Askar hakupiga salute kwa Sababu 1, askari hapigi salute bila ishara kama bendera, plate no. Ambavyo vyote havikuwepo kama ishara. 2. Gari ya kiraia si tatizo, ila mh rais hakushusha kioo hivyo hakuoneka, so hakuweza piga salute kwa Sababu hakumuona. NB: Kumbuka gari ya kiraia si tatizo, kama angemuona kwa ghafla hata ndani ya chombo chochote tena bila ishara angempigia salute, tatizo hakumuona na sidhani hata taarifa kama alikuwa nayo. 🙏
@@abdulswamaduathumani2791 ndugu zangu wa tanzaniya nawaomba musichezee bahati aliyo wapa MUNGU mregesheni tena makufuli musidanganywe na wazungu hawawapendei mema
Uko sahihi, na kinachotambulisha kwamba gari lina kiongozi ni bendera na plate namba. Laweza kuwa ni gari tu bila kiongozi hapo hamna saluti. Kwa mazingira ya gari hilo hapakuwa na sababu ya kupiga saluti maana hakuna kiashiria chochote kama kuna kiongozi. Wenye magari kama hayo wapo wengi.
Wakati mnarusha habari muwe makini mtajikuta mnawaletea matatizo watu wana watoto na familia zinawategemea unaposema "Lakini cha ajabu traffic 👮 hakupiga saluti unamaana gani??"
Hahaha 😂😂nimejiuliza tu kwa sauti mala paaa Askari kapiga mkono gari maana imeovertalki ana kutana na bosi wake 😜😜ungesikia muheshimiwa pita ,, muheshimiwa sasa,, usijari kijana enderea kupiga kazi kwa rafuzi ile ya watani zangu ,,🤣🤣 love you Papaa magufuri 2020 kura yangu chukuaaaaaaaaa💪💪
Dereva anatakiwa kutoa ishara inayoonyesha mkuu yupo ndani kwa ishara ya taa kama hajamuwashia kamanda hana koso na kama gari lipo na dereva tupu unampigia mambo yanaenda na ishara
Mhe, usalama kwako ni muhimu sana, Mimi naona hii si Sawa, ninapenda sana unavyojiamini ila isizidi sana, wewe ni Tanzania na Tanzania ni wewe kwa sasa, Mungu akulinde Mhe wetu
I'm very very sure his excellent president maghufuli was really bothered and disturbed seeing that unnecessary jam thus must have given instructions to his minister to remedy that problem... I truly like and respect the TANZANIAN president.... I wish and pray Tanzanians decide to change their constitution by giving him a third term, I promise you it will rank second after South Africa in infrastructure development and Tanzania will be the ONLY country in Africa that will be corruption free and with the best economy!!!!!!
Sasa angepiga saluti aje gari yenyewe ni ya binafsi angejua aje ni rais Yuko ndani we nawe siku hizi watukologa bana... But much love from Kenya's in Dubai
Mungu anamuonyesha kuaa.kunasiku itakua hivyo usijisahau jpm kuna maisha baada.ya kutawala duniani kotee watu hawapendi kutawaliwa na.were unatawala badala ya kuongoza kama jl au kenyata Uhuru we jpm Leo umekua kagame juzi idiamini mtondogo umekua Mobutu baaadae baada ya utawala utaitw makuful ya kuwafungiaa.watu jela mungu asukusaidiee hata chembe aaameni
Sasa apo kajichanganya kwenye foreni gani jamani wakati magari yapo kwenye foreni na yeye anapita pembeni ambapo sio sait yake na uku askali alievaa suti akiyatawanya magari mengine yampishe ...kichwa cha habari na video yenyewe vitu viwili tofauti kabisa..
Ndg , watanzania wenzangu mungu aliye ruhusu magufuli aibadilishe Tanzania ndiye aliyeruhusu mama samia aendeleze safari aliyoianza JPM kwaiyo tuzid tu kuombeana kwa mwenyezi mungu Tena na Tena ng'ambo tutafika tu Amina.
Mwandishi kuna kitu umekosea, ilo gari halikuwa ni gari binafsi bali mmliki wa gari ni ofisi ya Raisi.Muwe mnafanya uchunguzi kwanza kabla ya kuhabarisha umma wa watanzania.Nawasilisha
R.I.P His Excellence honourable Magufuli.....You are Forever in our hearts ❤
Magufi
You have to say this in your heart not in our heart don't speak on behalf of others
The best president in Africa never happened before..congrats JPM..
We had Thomas Sankara before.
@@someaafrika.3379 He wasn't smart, he got screwed by the brothers themselves.. Magufuli spots rotten people
what abt madiba?
@@sponsor7882 Madiba yes so was Nyerere and Mugabe...In fact we had so many of them, unfortunately our generation only have access to the presence.
Bokasa,Mobutu and Banda
Jemedali wetu daima tutakukumbuka mwamba .Mungu akupe pumziko la milele
Askar hakupiga salute kwa Sababu 1, askari hapigi salute bila ishara kama bendera, plate no. Ambavyo vyote havikuwepo kama ishara. 2. Gari ya kiraia si tatizo, ila mh rais hakushusha kioo hivyo hakuoneka, so hakuweza piga salute kwa Sababu hakumuona.
NB: Kumbuka gari ya kiraia si tatizo, kama angemuona kwa ghafla hata ndani ya chombo chochote tena bila ishara angempigia salute, tatizo hakumuona na sidhani hata taarifa kama alikuwa nayo. 🙏
Pia kuna inshara ya taa dereva huwa anaionesha unajua ndani kuna mtu anaestahili kupigiwa sarut
Nadhani wameelewa
Nakukubali mkuu wangu William Bado makumbusho au Santa peters
Askari akiwa anapitisha msafara wa kiongozi yeyote hawajibiki kupiga salute. hizo sababu nyingine ni za ziada
Inaonekana askari taarifa anayo ila Hajui ni gari gani. Ona gesture yake alivyosimama kusubiria.
Sasa police anakosa ganiii 🤣🤣🤣
JPM Mimi nakupenda lakin Kuna ambao hawakutak hvyo suala la ulinzi ni muhimu. Much love my president JPM 💯✓
Naamini hilo gari limejaa walinzi na waochukua video itakuwa usalama
Weee lazima awe na walinzi asikuambie mtu
@@abdulswamaduathumani2791 ndugu zangu wa tanzaniya nawaomba musichezee bahati aliyo wapa MUNGU mregesheni tena makufuli musidanganywe na wazungu hawawapendei mema
Analindwa na Mungu, hata usihofu, maana maandiko yanasema ,mlinzi akilinda bila Mungu afanya kazi Bure.
Mimi na kupenda baba uende lee kutuongo zasiku nyingine usifanye hivo usalama wako muhim baba
Sasa askari angeota nirais anapita🙄🙄🙄
Mbona kama umeniwah.swal kama Hilo ndo nilitaka niulz
Kweli mrembo
😂😂😂😂ata kama n mm ningejua ni rais anapepezaa gari vilee😂😂
Uko sahihi, na kinachotambulisha kwamba gari lina kiongozi ni bendera na plate namba. Laweza kuwa ni gari tu bila kiongozi hapo hamna saluti. Kwa mazingira ya gari hilo hapakuwa na sababu ya kupiga saluti maana hakuna kiashiria chochote kama kuna kiongozi. Wenye magari kama hayo wapo wengi.
Hahaaaa sasa apo asikar angepiga vp salt Na gari inakimbia jaman haaaaaaa mbavu zang mie
nchi yetu ni nchi ya amani namshukuru Mungu kwa kuniwezesha nizaliwe Tanzania
kwa sasa mama anaipoteza aman
Wakati wa Makufuli watu walijuta kuzaliwa Tz,hata sura ya Tz iliharibika kimataifa
Ulijuta ww na ukoo wako@@saimonjohnsumley9198
@@nailatypita hivi
@saimonjohnsumley9ulijuta wew 198
Nimipenda sana hii ,Rais alivyo jichanganya kitaa .Na hii ndiyo inamfanya kujua SHIDA nyingi za wananchi wake .Mungu atubariki Watanzania.
Raisi we2❤
Kabisa
Mnamuandama uyo askar mwishoe afukuzwe kazi
Hawezi kufukuzwa kazi kwanui angejuaje kwamba Rais anapita wakati ni gari binafsi
Sio kosa lake askar hawez kufukuzwa kaz
Kwani umeambiwa anawafukuza hivyo magufuli ni rais mwenye elimu safi na akili timamu
@@kato_tz apo sasa🤷♀️🤷♀️
Hamna kosa la kumfukuzisha kazi Askari huyo kwani yuko sawa na ni sawa 100% unapigaje salut kwa mtu ambaye humjui au hufahamu ni Nani.
Mungu akuweke mahala pema sana mkuu wetu tutaonana badae tupo tunakuombea sana tunajivunaia sana kipindi chako...
Kwakweli
Hakua na haja ya kupiga sarut wakat Gari alilokuwemo rais lilikua n gar binafsi Hana kosa lolote trafik
Siyo sarut sema salut
@@selector728 😂😂
Kwanii nani kasema ana kosa!!!
Kwahiyo gari ndiyo inapigiwa saluti? Sema hakumtambua kwa usafir uliotumia.
Gari ya rais kama ikiwa na ile nembo hata kama hayumo unaipigia salut
Baba Magufuli ndo ushalala, duu inauma sana
Sasa mtu hapo ajichanganye lamda hizo daladala zimekodiwa zimeja wajeda nyie mnaona yuko kwa foleni kumbe wote hao niwajeda😂😂🤣
😂😂😂
KabizaaaAaa
Hahahah! Umeona eeeh
Tenaa
@Humphrey Msengi
Yami ulinxi wa rais hapo mkuu ni mkubwa sana.hsyo maari yite unskuta wamejaa wazee wa kz.
Sasa traffic angejuaje km ni rais
Slaying Tee eti jamani yeye angejuaje
Angeota😁😁
Si angenusa harufu ina maana harufu ya boss wake haijui
Asingeota
True...
Mungu akulehemu mueshimiwa magu
Mwenyezi mungu amfanyie wepesi.
Our Great Hero may your Soul rest n peace. 🙏🙏🙏
Nakupenda mh jamani mungu akupe maisha marefuu ya amani
Tiffah ulikua Kama unamuombea kufa vile ndo ishatokea
Wakati mnarusha habari muwe makini mtajikuta mnawaletea matatizo watu wana watoto na familia zinawategemea unaposema "Lakini cha ajabu traffic 👮 hakupiga saluti unamaana gani??"
😁😁😁😁😁😁😁 Ukickia mataira ndo hawa
Exactly angejuaji
Haaaa....!!! Amiri Jeshi wetuu,ni baadhi ya mambo ambayo yanamfanya awe unique!!Barikiwa!!?sanaaa Rais wangu.
Utapitaàaa tu mzee baba 💪💪
Mungu akulaze mahala pema peponi amin
Mungu amrehemu. JITU LA WATU.
Alindwe siku zote
Marufuku siku ingine
Tumempata kwa shida my lovely prezidaa
Duh! tunakupenda baba lkn usirejee tena kuna wasiokutakia mema rais Karume aliuliwa na wewe Mungu akulinde ila ulinzi muhimu . big up
Kwani ww kwa akili zako ndo unaona apo yuko peke yake jiongeze dungu apo ulizi upo ila so kama ule ulozoeleka siku zote
Huyo aliechukuwa video tuu tujiulize...inamana ulinzi anao
Karume aliuliwa baada naye kuua
Shomari kapombe
😢
Hahaha 😂😂nimejiuliza tu kwa sauti mala paaa Askari kapiga mkono gari maana imeovertalki ana kutana na bosi wake 😜😜ungesikia muheshimiwa pita ,, muheshimiwa sasa,, usijari kijana enderea kupiga kazi kwa rafuzi ile ya watani zangu ,,🤣🤣 love you Papaa magufuri 2020 kura yangu chukuaaaaaaaaa💪💪
I love you with no reasons Hapa kazi tu
Raisi wa mfano barani africa
Mpaka Leo tunakukumbuka baba
Our president ni zawadi yetu kwa Mungu. Hakuna mwenye imani kama yake, hana kibri. Mungu ampe afya njema na familia yake yote. We love you Baba
He jailed innocent people,he never employed ,he had dangerous neopotism
Alichokifa hapa sio cha kukipongeza Rais ni taasisi bhana
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele upimzike kwa amani
We proudly for your good leadership
Tunakupenda Sana rais wetu Ila wapo wachache wanao kuchukia
The best president of our time, it is 2023 now but we still grief
Tutakumbuka daima
Nakupendaaaaaaaaaa JPM, nakupenda, jamani nakupendaaaaaaa.
Mungu Amjalie punziko la milele
Nice one good very good excellent my President
Askari angejuaje sasa jamani..mtangazaji unazingua
Traffic hana makosa hakujua Kama ni msafara wa mh
Polisi alikuwa anashanga tuu
Mwaje Mwafula yah
Dereva anatakiwa kutoa ishara inayoonyesha mkuu yupo ndani kwa ishara ya taa kama hajamuwashia kamanda hana koso na kama gari lipo na dereva tupu unampigia mambo yanaenda na ishara
Atapigaje salute kwa mtu asiemjua
Maisha ya kienyeji nayo yana raha yake....anamiss vingi mzee
Anapigaje Saluti wakati hajui kama rais yupo kwenye hiyo gari wewe mwandishi nae kimeo
Mungu akuweke baba msalimie na baba angu😢😢
Nyie muda mwingine ni wachochezi mshasema gari binafs kwani huyo trafic ni mfalme njozi aote kua hilo gari yupo raisi
Milladi ayo angalia usipoteze hadhi ya channel zako sasa huyo mtangazaji anasema rais hajapigiwa salute angejuaje ikiwa hajamjua
Mashaalah
Mhe, usalama kwako ni muhimu sana, Mimi naona hii si Sawa, ninapenda sana unavyojiamini ila isizidi sana, wewe ni Tanzania na Tanzania ni wewe kwa sasa, Mungu akulinde Mhe wetu
Kama polisi hakujua kuwa rais anapita bas alikua salama
Angelipiga salute tungeshangaa kuwa huyu mwamba kazi ni kuchungulia magari asee
Traffic wa watu anajishangalia tu maana hakukua na namna ya kujua huo ni msafara wa rahisi. So alikua sahihi kutokupiga salute.
Rip jmn😣
Watanzania hakuna zawadi au fadhila tunayoweza kukulipa Zaidi Ya Kukuongezea Muda Tu Wa Kukaa Madarakani. Mungu atusaidie tulifanikishe hili
Asee tuna kukumbuka san mungu akusaidie uko uliko
Daa inauma
Hiyo ni ishara kwamba Tanzania ni nchi ya amani#na tuombe Mungu azidi kuidumisha amani ya Tanzania daima kama alivyofanya Mh.
Amani Iko wapi? au kwavile hujadhuriwa wewe au nduguyako,ACHA unafiki
Jamani!!! asa atapigaje saluti wakati hana taarifa yoyote ya safar ya Raisi 😁😁😁😁😁
Kbx Nami nakupenda sana Pesident wa Tanzania kbx
Mwamba hakika tunakukumbuka sana
I'm very very sure his excellent president maghufuli was really bothered and disturbed seeing that unnecessary jam thus must have given instructions to his minister to remedy that problem... I truly like and respect the TANZANIAN president.... I wish and pray Tanzanians decide to change their constitution by giving him a third term, I promise you it will rank second after South Africa in infrastructure development and Tanzania will be the ONLY country in Africa that will be corruption free and with the best economy!!!!!!
Stop there
Totally dictetorship
@@saimonjohnsumley9198 your very stupid ni Bora udikteta wenye maendeleo kuliko demokrasia iliyo jaa upuuzi na kukosa muelekeo
RIP chuma😭😭😭
Wewe huyo traffic anajua mchezo mzima mana sio kwa usimamaji ule
Asante sana mwenyezi MUNGU
Sasa angepiga saluti aje gari yenyewe ni ya binafsi angejua aje ni rais Yuko ndani we nawe siku hizi watukologa bana... But much love from Kenya's in Dubai
Bora umesema urais sio madaraka ya kutesea wap... Angejuaje Kama huyo ni rais
Angekaa kwny folen mwazo mwisho mbona gari imetanua kulia...chezea folen ww
Reast easy great of all
Sasa atapiga salute vip n magu sio raisi hadi achaguliwe tena ndio awe raisi wa nchi
Namkubali sana rahis wangu magu.
Great 💯😭
Safi sana, ni nchi ya amani hii
Lilikuwa Jembe letu,Tingatinga Mweke mahali pema,Peponi Amina
Hiyo ya Askari kutopiga salute isiwe story, nafikiri hakujua Kama president...unajua mazingira ya Askari kupiga salute? We love our president.
Salute yanini sasa mbn unahrbu sasa
R.i.p jmn
Mungu Hakulinde Rais wetu wa tanzania
Penda rais magufuli God bless you
Mungu anamuonyesha kuaa.kunasiku itakua hivyo usijisahau jpm kuna maisha baada.ya kutawala duniani kotee watu hawapendi kutawaliwa na.were unatawala badala ya kuongoza kama jl au kenyata Uhuru we jpm Leo umekua kagame juzi idiamini mtondogo umekua Mobutu baaadae baada ya utawala utaitw makuful ya kuwafungiaa.watu jela mungu asukusaidiee hata chembe aaameni
Huenda huyo traffic alikuwa hajui kama gari ni yanani
Rest in peace father
Barabara nyeupeee😊
nimeipenda
Sasa apo kajichanganya kwenye foreni gani jamani wakati magari yapo kwenye foreni na yeye anapita pembeni ambapo sio sait yake na uku askali alievaa suti akiyatawanya magari mengine yampishe ...kichwa cha habari na video yenyewe vitu viwili tofauti kabisa..
Duh noma can trafk alijua gari tyu la kiraia
Tunakupenda sana Mr president
Ndg , watanzania wenzangu mungu aliye ruhusu magufuli aibadilishe Tanzania ndiye aliyeruhusu mama samia aendeleze safari aliyoianza JPM kwaiyo tuzid tu kuombeana kwa mwenyezi mungu Tena na Tena ng'ambo tutafika tu Amina.
Salute haipigwi hovyo mzee angejuaje ndani ya gari kuna magufuli,au plet namba ya gari imeandikwa jina la magufuli?
We mtangazaji ni boya, kasome kwanza ujue mazingira ya kupiga salute nanga ww
Hahahahaha ! Nanga maneno ya majeshini hayo !
Huyo hata skauti hakupita🤣🤣🤣🤣
Ingekuwa dar ving'ora lazima maana kwa foleni ya huko!.
God bless you mr president
MAGUFULI BABA LAO kwa maendeleo ya Watanzania 🇹🇿
Yup very good
Oooh no I cannot believe it.
Sasa apige sarut gar katumia private kwanza trafic alioigwa butwaa Nani anaharibu foleni
Hahaaaaa
😁😁😁😁
😂😂A anajua kutufurahisha
Yaani uyu mtangazaji nguchiro kweli
Au anapigia magar yote salutii😂😂 ,Mtangazaj naye anazingua 😂😂
Hahaha angekuwaaa dar hata asingejaribu kukaaa kwenye folen
Sasa atapiga salute anajuaje kama kuna kiongozi anapita
Mwandishi kuna kitu umekosea, ilo gari halikuwa ni gari binafsi bali mmliki wa gari ni ofisi ya Raisi.Muwe mnafanya uchunguzi kwanza kabla ya kuhabarisha umma wa watanzania.Nawasilisha
Duuh umenichekesha kweli wajeda 😂😂😂halafu ss tunaona abiria tu kweli wajeda wapo
Safi sana
Kwani Askari Angeota kuwa Rais anapita😊