SHK SUNKAR: TAKBIIIR: KWA HALI HII USHINDI WA PALESTINA UMESHAKARIBIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    TH-cam: www.youtube.co...

ความคิดเห็น • 287

  • @mwatimahassan965
    @mwatimahassan965 7 หลายเดือนก่อน +16

    Ewe wenye zemungu tuna kuomba 🤲🤲 wape nusura ndugu zetu wa palestina

  • @mohaakoleta8571
    @mohaakoleta8571 6 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH U AKBAR!!

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 19 วันที่ผ่านมา

    Yaani shekh leo nimefurahiiii sanaaa sanaaa nikipata moyo kwa ndugu zangu wa palestine,mmi naumia sana na nafatilia kila pembe kujuwa mwisho wetu

  • @rajabumkoko3947
    @rajabumkoko3947 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli sheikh you are very correct 💯 Allah akibariki

  • @yassinmkumba8115
    @yassinmkumba8115 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera shek Mungu atufanyie wepesi Insha'Allah

  • @MauilidiRajabu
    @MauilidiRajabu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inshallah Allah akufanyie wepesi uwaelimishe wasiojua hili.

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 7 หลายเดือนก่อน +5

    Allah amuhifadhi sheikh letu naamini uwezi kusema urongo ni kweli lsrael anakimbia vita jpo wana silaha nzito.inshallah nusra y.allah iko kwa mujaheedin w.palestine.

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 19 วันที่ผ่านมา

    Naiombea palestina ishinde biidhin llah kila siku duwa kilio mpka naona mwenyeezi mungu hanachelewesha nusra free palestine🇵🇸🇵🇸🇵🇸🫶🫶🫶

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 7 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran shekh wetu Allah akuhifadhi na mahasidi Huo niukweli mtupu na hiyo ndio Ahadi ya Allah na itatimiya tu hakuna mwenye kuipinga Mungu awashinde wote

  • @mahmoudkulatein5449
    @mahmoudkulatein5449 7 หลายเดือนก่อน +1

    May Allah protect our brothers and sisters of palastine

  • @bishweko
    @bishweko 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar. Nasuru mina Allah

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akbar walilahi lihamdi Allah awanusuru waislam ndugu zetu

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jazzaka Allah kheir ya sheikh

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 7 หลายเดือนก่อน +2

    MashaALLAH sheikh ❤❤❤

  • @AliAdam-bz9wx
    @AliAdam-bz9wx 7 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAHU AKIBARU . Mungu awape nguvu na wushindi nduguzetu wa PALESTINI , amina yaa rrabi . Ali Adam . visiwa vya KOMORO .

  • @user-jt7vl4zo5w
    @user-jt7vl4zo5w 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar

  • @mathayomaulid911
    @mathayomaulid911 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu baba wa mbinguni mimi ni mkristo lakini imenipa akiri ya kuchanganya mambo. Nakuomba baba simama na hamasi

  • @user-jg8yq8pm2y
    @user-jg8yq8pm2y 6 หลายเดือนก่อน

    Allah ashushe uahindi Palestinian lnshallah

  • @AlaweInssa
    @AlaweInssa 5 หลายเดือนก่อน

    Mashalla

  • @user-nj1if8dl2c
    @user-nj1if8dl2c 7 หลายเดือนก่อน

    Naskiya umenifurahisha sana shekh wangu uko ningelikupa zawadi nono Allaah akubariki

  • @user-dq6jw1sg9f
    @user-dq6jw1sg9f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atuhifadhi awanusuru ndugu zetu allah awalani maa duwi wote yarab free palestine

  • @mozaalmahruqi4252
    @mozaalmahruqi4252 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli sana kiburi cha masahyuni ndio kinowatia uchungu na ndio wanazidi kuuuwa...hawajetegea kua mpaka leo mwezi wa nne hawakaweza kushinda. Hizi Rehma na uwezo wa Allah. In sha Allah huu mwisho wa maadui hawa na nusra ya Phalasatine.❤

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh Allah akuhifadhi unachosema hofu ya Allah unayo najua unaelimu uadilifu na hekma, wanacoment matusi kejeli juu yako, wewe mwachie Allah yeye ndiye muweza na nusra ipo kwake

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 7 หลายเดือนก่อน +5

    Alhamdulilah

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 6 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah lkhery

  • @user-ni9gx1ho6c
    @user-ni9gx1ho6c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akufanyie wepes

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 7 หลายเดือนก่อน

    Allahumma Aamyn 🙏🙏

  • @adijabedane4354
    @adijabedane4354 7 หลายเดือนก่อน

    lnshallah they will win.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah

  • @MayiNtunzwenimana
    @MayiNtunzwenimana 17 วันที่ผ่านมา

    naamu..ya..rabi..Wapenguvu...Naushinde..mukubwa...Hamas.yarabi....Hamas.NAwe penda.sana

  • @musalumbi8490
    @musalumbi8490 7 หลายเดือนก่อน

    Subhaana Allah

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 7 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar

  • @jamilaabdalla7059
    @jamilaabdalla7059 7 หลายเดือนก่อน

    AllahuAkbar AllahuAkbar

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allahukadir

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 7 หลายเดือนก่อน

    Sheykh ALLAH akupe afya njema na ulinzi wake maana kabla ya vita vya kuwamaliza Hamas usiku wake niliswali rakaa mbili kumuomba MUNGU awape nguvu Hamas waishinde Israel nilipopataatokeo chanya nilimshukuru ALLAH

  • @intisarsuleiman4717
    @intisarsuleiman4717 7 หลายเดือนก่อน +1

    hivi kuna watu mpaka leo wanautumwa wa kiakil unaaminishwa ujinga mpaka leo ety unaamin israel ni taifa la mungu kwaio ss wa tanzania ni taifa la nan km hujui mataifa wote ni ya mung na hawa israel ni madhalim inshaaAllah ushind upo karib

    • @mawazoaliselemani
      @mawazoaliselemani 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi mboni naona wewe na huyo unayemkosoa kama mnafanana?maana we pia unashabikia Palestrina unasahau congo Kuna shida na wakongo ni waafrika wenzio,badala yake una sikitikia waarabu?

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 7 หลายเดือนก่อน

      Unajuwa taila naye akiwa na matahila wenzake Huwa anajiona ni mwenye AKILI.

    • @regnaldymambaly9880
      @regnaldymambaly9880 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@pastorzakariatv1786umesema kweli, hawa jamaa hawajui kuwA Mungu hafanyi mambo yake kama wanavyo fikiria hawajasoma habari ya samson,wafilist walipo mtoboa macho walifikiri ndio wameshinda vita kumbe ndio wame kwisha kwasababu samson alipo poromosha lile jengo walifia huko wote,pia hawajui kuwa Mungu anataka kujitukuza kwao wakati watakapo kuwa wakijivunia kuwa wame shinda vita.mimi naamini atakacho kifanya Mungu kita wafanya wengi wamjue kwa hatua kubwa zaidi

  • @user-xs4xf6qm6v
    @user-xs4xf6qm6v 7 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 หลายเดือนก่อน

    A a shekhe ni kweli kabisa ndiyo tukawaona saana israill waichoma madrasa waibadilisha quran Alla awashinde uwadui wao

  • @abdibule6290
    @abdibule6290 7 หลายเดือนก่อน

    Assalam Alleikum Sheikh MashaAlah, pia Hamas wamefaulu kugonganisha Netanyahu na wa Isreali wenyewe kwa wenyewe. Mandammo pia ya shuhudiwa Isreali na dunia nzima ikiwepo amerikani

  • @fulgencearsene9829
    @fulgencearsene9829 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh huyu ana habari swahihi kabisa. Allah akubarik

  • @MayiNtunzwenimana
    @MayiNtunzwenimana 17 วันที่ผ่านมา

    namuomba.Allah..Anipe.umri.nione...Awo.makafiri..Wa.izrail..wanavyo.shidwa..insha Allah.Mutashidwa.tu.Waizraili.minyan...

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 7 หลายเดือนก่อน

    Masha allaah Allaah akulinde tunapta vitu adim sana Isha allaah

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 7 หลายเดือนก่อน +1

    well done shekh waongea kweli kabisaa.muamerica ni panya na bani izrail majeuri.hamas ndio mashujaa watu watake wasitake

  • @kinanaomar
    @kinanaomar 7 หลายเดือนก่อน

    Hata kwenye vita hivyo vya siku sita marekani iliwasaidia israel kiujasusi ndio muisraeli akazishambulia ndege za kimisri kabla hazija paa angani zikiwa kwenye uwanja wa ndege za kivita na huyo aliye panda ndege ni mfalme wa jordan 🇯🇴 ambaye ni mfalme Hussein

  • @aminashekuwe670
    @aminashekuwe670 7 หลายเดือนก่อน

    Alaysallah biahkamal hakimeen ya Raab ushindi kwa Palastine

  • @user-nj1if8dl2c
    @user-nj1if8dl2c 7 หลายเดือนก่อน

    Tunakuaminiya shekh wangu

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hukusema Iran nayo iko mstari wa mbele ktk mapabano hayo? Tambua kuwa Iran ndo inawapa hizbollah,hammas ba wayemen silaha za kuwatungua hawa maadui waisrael

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdullah

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni muweza wa kila kitu

  • @blessingblessing9641
    @blessingblessing9641 7 หลายเดือนก่อน

    Allahakbar

  • @BilalbinRabba
    @BilalbinRabba 7 หลายเดือนก่อน

    MUHAMMAD QASIM BIN ABDULKAREEM KUTOKA PAKISTAN NDIYE IMAM AL MAHD ENYI WAISLAM MUAMININI MUHAMMAD QASIM KWANI NDIYE USHINDI WETU

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน

      Toka apa

    • @BilalbinRabba
      @BilalbinRabba 7 หลายเดือนก่อน

      @@user-uw5nz8zz1e swali swala ya istikhara kama unaijua muulize Allah utapata majibu inshaallah

  • @YohanaJoshua-i5r
    @YohanaJoshua-i5r 9 วันที่ผ่านมา

    Endeleeni kujifariji kwa uongo

  • @SWABRASWALEH-nc2lf
    @SWABRASWALEH-nc2lf 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsant sheikh

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi waislam tunaimani linalotokea Allah ashapanga pia tuna iman Allah hajahafilika na madhalimu Hawa alimtoa firauni ashindwe napanya hawa

    • @0diraWilson
      @0diraWilson 7 หลายเดือนก่อน

      Julio Pants ni Nani. Mini midi pants buku

    • @user13375
      @user13375 7 หลายเดือนก่อน

      Wakati wa firaun Mungu alikuwa upande wa Israel, Palestine ni kama firaun tu

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa Rabbi waponye majeraha yao ndugu zetu wa Falastin

  • @antonyndege3278
    @antonyndege3278 7 หลายเดือนก่อน +2

    Netanyahu ni mbwa kabisa

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna kuuuwa wana jeshi na kuna kuuwa laia wayahudi wana uwa laiya hamasi wana uwa wana jeshi na ndoo maana wakiuwa kiongozi yeyote yeyote vyv

  • @user-hc1ir8en9d
    @user-hc1ir8en9d 7 หลายเดือนก่อน

    MwenyeziMungu mkubwa

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 หลายเดือนก่อน

    Israel taifa la Mungu teule

  • @user-eb8rf5sp3o
    @user-eb8rf5sp3o 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sunkar

  • @ndomimimkaliwadonta5715
    @ndomimimkaliwadonta5715 6 หลายเดือนก่อน

    unayoyasema ata wakati wa osama sadam na wengine walisema kama usemavyo mwisho wa siku akuna Allah wala nani waliuwa acha kutupa moyo

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 7 หลายเดือนก่อน

    Yani baada ya kuwaombea wasiangamie unasifia kwan Vita hii sio yakutafutia kiki hata kidogo au Kwa sababu hayajakukuta nenda Palestine ukajione au ukrein kiongoz wadin wengine bwana, au unajua wanaokufa hawafai kuish

    • @rajabumkoko3947
      @rajabumkoko3947 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo nyinyi wakristo mnasikiliza kwa mihemko hiyo ni ahadi ya Allah na itatimia inshaa Allaah na falestina itakuwa free... hakika ya dini mbele ya Allah ni uislamu

    • @meshackthomas1341
      @meshackthomas1341 2 หลายเดือนก่อน

      @@rajabumkoko3947 bro usipo shugurisha Akiri Yako vyema. Utakuja kuuwa hat mama alie kuza famili Yako kwa vigezo. Vya kukaririshwa soma vitabu vya mungu Kwa kutafakari wewe bro da ( Mungu tuongeze ufahamu wa nyakat hizi!, naufumbue fumbo la maandiko yanyakat hizi,.) bro elewa vizazi vya wakat huu nichukizo. Hata Kwa shetan elewa mungu katofautsha Akiri zetu nawanyama Kwasasa wanyama wanaelekea kutuzidi akiri wanadamu tumekua navisingizio vingi kwasabab tu et maandiko ya mungu yanasema Hadi yake itimie swal tunaabudu Mungu ili iweje au akitaka kutuondoa Dunia nzima anashindwa ama anachelewa ? elewa Dunian nikutenda mema tu na usilopenda kutendewa wwe usitendee kiumbe mwenzio. Hiyo ndiyo kanuni yakuipata pepo ya Mungu tusdanganyane. 🙏

  • @kinanaomar
    @kinanaomar 7 หลายเดือนก่อน

    Na je kuhusu hizi inchi za kinafiki falme za kiarabu ni vipi hukmu zao sababu na wao pia wako pamoja na inchi za magharibi pamoja na israel sababu wao ndio walio iuza Palestine 🇵🇸 kwa wayahudi kwa kumuogopa muirani

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 หลายเดือนก่อน

    Mhuu

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi si kubali taarifa zinazo sambazwa kwenye mitandao ya wa Cristo kwa sababu a uongo wa nae sambaza

    • @user-ef8pn2ut1y
      @user-ef8pn2ut1y 7 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza za waarabu ndo za kweli.

  • @Husenimikidadi
    @Husenimikidadi หลายเดือนก่อน

    Pia tuipe sifa iran inayosupply silaha kwa makundi ya muqawama

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmesahau kuwa Israel ni taifa teule la Mungu?

    • @BADILIKA
      @BADILIKA 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mashoga hawawez kuwa Wateule

    • @iddyothman163
      @iddyothman163 7 หลายเดือนก่อน +2

      Taifa la mmungu linafadhili ushoga ndio makao makuu yake Israel na sherehe zote za ushoga zipo pale. taifa la mungu linauwa watu.watoto kama hawana akili.soma tena fatilia soma vitabu vya ukweli,taifa la mmungu sio Israel hao wa mchongo mashoga,changanya na akili zako utajuwa ukweli

  • @user-tf4er2iq7k
    @user-tf4er2iq7k 7 หลายเดือนก่อน

    Marekani hana rafiki wa kudumu watamkimbia mhyahudi

  • @JaribuOne
    @JaribuOne 17 วันที่ผ่านมา

    Hahaha Hahaha Hahaha etiiii hamas ambao ni mashia
    Hao watapigwa na dola ya kiislamu

  • @sadikimtega4135
    @sadikimtega4135 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni a wasiwasi kama Israel itaanguka maana hawa jamaa ni imara sana

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kuanguka tu bila juhudi . Hii inatuonesha kuwa Islamic republic of Iran ndio mhimili wa kweli katika juhudi hii, na kuonesha unafiki wa mataifa ya kiarabu ya kisuni kwa kuungana na makafiri kuwaua wapalestina.

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa MUNGU hakuna mbabe

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน

      Lau wangekua imara hawangejikojolea hadi inabidi kutumia diapers

    • @rajabumkoko3947
      @rajabumkoko3947 2 หลายเดือนก่อน

      46:31

  • @user-ef8pn2ut1y
    @user-ef8pn2ut1y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Usifaliji watu kwa uongo israel hatoanguka yupo sana sana adui zake wataanguka yeye yupo.

    • @user-ef8pn2ut1y
      @user-ef8pn2ut1y 7 หลายเดือนก่อน

      @AhmedMahfoudh-uo5jc Ninyi mtajifunza kwa vitendo maana kwa kuambiwa vichwa vigumu.

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi ndio wale wametajwa kwa bibilia wana macho na hawaoni wana masikio hawasikii???😅😅

    • @user-ef8pn2ut1y
      @user-ef8pn2ut1y 7 หลายเดือนก่อน

      @@user-uw5nz8zz1e utaona vizur mwenye macho.

  • @geofreyndambo8635
    @geofreyndambo8635 7 หลายเดือนก่อน

    Qur'an 5:21 nchi gani wamepewa Palestine (wafilisiti)

    • @user-yo6yv1xl7c
      @user-yo6yv1xl7c 7 หลายเดือนก่อน

      Acha uchokoz fata mambo yako Una lazimisha kusikiliza

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 7 หลายเดือนก่อน

    NA ASILIMIA 99 YA WALIMWENGU WANAFURAHI KUPIGWA KWA WA IZRAELI.

  • @jeryjery8566
    @jeryjery8566 7 หลายเดือนก่อน

    Shekhe gani mwenye mapengo

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน +1

      Inshaallah utapata yako soon

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 7 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa ya warabu ni vibaraka wanakera sana hawa jamaa

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allah nimueza juu ya Kila kitu

  • @AlmachiusFaustine-fm1xq
    @AlmachiusFaustine-fm1xq 7 หลายเดือนก่อน

    Since when god has been the god of muslims.even your book quran is so amazing what
    Inside there very horrofic

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 7 หลายเดือนก่อน

    Unazunguza sana nimesubiri point mpaka nimeàma

    • @davisfidelis4149
      @davisfidelis4149 7 หลายเดือนก่อน

      Umeona ee!

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 7 หลายเดือนก่อน

      Akili mgando haiwezi kumuelewa huyu shekh

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamzaswaibu9470😅😅😅

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 7 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah muumba wa mbingu na vyote vilivyomo wajaalie umma wako wa Palestine na wawe wenye kuisimamisha karma ya lailah illallah

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hamas kushinda Israel hiyo ni uongo.Angalieni taarifa

  • @safiayusuf3482
    @safiayusuf3482 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli,izo ni sifa zao

  • @kinanaomar
    @kinanaomar 7 หลายเดือนก่อน

    Kifaru kimoja kina beba watu wanane

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh hakuna wakati waisrail wemepigani pekeyao 1948 walikuwa na waingereza 69 ulaya yote waliwapa usaidizi kama wanavyo fanya sasa.

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jeshi la izrail linamalizika wao wanauwa raia na sio hamas kiukwel hawajatoboa bado

  • @mohamedjackson5593
    @mohamedjackson5593 7 หลายเดือนก่อน

    Kusalitiana nikubaya sana

  • @geofreyndambo8635
    @geofreyndambo8635 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninamashaka na hayo,soma piaKwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili.
    Warumi 11:25

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 7 หลายเดือนก่อน

      Muongozo wetu ni quran kitabu cha mwisho kutoka kwa Allah

    • @geofreyndambo8635
      @geofreyndambo8635 7 หลายเดือนก่อน

      @@abuubilal2646 wale waliotolewa Misiri ni wapalestina? Je hao ndio Qur'an 5: 21 inawazunguza?hebu nieleweshe kama wewe ni mkweli.

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 7 หลายเดือนก่อน

    Allah anamakusudi yake katka vita vinavyoendelea km wanasilaha nawamzuie ziraili asitowe roho zao ikifika siku ya kufa😂😂😂

  • @DamasEmanuel-gw7lj
    @DamasEmanuel-gw7lj 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe shibe inakusumbua

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน

      Na wewe njaa inakusumbua?

  • @alijuju8697
    @alijuju8697 7 หลายเดือนก่อน

    Mr Zkayo na Mr Gerand wewe ndio mbumbavu mkubwa tena ni miongoni mwa makafiri ambao kesho adhabu ya moto inawangoja.

  • @deusNjimba
    @deusNjimba 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wamekufa watu. Ishilini natatu elfu. Kwa elfu na miambli mwasema ushindi huo islael ni kiboko

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 7 หลายเดือนก่อน +1

      Taarifa zao za vifo wanaficha lakin nao wamekufa karibia elfu kumi

  • @salimabdallah4382
    @salimabdallah4382 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ushindi wa vita sikupigga raia ,mazayuni wa kijeshi wanauliwa kama kuku wajinga nyiye

  • @user-by5dy3jy5r
    @user-by5dy3jy5r 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh amezungumza vizuri lakini anaonekana atataasubi na chuki za kimadhehebu. Ameshindwa hata kuawataja Hebullah, wanamgambo wa Iraq na Iran yenyewe. Hawa ndiyo wanaowafanya Hamas wawe na nguvu. lkn sheikh ameshindwa kuwataja kwasababu ni mashia, Chuki kama hizi na unafiki kama huu ndiyo unaorudisha waislam nyuma.

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mashia sio waislam kamili nawe wacha ubonzo.hatutambui mashia wanao kashifu maswahaba wa Mtume (SAW)

    • @user-td6zc2pd3e
      @user-td6zc2pd3e 7 หลายเดือนก่อน

      Duuh wewe mmh aya

    • @user-by5dy3jy5r
      @user-by5dy3jy5r 7 หลายเดือนก่อน

      @@mustafarashid2484 Sasa makafiri wanaowasaidia wapalestina na nyinyi waumini mliyo ungana na mayahudi kuwapiga wapalestina nani bora zaidi?

    • @rajabumkoko3947
      @rajabumkoko3947 2 หลายเดือนก่อน

      Hapna Allah huwatumia waja wake walio wema na wasio wema kuleta hidaya kwa mwenyezi Mungu ko hata km shia inasemekana sio katika uislamu kutoka na tabia na imani yao ingawa kitabu ni kimoja ila Allah huwatumia pia... katika kuleta nusra MBN hilter alitumia ila si katika uislamu kuwauwa mayahudi

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo Palestine ameshinda vita?

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 7 หลายเดือนก่อน

    Ndunia umefika mwisho heri utubu nakuomba munaongelea uchijezi tu. wafwasi ibilisi nyinyi

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 7 หลายเดือนก่อน

      Wacha chuki,babayenu ana karagwa huko.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 7 หลายเดือนก่อน

      Pole sana ndugu yangu, kwani hujui NABII MUSSA NA YESU/ ISSA BIN MARIAM Waliteseka sana na watu hawahawa??! Leo hatushangai hawa hawa kuwatesa Waparestina ( MWZ MUNGU MWENYE SUBIRA NA HAKOSEI)

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 7 หลายเดือนก่อน

    Kwenda nyinyi munapenda ugovi .hapendi kutangaza amani

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 7 หลายเดือนก่อน

      Ukweli utasimama MWZ MUNGU NI MWINGI WA SUBIRA ( Nabii MUSSA aliteseka sana na watu haohao , Yesu /INabii SSA BIN MARIAM aliteseka sana na watu haohao SASA Waparestine ni nani hadi wasiteswe na hao watu??! MWZ MUNGU kwenye INJILI TAKATIFU TAKATIFU NA QURAAN TUKUFU hakosei bali kwenye vitabu vingine ambayo siyo INJILI QURAAN, ZABURI wala TAURAT. Hivyo vitabu VITUKUFU NA VIMEKAMILIKA NA HAVIBADILIKI MAJINA WALA HAVIBADILISHWI NENO. ( Kazi ipo kwenye vitabu vya MUNGU vyenye hila za kibinaadamu hili vipotoshe Dunia).

    • @user-uw5nz8zz1e
      @user-uw5nz8zz1e 7 หลายเดือนก่อน

      Unaelewa historia wewe au unabweka tu.. angalia ni nani huzusha vita wanatoka maili ngapi kujileta nchi za wengine ili kuwapiga. Tunapenda amani sana kwa mwenye kutupa amani lkn hatugeuzi shavu la pili

  • @user-xs7xq4vi9y
    @user-xs7xq4vi9y 6 หลายเดือนก่อน

    Inamal yusiri yusraa
    Popote penye uzito upo wepesi

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sadamu Hussain wa Iraq pia aliwahi kuwadanganya waislamu wote Duniani eti tulieni tuta yapiga haya makafiri mpaka yajuwe yakuwa yamekutana na wanaume kweli kweli ona kilicho mkuta nikushauri mzee wetu ungana nasi tuiombee Gaza
    Tusipo omba Gaza itateketea na Iran pia hatasalimika hicho ndicho kitakacho tokea kama mzee hauna elimu ya Mungu ya kujua ni taifa gani linalo tafutwa basi nyamaza.

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 7 หลายเดือนก่อน

      Sawa lkn ss tunakubaliana ya kwmb Izrael haijawah kupat kipigo kw muda wa Miaka 70 iliyopit km wanachokipata sas pale Ghazza
      Wenyew hawaamin na ndio man mwnzon walisema wataiangamiza Hamas ndn ya cku 3

    • @salimali3688
      @salimali3688 7 หลายเดือนก่อน

    • @salimali3688
      @salimali3688 7 หลายเดือนก่อน

    • @salimali3688
      @salimali3688 7 หลายเดือนก่อน

    • @salimali3688
      @salimali3688 7 หลายเดือนก่อน

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 7 หลายเดือนก่อน

    Kama waislam ni watu woman warlike dad's zetu wanaoajiriwa Uarabuni matendo ya kinyama wansyofanyiwa. Pia jiridhishe kwamba Waa rabu haha waliwachukua babu zetu wengi sana na hakuna hats mmoja alive hai walk mwenye kizazi usrabuni je watt wema haha ndugu zetu walienda wapi

  • @yusuphdachi1387
    @yusuphdachi1387 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani Sheikh umeshindwa kabisa kuitaja Iran 🇮🇷 wakati hata hao wazayuni wanalia na Iran kisa ni mashia Inalilah wainailah rajuon

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 7 หลายเดือนก่อน

    Makafiri hawaamin Quraan sio? Wangoje siku hiyo