Utasikia muislam ndugu yake no muislam mmmmh kweliii mbona sijawahi ona mbongo kamuoa muhindi au mwarabu wale wanaokimbilia italy nani asiyejua kuwa walikuwa wakifika Egypty ,Tunisia na morocco walikuwa wanateswa bila kujali kuwa ni wakristo au waislam walikuwa wanateswa tuuu hizi dini Tumeaminishwa afu tunabaguana kisa udini ndio maana wanatuona hatuna akili .
Namshukuru Allah kwa neema ya uislam,,, hakika uislam ndio dini ya haki na inayojua utu wa mtu na isiyopenda ukandamizaji,, mashaallah malcolm x alikufa shahidi ktk uislam akipigania uhuru wa mtu mweusi
We mjinganii unajajije dini ya wezio kwendaa ndini ya uislam ndio nn unafikiri dini au imani kwendaaa dini ya kwel ya wakristo waganga wote waislam sasa Ina haki gani
Hao Waislam wanaolipuka na na mabomu katikati ya masoko? Wapuuzi tu kule watu wakibeba mimba bila ndoa ni kupigwa mawe mpaka kifo mtu akiiba nikukatwa mkono wapuuzi
@@anastaziamathias8861 Naomba nikufundishe kitu Usiangalie Wanaojilipua uliza Uislamu umefundishaa? Coz kuna watu wanadai wao ni Waislamu lakini wanakunywa pombe,sigara,bangi na vingi vilivyokatazwa hivyo unapaswa kujua hayo..Yaani kiukweli Uislamu umefundishaa Mafunzo mema sana🙏🙏🙏🙏
@@binhussain3445 kwa hyo ukristu unafundisha maovu ama? Weka udini pembeni imani ya mtu na wema wake sio dini kuna mashujaa kibao wakristu na wamekufa wakipambania haki ya watu weusi kama STEVEN BIKO, PATRICE LUMUMBA inshort mashujaa kibao tena waliuwawa kikatili vbaya sana mbona sisi hatukuongelea dini kupitia wao? Waislamu bana🤣🙌
Bila shaka hilo jengo linaloonekana kwenye background, katika intro ni Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam. Naomba like kama nimepatia...from Uganda.
😂😂hii ni biashara bana hebu tafuta historia ya Waafrika waliopelekwa uarabuni kama watumwa ujue walicho pitia hadi wanaume kufinywa uume ili wasizalishe wanawake waarabu, panuka akili si tuu kurukia vitu mwaafrika ametengwa kila mahali hata waafrika wenyewe wametengana
Awap Nan kasema tena huko uislam ulikotokea ndo Kuna watu wakatili mno jiulize kwann uarabuni hakuna kizazi Cha watu weusi wakati wengine kipindi Cha utumwa walipelekwa kama watumwa uarabun,Afadhali hata marekani ambako sahizi watu weusi wamekuwa wamarekan huko uarabun ogopa wale siyo watu
Mara hii "likes" na "viewers" wamekuwa kdgo kwasababu ya Mamlaka waliojipatia hawo wakuu, ety Uchaguz...damn Uchaguz, ila yote na yote Nakukubali mnoooo Professor 💯
Nmegundua kuwa mdomo unaweza ukagharimu maisha yako binafs na kizazi chako pia, Baba wa Malcom X ndo impact ya haya yote, kitu ambacho kilipelekea familia hii kupitia uzoef mgumu sana ktk maisha yao..
bila kusahau pia alikuwa ni chachu ya kuwakomboa watu weusi katika ubaguzi wa rangi na kujua haki yao, shujaa apaswi kuwa muoga na ni dhambi kuogopa kudai haki yako kisa kuogopa kufa, we all gonna die someday,ameacha kitu remarkable vizazi na vizazi watamtambua na pia kutumika kama chachu ya kudai uhuru
so what is more important to risk your life and your family for interest of many and new generation or to be a coward for the rest of your life, if you are not selfish person, i think you knw the answer
you think they did'nt knw the consequence, they knw and they did it anyway, and their revolutional ideas, struggle still would live for century and century and that is what counts.
Waislam waliowaua wenzao wanaijeria waliokuwa wanakwenda Italy vipi kuhusu hao Waangalie wamorocco Libya na watunisia walivyo wabaguzi kingine je nani mweusi kamuoa muhindi mwislam au mwarabu kuna siri kubwa hapa ..
@@simontamba1285 kwanza waambie uko uaarabuni ndo kuna ubaguzi mkubwa kuliko ata marekani je nani ashawai mwaafrika akiaandamana iraq au iran kutafuta haki?
mamake Malcolm X alikuwa akifanyia mzungu kwa jina la Malcolm ivo mamake alimpa jina ya uyo mzungu (Malcolm) ila yeye alichukia wazungu ndo akajiongezea X kwa jina lake kwa maana ya yeye sio wa kizungu ⚒️⚔️❌❎✖️ kupinga jina lake
Ila mm ni mgonjwa wa mpira nlikua naomba siku moja utupe history ya Champions league kama hautoa jari ila so pekeangu ni wengi tutaenjoy kuiskia hio story Asante 👊❤️
Kuna nililojifunza ktk hili, 1.Marekani mpaka leo hii kipo Chama kinachojiita"Nation of Islam"jamaa hawa Kazi yao ni Kuhubiri Chuki dhidi ya Mtu mweupe na kumuita "Shetani" 2."Nation of Islam"si Waislam bali ni Chama chenye Mafundisho yaliyotokana na Muasisi wao Eleijah Muhammad ambaye was wanamuamini ni Mtume wao na Wanamuabudu pia. 2.Cha kushangaza zaidi ktk Imani yao,Mwanachama haruhusiwi kula Karanga,hizi za Kawaida tunazoziona Mtaani zikiuzwa.
Historia hizi shuleni hazielezwi wazungu na mateso yao hamsemi mumebaki kuwachafuwa tu waarabu kupitiya mafundisho mlopewa na wazungu,mpaka sasa hamsemi watu weusi walifika vipi ulaya
Mm nashangaaa kit tu kwamba hii Dunia imejaaa uzalimuu mkubwa sana Bc Allah atuepusha kua miongon mwa magaidi hao kila muda hua nawaza the story book kwako jamal mustapha akili yang umeiteka siku nzima huskiliza the story book sn kuliko kuchart bc najiskia tu kua kuamka na kulala n the story book 😊
HISTORY1 ADVANCE LEVEL ,TOPIC :PEOPLE OF AFRICA ORIGIN IN THE NEW WORLD UKIISOMA UTAJUA ZAIZI VIONGOZI WEUSI WALIVYOPIGANA ILI KUUNDOA UNYANYASAJI WA WATU WEUSI DHIDI YA WAZUNGU
Ila hii story ilikua na vingi sana japo ume luka mengine kuna mtu alikua Godfather of Harlem ambaye ni muuza madawa hatari ni muhuni mkubwa ambaye alikua anaitwa Ellsworth Raymond A.k.a au maharufu Kama bumpy Jonson uyo alikua hatari na alikua rafiki mkubwa wa Malcom x Toka ata ajawa muslim Malcom x alimsaidia mtoto wa bumpy ambae alikua amesha kua addicted na madawa na kumfanya yule mtoto kua muslim aisee Nakuomba tafuta history ya uyu jamaa yenyewe Kama yenyewe uyu Godfather of Harlem ambaye alisumbuana sana na like kundi la five families ambayo wa Italiano wanao jiita mafia hii story tamu sana keep it up bro
Nyie stori book mlivyowasenge wa kidini kwanini hamjaleta stori ya martin Luther king jr ambae to me he very intelligent and educated activist alietumia njia bora zaidi kwenye harakati za ukombozi wa mtu mweusi
I'm proud to be a Muslim. Al'hamdulillah shukran sana mola wangu kwa kunijaalia kuwa muislam
Allah AKULIPE kwa kusimulia haya ambayo ni nadra kuzungumzwa
Black life matter if you believe nipe like, all the way from 254
Namshukuru allah kwa neema ya uisilamu story hii inaonyesha ukweli wa uisilamu yan moyo unanienda mbio kwa furahaa shukran ya allah shukran 😥😥🙏🙏
Ndugu
Udn tena
Sindiyo nashangaa jamani
@@gwangtaek1564 siyo udini bali nistory inayoonyesha uislam nidini yamapenzi na nidini yahaq
Utasikia muislam ndugu yake no muislam mmmmh kweliii mbona sijawahi ona mbongo kamuoa muhindi au mwarabu wale wanaokimbilia italy nani asiyejua kuwa walikuwa wakifika Egypty ,Tunisia na morocco walikuwa wanateswa bila kujali kuwa ni wakristo au waislam walikuwa wanateswa tuuu hizi dini
Tumeaminishwa afu tunabaguana kisa udini ndio maana wanatuona hatuna akili .
Masha Allah kwelitupu umenifraisha profesa gongeni laik tuwe pamoja
Islamic forever hadi kufa, thanks Allah 🙏
Nashkuru Kwa Hiii Kaka
#MuslimLivesMatter
#Alhamdoulilah🇧🇮🇧🇮
Tuletee historia ya mtume muhammad (s.a.w)
Like za Professor Jamal April!!!!!!..,👇
Dondosha Like Kwa Le Professor!!!✍
No one like you broo siwez lala bila hii voice
Uko vizuri kaka, unatufungua sana fikra zetu kihistory.
Jamani kila siku zifuatazo story book inazidi kupamba Moto na kua. Nzur zaid shukuran san jamar kwa kazi yako nzur na twaipenda xn
ALLAHU AKBAR , Malcolm X may Allah grant you Rahma until Qiyama to be in As-habul Jannat , inshaALLAH
Inshallah
Umenkumbusha nmejion Kam nip darasani....Allah akulinde Jamal April✌️✌️
Namshukuru Allah kwa neema ya uislam,,, hakika uislam ndio dini ya haki na inayojua utu wa mtu na isiyopenda ukandamizaji,, mashaallah malcolm x alikufa shahidi ktk uislam akipigania uhuru wa mtu mweusi
We mjinganii unajajije dini ya wezio kwendaa ndini ya uislam ndio nn unafikiri dini au imani kwendaaa dini ya kwel ya wakristo waganga wote waislam sasa Ina haki gani
Hao Waislam wanaolipuka na na mabomu katikati ya masoko? Wapuuzi tu kule watu wakibeba mimba bila ndoa ni kupigwa mawe mpaka kifo mtu akiiba nikukatwa mkono wapuuzi
Alhamdulillah alikufa jihad maashaallah
@@anastaziamathias8861 Naomba nikufundishe kitu Usiangalie Wanaojilipua uliza Uislamu umefundishaa? Coz kuna watu wanadai wao ni Waislamu lakini wanakunywa pombe,sigara,bangi na vingi vilivyokatazwa hivyo unapaswa kujua hayo..Yaani kiukweli Uislamu umefundishaa Mafunzo mema sana🙏🙏🙏🙏
@@binhussain3445 kwa hyo ukristu unafundisha maovu ama? Weka udini pembeni imani ya mtu na wema wake sio dini kuna mashujaa kibao wakristu na wamekufa wakipambania haki ya watu weusi kama STEVEN BIKO, PATRICE LUMUMBA inshort mashujaa kibao tena waliuwawa kikatili vbaya sana mbona sisi hatukuongelea dini kupitia wao? Waislamu bana🤣🙌
Allah mkubwa, Malcom X alikufa shahidi may Allah forgive his mistakes
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
a
Naam umenikumbusha kwenye kitabu Cha they are either extremely smart or extremely ignorance.. proud to be a Muslim alhamdulillah..
Unaongelea waarabu
jamal...mzee unajua mpaka kero aisee.....kaka respect sana....gonga like kama unamkubali huyu mzee
Angekuwa Annanias Edger buana ungejilamba had tako
@@francolazaro8646huyo akasome prof Jamal n habari nyingine
Hadi leo Wazungu hawatupendi watu weusi lakini sisi tunajipendekeza sana kwao.
May Allah forgive him and grant him the highest place in JANNAT with prophets righteous men and shuhadaa, amiin
Aaamin😘😘😘
Daaah hii history nilikuwa naitafuta Sana.. Leo nimesikiliza vizur Sana big up professor
Bila shaka hilo jengo linaloonekana kwenye background, katika intro ni Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam. Naomba like kama nimepatia...from Uganda.
yes umepatia ndio penyewe
Asante sana kaka kwa history tamu nimepata notes za kuwalisha vijana wangu wa form 6
Hongera sana kaka jamil
Tafuta kitabu chake kinaitwa malcom x utajifunza mengi
Likes nyingi kwa professor
Like kwa wasafi pamoja na professor Jamal
Subhanallah allah akbar najivunia kua muislam allah nijalie mwishomwema mmi pamoja na familiya yangu nawaislam wote kwa ujumla
Amyn
Kumbe uislam ndoumechagia sana tupate uhuru ss watu weus
😂😂hii ni biashara bana hebu tafuta historia ya Waafrika waliopelekwa uarabuni kama watumwa ujue walicho pitia hadi wanaume kufinywa uume ili wasizalishe wanawake waarabu, panuka akili si tuu kurukia vitu mwaafrika ametengwa kila mahali hata waafrika wenyewe wametengana
Acha ujinga sima historia ujue yote sio kuconclude kwa hiki kiclip
Awap Nan kasema tena huko uislam ulikotokea ndo Kuna watu wakatili mno jiulize kwann uarabuni hakuna kizazi Cha watu weusi wakati wengine kipindi Cha utumwa walipelekwa kama watumwa uarabun,Afadhali hata marekani ambako sahizi watu weusi wamekuwa wamarekan huko uarabun ogopa wale siyo watu
I still remember him because I named my son after him may his soul rest in eternal peace forever
Ameen
Wonderful act.
KAMA WEYE UKO UNAANGALIYA
THE STOR BOOK UKU UKISOMA
COMANT NIPE LAIK
Good
th-cam.com/video/IBGsETed3bU/w-d-xo.html
Like
Asante kwa kutuelimisha
@@marthasamuel3009! th-cam.com/video/y6DpkYVj2YE/w-d-xo.html
Watu wa history piteni na like tukisonga
Mpaka mwanangu nikampa jina LA Malcolm gonga like hapa
Mie nimempa LA Sankara Thomas
Story nzuri japo Kuna some picha mmetumia za Denzel Washington
Tunakukubali kaka...2025 naomba uxhukue form kabisa ya ubunge tutakupa kura zetu.....uko very smart
Jamal April you really do great job, well reseached,,,,,,kindly tuletee ya dedan kimathi and others great heros from kenya .........THANKS IN ADVANCE
Allah ndio Muumba mbingu na ardhi kwaiyo tumtumikie na tupendane kama ndugu wamoja sio kubaguwana kbx Allah tupe kauli sabit siku hio Yakiama 🤗🤗🤗🤗
hii ni nondo tosha kwa wanaochukua history in advance level💪
Kuna watu hawaujui uislam wanaongea kwa ubaya juu ya Deen tukufu ya uislam...lakn n dini moja yenye kher na binadam upendo...na aman...
Iyo seem aliyosimama mwanzo wa story #Jamal inafanana na kwa mwamposa kawe anapofanyiaga ibada kwa mliowah kufika nadhani mtakuwa mmenielewa
Allah amrehemu ampe jannat firdaus karibu na mtume
Subhannallah uislam nidini ya haki
Hiki ni matedo ya Mtu sidini Mpetwa
Yesu ni Bwana
Pumbavu
Allahu akbar
Nipeni like zangu wa kwanza leo. The story book
Safi sana big up jamal LKN nashauri ungeandaa simulizi kuhusu marehemu steven charles kanumba maana ni mmoja wa ma legend TZ
Mara hii "likes" na "viewers" wamekuwa kdgo kwasababu ya Mamlaka waliojipatia hawo wakuu, ety Uchaguz...damn Uchaguz, ila yote na yote Nakukubali mnoooo Professor 💯
Long live my hero, brother Malcolm X.
Jaman na mm leo Wana story book naomb like ata 100%
Asante jamal tunaomba utuletee story ya pharaoh wa egypt zaidi sana kuhusu nerfetiti
Nmegundua kuwa mdomo unaweza ukagharimu maisha yako binafs na kizazi chako pia, Baba wa Malcom X ndo impact ya haya yote, kitu ambacho kilipelekea familia hii kupitia uzoef mgumu sana ktk maisha yao..
bila kusahau pia alikuwa ni chachu ya kuwakomboa watu weusi katika ubaguzi wa rangi na kujua haki yao, shujaa apaswi kuwa muoga na ni dhambi kuogopa kudai haki yako kisa kuogopa kufa, we all gonna die someday,ameacha kitu remarkable vizazi na vizazi watamtambua na pia kutumika kama chachu ya kudai uhuru
@@tzcivilengineeringupdate4275 uko sawa kabisa ila ukiangalia kwaupande wa familia hasa watoto huwa wanaumia sana
so what is more important to risk your life and your family for interest of many and new generation or to be a coward for the rest of your life, if you are not selfish person, i think you knw the answer
you think they did'nt knw the consequence, they knw and they did it anyway, and their revolutional ideas, struggle still would live for century and century and that is what counts.
@@tzcivilengineeringupdate4275 risk your own life not kids life
kusema kwel kuna muda nimekuja gundua unaweza saidiwa na muislamu kuliko wakristo wenzangu wakrosto mda mwingine tunakuwa na unafki
Kuna meng yamefichwa kwenye bible ukitaka kujuwa subir ya martn Luther siku akija nayo🏃🏃
Amen enda Iran ama Iraq wakusaidie
Basi hamia kwenye uislam kama kuna unafk
Waislam waliowaua wenzao wanaijeria waliokuwa wanakwenda Italy vipi kuhusu hao
Waangalie wamorocco Libya na watunisia walivyo wabaguzi kingine je nani mweusi kamuoa muhindi mwislam au mwarabu kuna siri kubwa hapa ..
@@simontamba1285 kwanza waambie uko uaarabuni ndo kuna ubaguzi mkubwa kuliko ata marekani je nani ashawai mwaafrika akiaandamana iraq au iran kutafuta haki?
Wiki hii story umetuwekea j,mos tunaotumia VPN tujuane hapa kwa like na comment
Professa la profeseri super talented forever Jamal unajua xna..
th-cam.com/video/C_3CYe-TmVs/w-d-xo.html
Kwa kusema kweli Naburudika Sana Mwenyezi Mungu Akuzidishie
Hii story ya Malcom X nimeisubiria kwa muda mrefu sana.
Nakuelewa sana professor unajua kusimulia mungu akujalie uishi miaka mingi sana brother
The living legend malcom x nliishia kumsom kwenye history tu (back ppl in the new world) Leo nmemuelewaa vzr mno RIP KING
Alikuwa kwenye cvl rights mvment pamoja Dr Luther king jr
Sure brooo
Japo nilikua busy lakn leo nimemaliza story Asante professor Jamal_April
Unapendwa
Aĺlah mlaze mahali pema peponi malcom x amiin..
mamake Malcolm X alikuwa akifanyia mzungu kwa jina la Malcolm ivo mamake alimpa jina ya uyo mzungu (Malcolm) ila yeye alichukia wazungu ndo akajiongezea X kwa jina lake kwa maana ya yeye sio wa kizungu ⚒️⚔️❌❎✖️ kupinga jina lake
Uislamu raha bwana ndio maana sijutii kuzaliwa na nitakufia ndani ya uislam....Alhamdulillah
Pole sana
Mashaallah
Alhamdhulillah
Akili mgando hiz uislam na story hii vinausisna nn
An Dini inahusianaje na hii story dini bila Elimu kumbe ni mzigo khaaa😂😂
Nampenda mar com x sana tangu while mwalim akimuadithia
Ninajifunza mengi sana kutokana na kipindi hiki. Ahsante na hongera
Ila mm ni mgonjwa wa mpira nlikua naomba siku moja utupe history ya Champions league kama hautoa jari ila so pekeangu ni wengi tutaenjoy kuiskia hio story Asante 👊❤️
Wow wow I love this game.... We are waiting for Martin Luther King Jr
Yes we wait 🤗🤗🤗
Tungepata ya marcus garvey kwnza ingependeza zaid mana ndo bana yao wote hawa
MashaAllah, uko vizuri kwa historia, Mwenyezi Mungu aidumishe chanel yako, tuzidi kupata faida
Kuna nililojifunza ktk hili,
1.Marekani mpaka leo hii kipo Chama kinachojiita"Nation of Islam"jamaa hawa Kazi yao ni Kuhubiri Chuki dhidi ya Mtu mweupe na kumuita "Shetani"
2."Nation of Islam"si Waislam bali ni Chama chenye Mafundisho yaliyotokana na Muasisi wao Eleijah Muhammad ambaye was wanamuamini ni Mtume wao na Wanamuabudu pia.
2.Cha kushangaza zaidi ktk Imani yao,Mwanachama haruhusiwi kula Karanga,hizi za Kawaida tunazoziona Mtaani zikiuzwa.
Vizuri sana kaka endelea kutufunza
Nakupata kutoka michigan marekani
Yani hizo story ni really ss brow tupe Back to back god blessed you!!!!!
Ungeanza na Marcus Garvey professor maana hawa wote pamoja na Martin Luther King wamesoma na kujifunza philosophy za Marcus Garvey na William du Bois
Hii story inasisimua zaidi. Tunaomba story ya Martin Luther King
Tulikua tunaisubiri kwa hamu xanh💪💪💪
Gonga like kwa story book ya leo......👍
Nashukuru na nimefurahi na kujifunza kuhusu story book,naomba story ya yasri arafat
Jamal you are great brah, I appreciate.
Historia hizi shuleni hazielezwi wazungu na mateso yao hamsemi mumebaki kuwachafuwa tu waarabu kupitiya mafundisho mlopewa na wazungu,mpaka sasa hamsemi watu weusi walifika vipi ulaya
Mm nashangaaa kit tu kwamba hii Dunia imejaaa uzalimuu mkubwa sana Bc Allah atuepusha kua miongon mwa magaidi hao kila muda hua nawaza the story book kwako jamal mustapha akili yang umeiteka siku nzima huskiliza the story book sn kuliko kuchart bc najiskia tu kua kuamka na kulala n the story book 😊
Allah amrehemu alipigania haki ya mtu mweusi,harakati zake ziliimarika Sana baada ya kurudi hijja na kuitwa Alhaji Al shabash
Yan Beat Lina support story vbya mno, Support Saana ....@Jamal,
Hii history inafanana sana na Maisha ya Tundu Lisu.
Professor sauti yako iko chini kuliko music kwenye kuelezea fanya mambo mazuri next story 🙂
A man who stands for nothing will fall for anything***
Malcolm x amekufa Shahid Allah amhifadhi na alitie Nuru kabuli lake inshallah
asante sana my brother from another mother
Wamemuua jmn!!! Haya bana, Mungu atalipa kisasi. Maana amesema kisasi ni juu yangu!!! Sitaogopa hata siku mmoja.
Yaniii inaaanza kama maandamano ya bwana naniiiiiliiiuuuu..... 🙉
Kumbee ni wewe captain jamalii,🤴🤴
I really appreciate you so much for indepth research.keep it great @JAMAL.
I m fine because I learnt good story from you kaka . god bless you
Daaah bonge la darasa sheikh hongera kwako
HISTORY1 ADVANCE LEVEL ,TOPIC :PEOPLE OF AFRICA ORIGIN IN THE NEW WORLD
UKIISOMA UTAJUA ZAIZI VIONGOZI WEUSI WALIVYOPIGANA ILI KUUNDOA UNYANYASAJI WA WATU WEUSI DHIDI YA WAZUNGU
The movement of black People in AMERICA
Ila hii story ilikua na vingi sana japo ume luka mengine kuna mtu alikua Godfather of Harlem ambaye ni muuza madawa hatari ni muhuni mkubwa ambaye alikua anaitwa Ellsworth Raymond A.k.a au maharufu Kama bumpy Jonson uyo alikua hatari na alikua rafiki mkubwa wa Malcom x Toka ata ajawa muslim Malcom x alimsaidia mtoto wa bumpy ambae alikua amesha kua addicted na madawa na kumfanya yule mtoto kua muslim aisee Nakuomba tafuta history ya uyu jamaa yenyewe Kama yenyewe uyu Godfather of Harlem ambaye alisumbuana sana na like kundi la five families ambayo wa Italiano wanao jiita mafia hii story tamu sana keep it up bro
Nyie stori book mlivyowasenge wa kidini kwanini hamjaleta stori ya martin Luther king jr ambae to me he very intelligent and educated activist alietumia njia bora zaidi kwenye harakati za ukombozi wa mtu mweusi
Tix boy kalibu kuangalia Ngoma Kali kutoka kwa mfalme wa AFROBEAT
#tixboy#kitete
Mtiga abdallah,,,jamaa anahadithia vzur saana yan he z the best...kma vip yeye ndo awe anahadithia hawa wengin hawajui kihadisia yani mieyusho tu
Mwehu ww
Professor jamal mm ombi langu kwako ni kwamb next time utuletee hadithi ya Martin Luther king Jr
Malcom black super hero love you for ever
Boss napenda kufatilia kila story yako najifunza mengi Sana
Leo ndio nime jua. Bona babangu ana mutaja sana
Licha professor kutchrewsha katk uwanja wa jana lkn subra na uvmlivu havkutoweka kwetu
Heshima kwko jamal mustaf professor
Huyu Mwamba Alikuwa gifted. Uwezo Mkubwa Sana ✊🏾
Nimejifunza kitu kwa huyu Malcolm . Thank wasafi
Niko nikiwa kenya i love the story book.
Tuko pamoja bro😂😂😂
Interested story in a appropriate time big up bro jamal
Thank you Proffessor Jamal😍♥️