MZEE MATONYA ALIYEISHI MIAKA 43 JELA, ASIMULIA A-Z KILICHOTOKEA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Subscribe / uwazi1
    Mzee Mganga Matonya ni moja Kati ya wafungwa waliopata msamaha Wa Rais, John Pombe Magufuli, Wakati Wa sherehe Za miaka 56 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara, zilizofanyika mkoani Dodoma.
    Mzee huyu ambaye ameishi ndani ya Kuta za Magereza Kwa Muda Wa Miaka 47, Kwa kipindi Chote hicho alichokuwa gerezani anasema Alikuwa anaumizwa Sana Na Kumuwaza mkewe Pamoja na watoto zake aliowaacha Wadogo mmoja mkubwa aliyekuwa Na umri Wa Miaka 5, Wa pili aliyekuwa na Miaka 3 pamoja na ujauzito Wa Miezi 2 aliomuachia mkewe, Bi. Magedalea Mganga.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 146

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 ปีที่แล้ว +5

    Wau I love you so much..Mungu ni mwema haki...This is Miracle..Thank U Jesus Christ Mungu ni mwema na anaweza kweli..

  • @noahpvmusic1555
    @noahpvmusic1555 5 ปีที่แล้ว +22

    we mtangazaji kilaza sana unarudia maswali hadi un akera, global tafuteni watangazaji wenye memory nzuri

    • @mawazontonda1838
      @mawazontonda1838 4 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli Ndugu yaani mtangazaji anakua kama askari wa upelelezi badala ya kuchukua habari

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 6 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaaa duuh kweli mila za zamani bwana mzee karudi kutoka gerezan kakuta mke anawatoto wa mwanaume mwingine kavumilia na maisha yanaenda hongera sana mzee

  • @zachariafrancis
    @zachariafrancis 6 ปีที่แล้ว +5

    Masimulizi haya ya huyo mzee yanaboa sana sababu muda mwingi anakatishwa katishwa mpaka hasimulii kwa uhuru, yaani muda mwingi anaongea mtangazaji badala ya kumuachia mzee aongee zaidi tupate matukio halisi yaliyomsibu mzee.. NENDENI MKASOMEE UTANGAZAJI SIYO KUVAMIA FANI...!

  • @zuriethbashir4348
    @zuriethbashir4348 4 ปีที่แล้ว +2

    We mtangazaji noma kweli hujielewi nilijua unaonewa khaa unarudia rudia maswali tu we vip

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 ปีที่แล้ว

    Mtangazi mrudie mzee Matonya nahitaji kujua maisha ya gerezani siku kwa siku A to Z inafundisha sana.

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 ปีที่แล้ว +6

    Ooh heee

  • @madahalaurent8730
    @madahalaurent8730 2 ปีที่แล้ว

    Babu,wewe ni mwalimu wetu. Mungu akuongezee muda zaidi na uwe salama

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 ปีที่แล้ว +4

    Season inaweza kua nzuri lakin mtafsiri akafanya uichukie

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah, hakika ulikua jambazi hatari, Mungu akusamehe

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 6 ปีที่แล้ว +2

    Babu umetoa machoz u ukisema utafanya nini mungu akuzidishie umri ukae uraiyan vizuri

  • @ivanfredy2225
    @ivanfredy2225 5 ปีที่แล้ว +1

    Harakati ni Mingi Sana chini ya jua ,,,,Mungu barik mbishe zangu

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 4 ปีที่แล้ว +1

    Oooh eeeh

  • @shireyusufducaleshireducal2367
    @shireyusufducaleshireducal2367 5 ปีที่แล้ว +2

    Hoheee Iyo neno limenikosha sana

  • @xpabz
    @xpabz 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anaeuliza maswali ni mwendawazimu, he keeps repeating the same questions over and over again. Kazi ya uandishi wa habari haimfai.

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 ปีที่แล้ว +2

    Haya mzee wangu mtukuze BWANA

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah akipanga jambo akuna
    Msaidiz yeye pekee ufanya
    ayo yote Aame.mzee tulia
    Usje ukaludia kuuwa mtu mwingine

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa mtangazaji kweli una boo..kwani si ni mambo ya kawaida..ulikuwa wataka afanye vita ndiyo usikiye raha..

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 6 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana mzeee. Maana na sisi hatujajua hatma yetu

  • @saumamani371
    @saumamani371 4 ปีที่แล้ว +1

    kweli alikuwa mkosefu lakini amejifuza Na hii ni stor yake pia kwan atawewe ujui hatima yako usihukumu mtukabla hajahukumiwa Na mung Na hap alipo anajutia makosa yake

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sanaaaa nzee wangu.

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 ปีที่แล้ว +3

    Uzuri anaongea ukweli nayo kweli itamueka huru...

  • @juliusmadebe9624
    @juliusmadebe9624 4 ปีที่แล้ว +1

    We mtangazaji Umeliwa na Mwezi,
    Hata maswali unayo yauliza hata sielewi,Unarudia maswali.

  • @sarumwaukwer1625
    @sarumwaukwer1625 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole mzee

  • @melissalabronde5516
    @melissalabronde5516 5 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @mussamc641
    @mussamc641 2 ปีที่แล้ว

    Lengo ni kwamba anajuata makosa sio kwamba atafufndisha na ss tufanye aloyafanya laaaaa

  • @amosmchiwa5632
    @amosmchiwa5632 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaaa mgogo mwenzangu nafurahi kusikia pronounciation za nyumbani kwetu ugogoni

  • @emanuellaizer9572
    @emanuellaizer9572 4 ปีที่แล้ว

    Hermoize

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mzee na sisi tujifunze

  • @zungublack2342
    @zungublack2342 4 ปีที่แล้ว

    Kajifunze kuhoji ujui

  • @benderarulenge8898
    @benderarulenge8898 3 ปีที่แล้ว

    Lana hiyoo

  • @lufunyoedson7168
    @lufunyoedson7168 4 ปีที่แล้ว

    ooh eeh ,,, ooh eeh .......ooh eeh

  • @kelvnassey3236
    @kelvnassey3236 5 ปีที่แล้ว +4

    we mtangazaj kasomee tena miaka 14

  • @mohamedayoub9993
    @mohamedayoub9993 6 ปีที่แล้ว +1

    mmmmm sura hii sijui sikuepo mm

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Jambazi mnampa pole ya nini? Kwani Nitampa pole iwapo hiyo 1974 alikuwa na Miaka 13 au chini ya hapo na akakokotwa na Watu wazima. Mimi nina Mtoto wa miaka 11 na hata ukimwambia tukaibe kijiko atakuitia Polisi kwa kuwa anajua ni kosa na ni dhambi.
    Magufuli Anasutwa Nafsi kwa kutaka Kumuua Lissu sasa anachezea Akili za Watanzania kwa kuachia Majambazi.

    • @edsonndogoro3188
      @edsonndogoro3188 6 ปีที่แล้ว +1

      Thobias Marandu akili zako unazijua mwenyewe! Na Mungu akusamehe tu

    • @captenndunga9385
      @captenndunga9385 5 ปีที่แล้ว

      Soo kosa lako ni kosa la pusha kukuuzia pushabu.

    • @germanabukombe7452
      @germanabukombe7452 5 ปีที่แล้ว +1

      Angekua ni baba yko ungesema ivo... usipende kumuumiza mwingine kwaajili ya faida yko

    • @josboy5384
      @josboy5384 5 ปีที่แล้ว

      Ujinga unakusumbua2 fikiria jambo kwanza kabla hujalitoa kwenye kinywa

  • @faridahassani8370
    @faridahassani8370 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana baba yangu tujifunze toka kwako

  • @omarylazaro7689
    @omarylazaro7689 5 ปีที่แล้ว +1

    daaa

  • @venancemushi7461
    @venancemushi7461 4 ปีที่แล้ว

    Wewe jamaa unaemhoji mzee Mungu anakuona..

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @latasimon7101
    @latasimon7101 6 ปีที่แล้ว +1

    waandshi wa habar tz bado sana

  • @sixberttindwa9622
    @sixberttindwa9622 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji unazingua kiramuda unauriza mwaka

  • @youngnacho
    @youngnacho 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Na wezi Wanazeeka pia

  • @silvesteraloyce5099
    @silvesteraloyce5099 6 ปีที่แล้ว +2

    Nafurahi jinsi mzee huyu anavyokumbuka historia ya kufungwa kwake.

  • @zakayoalphonse3644
    @zakayoalphonse3644 4 ปีที่แล้ว

    Mimi mkenya hapa githurai, huyu mzee ana roho ya utu kwa sasa,jamii na imuitikie/FUZO KWA WANARIKA

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unabowa unarudia rudia maswali hayo kwa hayo

  • @samuelmabusio2813
    @samuelmabusio2813 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mwenye Hekima.Nakuombea Maisha Marefu Mzee Matonya!

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 ปีที่แล้ว +1

    Musama wa Yesu Kristo ni kitu bora..God forgive u My dear cz umeeleza ukweli mtupu?Mungu atusamehe soteni cz tunaiba na hatushikwii

  • @edmundibarnaba7075
    @edmundibarnaba7075 5 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji ana vinasaba vya Musiba

  • @rashidsalum8956
    @rashidsalum8956 5 ปีที่แล้ว +1

    chidbenz

  • @seifukinyogoli7380
    @seifukinyogoli7380 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmmmmh hatari

  • @jamesmnubi7264
    @jamesmnubi7264 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu mtangazaji nae kilaza kweli kweli swali moja anarudia rudia tu

  • @joycekiza2302
    @joycekiza2302 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Uyo Babu noma

  • @antonymwajombe8536
    @antonymwajombe8536 4 ปีที่แล้ว

    Unacheka wakati linasikitisha mtangazaji ameombwa afuatilie aje alete majibu katanga za mwenyewe

  • @kilioppamasaka9590
    @kilioppamasaka9590 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unaboa kila mda unasikika wewe mpaka unamfanya mzee asiongee kwa Uhuru vp shule ndogo kichwan au

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 6 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji vipi mbona swali moja mara mia unasahau au vip

    • @saajasnews576
      @saajasnews576 6 ปีที่แล้ว

      habari njema

    • @esauchristian9693
      @esauchristian9693 5 ปีที่แล้ว

      Du! Kweli siku za mwizi arobaini. Mungu atuongoze katika kutenda mema.

  • @Changawa47
    @Changawa47 5 ปีที่แล้ว

    mtangazaji kimeo sanaaaa hajui kutangaza anarudia kilichoongewa,anapoteza kumbukumbu ya maswali, ovyo kweli

  • @allyomari680
    @allyomari680 5 ปีที่แล้ว

    hohe ee du 👐

  • @tz7976
    @tz7976 4 ปีที่แล้ว

    Kahabi yuko wap jaman Global mnafeli sana ktk haya matukio ya kumhoji mtu mtangazaji konki ni KAHABI haya mengine bangi2 hasa hili jamaa pumbav kbs

  • @hamisirashidi1894
    @hamisirashidi1894 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji haujielewi

  • @leonarddamian
    @leonarddamian 4 ปีที่แล้ว

    Hii story inaboa sana,

  • @emmanuelmataba5997
    @emmanuelmataba5997 4 ปีที่แล้ว

    Umezingua bhana ww mtangazaji kweli maswali Yale Yale tuu ngoja ni cancel kabisa.

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 6 ปีที่แล้ว +2

    Aliye uwawa ni mtoto wa mtu, baba wa mtu , mume wa mtu au rafiki ya watu , sielewi walio karibu na marehemu wana jisikiaje now.Hii suala la kusema alijificha , tuta juaje kama yeye haku chonga hiili dili na kushauri wamuue marehemu sababu ana mjua?

  • @successpatience7641
    @successpatience7641 5 ปีที่แล้ว

    Kasome bro utangazaji now ni kipaji

  • @Michael_Msanzya
    @Michael_Msanzya 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilimuachia hela ngapi??
    Kwanza nifuraha kanitunzia familia!

  • @babangida255
    @babangida255 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji bwege tu!!!

  • @rosemarykatogomusanga1619
    @rosemarykatogomusanga1619 5 ปีที่แล้ว

    Kwenda weee ..mtanganzaji. Unarudia rudia

  • @raymondbashaka5948
    @raymondbashaka5948 5 ปีที่แล้ว

    huyu mwandishi wa habari ni boya sana, anaboa kinoma

  • @gladwelln.kangethe1967
    @gladwelln.kangethe1967 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mwenye Hekima ...na mafundisho mema pia

  • @bogohe
    @bogohe 6 ปีที่แล้ว

    Mwandishi wa habari akajifunze kazi, anamkatisha mzee wakati anajieleza vizuri kabisa--- Poor Journalism.....pole sana mzee.

  • @fakihassan5479
    @fakihassan5479 5 ปีที่แล้ว

    Dah isee

  • @mohamedjuma423
    @mohamedjuma423 6 ปีที่แล้ว

    Weeeeeee

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว

    Huyo Babu yaelekea alikua jambazi haswa

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaa mungu nisamehe lkn historia ya huyu mzee na ongea yake inanifanya nashindwa kujizuia kucheka

  • @allenmakobero7566
    @allenmakobero7566 6 ปีที่แล้ว +1

    we mwandishi rudi shule naona unaboa

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 4 ปีที่แล้ว

    Ww mtangazaj hujielewi nnn

  • @jumashukan1173
    @jumashukan1173 4 ปีที่แล้ว

    Uyu mtangazaji nifala sana

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 ปีที่แล้ว

    Du kumbe ulijitakia kuka jela

  • @kilala.k.5786
    @kilala.k.5786 6 ปีที่แล้ว +2

    kwanza hata sauti ya huyu mtangazaji haisikikii hana utaalam kabisa

    • @oracleemanuely7946
      @oracleemanuely7946 6 ปีที่แล้ว

      kilala k. Huyo hajui kitu anarudia rudia maswal mshenz tu anakela kama nn

  • @ear-drum2358
    @ear-drum2358 4 ปีที่แล้ว

    Eti fimbo ya kichwani hujui kama kampiga vizuri 🤣.

  • @VicentiRichard-dk9el
    @VicentiRichard-dk9el ปีที่แล้ว

    Kampen ya bobu waini na mseveni ugnda

  • @amonmtekateka6426
    @amonmtekateka6426 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji huenda ni shemeji wa aliyemuajiri, muda unaenda kwa kurudia maswali "" unaboa""

  • @mwajeyommy4998
    @mwajeyommy4998 5 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji unazingua bhn

  • @shabanimakinga9377
    @shabanimakinga9377 4 ปีที่แล้ว

    kweli hawakumbuki wanachokiuliza sio makini kabisa

  • @kasimugullum5862
    @kasimugullum5862 5 ปีที่แล้ว

    Maeneo hayo nayafahamu vema.

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 6 ปีที่แล้ว

    Unauzi sana we mtangazaji, anakushinda kujieleza babu..fyuuuuuu

  • @jacksonmseli9195
    @jacksonmseli9195 6 ปีที่แล้ว +1

    Hili litangazaji limesomea wapi.. Linauliza maswali yakindezi alafu linarudia rudia kila SAA.. Aaaaaggggrrrr

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unafilwa boya wew jifunze kuhoji maswal sio unarudia rudia tyuuuuuuuh

  • @jumamalugu6768
    @jumamalugu6768 4 ปีที่แล้ว

    Waris

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 4 ปีที่แล้ว

    mtangazaji unam chosha tu mzee mzee kafika mbele we unamrudisha, mwanzo stori yenyewe unaivuruga, acha bas mzee aellezeee,

  • @mrramadhanimsangi7073
    @mrramadhanimsangi7073 4 ปีที่แล้ว

    Mwandishi unaboa unarudia maswali sana

  • @isaacoteri2343
    @isaacoteri2343 4 ปีที่แล้ว

    Wewe mtangazaji uko na kazoro mingi

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 4 ปีที่แล้ว

    Maswali hayasikiki

  • @mrishorajabu1134
    @mrishorajabu1134 4 ปีที่แล้ว

    mzee uyu kamanda anakuambia nilibana pembeni ili asinijue kamwizi aka kazee 😁😁😁😁 ila gud mzeee mshukuru mjomba magu

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 ปีที่แล้ว

    Mzee mjanja

  • @lucasroswe6544
    @lucasroswe6544 5 ปีที่แล้ว

    Tangazaji jingaaa linaboaaa

  • @oscartemu4788
    @oscartemu4788 6 ปีที่แล้ว

    mtangazaji anaboa kishenz

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawaeleweki!

  • @noelkaaya2433
    @noelkaaya2433 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji jifunze kuhoji unaongea sana acha mwenye tukio atoe simulizi.....shule yako ndogo sana

  • @bintikiziwi4600
    @bintikiziwi4600 5 ปีที่แล้ว

    I hate watangazaji wenye akili ngumu kama huyu,kurudia mzee akiongea

  • @mussaharoun5950
    @mussaharoun5950 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha mzee umenifraisha ..et ulishkuru kuepuka na kunyingwa .ila ukafungwa kifungo cha maisha na ukafrai ...ila baadae ukawa unatamn kifo ukaona kifo nacho hakitokei .hahahahahahaha