Mch: Daniel Mgogo-Utafumaniwa pasipo kujua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2019

ความคิดเห็น • 132

  • @khadijakuhigwa9946
    @khadijakuhigwa9946 5 ปีที่แล้ว +51

    Mimi ni muislam na ninaupenda sana uislam, lakini huwa ninakufuatilia sana mchungaji maneno yako yanafundisha sana kwa wale wenye akili timam

    • @joshuamasele8366
      @joshuamasele8366 4 ปีที่แล้ว

      Khadija Kuhigwa kwer dada huyu psta yuk vzr

  • @danielmawakango1870
    @danielmawakango1870 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakusalimu kwa jina la Yesu, mimi nini Mchungaji kwenye kanisa la Kiinjili la Kilutheri inchini RDC, Mungu akupe fahamu sana katika karama yako. Ubarikiwe

  • @richardrichard1112
    @richardrichard1112 5 ปีที่แล้ว +22

    Ukweli mtupu jamani kweli tupo wengi sio uongo Mungu nibadilishe

  • @latefaafreca5486
    @latefaafreca5486 5 ปีที่แล้ว +10

    Duniani kunawachungaji ila wewe mgogo ni Mchungaji nabalikiwa Sana na mahubili yako

  • @rithamwamba3118
    @rithamwamba3118 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba mchungaji kwa mafundisho mazuri

  • @evarestsiwingwa8493
    @evarestsiwingwa8493 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu ni mwinjilist wa kimataifa

  • @daimavlog
    @daimavlog 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndo maana Sweden wanakamata wanaume wanaonunua wanawake, sheria inambana mnunuaji. Asante baba kwa utetezi, sisi wanawake wanatudhalilisha sana.

  • @user-ry3fi8vl3c
    @user-ry3fi8vl3c 3 หลายเดือนก่อน

    mungu akubariki sana kwamaubiri mazuri

  • @deborahkambu5419
    @deborahkambu5419 4 ปีที่แล้ว +9

    Mchungaji wanibariki Sana nimekupongeza Na shairi.Niko Kenya, TH-cam Kwa Jina "Mashairi ya Deborah Matuva".

  • @witneywilly
    @witneywilly 5 ปีที่แล้ว +14

    Uwe unatuwekea tujua tuko part ya ngap maana tunasikiliza zigzag tu jaman na tunataman tungesikiliza moja baada ya nyingine

  • @richardkasangati9580
    @richardkasangati9580 3 ปีที่แล้ว

    Amen mutumishi wa Mungu

  • @philiseosundwa7639
    @philiseosundwa7639 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mchungaji hakika umenibariki sana na ujumbe wako

  • @fadhilihezronimfilinge6688
    @fadhilihezronimfilinge6688 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana mafundisho yako mchungaji mungu awe pamoja na wewe ameni

  • @sbhsvsbshhs1704
    @sbhsvsbshhs1704 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂Makubwa hayo 🙌🙌🙌🙌Ameeen.....Mchungaji barikiwa sana

  • @kokujustina9796
    @kokujustina9796 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana baba mch Daniel Mgogo..mzee wa doziii...🙌

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen Ameeen sifa na utukufu kwa Mungu wetu Asantee Baba mchungaji

  • @harunyusuf4229
    @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mchungaji,kwa mafunzo mazuri.Amen.

  • @eliyapaul5411
    @eliyapaul5411 4 ปีที่แล้ว

    mchungaji Mungu akuinue na akubariki sana mchungaji anaekuelewa hatabaki kama alivyo

  • @mutambukinelson6463
    @mutambukinelson6463 4 ปีที่แล้ว

    Watching you from kenya, tunakupenda sana

  • @samuelapeyo2053
    @samuelapeyo2053 5 ปีที่แล้ว +3

    u spoke to me in this very message. be blessed man of God

  • @clementinespertoniyitegeka6820
    @clementinespertoniyitegeka6820 4 ปีที่แล้ว

    Wa mama ma profesa ya kweli jamani 👌👌👌😄😄😄🙏barikiwasana baba

  • @mellissauwase5514
    @mellissauwase5514 4 ปีที่แล้ว +7

    am Melissa from Rwanda i love him so much

  • @khainzajane322
    @khainzajane322 4 ปีที่แล้ว

    Ni mungu tuu anaye wesa kupima.barikiwa pastor

  • @eliudipetro9050
    @eliudipetro9050 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama mchungaji angekuwa karibu nimetamani sana aje kanisani kwetu tuliko jamani...

  • @lawrencebenjamin9943
    @lawrencebenjamin9943 4 ปีที่แล้ว

    mchungaji napenda sana wanangu unanigusa mnoo amen barikiwa sana

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 ปีที่แล้ว

    Baba mchungaji nafurahia sana mahubiri yako niyakujenga mioyo ya watu, hakika mwanaume wabadilike kwa jina la yesu juu wametutesa kwa kweli barikiwa sana baba

  • @ebbykerubo95
    @ebbykerubo95 4 ปีที่แล้ว

    Mnunuzi na muuzaji wote ndani

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 4 ปีที่แล้ว +2

    Karibu kenya mara tena👌👌👌

  • @kalungikingalu9694
    @kalungikingalu9694 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana mchungaji Mgongo

  • @christineamukoye9969
    @christineamukoye9969 5 ปีที่แล้ว

    AMEEEEEN sema baba tuponeeeee🙌🙌🙌🙌

  • @abelmwakilembembwate5492
    @abelmwakilembembwate5492 4 ปีที่แล้ว

    ,mtumishi mungu akubariki uendelee kutufundsha

  • @phiniasphinias8963
    @phiniasphinias8963 4 ปีที่แล้ว

    hiyo ni jasho au nn mchungaji,,mbona dakika 1 tu wafuta..but nakufatilia snaa mchungaji,,barikiwa sana!!

  • @bihizaclement9868
    @bihizaclement9868 5 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji nabarikiwa maubir yako

  • @khadijakuhigwa9946
    @khadijakuhigwa9946 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongoze ktk njia iliyonyooka

  • @Ssss-hj4ix
    @Ssss-hj4ix 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana napenda mahubiri yako sana

  • @titoeliatv684
    @titoeliatv684 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mgogo ubarikiwe sana.

  • @ezronyboaz4541
    @ezronyboaz4541 5 ปีที่แล้ว

    nabalikiwa san mchungaji ubalikiweee sanaa

  • @paulinajames3706
    @paulinajames3706 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi

  • @shemuaidan3809
    @shemuaidan3809 4 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana Mchungaji

  • @MusaKombe
    @MusaKombe 5 ปีที่แล้ว

    Mimi naseminika pia huku🙌🙌

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa wote tuchange kwa jina LA yesu

  • @fortnataangelo4805
    @fortnataangelo4805 5 ปีที่แล้ว +8

    Hivi wanaume wanasikiaga kweli

  • @esterfredrickdadi3762
    @esterfredrickdadi3762 4 ปีที่แล้ว

    😃😂😂😂😂😂😂duh....MUNGU wangu azidi kwako ..ubarikiwe mchungaji

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hapo kwenye mimba ingekuwa hivyo ningefurahi kweli.

  • @martinamtari288
    @martinamtari288 5 ปีที่แล้ว

    Ameeeen ubarikiwe

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa muchungazi

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +2

    mungu akubariki

  • @erizabethstephano4148
    @erizabethstephano4148 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mchungaji yaniwe baba ninoma aise hana

  • @ayubloserian3584
    @ayubloserian3584 4 ปีที่แล้ว

    mchungaji ubarikiwe jamani karibu mkoani manyara

  • @mawazohuru
    @mawazohuru 4 ปีที่แล้ว

    Baba anakia eehee...Manesi wanasema sukuma

  • @jeannedon8832
    @jeannedon8832 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli ❤️❤️🙏🏾

  • @alicekemunto5646
    @alicekemunto5646 4 ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuri kabisa

  • @aludomakori7692
    @aludomakori7692 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

  • @mc-vick-p4615
    @mc-vick-p4615 4 ปีที่แล้ว

    African Pastor got talent

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana pastor

  • @rhodamgimba4193
    @rhodamgimba4193 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha, kamama kajeuri uwiii kwa kweli nakuachia hapo mtoto umbebe

  • @wjfiston461
    @wjfiston461 5 ปีที่แล้ว

    Naaam amen amen

  • @fatinduna3112
    @fatinduna3112 4 ปีที่แล้ว

    Mgogo unatisha black & white preachings

  • @mukeragabilodiana9391
    @mukeragabilodiana9391 5 ปีที่แล้ว +1

    Asanteeeeee mchungaji 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿👍👍👍👍👍👍

  • @niyonzizaesther3312
    @niyonzizaesther3312 4 ปีที่แล้ว

    Ongea, mwenye sikio anasikia

  • @jeniphermollel7471
    @jeniphermollel7471 4 ปีที่แล้ว

    Amina Mtumishi

  • @marymburu1782
    @marymburu1782 5 ปีที่แล้ว +1

    Powerful

  • @rosemwende9838
    @rosemwende9838 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji ubarikiwe sana unaguza mioyo za wengi sana

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว

    Asante kutetea akina mama

  • @mponelagalinoma4064
    @mponelagalinoma4064 5 ปีที่แล้ว +1

    Betri low..,baba kamimba,mama kamimba 😂😂😂😂

  • @emmanuelwilson482
    @emmanuelwilson482 5 ปีที่แล้ว

    Sahi kaha aapne

  • @ceciliaathanas751
    @ceciliaathanas751 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 hatari

  • @sylviesylvieleonardoliveas6138
    @sylviesylvieleonardoliveas6138 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaa baba na hema yake na mama na hema yake umeiona aje muziki

  • @stellaheshitemi8789
    @stellaheshitemi8789 4 ปีที่แล้ว

    Umenena mchungaji.......

  • @brunomcclain8824
    @brunomcclain8824 5 ปีที่แล้ว +1

    ni ukweli kabisa Amen

  • @adammasunga6382
    @adammasunga6382 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @dannyvadina2116
    @dannyvadina2116 5 ปีที่แล้ว +2

    Batter lingeisha.moto🤣🤣🤣

  • @peninamachira4552
    @peninamachira4552 4 ปีที่แล้ว

    Aminaaa

  • @culateemma349
    @culateemma349 4 ปีที่แล้ว +2

    Hekima uliyo nayo ni mungu tu akuzidishe uzima yaani nipo darani hapa sio pokea gari,pokea mali 😂😂😂

  • @annakaamuli7862
    @annakaamuli7862 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuwa uko bwana

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 5 ปีที่แล้ว

    Upo sawa mchungaji ila ukumbuke kuwa ponbe cyo dhambi. Pombe ni refresher, ukisema ni dhambi umekosea

    • @josephmganga4580
      @josephmganga4580 5 ปีที่แล้ว +1

      Gervas Kombo Kama Pombe Siyo DHAMBI why BIBLIA imeandika wala WALEVI hawataingia mbinguni !?

    • @gerkombo6512
      @gerkombo6512 5 ปีที่แล้ว

      @@josephmganga4580 nipe mstari wa biblia ilipoandika kuwa pombe ni dhambi. Kusiwepo na kupindapinda.

    • @isakalumumba5817
      @isakalumumba5817 5 ปีที่แล้ว

      Wewe

    • @danielmatemu9698
      @danielmatemu9698 3 ปีที่แล้ว

      Pombe sio dhambi, ulevi ndio dhambi.
      Kisu sio dhambi, kuua ndio dhambi.

  • @williammwambokwa3994
    @williammwambokwa3994 5 ปีที่แล้ว +1

    ubalikiwe

  • @abiolamwasa8941
    @abiolamwasa8941 5 ปีที่แล้ว +5

    et wanunuzi wako wap🤣🤣🤣🤣🤣

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว

    Noma😀😀😀 Hahahaha but is true

  • @gillbertmapesa66
    @gillbertmapesa66 5 ปีที่แล้ว

    Alishababu kazi ipo

  • @mpenzujaneth7119
    @mpenzujaneth7119 5 ปีที่แล้ว +3

    Nena baba tupone

  • @chenimbata3027
    @chenimbata3027 5 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @dinahdianah9653
    @dinahdianah9653 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha, Amen Amen Amen

  • @aludomakori7692
    @aludomakori7692 5 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe uko kenya!nimeshangaa kusikia DVD 5 elfu 1

  • @nipheraugu965
    @nipheraugu965 5 ปีที่แล้ว

    Sema tupone

  • @selinalukwembe2618
    @selinalukwembe2618 4 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa sn yani umenipa guvu sn

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 3 ปีที่แล้ว

    Kweli polisi badilisheni mashtaka,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @eliahmwasangama1434
    @eliahmwasangama1434 5 ปีที่แล้ว +1

    huu ni ukweli mtupu wakitoka nje ya wanapo ishi wanafanya tofauti

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 ปีที่แล้ว

    anaubongo huyu mchungaji unachaji ballaaa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว

    Ukweli unawasha kama pilipil

  • @emiliananiarira5246
    @emiliananiarira5246 4 ปีที่แล้ว

    That is

  • @danielmawakango1870
    @danielmawakango1870 3 ปีที่แล้ว

    Sitaki kujipatia video ya mafundisho na mahubiri yako kupitia internet, lakini naomba unipe njia gani naweza ku nunuwa

  • @bettykarume5619
    @bettykarume5619 2 ปีที่แล้ว

    📌

  • @anodmwinuka450
    @anodmwinuka450 4 ปีที่แล้ว

    Nondooo😂😂😂

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 4 ปีที่แล้ว +1

    😅👍🏽♥️🙏🏽

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa

  • @elizabethchales2663
    @elizabethchales2663 3 ปีที่แล้ว

    Sem a baba

  • @eddygaville5061
    @eddygaville5061 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaaaaaaaa

  • @rahmambweso9135
    @rahmambweso9135 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂

  • @petermhina6535
    @petermhina6535 5 ปีที่แล้ว

    Mama anabeba mimba miezi 9 je baba aliibeba hiyo mimba miezi mingapi? nionacho mimi kila mmoja afanye majukumu yake