Hao wanapo sokoni wanaweza mlipa mtaalamu yoyote ili campuni iendelee wao hawaangalii pesa wanaangalia Brad pia hapo kuwa hawana madini hebu tujifunza kuwa akili ni kitu kikubwa kuliko chochote wanatumia technology tu
Wenawe 🤣wachina na maplastic yao wanini wanajaza uchafu duniani 🤣🤣🤣🤣afrika limekua bara lakutupa mauchafu yao wanayotutengenezea,,,, utasema una hela yakununua io tesla 🫣
Kwa china EV zipo nyingi na nzuri na bora kuliko Tesla na BYD, mfano kuna Li Auto ni EREV hii ni gari ambayo inatumia Mafuta kuzalisha umeme kwenda kucharge battery hii ukiweka full tank na full charge Inatembea kilometers 1200 china ni kubwa na ukiwa safari charging station zinakua na foleni sana na gari Kama Tesla zinatembea 350 to 450 kilometer kwa full charge bado ni changamoto kwa ukubwa wachina hasa ukiwa safarini 🙃
@@salimfaraj5509nikweli Jamaa Ana udini na hubase upande mmoja always .... NAFIKIR PIA ANA INSHU BINAFSI ZINAMUUMIZA Kisaikolojia hazipendi kabisa NCHI KAMA MAREKANI, & ISRAEL NA ULAYA KWA UJUMLA Na unfortunately haimsaidiii kitu coz ni powerful tayar hizo nchi Hana chakufanya hata akijitia moyo kutuchambulia huku watz 😂
BYD kumpita Tesla ni ngumu sana..hata akifanikiwa itakuwa muda mfupi tuu..kumbuka BYD Hana soko Kwenye Nchi nyingi za Magharibi kulinganisha na Tesla..Sababu ni kampuni ya China..na watu magharibi sio Mashabiki wa vitu vya kichina hasa technology.
@@Gulfnas1 Embu rudi na soma Tena nilichoandika..Sijasema Hana soko kwenye Nchi za magharibi ila ni Nchi chache za magharibi ukilingamisha na Tesla.. Au ulipata Zero nini kwenye kusoma makini😆
@@Zenny89 marekani ndo analazimisha ushoga yeye jeshi lake asilimia 70 mashoga na marekani msababish migogoro duniani wameweka Sheria kukopa bank ya dunia mpaka ukubali ushoga Uganda kapinga ananyimwa mikopo halafu bado ww unawashabikia hao mashetani hasara hiyo
Kweli kabisa huyu anafanya objective analysis anauwelewa wa mambo anayoyazungumzia yuke dj anafanya propaganda clearly ni pro china, Russian,etc yuko bias
Maana halisi ya SIMULIZI NA SAUTI..SNS...HONGERA BWANA ALLY MASUBI
Kuna figusu hapa sio bure... Au itakuwa serikali ya Marekani imeyanunua magari ya Tesla ili washinde wao
Ally masudi na dj smaa wachambuzi wazuri sana
nimejifunza vingi sana kwenye hizi mada keep pushing
Aya swali linakuja mimi na wewe tufanye nini Kwajili Ya taifa na familia zetu kwaujimla 😢
Ally mchambuzi mzuli sana
Ally masubi is the BEST🎉
Kichek sma ndo habari ya mjini fuatilia fuse ndinga
Sky cheki na story japan anatengeneza hybrid eletric landcruizer kiwanda kitakuwa marekani we need to hear that story
Duuuh
Nice sky unajua ani
Nzr
Ali masubi uko vizuri san oya sky yule jamaa wa fakti hatumuitaji kwenye uchambuzi
😂😂😂😂
sema ww na mashoga wenzako
Hao wanapo sokoni wanaweza mlipa mtaalamu yoyote ili campuni iendelee wao hawaangalii pesa wanaangalia Brad pia hapo kuwa hawana madini hebu tujifunza kuwa akili ni kitu kikubwa kuliko chochote wanatumia technology tu
Daah mungu asaidie siku moja mchina awe Bora kwa uchumi walau marekani apunguze maafa anayoyafanya kwa ulimwengu
Wenawe 🤣wachina na maplastic yao wanini wanajaza uchafu duniani 🤣🤣🤣🤣afrika limekua bara lakutupa mauchafu yao wanayotutengenezea,,,, utasema una hela yakununua io tesla 🫣
Anawaskia2 wachina hawafaii
Akili za watu masikini nikuwaombea mabaya wale waliofanikiwa 😅
@@timotheothadeomgassa4929 Jitu Zima ovyo umasikini upi wee qumaa nini
mda tu mashoga washashuka tear sema wao wanajipa prom
😂😂sema marekan wana haha saiv ,,walimzarau mwamba saiv anawahemesha
Kwa china EV zipo nyingi na nzuri na bora kuliko Tesla na BYD, mfano kuna Li Auto ni EREV hii ni gari ambayo inatumia Mafuta kuzalisha umeme kwenda kucharge battery hii ukiweka full tank na full charge Inatembea kilometers 1200 china ni kubwa na ukiwa safari charging station zinakua na foleni sana na gari Kama Tesla zinatembea 350 to 450 kilometer kwa full charge bado ni changamoto kwa ukubwa wachina hasa ukiwa safarini 🙃
Hizo hata japan walikuwa nazo ni za muda kidogo hbrd sasa hivi dunia inataka kutoka kwenye mafuta na kuja kwenye EV na sio kutumia tena MV
Model 3 na 2
Ilifikia dj sma nikaacha kua naagalia masimuliz yake make ajui kuchambua
Tesla model 2 mpya iyoo
Tesla
Mchambuzi yeyote ukishatanguliza hisia lazima ufeli. Yule mdini DJ Sma lazima afeli maana amejaa mambo ya kufikirika ( conspiracy theories)
Hana udini, chuki zako kwa Smaa
@@salimfaraj5509nikweli Jamaa Ana udini na hubase upande mmoja always ....
NAFIKIR PIA ANA INSHU BINAFSI ZINAMUUMIZA Kisaikolojia hazipendi kabisa NCHI KAMA MAREKANI, & ISRAEL NA ULAYA KWA UJUMLA Na unfortunately haimsaidiii kitu coz ni powerful tayar hizo nchi Hana chakufanya hata akijitia moyo kutuchambulia huku watz 😂
Iyo ndio USA
USA mashoga
Yule jamaa wa fuse anatangaza dini tu
Unataka atangaze ushoga
Acha chuki
Tesla inakja bongo
Tesla babalao
likes zangu
😂
DRC ndio inchi na 1 kuwa na madini ya lithium kwa wingi, lakini Africa tumebakia wajinga, hii ni kutokana na viongozi wetu.
Sio viongozi tu wajinga hata wewe mjinga
BYD kumpita Tesla ni ngumu sana..hata akifanikiwa itakuwa muda mfupi tuu..kumbuka BYD Hana soko Kwenye Nchi nyingi za Magharibi kulinganisha na Tesla..Sababu ni kampuni ya China..na watu magharibi sio Mashabiki wa vitu vya kichina hasa technology.
Baba fanya research, ulaya raia wanazikimbilia gari za BYD coz ne cheap na comfortable!! Endelea kukariri kuwa mchina ni feki
@@Gulfnas1 Embu rudi na soma Tena nilichoandika..Sijasema Hana soko kwenye Nchi za magharibi ila ni Nchi chache za magharibi ukilingamisha na Tesla.. Au ulipata Zero nini kwenye kusoma makini😆
@@Zenny89hao marekani mashoga wanajipa prom tu
@@omarymwaluko9765 Watu mkikosa point mnaanza kutukana😂..Usisahau mashoga bongo wapo kibao pia hadi wanajeshi na polisi usije waita wenzako tuu.
@@Zenny89 marekani ndo analazimisha ushoga yeye jeshi lake asilimia 70 mashoga na marekani msababish migogoro duniani wameweka Sheria kukopa bank ya dunia mpaka ukubali ushoga Uganda kapinga ananyimwa mikopo halafu bado ww unawashabikia hao mashetani hasara hiyo
Mda niliwaambia uyu ally ni msomi sio yule mwenye ugaidi ye achambui anatangaza dini
😂😂😂kumbe wengi tunaona 🤪
Uwe unajaribu kuficha upumbavu wako
Wewe shoga acha chuki.
Wewe ndo Gaidi
Kweli kabisa huyu anafanya objective analysis anauwelewa wa mambo anayoyazungumzia yuke dj anafanya propaganda clearly ni pro china, Russian,etc yuko bias