ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA azungumzia maisha yake baada ya MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA azungumzia maisha yake baada ya MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI
    Ibara ya 45 ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alioitumia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari John pombe Magufuli siku ya Tarehe 9.Dec.2017 siku ya uhuru alipowasamehe wafungwa zaidi ya elfu tatu ndiyo iliyotufanya Tukasafiri umbali mrefu wa zaidi ya kilometa 560 ili kumfikia Mzee Aloyce Mwalongo.
    Mzee huyu ni miongoni mwa wafungwa watano waliohukumiwa kesi ya pamoja ya mauwaji yaliotokea usiku wa kuamkia tarehe 26.8.1974 Mkoani Njombe ambapo baadae walibadilishiwa adhabu na Rais wa kwanza wa Tanzania Hayati Baba waTaifa Mwl Julias Nyerere na kuwasainia adhabu ya kifungo cha Maisha jela,
    Hata hivyo Tarehe 9.Dec.2017 Rais Magufuli aliwasamehe na wakaachiwa huru licha ya kuishi gerezani kwa miaka 43, Tazama video hii ujionee Mzee Mwalongo akisimulia maisha ya gerezani na changamoto alizopitia
    #RAISMAGUFULI
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEWS:
    www.youtube.co...

ความคิดเห็น • 228

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 ปีที่แล้ว +5

    JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825, +255 676 229628 au +255 784 888982 - GLOBAL TV ONLINE.

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema Sana Watanzania wenzangu ogopa sana Maisha ambayo mtu unakula kwa muda unalala kwa muda alafu kosa hauja lifanya Mungu Atunusuru sana nayale Maisha,Mungu akulaze Mahal pema peponi Rais wetu Hayti John Pombe Magufuli Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti....Aamiiin

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 ปีที่แล้ว +32

    Acheni Mungu aitwe Mungu,asante Dr.Magufuli,rais wa wanyonge baba yetu,Mungu akulinde sana

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 5 ปีที่แล้ว +15

    Kwa maneno yako mzee, ikiwa ndivyo endelea kumwamini Mungu, Mungu ni mwema ujapopitia taabu yeye anakukumbuka maana yeye anajua hata hesabu ya nywele zetu, pole sana BWANA ni mwema.

  • @steriahdavid3882
    @steriahdavid3882 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Mzee.
    Ashukuriwe mungu wetu aliye mtetezi wetu siku zote.barikiwa baba yangu

  • @thegloryofchristforwholewo5112
    @thegloryofchristforwholewo5112 3 ปีที่แล้ว

    Dunia hii anayehukumu kwa haki ni Mungu. Pia maisha yetu yanategemea sana uhusikaji wa Mungu kututetea. Tusiache kumtegemea Mungu na kumuomba pia. Oooh Mungu tushike mkono...

  • @cleofasladislaus1474
    @cleofasladislaus1474 5 ปีที่แล้ว +59

    Mungu alisimama na yeye huyu mzee hakutetewa na mwanadamu bali alitetewa Mungu.

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 5 ปีที่แล้ว +2

    Namshukuru Mungu Kwa ajili ya muujiza kama huu, Mungu ambariki mh Rais,,
    Mungu ambariki huyu baba amani yake irudi,,lkn pia Mtangazaji Mungu akubariki nimeyapenda maongezi yako

  • @georgekapani7174
    @georgekapani7174 3 ปีที่แล้ว

    Pole xana mzee kwayaliyokukuta namwomba mungu akujalie maisha marefu na mema pia mung u akubaliki sana

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 5 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana mzee ,,,,, Mtangazaji unamacho mazur sana I like u

  • @judithsimeon7403
    @judithsimeon7403 5 ปีที่แล้ว +3

    Hadi chozi limenitoka
    Pole sana Baba yangu
    Mh Rais Magufuri ubarikiwe sana, maliio yako yapo kwa Mungu

  • @charlesjacob1273
    @charlesjacob1273 3 ปีที่แล้ว +2

    Tz nomaaaaa viongz wanafanya kazi kwa ukomoaj

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว +8

    Wanawake Wa Zamani Bhana Wako Na Uvumilivu Wangekua Wanawake Wasasa Ungemkuta Na Mzee Mwenzio Ndani Mungu Ni Mwema Aliwapa Uwezo Mkubwa Wa Kuvumilia

  • @jacksonmussa7713
    @jacksonmussa7713 5 ปีที่แล้ว +22

    Mtangazaji unaweza sana hongera kwako

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA DR JOHN POMBE MAGUFULI, KWA KUFIKIRI NA KUONA BINADAMU ANA UMHIMU WA KUWA HAI.. ASANTE MTANGAZAJI KWA KAZI NZURI...ROHO MBAYA INA MAVUNO YAKE HAPA DUNIANI KWANZA...

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 5 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana baba, Mungu amekupigania kwa dhuluma hiyo.

  • @khatibabdallah6185
    @khatibabdallah6185 5 ปีที่แล้ว +12

    Inahuzunisha sana kwa kweli lkn kwa Mungu utalipwa mzee uonezi ni mwingi mnoo mnoo, tunamshukuru mh rais

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji uko vizuri, umeiva kitaaluma, hongera.

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana baba yetu
    Hongera sana mamy wew ni mfn kwetu

  • @oswardephraim4217
    @oswardephraim4217 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema sana mzee ameharibiwa ndoto zake zote kisa binadam wenye roho mbaya inauma sana kwa kweli

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 4 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji hongera una kipaji good work

  • @GidionEmamuel
    @GidionEmamuel 5 ปีที่แล้ว +8

    Serikal embu watoeni wazee gerezan hamuon hata aibu siku mkinyakuliwa kwa mungu mtaeleza nini embu fanyen muwezavyo muwatoe mungua awabarika

  • @AddshAddsh
    @AddshAddsh 5 ปีที่แล้ว +3

    president magufuli mungu akuzidishie milele ,mutetezi wawanyonge,mimi ni mu congomani lakini kuona mambo unayofanya juu ya rahia wako,mungu aendelee kukuzidishia miaka maelufu .

  • @mabubakitambi1612
    @mabubakitambi1612 5 ปีที่แล้ว +8

    Daaah,,poleee sana mzee wangu,,, yadunia mengi umenigusa sanaaaa

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mzee kwa mateso uliyo yapata ila hatawale walio kuhukumu kwa uonevu leo hii hawako duniyani wamekufa nawanatakiwa wajib maswali yauonevyo walioufanya huku duniyani

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema siku zote

  • @othomanchabai5222
    @othomanchabai5222 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mzee

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 ปีที่แล้ว +11

    Pole asante rais wangu john pombe m. Unapashwa kuwashtaki hivi mahakimu kweli mlimuhukumu huyu baba kunyongwa ? Mbona hata mie asiyehakimu namwelewa . Ya nini kuwa na hakimu ?

  • @elinahdaudi8195
    @elinahdaudi8195 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama Mungu akisema ndiyo hakuna wa kuzuia,asante sana Rais Magu upo kwa ajili ya wanyonge

    • @mboyibenard9250
      @mboyibenard9250 5 ปีที่แล้ว

      Daa mtangazaji kahabhi mbona unazidi kuwa mrembo hivyo macho kama mhindi duu jamsni

  • @rahimaaziz8970
    @rahimaaziz8970 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana ,mungu wetu nimwaminif

  • @felixmoses9863
    @felixmoses9863 5 ปีที่แล้ว +13

    Pole Baba yangu, Mungu mkubwa

    • @joslinchuwa1298
      @joslinchuwa1298 5 ปีที่แล้ว

      Jamani inauma Sana pole Sana Babangu

    • @bernadrichard9587
      @bernadrichard9587 5 ปีที่แล้ว

      Bila shaka najuA sanA tabora naikumbuka

  • @paulinasemindu1292
    @paulinasemindu1292 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭dah huyo mama anavyolia kiukwel kaniliza hadi mimi niwamama,wachache wanaovumilia,na kutokuolewa namwanaume mwingine pindi mumewe yupp kwenye,tabu inaonyesha,jinsi gani walivyokuwa,wanapendana hongera,mama

  • @veronicachikongoye6523
    @veronicachikongoye6523 3 ปีที่แล้ว

    Pole baba yangu,ni mungu tu

  • @msafirikalinga6938
    @msafirikalinga6938 4 ปีที่แล้ว +4

    Catherine kahabi, unajua sana, maswal yana hisia sana

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 5 ปีที่แล้ว

    pole babangu mungu akupe nguvu kwa wakati mgumu uliokuwa nao

  • @momylaviel
    @momylaviel 7 หลายเดือนก่อน

    Dada cathe nakupenda tu

  • @mussapeter3743
    @mussapeter3743 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu mbariki sana Rais Magufuri kwa kazi anazozifanya ikiwemo kuwaona watu waliofungwa jela bila makosa. Mhe. rais hii inaonesha mpaka sasa wapo watu wengi gerezani wasio kuwa na makosa hivo tunakuomba Mhe. rais uendelee kutembelea magereza ili kuweza kuwasaidia watu wasio kuwa na hatia kama Mzee Mwalongo inasikitisha sana. Mungu akutangulie sana Dr. Magufuri

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah huyu dada power will lina mendoza sijui kaolewa

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu dada meandishi ni mzuri Sana mungu apewe sifa

  • @samsonsamson1152
    @samsonsamson1152 5 ปีที่แล้ว +11

    nakosa lakusema...Bali namtukuza Mungu juu ya hili

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 5 ปีที่แล้ว

    A leader must be like you his Excellency john Joseph magufuli,YOU A VERY GOOD EXAMPLE TO MANY AFRICAN LEADERS,A LEADER READY TO FORGIVE&BE A SERVANT TO OTHERS AS CHRIST JESUS TAUGHT,GENUINE KINDNESS,GENEROSITY,UNDERSTANDING,READY TO HEAR COMPLAINTS FRM THE PIPO WHO VOTED FOR YOU,LOVE&TOTAL CARE KWA WANYONGE,HON NAPE NAUYE ITS OVER FORGET ABOUT THE PAST LET WORK TOGETHER TUMUUNGE MKONO,RAISI WETU AMALIZE PALIPO BAKIA HONGERA SANA KWAKUA TAYARI KUTAMBUA UMEKOSEA NA READY KUOMBA MSAHAMA

  • @nemymtango4074
    @nemymtango4074 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana baba kwel Mungu wetu ni mkuu anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya

  • @japhetsanga3895
    @japhetsanga3895 4 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana baba zetu

  • @shammahlupon7945
    @shammahlupon7945 5 ปีที่แล้ว +3

    Maaskari wengi huwa wanaishia maisha mabaya sana sababu ya kuonea watu kama huyu mzee

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 5 ปีที่แล้ว +5

    Wee dada umebobea kwa hii tasnia umetisha

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 5 ปีที่แล้ว

    Asante Catherine Kahabi nakuelewaga sana

  • @alvinahavitus8538
    @alvinahavitus8538 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana baba,ila we mtangazaji umenimaliza jaman sio kwa uzuri huooo Yani Kama wa bandia jaman

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว +7

    Nimepata somo kupitia maisha ya hyu mzee aliyoyapitia, niekwamba ktka maisha mtu unakuwa unapitia nyakati tofauti unapokuwa unaishi inakuwa tu ni njia zipi unapitia kufika unapokwenda.Huyu mzee kipindi kirefu cha maishayke kakitumikia akiwa jela na katoka kwa uwezo wake Allah lkni kunamtu mwingine yupo huru lkni kwasababu tu maishayke ni magumu anakata tamaa bila kujua ipo siku atatoka na kufikia mafanikio yke. Nipo uggaibuni maisha yaeutafutaji ni magumusana natafuta maisha ila naamini ipo siku kwa uwezo wa Allah nitatoka na kufikia pale ninapotaka kufika.

  • @willisonTheonest
    @willisonTheonest 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndie akimu

  • @patrickbatenga2645
    @patrickbatenga2645 ปีที่แล้ว

    Waandishi uwezo mdogo Sana, story nzuri lakini mwandishi mhh.

  • @youngteo5341
    @youngteo5341 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mzee wetu

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 4 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭Allah awape subra watu wote waliokuwa ktk mtihani huu

  • @consesamallya9763
    @consesamallya9763 3 ปีที่แล้ว +1

    Du jamani sasa wanasheria huyu mzee halipyi hata kidogo toka ujana hadi uzee 😭😭😭😭inauma sana jamani

  • @godfreymushi5125
    @godfreymushi5125 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameteseka mzee mungu ni mwema

  • @sweedihamisikalongo4925
    @sweedihamisikalongo4925 3 ปีที่แล้ว +2

    inasikitisha sana

  • @gracemalatwe5344
    @gracemalatwe5344 5 ปีที่แล้ว +5

    Jaman hadi huruma unajua mimi niliwahi kwenda jela bila kosa mungu mwema

  • @claudemanirambona5985
    @claudemanirambona5985 4 ปีที่แล้ว

    Journaliste nimuzuri sana anamacho mazuri

  • @neemaabeid6861
    @neemaabeid6861 2 ปีที่แล้ว

    Pole baba

  • @cleverlinga3389
    @cleverlinga3389 2 ปีที่แล้ว

    Daa maisha haya

  • @stivenjiduki5656
    @stivenjiduki5656 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @niggasonfleek4755
    @niggasonfleek4755 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Dada anaemhoji Huyu mzee ana sura nzuri

  • @stahimilmassawe8540
    @stahimilmassawe8540 5 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli ni rais mwenye hofu ya mungu

    • @gamelahg4613
      @gamelahg4613 5 ปีที่แล้ว

      Stahimil Massawe kweli unase ukweli kabisa

  • @ibragwambasa3402
    @ibragwambasa3402 5 ปีที่แล้ว

    Pole mzee na Dada upo sawa

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭eliye wadhulum inshaallah nayeye mungu atamdhulum polesana mzeewetu lakini kesho kwamungu watakulipeni dhulma waliyokufanyieni

  • @mpoleclassic160
    @mpoleclassic160 5 ปีที่แล้ว +14

    Daaah huyo mtangazaji wa kike nimempenda sana jamani

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji yuko vizuri

  • @franciscogosbert9603
    @franciscogosbert9603 5 ปีที่แล้ว +17

    Hiyo sound track bana inaamsha hisia za kulia banaaa na jinsi anavyosimulia mzee inasikitisha

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuelewa huyu dada💙😘

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 5 ปีที่แล้ว +1

    Serekali za kiafrika hazina netwk hazichunguz mambo yapaswavyo watu wengi wamefungwa vifungo bila ya makosa yoyote lakini mungu nd kila kitu na ipo siku yeyote anaemuhukum mtu yeyote bila kosa ipo siku mw mungu atahukumiwa hapa hapa duniani

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana baba😥🙏

  • @mamanimama2618
    @mamanimama2618 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @halisiaisaya7832
    @halisiaisaya7832 5 ปีที่แล้ว

    Nimegushwa sana Moyoni Mwangu.

  • @lowasalesirai9504
    @lowasalesirai9504 3 ปีที่แล้ว

    Huyo sister walay n smart girl

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 2 ปีที่แล้ว

    Alhmndulillah

  • @mahamudubakari5895
    @mahamudubakari5895 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ndio kimbilio lamwanadamu mtangazaji hupo poa sana

  • @fidesbenard3270
    @fidesbenard3270 5 ปีที่แล้ว

    Pole baba..

  • @stumay-wx9rp
    @stumay-wx9rp 3 ปีที่แล้ว

    Bole san baba angu pole mama angu polen familiy inaumiza ila mungu hamtup mcha wake asant rais wetu mungu akuongoz vyema 😭😭😭

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 ปีที่แล้ว +3

    Maskini pole sana baba Mungu mwema kwakweli

  • @abdallahrashidi4560
    @abdallahrashidi4560 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji upo ok

  • @fredrickpeter8051
    @fredrickpeter8051 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji Pisi Kali aseee

  • @Rubuka264
    @Rubuka264 5 ปีที่แล้ว +3

    Uyu mwanamke ni mzuri. Nilikuwa nakufuata bila sikukujua dada.

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ndio waliotuhumiwa kumuua mhindi kwenye nyumba ya Baba yengu. Kipindi hicho Baba yangu kanunua nyumba akampangisha mhindi Njombe mjini. Akaenda katafuta mtaji Zambia akarudi kutoka Zambia nakuona nyumba imechomwa Moto. Miaka ya 70s. Baba yangu Mzee Ufunguo alishatangulia mbele za haki. R.I.P. Ila wazee hawa waliotuhumiwa kumua mhindi kwenye nyumba yetu wapo hai wote

    • @inosentrogat9624
      @inosentrogat9624 5 ปีที่แล้ว

      Danford Mwabena nikweli au

    • @masachihorticultureunitcol711
      @masachihorticultureunitcol711 5 ปีที่แล้ว

      @@inosentrogat9624 ni ukweli Kwa jinsi nilivyoisikia Stori hii Stori nyumba iliyochomwaga Moto na mhindi wakamuua ni yetu wakati huo Yule mhindi alikuwa mpangaji wetu Mimi sijazaliwa. Na maeneo anayozungumzia kwamba ilikuwa jirani na Duka la Bora

    • @jacquelineadrian1112
      @jacquelineadrian1112 4 ปีที่แล้ว

      Akiungana na yule aliekamatwa na kakaake?ila huyu alikuwa mlinz wa mbali kidogo na hiyo nyumbayenu

    • @masachihorticultureunitcol711
      @masachihorticultureunitcol711 4 ปีที่แล้ว

      @@jacquelineadrian1112 nyumba zipo jirani kabisa nyumba ya tatu kutoka alipokuwa anailinda Duka la Bora . Mimi mwenye nimeisikia tuu hii Stori toka zamani Kwa maelezo hayo hii yenyewe.

    • @jacquelineadrian1112
      @jacquelineadrian1112 4 ปีที่แล้ว

      @@masachihorticultureunitcol711 ni sawa but huyu kaz yake ilimponza

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 5 ปีที่แล้ว +2

    Duu,,inauma sana

  • @kamarat36safari52
    @kamarat36safari52 5 ปีที่แล้ว +1

    Congrats to Global TV but mostly nimempenda huyu host Macho yake nung'unung'u akinitazama 😘👁️

    • @RomwardWM
      @RomwardWM 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😂😂😂😂

  • @johnferdnand2048
    @johnferdnand2048 5 ปีที่แล้ว

    Rais magufuli mungu azidi kukuongoza katika uongozi wako uendelee kuwatetea watu wanao onewa

  • @hemedhongo8687
    @hemedhongo8687 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji mzuriii

    • @wazirituppa6739
      @wazirituppa6739 3 ปีที่แล้ว

      Wakawaida Jicho na Weupee Ndio Umemsaidiaa 😂😂😂

  • @mmlove9127
    @mmlove9127 5 ปีที่แล้ว +2

    Big love to mama

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mema.wengi walionewa kufugwa kwa ajili ya rushwa

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 3 ปีที่แล้ว

    Pole san babu yng

  • @alphaleahibrahim8904
    @alphaleahibrahim8904 5 ปีที่แล้ว +3

    mtoto wa mzee ni kichwa

  • @lidialameck5590
    @lidialameck5590 5 ปีที่แล้ว +3

    Catherine napendaga kisauti na njonjo zako, hongera

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheria za Tanzania zina macho lakin hazion, nimesikitika sana unamfunga MTU maisha bila ushahidi kisa muhind mwizi wa Mali zetu Africa duu aibu sana

  • @lowasalesirai9504
    @lowasalesirai9504 3 ปีที่แล้ว

    Ana sauti nzuri anatoa nyoka pangoni

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 ปีที่แล้ว

    WENYE MAMLAKA WANAJIBEBESHA LAANA KTK MIOYO YAO, NA FAMILIA ZAO HASA IKIWA KWELI WANAKUWA WAMEWABEBESHA MIZIGO WATU KAMA HAWA, POLISI. MAHAKIMU, WENYE MAMLAKA..
    .😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @frankfrank7717
    @frankfrank7717 3 ปีที่แล้ว

    Oo

  • @zwainazwaina9808
    @zwainazwaina9808 3 ปีที่แล้ว

    Oh

  • @officialmwerevu5455
    @officialmwerevu5455 3 ปีที่แล้ว

    Daah jamani wakati mwingine mahama ifae kuangalia kabla ya hukumu

  • @johnferdnand2048
    @johnferdnand2048 5 ปีที่แล้ว +2

    Daa mzee wewe ni zaid ya shujaa
    Mungu yupo nawe

  • @arikasisolution2253
    @arikasisolution2253 3 ปีที่แล้ว

    Catherine

  • @peterlopem3982
    @peterlopem3982 5 ปีที่แล้ว

    Mungu yu mwema kwetu kila wakati