😂😂😂😂 Jamani hapa nilipo sina mbavu huyu mchungaji ni mtumishi wa Mungu yaani anasema ukweli mtupu katika maisha tunayoishi Namuombea Mungu azidi kukuinua zaidi Umenifurahisha sana.BARIKIWA SANA BABA 👏👏
Eish jameni kiswahili Cha kuunganisha na celotape .mbavu zangu kavunjika na kicheko lol.ijapokuwa ni cha kuunganisha chenyu hicho twakielewa vyema sana.kisha tutasema kiingereza Cha watanzania chakuunganisha na nini? Asante lakini mahubiri mazuri hayo.
Eh dada tuko kanisani tuwache siasa za kiswahili au kingereza. Tafadhali tuokoke muhimu ni washiriki wameelewa. Iwe ni kwa lugha ya Kiswahili au kimombo.
Tz tuna neema kubwa sana, afrika ikienda kwa shetani tutaulizwa sisi maana mungu ametupa neema ya watumishi wa kila namna, asnt yesu
😂😂😂😂 Jamani hapa nilipo sina mbavu huyu mchungaji ni mtumishi wa Mungu yaani anasema ukweli mtupu katika maisha tunayoishi Namuombea Mungu azidi kukuinua zaidi Umenifurahisha sana.BARIKIWA SANA BABA 👏👏
Tusamehe kiswahili sio kidomo chetu Amen Amen Amen
😂😂😂😂😂 kiswahili cha kenya. God bless you pst nimejifinza kitu. Big thanks
Injili iliyo nyooka bila kona Mungu azidi kukuinua Even. Dan.
AMEN. Siwezi lala bila kumsilkilza mch mgogo. Barikiwa Sana baba
Amen for the word it's an an encouraging word
Mtumishi Mungu akubariki
Ubarikiwe sana mwinjilisti Mugogo Bwana akuinue !!1
Mchungaji anafanya vizur sana nivitu vya ukweli n maisha ytu ya sasa
Amina mchungaji ukweli kabisa sema tupone baba
Mxee wa kulipua, lipua mabomu yaliyotegwa tupone baba!!
Cheche wa kanisa 😂😂 hii ni injili kwa kwenda mbele hapashindwi mtu hapa. Patia kila mtu doze yake.
God bless
Kali sana rusha rusha mawe babaaa
Mgogooooooo eti bia imebakia moja kutoka 1cret
2gather
Barikiwa sana
Kweli mchugaji you are right
Baba Mchungaji Utabaki kuwa Msema Kweli Siku Zote
Mafundisho ni mazur
Ameeeeeeen Hallelujah..🙏🙏🙏
Ameeeen
@@teshakweka4929 .Ameeeeeeen dear..Powerful Man of God ...Watching from Germany...I get so Blessed Blessed through his Preachings...🙏🙏🙏
Kwa injili hii mtu asipobadilika basi huyo atakuwa atakuwa jiwe la mtoni ambalo maji yanapita miaka yote ila haliyeyuki. Mungu akubariki sana
😂😂wauza nyaya na vidole vyao virefu jamniiii
hahahaha nice pastor
Nikataka nimwambie pambana na hali yko!! Hahahahhahaha
Your sermons are always touching Pastor Mgogo...you just hit the nail directly to where its supposed to attach!🙏🙏🙏
Like teaching of pastor is so nice welcome Kenya to preach for us at ebulbul ngong deliverance church kajiado county
Like teaching of pastor is so nice welcome Kenya to preach for us at ebulbul ngong deliverance church kajiado county
Ukweli huo kbs.ubarikiwe nabwana
Msoma Comment umekamatwa leo
Kiswahili chetu cha nikibaya
Nice
Haha😅😅😅, hakuna Corruption Kanisani.
Amen.
Semaaaaa
mchungaji nomaa
Sema baba tupone😂😂
hahaha muuzaji nyanya
Amen
Yani huyu hana mambo ya wana Israel.....mamajusi.....sijui waefeso.NO##ni wewe mpendwa moja kwa moja.kasirika ila umeelewa
Chocheya karama yako ume ni furaisha saaana
Eish jameni kiswahili Cha kuunganisha na celotape .mbavu zangu kavunjika na kicheko lol.ijapokuwa ni cha kuunganisha chenyu hicho twakielewa vyema sana.kisha tutasema kiingereza Cha watanzania chakuunganisha na nini? Asante lakini mahubiri mazuri hayo.
mysterious 🤣🤣🤣 kingereza chetu Tz kinahitaji maombi
Cha kuunganisha na super glue🤣
@@salamasapi1663 🤔🤔
Ameeen
Mchungajiunanifuraishssana
🤣🤣🤣🤣😅😅😂😂😂🤣
KISWAHILI CHA KENYA CHA KUUNGANISHA NA SEROTAPE? Hapo umetuonea
😆😆😆😆😆
Elly Mokeira am sorry mtumishi
Jaman msikasirike kuambiwa kiswahili cha kuunga na selotepu tunawapenda wakenya msjali from tz
Kiswahili chetu cha kuunganishwa na celotape ila kiingereza chenu cha celeotape pia haha
Eh dada tuko kanisani tuwache siasa za kiswahili au kingereza. Tafadhali tuokoke muhimu ni washiriki wameelewa. Iwe ni kwa lugha ya Kiswahili au kimombo.
Hahaaaaa muchungaji nyanya bonvu