Jenerali na Profesa Shivji: Tunaendeleaje Toka Uhuru? | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 67

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mzee Jenerali kutukumbusha kiini cha mkwamo wetu na majuto makuu kama taifa, kwa kuendelea kupoka uhuru wa mwananchi.

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 หลายเดือนก่อน +3

    Wazee wetu mungu awape maisha marefu afya njema na utimamu.mnajitoa kutupa elimu na maneno ya busara.kama mgekuwa mnasikilizwa.tusingekuwa hapa tulipo

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety หลายเดือนก่อน +1

    So genius nyie wazee, shukran kwenu.mungu awatunze.

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน +4

    M. Mungu...awalinde na awape afya njema Prof. Sivji..na Mzee Jenerali..🤲🤲

  • @MwikaMakerere
    @MwikaMakerere หลายเดือนก่อน +6

    Generali Ulimwengu mungu amekupa maisha marefu kwa makusudi yake.

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 หลายเดือนก่อน +2

    Intellectual and majestic people of all the time on this home soil Tanzania

  • @loiloilolelendomir2037
    @loiloilolelendomir2037 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana WAHESHIMIWA ninyi. Tanzania haina KATIBA Wala dira, hii nchi imekuwa mali ya mama, uhuru wetu amewauzia Waarabu kisa tumedanganyiwa milioni tano kwa kila goli la ... Mwisho mnajikusanya sehemu mnajichira na kuchoreka. Tubadilike!!!

  • @bernardirondo5443
    @bernardirondo5443 หลายเดือนก่อน

    Bless you wazee wetu wa busara

  • @bahatikamihanda3689
    @bahatikamihanda3689 หลายเดือนก่อน +24

    Wazee wangu titizo ni kubwa kuliko mnavyo Dhani,unweza kushangaa mjadara huu haufatiliwi na watu wengi lkn mnge jadili kuhushu SIMBA NA YANGA au msanii yeyote mkubwa watu wengi wange fuatilia na Comments za kutosha,hapo hatujafika kwa bahati mbaya Bali ni mfumo umeandaliwa kwa manufaa ya watu wachache.

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA หลายเดือนก่อน +1

      Yani Simba na yanga zenyewe watu wakobize nazo aZijui mpira kelele tuu

    • @Ginas-g8x
      @Ginas-g8x หลายเดือนก่อน +1

      Mpira Bila amani hakuna tatizo wapumbavu tuko wengi Moja wapo ni mimi

    • @mohammedabbas7624
      @mohammedabbas7624 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wamenyimwa elimu shida sheria zifundishwe mashuleni watu wajitambue

    • @HaroldTarimo-g6f
      @HaroldTarimo-g6f หลายเดือนก่อน +1

      Tanzania ni shida kweli
      Majority ya vijana wetu masuala muhimu yanayohusu maisha yao haki zao za msingi hawana muda wao ni mpira mziki na kubet
      Huenda elimu duni ndio chanzo

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน

      ​@@STEVENKAJUMBAumesema kweli kabisa...mi huwa nikiwaambia watu si mshabiki wa simba au yanga huwa hawanielewi.

  • @mayaginyega
    @mayaginyega หลายเดือนก่อน

    Glad to have read a book from each. Rai ya jenerali Juzuu ya 2 and Pan - Africanism or pragmatism

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 หลายเดือนก่อน +1

    THE CHANZO ! NAPENDAGA SANA KUWASIKILIZA NGULI HAWA. NACHOTA KADRI NIWEZAVYO. ASANTE NI.

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 หลายเดือนก่อน

    Ma General wa siasaa Tanzaniaa,💪💪💪, kama wenye dhamana wangepataa au kufuataa, kutekelezaaa na kusimamiaaa hata nusu ya ushauriii wa hawa wazee wetu tungekuwaaa mbari sana,, shida wanaopata dhamana ya uongozi hawatakii kujifunzaaa pia wana dharau na wanajarii matumbo yao sio utaifaaa wetu

  • @PiisPuka-ih5zc
    @PiisPuka-ih5zc หลายเดือนก่อน +2

    Kimsingi walio shikilia mfumo hawataki kuruhusu elimu husika kwa wananchii,,,,,,kwa mfano kuna mwamko fulani ulijaribu kuja mwaka 2015 lakini gafla ukazimwaa,,,, mpaka vyama vyetu hivi vimekosa ajendaa,,, za kuuza kwetu ss wananchii,, nn kifanyikee,, ni elimu za uraia zitolewe zaidiii kwa wananchiii

  • @lazaromahundi8197
    @lazaromahundi8197 หลายเดือนก่อน +1

    Mifumo ya elimu tuliyowekewa ni mibovu sana, Historia halisi ya Nchi hasa kwa wale waliopigania uhuru wamefichwa anatajwa Nyerere tu, hili ni tatizo tangu muda. Kwaiyo tulivyo leo ni matokeo ya malezi ya utotoni

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 หลายเดือนก่อน +3

    Uvivu wa kufikiri ni tatizo kubwa nchi hii

  • @wilsonmbughi6445
    @wilsonmbughi6445 หลายเดือนก่อน +3

    Uhuru hatukupata ,bado tunatawaliwa na weusi wenzetu,

  • @alfredsotoka2852
    @alfredsotoka2852 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa point hii "Ukianza kukosa uhalali unaanza kukandamiza mtu mmoja mmoja, makundi n.k" Huko ndiko CCM wamefikia. Mungu atunusuru huko tuendako

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 หลายเดือนก่อน

    WAZEE HAWA WENYE HEKIMA ZAO, WAMEONGEA MAMBO MAZITO NA YA MUHIMU SANA KWA TAIFA LETU. KWA UPOLE MKUBWA LAKINI WAMEIACHA SEREKALI NA CHAMA CHAKE UCHI WA MNYAMA.
    KWAMBA NI SEREKALI INAYOONGOZWA BILA UTASHI MWEMA, KWAMBA WAMEJITOA UTASHI WANAONGOZA NCHI KWA MATAMKO BILA KUFUATA SHERIA😭😭😭😭

  • @feliciankavishe6792
    @feliciankavishe6792 หลายเดือนก่อน

    Kabla hatujaerevuka walijifuza kutwala fikra zetu na wamefanikiwa,na vyama vya upinzani Naomba Mungu azidikuwatia nguvu wasikatetamaa nakutamani kuacha kazi ya siasa kwakuogopa wanayotendewq

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 หลายเดือนก่อน

      Hapa vichwa vimekutana.

    • @Nedjadist
      @Nedjadist หลายเดือนก่อน

      Hakuna upinzaji au juhudi za kupangwa zitaweza kuiondoa CCM.
      Atatokea mkichaa mmoja tu aliyechoka, afanye jambo la kuogofya!

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 หลายเดือนก่อน

    Continue Reading ❤

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 หลายเดือนก่อน

    Wazee wangu kaeni chonjo musije kutekwa

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 หลายเดือนก่อน +3

    Jenerali Ulimwengu na Prof. Shivji kwa nini mnaendelea kufanya post mortem kwa kitu kinachojulikana? Nyerere alikosea mahali na matokeo yake ndio haya tunayoyaona yakifanywa na chama Dola. Kwa nini msihamasishe umma ili tuanze upya? Vyama vimefeli, zianzishwe harakati za kupata uhuru upya tujenge msingi wa taifa upya. Tuanze mwaka ujao tuachane na porojo!

    • @loiloilolelendomir2037
      @loiloilolelendomir2037 หลายเดือนก่อน +1

      Nashukuru kwamba umejijua kidogo, nakuomba uwahamasishe wengine wachache wawe na ufahamu kidogo tu, tuanzishe vuguvugu Hilo bila chama chochote. Na nikuombe uwatafute wale wasiosikia la mnadi sera Wala muadhini swala! Tutafika kaka.

  • @gerrymimi9387
    @gerrymimi9387 หลายเดือนก่อน

    Watu walimvumilia Mwalimu kwa sababu walimuamini katika nia yake. Pasipo imani ya nia, ni nguvu kubwa sana inahitajika kubeba utulivu wa wananchi. Mbaya zaidi wakidhani wanadharauliwa.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 หลายเดือนก่อน

    HUU NI UTAWALA WA GIZA HATUUSHANGAI, NI KAMA ENZI ZA NEBUKADREZA, AKALETEWA NA MUNGU MANENO YAKAANDIKWA UKUTANI ASIWEZE KUYAELEWA. BADALA AMUOMBE MUNGU AKAITISHA WAGANGA WOTE WAKUU WA KIENYEJI😢 HII NDO SEREKALI YA TANZANIA

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 หลายเดือนก่อน

    waafrika na watanzania wengi kwenye kufikiri ni mtihani sana ukitaka kujua angalia maamuzi yao

  • @MkaliMlanzi
    @MkaliMlanzi หลายเดือนก่อน

    Nimeelimika sana kupitia majadiliano ya Hawa nguli wawili

  • @MaulidiMkima-gx4jv
    @MaulidiMkima-gx4jv หลายเดือนก่อน

    Hakuna mfumo wa siasa na organization unaoeleweka hapa nchini.Ni ulaghai tu na upigaji tu. Nchi imekosa dira na sera zenye kuipeleka mbele nchi yetu, badala yake 'uchawa' ndio sera na mipango ya nchi hii

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

    • @BenjaLight
      @BenjaLight หลายเดือนก่อน

      Naona lissu atubebe. Wanaume wamarekan waliamka mapema kumchagua trampfu kwa wing usiokawaida ya wanaume.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok หลายเดือนก่อน

    Elimu mnayoitoa maoni yenu na ushauri wenu vingezingatiwa nchi yetu ingekuwa mahali pazuri viongozi mbali mbali wa dini,na baadhi ya watanzania wenye mapenzi mema,mzee Warioba inavyolilia taifa lisiangamie anapuuzwa na kubezwa na hata wasiojua historia ya taifa hili.mungu atalikomboa taifa letu.

  • @ismailismail-lr4is
    @ismailismail-lr4is หลายเดือนก่อน +1

    Binafsi sina ninachojua kama nilivyodhani, kongole kwenu wazee

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 หลายเดือนก่อน +1

    Kahiyo nyerere alikua mbaya, sasa jitambueni wenyewe, ndo maaana NCHI imewashinda

  • @williambukuku3493
    @williambukuku3493 หลายเดือนก่อน

    Ukutaka kuwatawala watu wanyime elimu,hicho ndicho Kilichofanyika tz.our mind is hijacked

  • @SalustianSalla
    @SalustianSalla หลายเดือนก่อน

    Nchi hii ina mambo ya kushangaza na kuhuzunisha sana. Hiki kinachoitwa Tume "Huru" ya uchaguzi ni kiini macho tu. Watu ni walewale, mchakato wa kuwapata ni uleule, bado inaitwa huru! Kama sio muujiza sijui kama Watanzania tutatoka hapa tulipo. Unahitajika mwamko mkubwa sana wa jamii, waweze kuanzisha "popular uprising" (mass revolt) ili tuweze kutoka hapa tulipo.

  • @NeemaWasha8080
    @NeemaWasha8080 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awatunze.Mnazitendea elimu na akili zenu

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha หลายเดือนก่อน

    Huu wetu si uhuru bali udhuru. Uhuru katika uchawa, ubabaishaji, utekaji, ufisadi, kujikomba, kupenda kuabudiwa na ujinga na upumbavu mwingine? Inashangaza na kusikitisha. Wakati mwingine unashindwa kuona tofauti baina ya ukoloni na uhuru, uhuni na uhuru. Tofauti kubwa kati yawatawala wa kikoloni na wa sasa ni rangi. Wakati mwingine wakoloni walikuwa na nafuu kwa sababu tulikuwa. hatufanani wala kuhusiana nao. Kwa sasa tuna ukoloni wa kujitakia wa ndani yaani internal colonisation.

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 หลายเดือนก่อน

    Nawaelewag sana wazee Wang hapo angekuwepo na walioba asa maana pro.kamkumbush alisahau hata swal la ardh kweny katiba japo ilitupiliw mbal na wengne

  • @mshanguzontulwe1068
    @mshanguzontulwe1068 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya mizaha!

  • @stephenmadembwe4784
    @stephenmadembwe4784 หลายเดือนก่อน

    Haki haipo katika taifa letu.Uchaguzi unaibiwa waziwazi.Tuna kila sababu ya kupigania sana nchi yetu ili kila mtanzania aishi kwa amani na maoni yake yasikilizwe.

  • @badiomary822
    @badiomary822 หลายเดือนก่อน

    Kwa Ufupi Nchi ilikuwa na Wasomi na Washauri Wazuri tu lakini hakupewa Fursa ya Kusikilizwa Mawazo yao!! Na Suala la Chama Dola ni pale Mwl alipoliingiza Jeshi ktk Siasa jambo ambalo lilichangia sana Kuwanyima Wananchi Demokrasia ya Kweli!!

  • @Nedjadist
    @Nedjadist หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe Shivji ni Shia? Ndiyo maana akawa 'humble'.

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t หลายเดือนก่อน +1

    Shivji ana miaka 78 kazaliwa 46 Ulimwengu ana miaka 76 kazaliwa 48

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 หลายเดือนก่อน

      Wahindi wanahifadhi vyeti yaani hawakubali kuzaa nyumbani na kukisia umri...Huyo ulimwengu ilishafikia hatu 1996 kuambiwa siyo raia japo alikuwa ni kijana muhimu kwa Nyerere

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 หลายเดือนก่อน

      Namkumbuka Mzee Shivji ktk kutoa maoni ya vyama vingi vije au visije mwaka 1991-92...aliichangamsha nchi kwa maneno haya "mimi napenda siasa kwa sababu wanasiasa hawaipendi siasa"😂

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 หลายเดือนก่อน

      Na Ulimwengu kwa kumbukumbu zangu alikuwa Mbunge wa Taifa(Wa kuteuliwa waliitwa hivyo pia Mkuu wa Wilaya Ilala)alikataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya nadhani Singida..alikataa kabisa na ilikuwa gumzo.

  • @SauwaeliNnkoEbenezer
    @SauwaeliNnkoEbenezer หลายเดือนก่อน

    Bora mkoloni mweupe maana ataleta maendeleo kuliko mkoloni mweusi kazi yao Anaeuza Mali za nchi

  • @rwekazamugasha6448
    @rwekazamugasha6448 หลายเดือนก่อน

    Mzee Hon. Warioba amesema tumebakiza JWT ktk institutions nyingi zimekufa.
    Wazee wetu hawa Prof. Shivji na Jenerali wanasema je?

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 หลายเดือนก่อน

    Hata Katiba tunayoidai tutakuja kubadilishiwa jina la katiba hii tuliyonayo na itaitwa Katiba Mpya ya JMT😂😂😂

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 หลายเดือนก่อน

    HAWA WATAWALA WAFIKIRIE VEMA MANENO MAZITO YA HAWA WAZEE NA MANENO MAZITO YA MZEE WARIOBA NA VIONGOZI WA DINI. WABADILI MISIMAMO YA KIBURI NA UBABE VINGINEVYO NCHI SI MDA MREFU ITAINGIA KWENYE MACHAFUKO

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 หลายเดือนก่อน

    hiyo ndiyo Tanzania ya Samia ilikofikia wazee wetu wapendwa yaani hii Nchi imekua mali ya Samia anachokitaka ndicho kinatekelezwa

  • @ValerianFiita
    @ValerianFiita หลายเดือนก่อน

    Wazee wetu tunatamami mwewe ktk tume huru hatuna uhuru kabisa ccm wezi wa kura

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 หลายเดือนก่อน

    Sasa angalia mlivyo tekwa, bandali, misitu, mbuga zote

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml หลายเดือนก่อน

    HILI LA KUMTEGEMEA KIONGOZI MMOJA NDIO ATATUE MATATIZO NI MPANGO WA CCM ILI KULAZIMISHA KUPENDWA NA WATU ,HATA HIVYO BADO WATAWALA HAWANA UJASIRI WA KUKUBARI KUSHINDANA KISIASA

  • @chegebukoli1914
    @chegebukoli1914 หลายเดือนก่อน

    Watu wengi hawafuatilii mambo mhimu

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 หลายเดือนก่อน

    Akili kubwa sana

  • @sharoburger-q4z
    @sharoburger-q4z หลายเดือนก่อน

    hhhhhhhhhh simaanish kua acheka bali nasikitika kwauchungu mno kwan waafrka wote namifumo yao yote yautendaji imeshapitwa nawakat hii yote kua nyuma kielim, kifkra, kiutendaji, kiuadilifu nahatapia kutokua nautu so meb tuzaliwe upya namifumo yote iwe mipya basi nahivo ata ashinde yoyote upepo utakua mgum zaid inauma sana kwamifumo hii.