🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 305

  • @michaelmwandemange5093
    @michaelmwandemange5093 6 หลายเดือนก่อน +36

    Kaaa kimya huna lolote zaidi ya ufisadi na kuwakandamiza watu wa chini

    • @hassanissah1177
      @hassanissah1177 6 หลายเดือนก่อน +3

      Nenda shule acha kupiga kelele ,aya alisha ongea kikwete ubungo wakati azindua mwendo kasi mzee alikuwa ana vission kubwa na matunda yake ndo haya

    • @MarckAbubakary
      @MarckAbubakary 6 หลายเดือนก่อน +3

      Acha kutuna viongozi waliopambania nchi ww hata Kijiji hujawai kukiongoza tumia hekima

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 6 หลายเดือนก่อน

      @@hassanissah1177 ujinga wako usiwapeleke wengine shuleni. Nenda mwenyewe shule

    • @hassanissah1177
      @hassanissah1177 6 หลายเดือนก่อน

      @@majaliwabwitonde6900 wee msulukuma nn mana ndo wanamtukana sana huyu mzee

  • @MathiasMongo-jk9so
    @MathiasMongo-jk9so 6 หลายเดือนก่อน +20

    Dr JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI we steel remember you forever

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 6 หลายเดือนก่อน

      Not steel but still

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      Halafu huyu utasikia kafika mlimani chuo kikuu yaani nchi imeanguka kielimu kilugha ya kiingereza watu wanamaliza chuo kwa ufaulu mkubwa huko lakini lugha aliyotumia kupata ufaulu huo mkubwa haijuwi Mtihani mkubwa sana huu..!.​@@sir_ENOCKMACHA

  • @aloycerocky
    @aloycerocky 6 หลายเดือนก่อน +33

    Unasemaje ulimwachia Magu wakati mwenyewe umesema ham kuwa. na pesa acha Magu aitwe jembe daima

  • @Adonkamotci
    @Adonkamotci 6 หลายเดือนก่อน +23

    Ache una fiki uyo Mzee kao ngoza watu wame ona uyo sio kiongozi uyo Ni mwana siAsa kibaraka mkubwa wa mabeberu R l p Doctor jonih pombe magufuri 💞💞 mzalendo wa kweli 💞

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni mtazamo wako

    • @Adonkamotci
      @Adonkamotci 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@Abuu-gs1yi sawa sku pingi Una macho Rakini Uwoni Nayote lyo kwa kuwa Umekosa Utu

    • @eliaspeter4017
      @eliaspeter4017 6 หลายเดือนก่อน +1

      Lakini huyu huyu Mh Rais J K Kikwete ndiye aliye tuambia kuwa Magufuli anatosha, hakika alitosha, Mzee alifanya yake

    • @iddrashid7054
      @iddrashid7054 หลายเดือนก่อน

      Ukumbuke huyu ndio alikuwa anamtuma JPM kwa miaka kumi kujenga barabara Nyingi za lami.Na ukumbuke huyu ndio aliyemwacha rafiki yake Lowasa na kumpigia kampeni Magufuri awe Rais.

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 6 หลายเดือนก่อน +35

    Nyie na timu Msoga ndio mlipinga kila mradi ,Rufiji kwa sababu ya ufisadi wenu wa gesi Lindi na Mtwara ..!! Mwacheni JPM .Ndani ya miaka mitano amefanya kazi kubwa kuliko uliyofanya miaka 10

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna binadamu aliyekamilika maana hata enzi za Jk ajira zilikuwa uhakika vp kipnd cha Jpm

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 6 หลายเดือนก่อน +8

      Kabisaaa! Jembe Magufuli Litabaki Kuwa Mioyoni Mwa Watanzania! Mpaka Sasa Tunamkumbuka!

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 6 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@Abuu-gs1yikuma ww umetumwa kjib kla sms??

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 6 หลายเดือนก่อน +5

      ukichanganya na miaka 10 aliyokuwa waziri wa mambo ya nje.. ni miaka ishirini with nothing to show for... mademu tuu! na ndio maana tunaye mediocre anayeitwa Daktari Kilaza Samia (demu wake aliyetokana na mashangingi wa CCM!) .. Udaktari bila shule..??

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@personpeter2221 Nahisi Analiwa Na Jamaa Maana Anamtetea Kinomaaa!

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 6 หลายเดือนก่อน +38

    Hana jipya zaidi ya Kujitekenya Mwenyewe na kucheka mwenyewe

    • @BituroPaschalKazeri
      @BituroPaschalKazeri 6 หลายเดือนก่อน +2

      Chuki zinakufanya uwe kipofu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@BituroPaschalKazeri sio kweli

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 6 หลายเดือนก่อน +4

      Mzeee wa porojo. Meneno mengi matendo hakuna. Not without magufuli had we been where we are now.

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 6 หลายเดือนก่อน +1

      true 👍👍👍😎😎😎

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@BituroPaschalKazerisio chuki huyu jamaa alitakiwa mpaka Sasa awe jela ameifilisi Sana nchi kwenye utawala wake

  • @stanslauslupelele5726
    @stanslauslupelele5726 6 หลายเดือนก่อน +21

    Kwani kusema ukweli hamwezi hakuna wakumfananisha na jpm

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 6 หลายเดือนก่อน +18

    Mungu ikikupendeza naomba chukua na huyu mnafiki.

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 6 หลายเดือนก่อน +2

    Physics yangu haitaenda bure naitumia vyema, naendelea kuichimba, MUNGU anipe umri mrefu kuna kitu nitaki'launch dunia niishangaze, keep this massage, MUNGU akinipa umri mrefu na afya njema basi nitakuwa raisi wa Tanzania

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 6 หลายเดือนก่อน +8

    King Magufuri rip

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 6 หลายเดือนก่อน +15

    Lakini Mh. zile hela za ESCROW zingetusaidia sana kwenye huu mradi wa SGR. Maana zile alizochukuwa Rugemalilila 30% ndo zinazungumziwa lakin 70% hazijulikani zilienda wapi. Lakin wewe ndo ulikuwa Rais. Tunaziomba mkuu samahani lakini.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 6 หลายเดือนก่อน +1

      70%hazijulikani zilienda wapi? Kwenye viroba hadi Bwagamoyo!

    • @ms123ru
      @ms123ru 6 หลายเดือนก่อน +1

      Azikuwa mali za umma

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 6 หลายเดือนก่อน

      @@ms123ru insane comment!

    • @samasob8233
      @samasob8233 6 หลายเดือนก่อน

      @@ms123ru kwa hiyo akaruhusiwa kuchukua kisicho chake?

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 6 หลายเดือนก่อน +16

    Hiki kijamaa nikibnafsi saaana cjawahi ona kapeleka barabara ya lami nyumbani kwake badala yakupeleka vijijini mwenzie magufuli miaka 5 kaiheshimisha mwanza

    • @mwajumagomera7609
      @mwajumagomera7609 6 หลายเดือนก่อน +3

      Si mwanza tu tabora,mpka dodoma kiukweli hana baya yaani mikoa ya huku imejaliw kwa kipindi cha magu,mungu amrehemu😢.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwajumagomera7609❤❤❤❤👏👏

    • @ms123ru
      @ms123ru 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa hapo mbinafsi nani??

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 6 หลายเดือนก่อน

      @@mwajumagomera7609 🙏🙏🙏🙏😘

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 6 หลายเดือนก่อน

      @@ms123ru Kikwete ndio mbinafsi we angalia ukanda wake wapwani alivo uacha kimaendeleo upo zoofulihali alicho fanikiwa mikupeleka nibarabara yalami nyumbani kwaketu mpuuzi sana

  • @HamisiddyKyengya
    @HamisiddyKyengya 6 หลายเดือนก่อน +12

    magufuli alikuwa kiongozi c mwanasiasa

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuelewa mh JK nilipata ajira kwenye utawala wako kwa kweli ilikuwa uhakika sana wengi tulipata ajila
    Mwenyezi Mungu akulinde akupe miaka mingi duniani inshaallah...
    Ulifanya sana kwa upande wako lakini hukuwa mchoyo kwenye kutujali

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee anaongea kama anakunwa msuzi wa babu Saya 😂😂😂

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 6 หลายเดือนก่อน +21

    Ulimuachia!! Kwani mradi ulianza mwaka gani acha porojo

    • @samwelkavwanga4491
      @samwelkavwanga4491 6 หลายเดือนก่อน

      Ujui chochote Kaa kimya

    • @ContentSmartphone-rq6po
      @ContentSmartphone-rq6po 6 หลายเดือนก่อน

      @@samwelkavwanga4491 inja ww unamtetea msenge mwenzio kumamae zenu nyie ndo mmefanya nchi imeganda mkunduwako ww na msogawako

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 6 หลายเดือนก่อน

      Mbona mnahangaika kuzuia hisia za watu, kaeni kimya watu watoe yamoyoni mwao hamuwezi zuia hisia za watu, wote tulikuepo na tunaujua utawala wake na wa magu kaeni kimya kama mmetumwa wapiga dili nyinyi​@@samwelkavwanga4491

    • @ShinjeMackenzie
      @ShinjeMackenzie 6 หลายเดือนก่อน

      @@samwelkavwanga4491 ww ndiye hujuwi kaa kimya ww

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@samwelkavwanga4491MMA yako anajuta kukuzaa kwenye juwa kali la saa 7 ona sasa hasara yake 🤣🤣🤣

  • @Masa__966
    @Masa__966 6 หลายเดือนก่อน +21

    Anko Magu hawezi kuwa namawazo yakukushauri uende ukakope…!

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@musa-v3f kweli kabsa nandivo wanavoiba sasahivi

    • @ms123ru
      @ms123ru 6 หลายเดือนก่อน

      Kumbukaa kikwetee ndio Rais mwenye miradi mingi kuliko raisi yoyote yule njoo kwa hojaa tubishane

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 6 หลายเดือนก่อน

      @@ms123ru mmmmmh ?? unaota ukiwa unatembea wewe

  • @mangobase
    @mangobase 6 หลายเดือนก่อน +27

    Mzee wa porojo anaongea kama vile sisi hatukuwepo pia tulikua hatuoni.... Nchi Enzi yake ilikua ya upigaji tu...

  • @ShinjeMackenzie
    @ShinjeMackenzie 6 หลายเดือนก่อน +17

    Hicho kiredio cha kishetani kiongo sana mwamba jpm tu acheni uongo

  • @JamesMisalabaPalu
    @JamesMisalabaPalu 6 หลายเดือนก่อน +11

    Nchi hii ni tajiri kama akipatikana kiongozi mzalendo wa kweli wala hatutakopa

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 6 หลายเดือนก่อน +1

      Yes 🙌

  • @veraisaria
    @veraisaria 6 หลายเดือนก่อน +23

    Chuma jpm chuma cha pua yule nanyi mtakufa tu acheni unafki hapo mnataka kumpa sifa huyo mzee na kuhakikisha legacy ya jpm haipo mtakufa midomo wazi nyie😮😮

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu ndiye mwenye kuhukumu ww nani

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 6 หลายเดือนก่อน +6

      Mzimu Wa Magufuli Unawaandama!

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 6 หลายเดือนก่อน +3

      Hakika 🙏🙏🙏

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 6 หลายเดือนก่อน

      sasa huyu kikwete sindio alikuwa raisi wa mangu sasa anasema uwongo vipi jamani

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@kasimkassam9565 Hata magu alikuwa raisi wakikwete au Hujui Hilo 😏

  • @Afrikalove736
    @Afrikalove736 6 หลายเดือนก่อน +3

    Maguli utabaki miyoyoni mwetu maishani yetu hadi vizazi vitakiri wewe ni Jembe,hawa wengine ni porojo tu.

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 6 หลายเดือนก่อน

      Sema atabaki moyoni mwako husiunganishe watu wote

  • @Masa__966
    @Masa__966 6 หลายเดือนก่อน +17

    Anko Magu alijenga bila madeni na bila kuongeza kodi, kwaijo hacheni uongo…!

    • @BituroPaschalKazeri
      @BituroPaschalKazeri 6 หลายเดือนก่อน

      DU

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 6 หลายเดือนก่อน

      @@BituroPaschalKazeri usishangae sana maana wajinga huwa hawaishi

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@king3-q1swewe ndio mjinga wa kutupwa 🤣🤣

    • @jumampeli281
      @jumampeli281 6 หลายเดือนก่อน

      You Una uhakika

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj 6 หลายเดือนก่อน +20

    Anajifagilia tu uyo mlabata akufaa kuwa kiongozi

  • @Madizizi
    @Madizizi 6 หลายเดือนก่อน +10

    Kuma kweli huyu

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 6 หลายเดือนก่อน +6

    JPM alitofuatisha Siasa na Vitendo. Anazeeka na Porojo+Unafiki mtupu

  • @JOSEPHPETERMACHOTA
    @JOSEPHPETERMACHOTA 6 หลายเดือนก่อน +18

    Reli yake alikiri ilikua ya kawaida so ya umeme ache uongo huyo babu Magufuli jembe

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 6 หลายเดือนก่อน +10

    Wewe ulifanyaje

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 6 หลายเดือนก่อน +15

    acheni utapeli... eti alimuachia

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 6 หลายเดือนก่อน +12

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheeeeeeeeeeka

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mh ungekaa kimya baba

  • @josephamos6636
    @josephamos6636 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee anapenda kujiweka kuwa kila kitu alianzisha yeye lakini hakuna kitu

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +9

    Machawa katika ubora wao. Hata kuangalia huu uongo kichefu chefu.

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 6 หลายเดือนก่อน +15

    Wakati jpm anaanza mlisema anafanya yale ambayo hayako kwenye Irani je mlikiwa wapi kuanza hata jpm aliyasema sana walikuwa wapi kuyafanya haya? Mama makinda alisikika hata kuhamia Dodoma kuna viongozi walikuwa wamepinga, jpm oyeeeee

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 6 หลายเดือนก่อน

      .Jifunze kusikiliza upate ujuzi kuongea unaongea tu unalolifahamu wewe.Kama hujui jambo kwani lazima ubishe walishajaribu kuanza Waziri akiwa samweli sitta hela ikawa hakuna wakati huo nchi ilikiwa na madeni makubwa.Ila JK alitaka kujaribu kuanza

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 6 หลายเดือนก่อน +1

      Oyeeeeeee 🎉🎉🎉🎉

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@AllyMaya-yj3xd Kwani wakati Magufuli anaanza ujenzi nchi haikuwa na madeni??

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@@robertzamani5612Awm tano yaan miaka 1960-2021 almost 61 yrs wamekopa 60 trln but 3 yrs snc 2021 up to date 31trln deni ILO iko sawa hii?

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa huyu jamaa muongo sana, miradi ya Jpm imegeuka kuwa yake, hata aibu hana, hivi anatufanya Watanzania wajinga?

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona hukusema wakati jpm hajafa😂😂😂😂

  • @kamanzicrouch3881
    @kamanzicrouch3881 6 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani kwa kua magu hayupo ajiteteye basi kila mtuu mazuri yake anajipakulia mema ya watu

  • @jakayajuma9867
    @jakayajuma9867 6 หลายเดือนก่อน +4

    Linapenda kujipakulia minyama

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mh JK wewe ni tanki la fikra

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumtoa magufuli,katika mioyo ya watanzania ni ngumu sana sana mwacheni mwamba mwacheni apumzike tu.

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe uliishia wapi ?
    Wewe ulimwachia magari ya mwendo Kasi tu sio SGR na akazitoa UDA zako zote

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 6 หลายเดือนก่อน

      Kwan uwanja wa ndege ulijenga wew,daraja la nyerere ulijenga wew, mwendokasi ulijenga wew, mloganzila je?

  • @AngelaAndrew-rf1ho
    @AngelaAndrew-rf1ho 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mlisema amefanya vitu ambavyo haviko kwenye ilani sasa kumbe ulianzisha hiyo wewe akaendeleza. Hongera
    Mwenzetu wa umbwe sec

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ujenzi miundo mbinu na Taifa kwa ujumla mwachi JPM We ongelea mpira

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 6 หลายเดือนก่อน

      Mwendokasi ulijenga wew mloganzila je daraja la nyerere ulijenga wew mwendokasi ulijenga wew uwanja wa ndege ulijenga wew

  • @Kakozi-pj6ib
    @Kakozi-pj6ib 6 หลายเดือนก่อน +4

    Unaongea nini wewe mzee tuna jua kila kitu " kwanza 2015 haukutaka JPM awe raïs " leo et fyoto fyoto ulimuachia mradi wa treni ya umeme "" Mungu ana kuona "

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 6 หลายเดือนก่อน +3

    Acha kudanganya Watanzania, hii treni ni ya Magufuli na Samia, tena funga mdomo

  • @mwanaidally2924
    @mwanaidally2924 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera mheshimiwa mstaafu jakaya mrisho kikwete kwa hakika ulifanya kilichostahili. Mungu atuongoze na atujaalie mwisho mwema

  • @chazimunishi3339
    @chazimunishi3339 6 หลายเดือนก่อน +4

    aje awadanganye vi2kuu vake mpuuzi 2

  • @wta_Tanzania
    @wta_Tanzania 6 หลายเดือนก่อน +4

    Eeee Mungu ikikupendeza mchukue na remote ya msoga ili TV yetu tuiwashe wenyewe

  • @ulimbombonaulindi5088
    @ulimbombonaulindi5088 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakushukuru pia, maana binadamu tunatofautiana. Mmoja maneno mengi vitendo vichache, na mwingine maneno machache vitendo vingi. Hayati alikuwa na UTHUBUTU.

  • @hydarymwenda3352
    @hydarymwenda3352 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona zembwela ametaka kuuliza kuhusu mikopo amekatishwa Mara mbili. Something is wrong

  • @samuelbucheyemhana7765
    @samuelbucheyemhana7765 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman ulisha ona mtu mwenye vyeti feki? Anavyo angalia😁😁😁
    Ndio anavyo angalia huyu mtu anapoelezea kuhusu kumuachia leli JPM

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 6 หลายเดือนก่อน +2

    Duh, alimwachia Magufuli nini?😂😂😂

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna lolote hapo, RIP JPM, Nyerere aliacha Dodoma, bwawa la umeme, Mv Victoria, Ndege nk yeye alifanya nn hapo
    Ukweli JPM angekuwapo Hadi Leo Tanzania ingekuwa ulaya ndogo, Hakuna anayebisha ktk hili.Alikuwa na maono makubwa Kama Nyerere
    Kizuri chajiuza.......... hakuweka bango lkn bado angalia hai, "mtanikumbuka kwa mazuri....."

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 6 หลายเดือนก่อน

      Uwanja wa ndege ulijenga wew,hayo majengo ya pacha ulijenga wew, mwendokasi ulijenga wew, uwanja wa ndege ulijenga wew mloganzila je daraja la nyerere ulijenga wew

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@wekezauchumi7440
      Je unajua Uwanja wa Ndege Jpm alikuta Gofu ,????
      ATC imekufa???
      Daraja limesimama.
      Follow up vyote hivyo utapata ukweli. Ondoa ishabiki

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wetu, Mh rais Jakaya Mrisho Kikwete, hakika kazi uliifanya kwa namna Mungu alivyokuongoza, umefanya mengi mno, uluma maafisa 12 wakajifunze namna Malaysia walivyo piga hatua kubwa kiuchumi, ukawa na vipaumbele kadhaa wa namna ya kujenga taifa, lakini Pia ukatuambia sisi wananchi kuwa Dr John Joseph Magufuli anatosha hakika alitosha, Mungu ailaze roho yake pema peponi.
    Mzee wetu uishi maisha marefu.

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 6 หลายเดือนก่อน +5

    MZEE ACHA UONGO!!! RIP JPM Chuma toka Chato

  • @MichaelPius-k4d
    @MichaelPius-k4d 6 หลายเดือนก่อน

    Unavyo ongea naona kabisa unakaribia kufa 2030 ukitoboa nipo nimekaa pale fisadi mkubwa wewe😢😢😢😢😢😢😢

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci 6 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana uyo mzee mungu ampe maisha malefu

  • @khamisshabani691
    @khamisshabani691 6 หลายเดือนก่อน +5

    we babu acha uongo kaziimekushinda magu jembe

  • @ShabaniHwago
    @ShabaniHwago 6 หลายเดือนก่อน

    Kaza south
    😏😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @fikiripazi9630
    @fikiripazi9630 6 หลายเดือนก่อน +3

    hahah muheshimiwa anaongelea mambo mazuri ya nchi jamaa kochomekea mpira wa miguu. hii nchi ina waandishi wa hovyo sana

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 6 หลายเดือนก่อน +2

    Rais bora kuwahi kutokea Tanzania. God bless your life

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee anatupigia hadithi za abunuasi tu kanakwamba hatukuwepo wakati huo mradi wa reli unaanza.
    Dunia ya sasa watu wengi wamesoma na wana taarifa nyingi kuliko unavydhani mzee

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 หลายเดือนก่อน

      Kama kweli Mungu yupo atajibu kilio Cha Watanzania, watu walilia sijapatakuona sidhani Kama itatokea tena ndani ya miaka50 ijayo

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 6 หลายเดือนก่อน

    Mh kikwete nataka kuja msoga siku moja nipate hekima yako baba nina mtoto wa kiume nataka kujua siku moja anaweza vip kuongoza inch ya Tz inshalaah👏👏👏

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana mzee wetu, umetupa somo zuri sana

  • @James-yz8yh
    @James-yz8yh 6 หลายเดือนก่อน +1

    mr misifa

  • @jumampeli281
    @jumampeli281 6 หลายเดือนก่อน

    Awamu yako ilifanya maandalizi mazuri ya miradi mikubwa...Awamu iliyofuata ilikuwa ni ya utekelezaji...Hongera sana mheshimiwa...

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe anaona wazungu kwake kama MUNGU 🤣🤣🤣

    • @edwinismail9401
      @edwinismail9401 6 หลายเดือนก่อน +1

      sasa si mshamba wa wazungu

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 6 หลายเดือนก่อน +3

    Dah huyu jamaaa amesababisha tuishi kama wapangaji anajuakupamba kama mtakatifu

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 6 หลายเดือนก่อน +2

    JPM alikuwa Raisi wa ukweli

  • @SadikiMapesa-fj2ks
    @SadikiMapesa-fj2ks 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 6 หลายเดือนก่อน +4

    JPM CONTINUE TO REST IN PEACE.
    WANYONGE WENGI WANAKUKUMBUKA.
    MENGI ULIYAFANYA HATA KAMA HAUPO KIMWILI KIROHO POKEA MAUA YAKO

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa pwani wa porojo porojo 😅hamna kitu hapo 😅😅😅

  • @Burange666
    @Burange666 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mshashiba kipolo kelele nyingi kuleni halafu mkanye

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 6 หลายเดือนก่อน +5

    Unatia aibu tu

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 6 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli ila mtazamo wako tu,,,labda kama ulikimbia umande ila kama ulisoma enzi za Jk.....

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 6 หลายเดือนก่อน +1

      Siri ya ubinadamu, mtu akifikia umri Kikwete upendwa sana, huyu ni binadamu ana tofauti na sisi. Kama tunashindwa mengine basi tuheshimu umri wake.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@GodfreyOswardsi umuheshimu ww tu kwanini utusemee na sisi? 🤣🤣

  • @othmanseyyidy2235
    @othmanseyyidy2235 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kaaaah

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ww uliza naswaki ya msingi achana na uswahili aisee uliza mikopo na je anahusika na bandari ya bagamoyo?

  • @nairobitv6161
    @nairobitv6161 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona hizi comments zote zinamkataa Hutu mzee

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 6 หลายเดือนก่อน

    Tutahakikishaje kwamba, mzee wa Msoga alimwachia Mwenda zake hiyo reli ya SGR aimalizie, kama sio kujimwambafai. Mh Kikwete pumzika kwa utulivu acha hadithi za aina hiyo.

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 6 หลายเดือนก่อน

    asantee sanaaa mleziii wa yangaa african kikubwaa ni usawa wa taifaaa tu Yangaa oooyeeeee endeleaaa kutupaa raha wananchiiii😂😂😂😂

  • @lazarombuze9776
    @lazarombuze9776 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 anapenda sifa huyu! Anatamani angefanya yeye,.

  • @MirajiOmary-jm7wc
    @MirajiOmary-jm7wc 6 หลายเดือนก่อน

    huyu mzeee ni muongo sana eti nilimuachia magufuli😢😢😢😢

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 6 หลายเดือนก่อน +6

    Acha uhongo we mzee

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwendaaa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aendeleze ? Inamaana ulikuwa umekwishaanzisha wewe au wakabla yako . 😮😮😮

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mazuri yako yanazidiwa na mabaya yako, wauza nadaiwa ya kulevya ulitajiwa wauzaji wote pamoja na mwanao ukaendelea kucheka vijana wakahalibika kwa cheko zako

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 หลายเดือนก่อน

    Kikwete, ulimuachia Hayati Magufuli nchi iliyotafunwa na Kubaki mifupa mitupu. Acha kudanganya watanzania. Magufuli alikuwa ni Rais hakuna wa kumufananisha. Angekuwepo Tanzania ingekuwa mbali sana.

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu 6 หลายเดือนก่อน

    Umeriaza mwaka 20215 wakati rais jk

  • @butungo1
    @butungo1 6 หลายเดือนก่อน

    Nimesoma comments...nadhani aliyepaswa kuhojiwa ni Rais Samia maana ndiye anatekeleza SGR kwa sasa. Otherwise, JPM hasahsuliki kabisa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dingi sijawahi muelewa

  • @YORAMYETERO
    @YORAMYETERO 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani mmmmm nashindwa na mle nisemee

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unaweza kucheza disiko2

  • @jemketakene6558
    @jemketakene6558 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu anataka attention tu, kwani mradi wa SGR alianzisha yeye? aseme tu alimwachia daraja la kigamboni basi

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 6 หลายเดือนก่อน +1

    Safi mzee wetu natamani namimi siku moja nitimize ndoto zangu nifike kwako hapo

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna ulazima wa kukopa. Nchi hii ni tajiri sana ,rubi,spino,dhahabu,almasi na madini mengine mengi huwa mnayafanyia nini? hiyo mikopo mna mambo yenu mnayoyajua

    • @Tuhabarishe
      @Tuhabarishe 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa nchi hasa hizi za kwetu tuna utajiri mkubwa wa Mali na sio wa pesa. Ili kuuendeleza utajiri huo wa ardh, madini, milima, sehemu za majini. Uwekezaji wake unahitaji wataalamu na pesa na ndio serikali inakopa ili kuuendeleza. So shauri serikali ifanye nin maana wanaona.

    • @aloycesilwela3485
      @aloycesilwela3485 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@Tuhabarishe sidhani kama ni hivyo,kwa nini kama wanataka pesa wasiuze madini,kwanza sasa hivi wenzetu walioendelea hawatunzi pesa wanatunza dhahabu au almasi kwa sababu hizo ndio pesa zenyewe

  • @butungo1
    @butungo1 6 หลายเดือนก่อน

    Siasa bana...RIP JPM

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 6 หลายเดือนก่อน

    Kuosha huoshwa nchi ya mabeberu wanyonyaji uso mzuri moyo mbaya

  • @MahitaKitogo-rf8cv
    @MahitaKitogo-rf8cv หลายเดือนก่อน

    jpm raisi wangu bora mda wote

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 6 หลายเดือนก่อน +4

    😡😡😡

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee tunamchekea mnoo ,,,mnafiki huyu ,,,tena achana kabisa na jpm unafikiri hatujui,,,,nahawa wandishi wa habari wanafiki tuuu

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo bana

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 6 หลายเดือนก่อน +3

    @patricknyiti5303 ukichanganya na miaka 10 aliyokuwa waziri wa mambo ya nje.. ni miaka ishirini .. with nothing to show for... mademu tuu! na ndio maana tunaye mediocre anayeitwa Daktari Kilaza Samia (demu wake aliyetokana na mashangingi wa CCM!) ..
    PhD bila shule..?? Udaktari na uraisi wa kuvulia chupi vigogo wa CCM?