MCH DANIEL MGOGO - USIMKATIE MTU TAMAA (OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2018
- MCH DANIEL MGOGO - ''USIMKATIE MTU TAMAA''
Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church
Unarikiwe sana baba
Ubarikiwe sana
Full kubarikiwa jamani na huyu Baba Mungu akuinue zaidi na zaidi
Wee mgogo sio wakawaida ,Kweli we mgogo Kwa mafundisho
Your teachings touches my heart May GOD continue blessing you and pray for us sinners
Mtumishi asante
Nimefaidika saana na mafundisho ya muchungaji Daniel.
mchungaji Daniel mungu akubariki Sana Mimi nipo Nairobi wewe ndio Mmoja wa wale mungu amewachagua kwa wakati huu kunyosha kizazi hiki.
Samuel sanare Amen mchungaji napenda mafundisho yako yananijazi. Mie Niko VOI kenya
@@timothywakio8032 Ameeeeeeen Hallelujah.
Hakika Mchungaji Daniel umenifundisha kitu kipya Na kizuri cha kiroho, cha Kuomba Na kuamini bila kukata tamaa hata nipitie changamoto Gani maadam Mungu amesema nami, nitang'ang'ania hadi litokee. Mungu nisaidie Na unirehemu pale nilipokata tamaa Na kurudi nyuma, Ili nijifunze kusonga mbele katka Jina la YESU Kristo wa Nazareth.
Ubarikiwe Baba
Mwenyezi Mungu akupe nguvu zaidi nimekubali unao hubili asante sana
Mchungaji acha basi Mungu akupanue na azidishe mafunuo mengine kwako zaidi y'a kawaida ,roho akuzidishe tena maradufu sababu uko msaada kwetu,sijuw tunaweza fanya j ili uj Congo
Karibu nairobi mchugaji....huku twafariki.
nakuomba ukuje Kenya Mimi nitakuwa your host... nimebarikiwa Sana
Mabeki mmeyasikia hayo naamini, Mungu awafungue kwa damu ya Yesu
Ubarikiwe Mtumishishi wa Mungu iyo ni kweli kabisa
Mungu akubariki sana mchungaji kwa mafundisho yako mazuri
mahubiri yamenigusa sana,Yesu uniokoe
Amina nabarikiwa sana
Amen
Be blessed man of God nabarikiwa sana
fungueni kanisa Kenya.
mgogo, Mungu anakutumia kukomboa hata wahubiri na viongozi wengne wa kanisa... nkweli walio safi hawahitaji kuenda mtoni
Mzee wa nondo Nakubali injili sana hainaga chenga Yesu akutie nguvu
Hiyo ndio injili ya wazi
barikiwa mtumishi
Asanteni sana muchunagaji mgogo
Hapana chezea kichuyaaaaaa
Ameeeeeeen Hallelujah ..Bless you Man of GOD.🙏🙏🙏
Mchungaj n moto fire
😂😂😂dah umenifurahisha mchungaji asante hakuna team bila keeper
Aminaa baba umejuaa kuhubirii ukwel
Asante Mchungaji..dozii hii ni kweli kabisa
Yesu ni bwana na barikiwa na mahubiri
ameeeen mtumishi daniel bwana akubariki sana
Huyu mchungaji huwa ananibariki sana
Asante Kwa donzi inakuja Kwa wakat ulio Kubrick sin cha kukulip mungu aiubaliki
Nakuelewa sana mtumishi
Ubarikiwe mchungaji kwa somo zuri
Am blessed mtumishi. From Saudi Arabia
Watu tulivyo kuwa wa ajabu angekuwa Diamond apo mungeona wanavyo mtunza malaki sio pesa,lakini kwaneno la uzima kama ilo wanakausha
Kweli mtumishi mungu akubariki unatupa chakula kitamu
Sifa kubwa ya nabii n kudharauliwa
Asante sana Mtumishi Wa Mungu.
Praise God
Ubarikiwe mtumishi wa mungu.
A great insight
nakupata kutoka hapa Dubai from Kenya pastor mngu akupe ngufu nime kuswa sana nasukuru
Hallelujah
Your blessing me....
Asante bwana Yesu
Paix du christ mon pasteur !
uko sawa mchungaji
😁😁😁 message sent
hakika munguu akutie nguvu make unasemaaa ukweliiii mchungajiii
good
Amen mtumishi
People need to be taught the truth
Hao Malaya wa mathehebu wapo hata kwetu,Seema wapone bb mpakwa mafuta👏👏👏
AMEN AMEN
Aminaaaaa baba,ubarikiweeeeeeeee
Menibariki saana mutumishi umejinga familia ilikuwa zimebomoka ,mukiwemo.na yangu ubarikiwe
Ubarikiwe sanaa Mch.
Mgogo nakuelewa naelimika sanaa
Amen
mtumishi ubarikiwe na Mungu wa mbinguni usikate tamaa neno linasikika kwa kila anaesikia mimi ni DR AUSON BARUTI niko bukoba
Huyu mchunhaji ni hatr
Leo video kunamskila haiko sawa
Yaani imefulahishwa sana na huyu mtumishi
Mahubiri yako yanakomboa hata wakubwa wa dini walio kosa uungu wa Mungu wako wachungaji wengi wamepotosha washirika wao
kweli kabisa mchungaji
Amenp
AMEN AMEN glory to God
Amina
Napenda sana mahubiri yako
Amina Mchungaji
Amina
Ubalikiwe baba
Amen. Glory to God
Yes
Na barikiwa sana unanena kweli tupu
Kitaeleweka tu
Niko kenya na kila siku umekua wa baraka kwangu
Yesu Mzuri
Jesus My Lord yaani ningekuwa naishi dar ningesali kijitonyama
Yananigusa Sana mtumishi
usimkate mtu tamaa.seremara anamtengeneza
Kweli tusikatie mtu tamaa.Saulo ndiye aligeuka akawa Paulo.Sarai ndiye alibadirishwa akawa Sarah.
Na thimothy akageuka timotheo
Ubarikiwe sana mchungaji
Asanteeeeeeh baba
Aminaa
Amina kubwa
Amen barikiwa sana Mchungaji
Hazina ya mafundisho hii
Balikiwa baba
Pastor barikiwa uko kiwango cha kukomboa watu waliokuwa wamefungwa na NIRA za sheteni
kabisa mtumishi
Amina
Video
Safi
Kha mchunga unkosha kwakwel
Ameen Mtumishi, niko morogoro, kanisa lako liko wapi natafuta mahali pa kumwabudu Mungu siku zote. No. yangu ni 0658985878 nipigie Mtu wa Mungu nakuomba.
Pastor nami nimekata tamaa na baba yangu, ndugu zake wote , kakangu ameshindwa hata kuoa jamani kisa na maana pombe.
Hilo kanisa ni laukweli aseee huyo mchungaji anywe hata kapepsi hapo kwa mangi nakuja kulipa.
Gayle Tete karibu KKKT KARIAKOO tule Neno!!!!
Mm ulevi
Malaya tenaaa😂😂
Namba ya mchungaji Mgogo 0754509160
BWANA YESU asifiwe sana. Mchungaji nimefurahi kupata namba zako. Ubarikiwe kwa kazi kuu umefanya kwa utukufu wa BWANA. Ev. Mireille MITAMBA
Hongera sana mtumishi daaa najifunza mengi
Thanks much
Mungu wa Ibrahim, Isack na Yakob baba wa Bwana Yesu Kristo azidi kukupaka mafuta. Amina
Ubarikiwe sana mchungaji
😂😂😂😂😂😂
Nimefaidika saana na mafundisho ya muchungaji Daniel.
barikiwa mtumishi
Amen
Ivi mchg ulisomea wapi maana una akili
Amen mtumishi
Cag
Amen
Amina
Amen
Amen