Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Wewe Ni Kumbukumbu Wa Matukio Ya Zamani Yaani Ukitaka Kumkubuka Mtu Inabidi Uvute Kumbukumbu Ya Matukio Yake Ya Zamani.Kinga Katika Mwili Nikitengo Kikuu Kwa Vitengo Vyote.Maisha Yako Ya Kabla Ndio Maisha Halisi.Mtoto Yoyote Anaezaliwa Ni Mwili Mdogo Lakini Kiumbe Cha Kale Ni Zaidi Ya Kimo Unachokiuona.Kwa Nini Mzazi Anaweza Kumlaani Mtoto Lakini Mtoto Hawezi Kumlaani Mtoto? Kwa Sababu Mzazi Hachagui Mtoto Lakini Mtoto Anachagua Mzazi Wa Kuzaliwa Nae.#ChomozaTv#DrElie#MwangaWaAkili.

ความคิดเห็น • 21

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee ,Dr. ELLY unaongea vitu ambavyo ni ukweli mtupu nilitamani sana haya mafundisho yawafikie rika zote hasa vijana wenzangu, kinachonisikitisha nikiangalia viwers 0nly 351 nenda video za udaku utashangaa viewers zaidi ya milioni na...............hizi nguvu tungeziamishia kwenye mafundisho yanayojenga kama haya dunia ingekuwa salama. mbarikiwe nyote team chomoza ''THE HUB OF HOPE''

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 4 ปีที่แล้ว +1

    Fikra pana

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr ,unayo mengi sana sana kwaajili ya vizazi na vizazi ,unatumegea kidogo sana,nafikili Team Chomoza kuanda kitu ambacho kitaweza kuwafikia wengi zaidi ,Maana Dr anayo mengi ambayo yanaweza kutusaidia sana ,Ahsante kwa hekima yako iliyo kuuu.

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว +6

    Very true... Naomba mungu akuongezee maarifa Dr.
    ..unafaa kunifundisha. Sana. Sana.... Natamani kukuona Dr. Basi tu... Nahis nabii Ellia Kaja now.

  • @pablomufasa854
    @pablomufasa854 4 ปีที่แล้ว +8

    Nina hakika tuki trace bak chimbuko la DNAs za huyu Dr lazima tutakuta babu yake ni Mfalme Suleiman

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbaya, mbolea nimekupata sanaa Dr. Be bless always from Qatar

  • @kingvikey4682
    @kingvikey4682 ปีที่แล้ว

    ..Dr uishi maisha marefu

  • @stellapeter6387
    @stellapeter6387 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbu kumbu mbaya mbolea......

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 4 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhh asante doctor somo limeingia na hongera sam kwa miaka 7 ya ndoa

  • @OGomba-ht7yq
    @OGomba-ht7yq 4 ปีที่แล้ว +3

    Kumbukumbu mbaya ni mbolea, usiziruhusu ziwe hasi..

    • @jovinusjovinary8238
      @jovinusjovinary8238 4 ปีที่แล้ว

      Tunawezaje kupata hizo recodi za dr ellie yaa nyimbo alizo tunga??

  • @chiefgustavo587
    @chiefgustavo587 4 ปีที่แล้ว +2

    #MAJIBU YAPO MATATIZO NDO YAMEKOSEKANA

  • @mathiasvicent9955
    @mathiasvicent9955 4 ปีที่แล้ว

    Duh nakuelewa sana ubarikiwe!

  • @fideliskimati4619
    @fideliskimati4619 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja

  • @davidtukiko2545
    @davidtukiko2545 4 ปีที่แล้ว

    Dr Elie hebu nisaidie viongozi Wa dini ambao wanashika waumini wao kichwa kisha wanaanguka chini ile inatokana na elimu ya theologia au ni nguvu IPI walio nayo.
    Pili wanatibu waumini kwa kuwaonmbea na baadhi yao wanakiri kupona hiyo ni nguvu IPI waliyonao.

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 4 ปีที่แล้ว

    God bless y'all

  • @mrbensonbabatz8218
    @mrbensonbabatz8218 4 ปีที่แล้ว +1

    👈👈👈👈👈👈

  • @RoseRose-vf5km
    @RoseRose-vf5km 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli nime jifuza