#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 68

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu kawaumbua . Na iko siku Mungu ataikomboa hii nchi ambayo iko kwenye giza nene

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kama Rais yupo kimya (anainjoi),,vip unategemea waziri wake akemee??

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema inawatu Sana ila sisi wanainchi hatuna samani Ila ipo siku mungu ataonyesha njia

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 3 หลายเดือนก่อน +6

    Serikali ya hovyooooo

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu samia hawezi kusema kitu kwa sababu kwamba yeye ndie mwenyekiti wa utekaji haiwezekani Samia abaki kimya kama hahusiki na kama hahusiki hawapendi watanzania na akimaliza Tanganyika watakuja Zanzibar kama Zanzibar tunanyamaza tusubiri zam yetu wakati wa uchaguzi

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yeye ni chura kiziwi, Huyu naye ni janga la Tanganyika yetu.

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao watekaji ni ccm ebu tujaribu kujibu mashambulizi tuone kama itawafurahisha tumepoa kupita kiasi

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awatanguli msikate tamaa Mungu Yuko pamoja nanyi

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Yuko Mungu mwenye haki atasimama nanyi MSI nyamze jamani iko siku mbingu itanena

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuunga mkono Tanzania haijawahi kuwa na Waziri wa mambo ya ndani wa aina ya huyu kusema ukweli

  • @leonardmao3311
    @leonardmao3311 3 หลายเดือนก่อน

    Pambalu hoja yako ni nzito mno. Hongera:
    Serikali sikivu haipaswi kupuuza hoja hiyo hata sekunde moja

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Wanatafuta kuidhoofisha Kasi ya chadema ili wapoteze nguvu kazi ya chadema l

  • @leonardmao3311
    @leonardmao3311 3 หลายเดือนก่อน

    Mwambie Masauni ajiuzulu haraka na IGP, kajiuzulu kwa kuwajibika kulinda heshima yako. Polisi inatukanwa kwa matendo haya maovu.

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 หลายเดือนก่อน

    VIVA CHADEMA....MAMBO HAYA YA MAUAJI NA UTEKAJI RAIA NI AIBU NA FEDHEHA KWA SERIKALI YETU KUANZIA KWA MH. RAIS MWENYEWE, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, VYOMBO VYA USALAMA NA HASA POLISI.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini ni viongozi wa Chadema wanashambuliwa katika nchi hii na hao watekaji Hawa wanaishii wapi? Hawa watu wasiojulikana wanataka nchi gani jamani mbona hii Hali haifanani na sifa ya Tanzania ilivyo duniani

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli haki haipo Kama waziri kauli yake maana yake anajua kinachoendela! au ana maana gani

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Mauaji yamezidi Toka awamu ya tano ianze Damu ya watanzania iko juu yako mama ukikaa kimya Mungu atasema na wewe siku Moja

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 3 หลายเดือนก่อน

    GEN Z mkowapi? Kwq amani kabisa kupinga hizi mambo.

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hili limagauni sijui linakazi gani

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli tutamkumbuka mkapa na mwal. JK Nyerere

  • @KimbuluMabina
    @KimbuluMabina 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi wazo langu ujinga kama huu wa utekaji tukiwashe kama kenya

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kongole gazeti la Mwananchi.

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 3 หลายเดือนก่อน

    Polen wahanga wote Kwa majalibu muliyo kutana nayo

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli inauma vijana wetu kupotezwa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +1

    WATEKAJI WANA NGUVUU KULIKUPOLIS8 😢😢😢😢😢😢😢

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน

      Huenda watekaji hao ni sehemu ya mamlaka za kidola! Inawezekanaje raia wakakosa ulinzi toka jeshi la polisi !?

  • @kulwasalum3597
    @kulwasalum3597 3 หลายเดือนก่อน

    Mhhhhm.....

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 3 หลายเดือนก่อน

    President Mkapa! RIP father!

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nashauri kulalamika hakusaidii na hata tukiweka taarifa hizi kwenye viombo. vya usalama havina. Uwezo wa kupambana nao hao kwakua ni mmoja ya viombo hai kwa. masrai yao .kichama hawajaanza leo hawa..ndio mtindo. wao sasas imefika wakati. hii iundwe ( tume siiri ,,) yenye uwezo wake kijahasusi ambayo kila. tukio la utekaji yenyewe inafannya malipizi mara 7 ya 1 ili..nao wajue kuna malipizi x. 7 hofu itakuwa juu yao wakiteka mmoja wana tekwa 7 wao na o ninyi chadema mnaongea sana chukueni hatua kama Israel Israel. mmoja hamasi 100 hatuwezi kuishi kwenye nchi ye nye hazbulaa na hamasi nao wapigwe wapigwe tuu

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 หลายเดือนก่อน

    Yani unajuwa kama msibaa uko kwamwingine nilahisi Sana kuto kashifa zakijinga ila MUNGU aonaye sili atageuza kibaoo

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu aingilie kati mama sema na juu ya utekaji huu ndani ya serikali hii Damu ya vijana wa Tanzania itakulilia Hadi ahera

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

    Maana yake ni kwamba mtu mmoja wa familia yake akipotea ni kawaida wala hatahangaika kumtafuta, hataumia moyo kwasababu hawafiki hata wanane!!? Kauli ya Waziri inakatisha tamaa, inatisha,inahuzunisha taifa,na ni aibu tena inaleta chuki kati ya wananchi na serikali

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 3 หลายเดือนก่อน +5

    MMMM TUMEKWISHA KAMA NDIYO TAMKO LA WAZIRI AMBAE NDIYE MLINZI WETU .EE MWENYENZI MUNGU TUTETEE .

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani hivi kuna Waziri wa mambo ya ndani kweli kwenye hii nchi ?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hafai kabisa tena sio kwa ya utekaji tu ,yaani kwa utelezaji mambo mengi yanatokea yeye yupo kimya. Nashangaa Mh Raisi kwa nini hamvui huo uongozi.

  • @tungarazalucas1478
    @tungarazalucas1478 2 หลายเดือนก่อน

    Kauli hizi hazina chochote endeleeni tu na mambo yenu

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 3 หลายเดือนก่อน

    Nina imani mungu yupo kwaiyo ikosiku atageuza mamuzi yake mwenyewe

  • @SigradMligo
    @SigradMligo 3 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi sana

  • @JumaSafari-x5l
    @JumaSafari-x5l 3 หลายเดือนก่อน

    😊chizi unajua hoja ni nini ya kupewa mashati na kofia na pombe

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua ndgu zangu kuna jambo ambalo limejificha sana katika maisha yetu ya kijamii na kisiasa likiwa limesukwa na mfumo wa sasa wa utawala. Wale wenzetu kikwetu wanaita "a canningly cleaver arrangement to hoodwink thr masses." Kila linapozuka kashfa hususani ya ufisadi unaomgusa rais na mwazori wake au chama chake lazima mfumo utazua/utabuni taharuki nyingine ili umma usahau au upoteze mwelekeo wa kufuatilia la awali. Na hivyo mfumo unapata nafuu ya kujibu au kuwajibika kwa kashfa ya awali. Sasa hivi tulikuwa na kashfa ya Mpina na Bashe na sukari. Na sasa limetumbukizwa la Sativa na mawazo yetu yota sasa yanaelekezwa kwa Sativa na Bashe na sukari yake tumeweka pembeni na mfumo wa serikali na chama unaendelea kuishi pasipo bughudha.

    • @SigradMligo
      @SigradMligo 3 หลายเดือนก่อน

      Sahihi sana

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna haja ya kufuatilia msigwa kwani hajui?

  • @oam14l
    @oam14l 3 หลายเดือนก่อน

    Hili tamko halitaathiriwa na UCHURA kweli?

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani serikali hii Mungu asaidie, mpaka aibu kaibisq

  • @lamboghamkireri2775
    @lamboghamkireri2775 3 หลายเดือนก่อน

    Bila kuwa na Tanganyika iliyo huru huu ujinga utakuwa unaendelea

  • @hamisdickson8755
    @hamisdickson8755 3 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa viongozi wa vijana wa ccm walisha sema mtu akipotea polis wasitafute , na mpaka Sasa hajachukuliwa hatua Basi matukio ya utkeji Yana nataka kabisa posipo na Shaka yanabaraka na ngazi za juu za selikali ,

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน

      Hata yule aliyesema hayo Hajakamatwa na hajahojiwa

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 3 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 หลายเดือนก่อน

    Liveee

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 หลายเดือนก่อน

    Anamlinda mtu wa Taifa lake

  • @MwesigePoul-bg4jd
    @MwesigePoul-bg4jd 3 หลายเดือนก่อน

    Mama awezi kusema mwoga

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 3 หลายเดือนก่อน

      mama yako anahusika na nini hapa? mama yako ni kiongozi? anaogopa nini?

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 หลายเดือนก่อน

    Na huko Arusha ni kwa nani?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼LEMA

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko hakuna atakae wapa nchi hii vibaraka wa mabeberu na chama cha kichaga kazi yenu kudandia matukio mmekosa hoja

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 3 หลายเดือนก่อน

      Mpaka aibu

    • @frankyahaya8978
      @frankyahaya8978 3 หลายเดือนก่อน

      Akili Yako haifanyi kazi

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 3 หลายเดือนก่อน

      Mpka familia yako ifikiwe ndo utasema..bado hujasema

    • @Elizabeth-mw2of
      @Elizabeth-mw2of 3 หลายเดือนก่อน

      Sema jiwe limenipata acha kuongea upuuzi kwenye uhai wa watu

    • @AugustinoPeter-rn9bn
      @AugustinoPeter-rn9bn 3 หลายเดือนก่อน

      Likifika kwake atafurai

  • @eliewardeneliewarden4069
    @eliewardeneliewarden4069 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi wapumbavu hampewi nchi

    • @erestizacharia4758
      @erestizacharia4758 3 หลายเดือนก่อน

      Fala wewe, shida unafikiri Ni nchi? Tunahitaji Uhuru wa watu Kama ilivyo kwenye katiba yetu,acha umavi.