ความคิดเห็น •

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว +3

    HASSAN MWAKINYO alimkung'uta vibaya mno Yule bwege walitufanyia fitna zao ❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 ปีที่แล้ว +10

    Kinacho niumiza Mimi juzi juzi tu katoka kumpoteza mama ake maskini ninauakika mwakinyo bado ana muwaza mama ake bado aja kaa sawa nampenda Sana mwakinyo naomba nimpe pole sisi waelewa na ambao tumefiwa na wazazi tunajua ana wakati gani...pole na hongera ww ni mshindi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏

  • @robertsultan1808
    @robertsultan1808 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana watanzania wazalendo mliopo wingereza kwakumtia moyo mwakinyo kiukweli tumehujumiwa sana,

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 ปีที่แล้ว

      Sana tumeona tu meangalu

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 ปีที่แล้ว

      Sana tumeangalia pambano zima bondia wetu Mwakinyo ni Bora sana alimchapa makonde hasa walituhujumu ilo halina ubishi!

  • @mungatanamedia5157
    @mungatanamedia5157 ปีที่แล้ว +6

    I like how Tanzanians embrace their own...

    • @salimdzuya5480
      @salimdzuya5480 ปีที่แล้ว

      HAUJUI UNACHO SEMA WEWE KAMA ANTONY JOSHUA JUZI ALIMWAGA MACHOZI KAMA MTOTO MBELE YA WAANDISHI MWAKINYO NNANI ASILIE KUPOTEZA WENYE ALIKUWA YUKO MBELE POINTS SIO KITU RAHISI.

  • @mr.vigorouslyj.r1332
    @mr.vigorouslyj.r1332 ปีที่แล้ว +3

    Wazenji wezangu wanyumbani✌🏻✌🏻✌🏻

  • @user-lu5js8lv2n
    @user-lu5js8lv2n หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo wetu usikate tamaa.twakupenda.kinomanomaa

  • @ibrahimkambi5444
    @ibrahimkambi5444 ปีที่แล้ว +2

    Liam Smith he will always remember you the fight was good really good don't lose hope Champez once a Champion always a champion keep it up Brother 💪🇹🇿

  • @kessyester2479
    @kessyester2479 ปีที่แล้ว +4

    Asanyeni watanzania wenzetu kwa kumtia moyo mwakinyo

  • @lewiskombole2917
    @lewiskombole2917 ปีที่แล้ว +2

    That was a good company my boys

  • @milasbaibe307
    @milasbaibe307 ปีที่แล้ว +1

    I love the encouragement big up guys God bless you 💞

  • @nasirirashidi4350
    @nasirirashidi4350 ปีที่แล้ว +3

    Inshallah tutashinda tu ilikua bahati mbaya tu

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 ปีที่แล้ว

    Usijal mwakinyo u are steel the best bt ndo kushindan tuko pamoja naww

  • @abrahamanthony5010
    @abrahamanthony5010 ปีที่แล้ว +1

    Mandonga angekuwepo naye hapo amfariji,Amwambie usilie endorsement nyingi zinakuja.

  • @magneticsechonge8922
    @magneticsechonge8922 ปีที่แล้ว

    I felt so bad for what happened but U still the best no matter the circumstance but be professional❤🙏🏼

  • @samiryyasini5563
    @samiryyasini5563 ปีที่แล้ว +1

    Aongeze bidiii amepoa sana mwakinyoo pachi nyepesi na speed pia

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 ปีที่แล้ว

    not bad bro🤝

  • @nathanpangjanda2734
    @nathanpangjanda2734 ปีที่แล้ว

    Mandonga yuko wapi?

  • @jaymore6785
    @jaymore6785 ปีที่แล้ว

    Mzungu anabahati sana 🤣🤣🤣🤣

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 ปีที่แล้ว +1

    haihitaji kua expert kuelewa alicho kifanya Mwakinyo , am simply saying that Mwakinyo Kauza mechi atambue kaliaibitisha Taifa🇹🇿 sio yeye

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 ปีที่แล้ว

      Acha mambo yako ww

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 ปีที่แล้ว

      We mwehu au

    • @geofreymongi5403
      @geofreymongi5403 ปีที่แล้ว +2

      Hiyo mechi aliyouza alitafutiwa na nani ama ulihusika vp kupatikana kwa mechi hiyo na ameuza bei gani? Acha husda na kutoa taarifa zisizo na ukweli unamchukia bure tu mtu ambae kwa juhudi zake anajipigania maisha yake kwanza ulimjulia wapi kama siyo bidii zake mpaka ukamfahamu

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 ปีที่แล้ว

      Hata kama kauza pambano nani alimchangia pesa kwenda kambi FROLIDA na kwenda LIVERPOOL kwa hio usimlaumu haujui anapitia changamoto kiasi gani ? Hao waingereza wanasupportiwa na matajiri wakubwa ulaya na huo mwakinyo anayemmpa pesa za mahitaji yake yote ni nan?

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD ปีที่แล้ว +3

    We need this fight again/

  • @irenemwewe3566
    @irenemwewe3566 ปีที่แล้ว

    Na Mimi nimelia jamaniii

  • @hassantabasam6632
    @hassantabasam6632 ปีที่แล้ว +2

    Me hata siamin kilichokea ila usife Moyo Power Punch tupo nyuma Yako

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 ปีที่แล้ว

    Tatizo letu watanzania hatuna uzalendo na vyakwetu mana mwakinyo hakuwa na kampani yakutoka Tanzania nandomana aliingia akiwa mnyonge na akatoka mnyonge

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 ปีที่แล้ว

    Acheni kumdanganyaaa jaman

  • @suleshsneider8545
    @suleshsneider8545 ปีที่แล้ว

    Tunazikia hapa UINGEREZA au tunasafirisha

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 ปีที่แล้ว +1

    Mwakinyo hajapigwa amepoteza pambano lnaonekana kuna shida ilitokea

  • @afidhabakari5949
    @afidhabakari5949 ปีที่แล้ว

    Unajua

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 ปีที่แล้ว

    Bado hajawa sawa mwakinyo kumpoteza mama sio kitu rahisi arudi atulize akili ajipange atafanikiwa

  • @stevbiko5811
    @stevbiko5811 ปีที่แล้ว +1

    Leta mzungu huyooo mandonga mtu kazi ampige kama ngoma

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 ปีที่แล้ว

    Mwakinyo yuko vizuri...!!
    Ni fitina tu wamefanya

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

      zijue sheria za ngumi kwanza usilaumu bure pale Hakukuwa fitina yoyote mwakinyo ndio kajiangusha chini na kunyoosha mikono juu kujisalimisha. refa yoyote wa ngumi akiona ishara ile lazima avunje pambano na kumpa ushindi mpinzani

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 ปีที่แล้ว

    inaumiza ila m bado nakukubar mzee

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga ปีที่แล้ว

    liludiwe tena

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 ปีที่แล้ว

    Sijawaelewa

  • @monikasenka6182
    @monikasenka6182 ปีที่แล้ว

    Duuuuh

  • @ahmadmuhammadnguri1770
    @ahmadmuhammadnguri1770 ปีที่แล้ว

    Huyo yuaji dai lazima apigwe

  • @makupeamri5659
    @makupeamri5659 ปีที่แล้ว

    Marekaki na uingereza wajomba ulitegemea nini acha ushamba wa marekani njoo umuone kidukutr24

  • @issaadinaniissa6487
    @issaadinaniissa6487 ปีที่แล้ว

    kaka naamini vil viatu vina remote control

  • @elishamwaya4074
    @elishamwaya4074 ปีที่แล้ว

    Hakujiandaa huyo, kiduku ndio huwa anajua anataka nini

  • @isaachaile7807
    @isaachaile7807 ปีที่แล้ว

    Uwezo mdogo apige tizii sio kulia

  • @ahmadmuhammadnguri1770
    @ahmadmuhammadnguri1770 ปีที่แล้ว +1

    Amesha shindwa ameshindwa aombe tena akipigwe tena

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ปีที่แล้ว

      Watz mna roho mbaya Sana wazungu wanasema jamaa ameumia ankle nyie mnamponda acheni wivu

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 ปีที่แล้ว

      Mchaw weee

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 ปีที่แล้ว +2

    Wazungu Wamechukua begi lilikuwa linavitu vyetu vya tanga

  • @karimbhachoo7542
    @karimbhachoo7542 ปีที่แล้ว

    Huyu katutia aibu.... Mbona hachochei

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ปีที่แล้ว

      Watz mna roho mbaya Sana wazungu wanasema jamaa ameumia ankle nyie mnamponda acheni wivu

  • @salomesamson6904
    @salomesamson6904 ปีที่แล้ว

    Hao wametuonea tumeshinda sisi

  • @mbarakaally1549
    @mbarakaally1549 ปีที่แล้ว +1

    Mandonga kama mandonga

  • @abuunyalioto1752
    @abuunyalioto1752 ปีที่แล้ว +1

    Wachen kumpa moyo kapingwa huyo

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ปีที่แล้ว

      Watz mna roho mbaya Sana wazungu wanasema jamaa ameumia ankle nyie mnamponda acheni wivu

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 ปีที่แล้ว

      Sawa chaumbea😆😆😆😆

    • @abuunyalioto1752
      @abuunyalioto1752 ปีที่แล้ว

      @@salamasaidi6620 ukweli hui

  • @mwemezihamis1300
    @mwemezihamis1300 ปีที่แล้ว

    U

  • @paulmkenda7017
    @paulmkenda7017 ปีที่แล้ว

    Wamemwekea madawa ya kulegeza miguu ndio maana wameiba begi

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 ปีที่แล้ว +1

      Yawezekana uliishiriki kumwekea madawa, imekuwaje? Na kwa nini hukusema mapema? Acha uzushi hatujajua nini lilimpata Mwaakinyo kila mtu anatamani kujua

    • @kahlanmohd5313
      @kahlanmohd5313 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli 😭

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

    Safi wakati kapigwa?

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ปีที่แล้ว

      Watz mna roho mbaya Sana wazungu wanasema jamaa ameumia ankle nyie mnamponda acheni wivu

  • @makupeamri5659
    @makupeamri5659 ปีที่แล้ว

    Mazoezi yako ni yataili tu nakukimbia milimani marekani ulienda kutalii sio kufanya mazoezi

  • @sadickrichard7849
    @sadickrichard7849 ปีที่แล้ว +1

    ka mandonga

  • @hidayashabani5428
    @hidayashabani5428 ปีที่แล้ว

    tuone

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria ปีที่แล้ว +2

    kapigwaa kapigwaa hamna jinginee

    • @Glove233
      @Glove233 ปีที่แล้ว +2

      Kenge wewe🖕🖕🖕

    • @suleimanmuhammed1347
      @suleimanmuhammed1347 ปีที่แล้ว

      Kapigwa nanani mwakinyo wakati mzungu kachezea ngumi Mpaka kaaona kizungungu mkuti jamujia tusubiri january mwakinyo Atapigana tena ndio mtajua kapigwa au kapiga na Akipiga hapo sasa ndio mtajua Kama alikua na shida gani huko alipo kuwepo tuwe wamoja mbona wazungu hawapondani wao kwa wao twapondana sisi kwa sisi tu tujifunze ili tuendelee kuijenga tanzania 🇹🇿

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 ปีที่แล้ว +2

    umetudisapoint WA tz acha kulialia Mzee mnamsifia ujinga

  • @TobyGabone
    @TobyGabone ปีที่แล้ว +3

    Ujinga mtupu hapa. Kipigo ni kipigo tu. Zarau zake zimemfikiaha hapo. Huwezi zarau nyumnani alafu unategemea ukabebwe ugenini hata siku moja. Huyu katika interview yake na Bonho 5 alifika hatua hata ya kujiona yeye ni bora kuliko bondia wote na hata kusema AJ hajui kupigana. Now he has learned the game. Na pia aache kuunga mkono jamii za hao watu na awe Hassan.

    • @asmailishaka7200
      @asmailishaka7200 ปีที่แล้ว

      Kumalamamako

    • @allymwachipanga2486
      @allymwachipanga2486 ปีที่แล้ว

      Joshua nikweli hamna kitu, jeuri anazo lkn kwenye hii gem kunamna tu imefanyika wanajua wenyewe

    • @TobyGabone
      @TobyGabone ปีที่แล้ว

      @@asmailishaka7200 safi sana nyie ndo vijana wenyewe mnaomuunga mkono huyu bondia hewa kwa sasa maana ameshuka kila kona. Na lijalo atafute mweuai mwenzie apigane nae lah sivyo nalo atapigwa tu. Kijana wa hovyo unamuunga bondia wa hovyo mkono wote ni wa hovyo.

    • @TobyGabone
      @TobyGabone ปีที่แล้ว

      @@allymwachipanga2486 siasa za mchezo ziko hivyo mzee. Mwakinyo awezi kumpiga champion wa wazungu na wao wamwaache. Alimpiga wa kwanza so huu ulikuwa kama mtego tu na kanasa mwenyewe. Sawa na kwa AJ sio rahissi wamwache aendelee kutawa la ngumu wakati weupe wapo. Tyson Furry lazime awe mtawala pale. Watu hawa si wazuri sana. Joshua alikasirika na kutupa mkanda pale kwa sababu aliona kulikuwa na kaubaguzi sana.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

    Tanzania hii mtu mwenye anatuwakilisha kupeperuzha bendera yetu ya Tanzania ni daimond platnamuz tu huyo ndio anatufanya tuongelewe na watu huko duniani lkn hakuna cha mpira wa miguu, liadha, wala ngumi

    • @sistymushisa
      @sistymushisa ปีที่แล้ว

      Uyo Diamond platnumz mbona na yeye alikosa tuzo ya BET.. KUFELI SIO KIGEZO CHA KUTOKUMUWEKA KWENYE LIST YA WATU WANAOWAKILISHA NCHI YETU

    • @ibrahimkhatib5666
      @ibrahimkhatib5666 ปีที่แล้ว

      Acha kuongea pumba unajua kashinda mapambano mangapiiuyoo we unasema tyuu

    • @Shammy-rn3tn
      @Shammy-rn3tn ปีที่แล้ว

      We fala

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimkhatib5666 kanikera bana... mtu utasahauje begi safarin sijui kwenye ndege ? kama siyo sababu ya kujitetea

  • @makupeamri5659
    @makupeamri5659 ปีที่แล้ว +1

    Mwakinyo kakayako ndio kila kitu naulipo saiz unaitaji mapambano sio jimu yamazoezi eti marekani acha utumwa