushuru ya 2015 Ni 140m minimum, ukitaka long wheel base price inapanda kidogo ila sio sana which it's also not a cheap car 3,😑 iyo sio the best suv ever, search apo uone kama inaingia ata top 5 ya best suv ever made 4, 😁mzee wa upako wa pale ubungo anayo ya 2016 yeusi aliyonunua way before 5, 🤨kama kuna gari inaweza kuwa the worst offroading SUVs kibongo bongo ni Escalade na range rovers, izo kazi ni za landcruiser,jeep, na land rover na kila mtu anajua 6, 😀mwisho Escalade is still not a cheap car Maintenance zake sio ndogo pia
Best SUV in the world is not Escalade. One website rated Mercedes Benz GLE as the Best Overall SUV while Escalade was the 4th SUV in ranking only because of its cargo space.
Nice review! but Escalade ina depreciate sana kuliko ata Toyota Land Cruiser alafu pia siuo SUV ndumu in teams of durability Escalade siyo gari gumu kama SUV nyingine kwenye category iyo ya full size SUV'S
@@princebuganzilut2047 hajui tena kuna Bentley bentayga na rolls Royce suv. Tena anasema 2021, 2021 model inakaa tofauti sana hii inakaa 2019. Dealer hana habari
Huyo alosema Escalade ni uber marekani halaf G wagon ndo za matajiri... Hajui kama Dubai G wagon tunahangaika nazo kwenye vumbi😂😂😂 Ferarri huku ni Taxi kabsa
Bro Gari zote za V8 Engines zinakula mafuta mbona ninayo DODGE CHARGER SRT 2020 Na yenyewe inakula mafuta tena kuzidi iyo Escalade 6.2 L V8 yangu ni 6.4L V8. kununua kitu kama gari hata kama inakula mafuta sana ukiipenda utachukua kama uwezo unao aijalishi ndo pesa sana au Umaskini sana.
Dogo mi mtanzania, Ila kusema yakenya, haimanishi mi mkenye. Hafu ujue huku Kenya kuna wenye maendeleo Yao na hawasemi. Mr jagwa anamiliki ndege na hajigambi.
76195 dollars ni kama upo nje. Ku isafirisha mpaka iingie bongo ndio gharama zinapo ongezeka. Tuseme ametumia kama 250 - 300k kwa gari zote mbili. (That's not cheap at all, hiyo ni karibu milioni 700)
Uki zingatia kuna gari ya tatu rolls Royce phantom ka agiza, Na kwa video ambazo Zime anza KUSAMBAA tayari mtandaoni, ina ONEKANA isha fika bongo.(Sijui kama ushaiona hiyo video, rolls Royce phantom iko na cadillac) Ukipiga hesabu za gari tatu hizo ni kama bilioni 2 na ushee. NOT CHEAP
Daah Best SUV in the world hahaaa!!! Escaladeeeeee, Bro kumbe we kweli ni bingwa wa magari bongo tuuu umeletewa kitu nje ya uwezo wako umeingiza wenge na kuropoka tuu. sasa hzi ndo best SUV in all aspects: Rolls-Royce Cullinan, Range Rover LWB, Mercedes-Maybach GLS600, Lamborghini Urus. Usituambie sisi hivoo tenaa bro
ila jamn mujue kuwa izo Cadillac mnozungumzia zote ya diamond ndo ina gharama zaid maana chuma kutoka Lexan motors ambayo ukichanganya na maushuru kitu kinagonga bilion 1.3 Tsh
Ukitaka kuumiza kichwa wasikilize watz hautafika popote.. Unakuta mtu hana hata mia au swift but kelele nyiingi.. Na kwa Mara ya Kwanza mjadala umeanza kuhusu "Escalade" Wenzangu wa "Escudo" tutulie.
Hahaaaaaaaa huyu anachez na akili za wtuu,kuna Porches ambayo ni moto pia,Kuna Lincoln SV ambayo ni hatrii kuliko hii Escal,kuna GMC ya marekana pia hatarii Sana'a Sana'a......
Watanzania nawapendea hicho, yani kitu cha kawaida wao wanachukulia issue kubwa, inchi zingine watu awaongelei swala za gari kama hiyo. Ama niule msemwa wa mwenyejicho moja mdo mjanja kwenye kundi la vipofu. Escalade nigari kawaida sana. Ila inakula nguzo mana wenye mikokoteni ndowengi hata kuliko wenye baiskeli
Munateseka mukiwa wapi jaman 😂 😂😂 mbona nyie iyo gar hamuna?muachen mond wawatu jaman fanyen maendeleo yenu maana ata haitakusaidia kitu na hata ukimsema vibaya maisha yake hayafanani na yako achen umasikin fanyen yamaendeleo dah Yan mapovu yanawatoka jaman😂😂😂
@@frankdanford8245 mnachoshindwa kumuelewa huyu jamaa, hajasema hakuna cadillac , ila amesema new model ya 2021 hakuna hyo inaweza kuwa ya kwanza, hzo za zaman zipo nyingi tu Muwe mnasikiliza mnaelewa sio kukimbilia kwenye coments tu huku hamjasikiliza
Vehicle detailing skills yake imeonyesha hana data za uhakika juu ya Escalade. Msanii wa kwanza kuwa na Cadillac kwa EA anaweza kuwa Jose chameleon hapa Tz pia kuna mtoto wa tajir anazo 2
Mzee hivi hzo gari ulizotaja unaweza uka zitengeneza interior zikawa kama hyo gari anayo zungumzia anasemea gari kubwa hzo zote ulizotaja body zake ni ndogo tofaut na escalade usikurupuke
@@lexq-sm6lq nigga hata wewe unaweza agiza gari from anywhere in the world ukalipia liwe delivered kwenye container. Kitu kuwa kwenye container sio kwamba ndio brand new. Tuanzie na hapo
@@felisterchimtunga9386 RANGI ZOTE BEI MOJA NYEUSI INA MVUTO LAKINI UPEPO TU WAVUMBI UKIPITA UNA ANDIKA BARUWA NA INASOMEKA NDIO MAANA NIKA KWAMBIA KITAMBAA MKONONI.
This man has a brain and a half, big up!
Sasa nyie mnaosema kilaza,mweupe,hajuikitu embu tuambieni kwa undani mambo haya yanakuaje!! Sio unapinga kwa maneno matano!!😏😏
Amekosea kwenye kusema tu it's the best suv in the world that's a lie maana duniani the best is still the range rover by far na ndio maana rolls royce,bently, lambo nao wameleta suv zao kucompete
Nimecheka sana.. yaani huyu anatufanya sisi hatuyajui magari... Escalade iwe the best SUV.. unaiacha wapi Lincoln Navigator au Bentley Bentayga Mulliner, au Range Rover SAVautobiography Dynamic.
We x ungeomba interview we unaumia nn akiongea ivo yani hutaki tu mondi aonekane abamiliki gari hilo
Kuna Karl man king na Razvani Tank sijui kama anayajua hayo
Aaaaaah brother nimekuelewa kweli👍👍👍
Sifa yake kuu ni "the best".....the best.....the best!!!!!
Oooooh damn this guy is highly genius.... Anaogeya na akili with facts explanation.
Umeongeya vizuri 👍
Well explained ,excellent.
Na uko vizuri haswaaa! Na magari yapo damuni hakuna anaweza kukudanganya kitu, hongera kwa ufafanuzi mzr kwa hamnazo.☺
ile Cadillac escalade suv ni best luxury lakini sio hardcore in terrain uwezi fananisha na mercede benz 4x4 square
Yap G wagon
Dalali wa magari nikushauri tu angalia kipindi cha *top gear* cha wale waingeleza utazifahamu the best car uache kutoa sifa kwa mbwembwe cad sio best of the best SUV, inapaishwa sababu ni ya USA basi
Good point
Ni kweli kabisaa, lakini nimemuelewa kwamba hii ni ya mwaka huu huu..!! 2021
You're very right bro.
Hata jirani yangu Mzee wa Upako anayo Escalade, gari zinatisha sana hizi kwenye msafara
Ya kwaka gani Ya mzee wa upako.Ya mondi ni 2021
Asante sana kaka kwa kusema kweli coz wabongo wana wivu sana.
@@mimimtanzania9738 hio ya mondi moja ilikuwa ya saidi lugumi magu na mpk sasa haipo
Best SUVs
1.Nissan Rogue.
2.Chevrolet Equinox.
3.Jeep Compass.
4.Jeep Grand Cherokee.
5.Ford Escape.
ACCORDING TO GOOGLE.....TOP 5
Huyu jamaa katupa chai ya baridi😅
1, 🙄 iyo gari sio ya 2021 ni ya 2015
Search apo uone 2021 inafananaje
2, 🥴kuinunua iyo gari mpaka ushuru ya 2015
Ni 140m minimum, ukitaka long wheel base price inapanda kidogo ila sio sana which it's also not a cheap car
3,😑 iyo sio the best suv ever, search apo uone kama inaingia ata top 5 ya best suv ever made
4, 😁mzee wa upako wa pale ubungo anayo ya 2016 yeusi aliyonunua way before
5, 🤨kama kuna gari inaweza kuwa the worst offroading SUVs kibongo bongo ni Escalade na range rovers, izo kazi ni za landcruiser,jeep, na land rover na kila mtu anajua
6, 😀mwisho Escalade is still not a cheap car
Maintenance zake sio ndogo pia
Very true
Nunua na ww
Mtu kama wewe ushafanya research tayari sasa huyu mwamba anaongeaaa
@@rukinishadamiano5217 hahahaha
Safi sana mkuu nimekuelewa
On the list of the best SUV Escalade on number 19
Nakumbuka msafara wa bush in tz 2008,,,alikuja na msafara,wa Escalade saba
Wakenya wangapi hapa wameona Escalade kadhaa Nairobi?
Boss ata sonko team ako na kadhaa. Kenya ata 2005 zilikuweko
Mombasa bamburi kama nne napisha nazo
Kwani Tanzania hakuna?wapo wengi wenye nazo sema aliyenunua ni famous.kuna watu wana hela kuliko huyo hapa Tz
Jamaa ana inspire sana hongera kwake.
Nakubali milad Ayoo wengine wanaturushia taarifa za uongo
Sio the best is one of the best. Mwambieni huyo jamaa akajifunze kuhusu Lincoln Navigator, Mercedes Benz G Class na BMW X7
Nadhani huyu jamaa hafuatilii magari anafanya ushabiki na tantalila lincoln Navigator ndio the best SUV mnaweza angalia youtube sasa hivi
Tunaongeoea SUV sio sedan
@@noelmgulusi6707 na kuna Sedan gani nimetaja hapo?? Au na wewe hauzijui gari?
Heeee nyinyi munaoponda angalau muwe ata I ST bc
You are crazy!!those cars for Diamond is from 2018 go check nice
mtaalam iko vizuri.
Jamani hii ni Escalade 2021
Best SUV in the world is not Escalade. One website rated Mercedes Benz GLE as the Best Overall SUV while Escalade was the 4th SUV in ranking only because of its cargo space.
Ahsante unajua elezea
Huyu jamaa anaongea point sana
Katika hii dunia muogope mungu na technologia alijua hatutaingia kwenye mtandao
Nani alijua?
Kwan mond aliwaambia amenunua sh.ngap?, watz wanajitekenya wenyew hlf wanachek wenyewe!!!
Kunagali inaitwa bebe, mbona kali sana
🤣🤣
Nice review! but Escalade ina depreciate sana kuliko ata Toyota Land Cruiser alafu pia siuo SUV ndumu in teams of durability Escalade siyo gari gumu kama SUV nyingine kwenye category iyo ya full size SUV'S
U said well
Hii interview naiomba jamani
Ile cadillac ya kwanza ya Diamond ndo Ina gharama sana maana imeboreshwa na LEXAN MOTORS
Hawaelew wanachukulia pouw
yeah you're right!
Ya pili ni ya kawaida?
Absolutely wajina
mange kimavi anapaswa kujifunza kwa mtu kama huyu, acjione kukaa america ndo kujua kila kitu
Nimemwelewa sana
aise iyo ni good ❤
Hakuna si kweli... best suv siyo escalade.. huyu dealer yupo shallow sana mpaka hapo.. ukizifuata GLS 600 Maybach... hahahaaa.
Huyu muuza magari ni mdiamond
@@princebuganzilut2047 hajui tena kuna Bentley bentayga na rolls Royce suv. Tena anasema 2021, 2021 model inakaa tofauti sana hii inakaa 2019. Dealer hana habari
Iyo ya Diamond sio 2021
Ya Kwanza ni 2015 na yapili ni 2021
THE BIGGEST BOSS NASRI
Mwanangu sana bandari ya magari mtaani
Huyo alosema Escalade ni uber marekani halaf G wagon ndo za matajiri... Hajui kama Dubai G wagon tunahangaika nazo kwenye vumbi😂😂😂 Ferarri huku ni Taxi kabsa
😂😂😂😂😂Nauza magari bt kisungu wahala 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni dubai
Nimekubali mzee kunamkuda mmoja hivi mange utafikiri yeye analo
😂😂😂😂😂 tujuwe wapi siye washamba
Zileteni huku
Sio the best sema “one of the best”
Hapo saaafi
Sure thing
yess
Good
Bro Gari zote za V8 Engines zinakula mafuta mbona ninayo DODGE CHARGER SRT 2020 Na yenyewe inakula mafuta tena kuzidi iyo Escalade 6.2 L V8 yangu ni 6.4L V8. kununua kitu kama gari hata kama inakula mafuta sana ukiipenda utachukua kama uwezo unao aijalishi ndo pesa sana au Umaskini sana.
Alafu we dealer usizoe wakenya kabisa... kenya tunarekodi ya kuagiza magari mpaka billion 5tsh
Kenya ni a decade ahead in east africa. Bongo huwa ni mdogomdogo. Mwendo wa kobe
Hahahaha sure
Kenya nakubali kuna madoni wengi wana magari ya kifahari alafu wanamiliki watoto tu hila hapa kwetu ushamba mwingi sana
Inapita zuu zuu zuu ndio Cadillac inalia ivyo
🤣🤣🤣
😅😅
Zuchu zuchu😂😂
😂😂😂😂eti zuchu nimechekaje
Atal
Gari nzur Sana Escalade
Hiyo migari imejaa hapa mtaani Nairobi.
Huyu jama bwege kweli.
Achauongowemkenya kwenu amunawasanii
Afukingine kwenu akina msanii wakununua galikamaiyo
Dogo mi mtanzania, Ila kusema yakenya, haimanishi mi mkenye.
Hafu ujue huku Kenya kuna wenye maendeleo Yao na hawasemi.
Mr jagwa anamiliki ndege na hajigambi.
Ila pia tukubali tu diamond Platnumz ndio mtu wa kwanza kuieleta ya 2021 Tanzania hakuna kama mondi
Eeeh bb mond noma hyo ni ya 2025
Kabisa
Duuu we utakua unaishi mkoa si mjini....
na Volvo jee
Nakubali sana alichokifanya mondi Sasa Bado ndege
Still hakuna comparison yoyote na ndege... jet ni kitu ingine escalade may be 50 hv. Hahahahaaaa
Kwangu mimi. The Best SUV Ni Kalmani King sio Escalade
Tuko pamoja, alafu kila mtu ako na best SUV kutokana na vigezo vya vyake. So Escalade ni gari kali lakini ni the best kwake
😄😄😄 anadanganya wazi wazi
Hata akiunua ndege bado ni uba marekani
😁😂😁😁😁😁😀😀
😁😁😁
Technically.....hakuna uhusiano wa cc 6200 na consumption ya 6.2/100 kms
$76195 the price of that Escalade new one, and used one is far way less than that
Fifty five thousand dollars
76195 dollars ni kama upo nje.
Ku isafirisha mpaka iingie bongo ndio gharama zinapo ongezeka.
Tuseme ametumia kama 250 - 300k kwa gari zote mbili. (That's not cheap at all, hiyo ni karibu milioni 700)
THE PRICE YOU ARE TALKING IS SUBJECT TO CUSTOMIZATION. THE PRICE COULD HIGHER IF CUSTOMIZED.
Uki zingatia kuna gari ya tatu rolls Royce phantom ka agiza,
Na kwa video ambazo Zime anza KUSAMBAA tayari mtandaoni, ina ONEKANA isha fika bongo.(Sijui kama ushaiona hiyo video, rolls Royce phantom iko na cadillac)
Ukipiga hesabu za gari tatu hizo ni kama bilioni 2 na ushee. NOT CHEAP
@@lexq-sm6lq Bado sana, kibongo bongo jamaa anapesa.. Lakin Sio kujidai kwa Africa, davido tu hamkuti.
Kenya zipo nyingi bro ...
2021 elewa co Escalade tu ni Escalade 2021 zipo?
Point
Daah Best SUV in the world hahaaa!!! Escaladeeeeee, Bro kumbe we kweli ni bingwa wa magari bongo tuuu umeletewa kitu nje ya uwezo wako umeingiza wenge na kuropoka tuu.
sasa hzi ndo best SUV in all aspects: Rolls-Royce Cullinan, Range Rover LWB, Mercedes-Maybach GLS600, Lamborghini Urus. Usituambie sisi hivoo tenaa bro
Anaziacha wapi Lincoln Navigator, Mercedes G 63 AMG
Mercedes G63ni almost $500k ni za Watoto wa kifalme huko uarabuni. Range rover 2021 ni 200$k
U diamond umetawala
Hajui magari huyu dalali anasahau Lincoln Navigator kweli
Kagoogle acha ushamba wewe
Nakubari sana
Ati hii ni 2021??....Acha uogo bro sisi wa ulaya huezi tudanganya
Me niulize kaka unaifamu range rover vizuri
Niliwaza kama wewe, yaani tusiende mbali sana!
ila jamn mujue kuwa izo Cadillac mnozungumzia zote ya diamond ndo ina gharama zaid maana chuma kutoka Lexan motors ambayo ukichanganya na maushuru kitu kinagonga bilion 1.3 Tsh
Nyokoo unajua billion ww si angenunua rolls Royce basi😂achen upuuuz kafwatilieni bei zake hata custom made Amna ya billion
Ww hata hujielewi...unaongea pumba tu
Huna hakili timamu wewe billion unaijua wewe
kiazi huyu
We kweli chula wa kujitegemea
Come to Kigali uone
Chawa mpyaaaaa
Ukitaka kuumiza kichwa wasikilize watz hautafika popote.. Unakuta mtu hana hata mia au swift but kelele nyiingi.. Na kwa Mara ya Kwanza mjadala umeanza kuhusu "Escalade" Wenzangu wa "Escudo" tutulie.
hivi unaifahamu Lamborghini urus 2021 ?
Hahaaaaaaaa huyu anachez na akili za wtuu,kuna Porches ambayo ni moto pia,Kuna Lincoln SV ambayo ni hatrii kuliko hii Escal,kuna GMC ya marekana pia hatarii Sana'a Sana'a......
Ni Gari nzuri ila kwa Tanzania ni Sawa na kupoteza pesa, utaipitisha wapi ndugu yangu
Unaambiwa Cadillac Escalade tougher and luxurious car,sasa Lamborghini ni luxurious tu
Unayajua magari lakini au unaiongelea tu kisa unaionaga kwenye picha.
@@happyjohn5882 unakaribia kusema GSM
Hujui magar wew
Unaejuw tuambie
Watanzania nawapendea hicho, yani kitu cha kawaida wao wanachukulia issue kubwa, inchi zingine watu awaongelei swala za gari kama hiyo.
Ama niule msemwa wa mwenyejicho moja mdo mjanja kwenye kundi la vipofu.
Escalade nigari kawaida sana. Ila inakula nguzo mana wenye mikokoteni ndowengi hata kuliko wenye baiskeli
Munateseka mukiwa wapi jaman 😂 😂😂 mbona nyie iyo gar hamuna?muachen mond wawatu jaman fanyen maendeleo yenu maana ata haitakusaidia kitu na hata ukimsema vibaya maisha yake hayafanani na yako achen umasikin fanyen yamaendeleo dah Yan mapovu yanawatoka jaman😂😂😂
🤣😃😃😃🏃♀️
Ayo huyu mkungwa umemuokota wap ?huyo muuza noha bob, kama vp mremove anavuruga media tu.
My brodah
Kwenye dakika ya 3:00 , ....gari ina six point two per hundred Kilometer (6.2/100Km)... 🤔 What is this???
Unasema diamond hana pesa acha wivu za kwako ziko wp demu wako aki omba pesa ya kusuka 2 una kimbia
Bora umeongea kiukweli kabisa alafu kisomi
Mondi changanya kenge Hawa, ulete na fisi mzee baba, ili watoe povu kwa sana, mond safiiiiiiiiii
Afuge simba kama jina lake tu ni hatar
Ishashuka rolroys uko ujona
Acha uongo mzee, hiyo chuma ni ya 2021? Acha kutufanya washamba kiasi kilichopitiliza mzee
Huyu dalali anachekesha sana 🤣🤣🤣🤣five star mpaka kusema East Africa haipo
Leo amejishusha sana
Ya 2021 nazan ndvyo alivyomaanisha
Yaani ni muongo sana huyu jamaa kuna garage moja pale buguruni ipo cadillac escalade hiyo imekufa yakitambo namba B tena
@@frankdanford8245 mnachoshindwa kumuelewa huyu jamaa, hajasema hakuna cadillac , ila amesema new model ya 2021 hakuna hyo inaweza kuwa ya kwanza, hzo za zaman zipo nyingi tu
Muwe mnasikiliza mnaelewa sio kukimbilia kwenye coments tu huku hamjasikiliza
Vehicle detailing skills yake imeonyesha hana data za uhakika juu ya Escalade. Msanii wa kwanza kuwa na Cadillac kwa EA anaweza kuwa Jose chameleon hapa Tz pia kuna mtoto wa tajir anazo 2
Watanzania tunashida snh mnasem mond hel na nyie nunue tuone Co kuongea tu
Huyu jamaa anajielewa na muelewa sana yani ameelezea inavyotakiwa.
Yule kimambi radhi ya baba ake inamsumbua
bentley bentayga...Rolls-Royce Cullinan ...Mercedes-Maybach GLS.....G wagon...etc huyu chizi akajipange kwanza...
Uko sahihi mkuu. jamaaa anadanganya
Sio the Best
sio ya mwaka 2021 ni ya 2019
Acha uongo ni ya 2020
@@husseniamiri2159 acha uongo ni 1943
@@BinSharifMovies 1943 cjakuelewa.
Diamond gari aliyonunua ni ya mwaka 2020
@@husseniamiri2159 just kidding bro
Huyu pumbavu kweli. Escalade inaingia kwa Aston Martin,Bentley,Cadilac Cullinan? Muwe mnahoji watu wenye akili.
Cullinan 1.5m dolla
@@salehalzakwani3283 Cullinam ni dollar 318k Toleo la mwaka 2021
Mzee hivi hzo gari ulizotaja unaweza uka zitengeneza interior zikawa kama hyo gari anayo zungumzia anasemea gari kubwa hzo zote ulizotaja body zake ni ndogo tofaut na escalade usikurupuke
Sasa mbona povu mzee baba vip inauma inauma ee !!?
@@ndegejr4218 a6
Hajui magari uyo
Kwanza aache uongo hyo ya mondo sio ya mwaka 2021 ni ya 2020
highest rated Suv sio escalade embu tupishege huko kwahio lincoln navigator ya ngapi gari kama boxi bhana 😂😂 na hio sio 2021 kajambe kulee
Hater
Escalade hiyo ya diamond na land cruiser 2022 bora uchukue cruser kwa uono wangu lakini...
Masoury umeisahau au Royse suv pia haifikii hujui magari
True
huyu jamaa simuelewi mjuwe
Hahahah eti east africa hakuna. 🙌🤣🤣🤣🤣😂 ivi huyu anaona MOND tu ndo tajiri eastafrica
USIKUTE PENGINE YEYE NDIO DALALI UJUE 🙈🙈😂🏃🏃
Were yupi unamjua anayo 2021 in east Africa?
Kwan nani anayo hiyo gari hapa east africa zaid ya mondi
Usikilize na umuelewe Alf timu pny ndo ugonjwa wenu ubishi hmtki ukweli
@@marcellysumaye2859 washamba Hao achana nao
Huyu ni mtaalam wa magari used ya Japan huyu
Kwanini?
😂😂
Bro hapo umeongea ukwel its a used car
@@rimbagona6497 😂😂😂😂akili sio za kila mtu.
Gari imefunguliwa Mpya kutoka kwenye contena.😂😂😂
@@lexq-sm6lq nigga hata wewe unaweza agiza gari from anywhere in the world ukalipia liwe delivered kwenye container. Kitu kuwa kwenye container sio kwamba ndio brand new. Tuanzie na hapo
Congo zipo nyingi sana bro
Ww Congo haziko ww Fally Ipupa Ali nunuwa gari 50000$ sasa escalade 500000$
@@topactualite489 Congo zipo kibao
acha uwongo bhana gari sio mwaka 2021 ileeee uwongo mtupu
uongo eti kenya hakuna..wewe uko kenya? njoo nairobi tukuonyeshe magari ndugu angu.We are the OG
Na ww AYO km huna habari sema tukuuzie habar kenge we umeniharibia MB znh
Broo upo vizur lkn sio ya mwaka 2021 hii broo ni ya 2020 na kwa bei bora V8 land Cruiser 2020 ambayo imetoka mwaka mmoja na hy
Axactly
Hakuna hio sio number 1
Kumbe 300million dah bei chee
Milion 300,bei ya land cruiser GXR hiyo v8 hiyo
Ninge penda ange chagua nyeupe km wasafi logo
Rangi nzuri za gari ni nyeusi tu
@@ndegejr4218 🤣🤣🤣 HIYO RANGI NYEUSI INAITWA KITAMBAA MKONONI TENA NJIA LAMI TUPU VP KWENYE VUMBI????
Rangi nzuri ya gari ni nyeusi na inabei kuliko rangi nyeupe dear
Minaona nyeupe ndo ya kijanja sn
@@felisterchimtunga9386 RANGI ZOTE BEI MOJA NYEUSI INA MVUTO LAKINI UPEPO TU WAVUMBI UKIPITA UNA ANDIKA BARUWA NA INASOMEKA NDIO MAANA NIKA KWAMBIA KITAMBAA MKONONI.