Allah atufanye tuwe miongoni mwa waja wema wenye mwisho mwema na mzingatio asante kwa sadaka ya ukumbusho wenye kheri na sisi Allah akulipe shekh wetu🤲🙏
Assalam aleikum alhamdulillahi Masha allah sheikh mm na kutizama kwa channel mahaaasin Allah akupe umri mrefu wenye manufaa naomba Dua zako sana na mawaidha NJ mazuri sana Allah akuhifadhi insha allah
Ni muhimu kueleza kuwa haya yaliyozungumzwa hapa ni baada ya kuijenga imani yako, kuisimamisha swala, na nguzo nyengine muhimu. Ukisema mwenye kupendeza zaidi kwa Allah ni mwenye kuondolea watu matatizo bila qualifications yaeza leta fitna kwa watu wenye magonjwa kwenye nyoyo zao
I’m Christian,I really enjoyed and I learned a lot,Thank you so Much Sheikh,May Godbless you always🙏🙏
Allah atujaliye uwezo wakutoa na moyo waiman mawaidha yanatoa machozi Allah akulipe kheir sheikh
Mashallah tabaraqah. Maudhui ni maziri Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera sheikh wetu. Shamsi elim
Allahuma Amin
I wish I could like this lecture like a million times. Mashallah. What a beautiful reminder!😊
Absolutely🤗
.Allah atujaalie tuwewenye kutoa n kupokelewa
JazaakAllahu khair sheikh Shams. May Allah be pleased with you. Allahumma amiin. Team Uganda 🇺🇬
Allah akuongezee kila ulipo pungikiwa. Tunashukru kwa somo nzuri sana.
Allah atujalie tuwe miongoni mwao🤲🤲❤❤
Ujumbe mzuri sana Allah amjazi kheri shekh huyu
Amiina yaraab atujaalie Sisi sote amiina yaraab jazzakallah kheir shekh
MaashaaAllah well said
Masha Allah,Allah akulipe kila la kheri
ALLAH Subhawataala akujaalie umri mrefu udumu katika kutuelimisha.May Allah grant us to be understandable for what you're educating us and follow them
Alhamdulillah mungu akupe umri mrefu wnye kheri n wwe uzidi kutufungua macho
Masha Allah jazakah Allah kher kwa ujumbe mzito hakika n somo leye mazingatio makubwa
Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹
Jazakallah khaira shehk uko vizur
Nashkuru sana kwa somo zuri sheikh Allah akujalie yaliyo ya kher na afya njema tuzidi kujifunza kupitia ww 🙏🙏🙏🙏
Allah atufanye tuwe miongoni mwa waja wema wenye mwisho mwema na mzingatio asante kwa sadaka ya ukumbusho wenye kheri na sisi Allah akulipe shekh wetu🤲🙏
Masha Allah mola hakuogoze kwa kila jambo
Jazakallahu Khair Barakallahu Laka Amin
Jazaka'Allahu Khair Sheikh Shams, Aameen
Ladies and selfies during a beautiful lectures like this... we!
Lecture nzuri sana, nimepata faid. Mwenyezi MUNGU akujaze kheri Sheikh Shams
Jazakatul Kheir
Mashaallah sheikh shamsi
Ahsant san sh...
Allah akuhifadhi
Assalam aleikum alhamdulillahi Masha allah sheikh mm na kutizama kwa channel mahaaasin Allah akupe umri mrefu wenye manufaa naomba Dua zako sana na mawaidha NJ mazuri sana Allah akuhifadhi insha allah
Allahumma barrick
shukrn kwa nasaha nzuri
Allahumma Ameen, Maashaallah!
Alhamdulillah MashaAllah ❤
Amin,allah akujaze heri sheh wetu
Ujumbe mzito
Maashallah ujumbe mzuri sana wallah
Allah akusamehe madhambi yako
Mahaa Allah Allah akupe umri mrefu
SubhanaAllah 🙏🏼 Allahu Akbar.. Naam Sadaka Ina Kuepusha mambo Mengi!?
Mashallah , Allah akujalie
MashaAllah
Jazakhallah khairan sheikh upo sahihi
Allah anatupa rizk na tukitoa katika alotupa allah ni kama tumefanya biashara na allah
Ambapo rizk ile ile inatoka kwake
Subhana allah
SubhnaaAllah Mashaa Allah❤
Asante shekhe
Ameen 🙏 ❤
SubhanaAllah
Shehe wangu umeongea ukweli mtupu mi nimiongoni wa watu waliofaidika na utoaji wa sadaka
Mashallah
May Allah Grant As Ability to Give Allahumma Amin.
AMEN
Ni muhimu kueleza kuwa haya yaliyozungumzwa hapa ni baada ya kuijenga imani yako, kuisimamisha swala, na nguzo nyengine muhimu.
Ukisema mwenye kupendeza zaidi kwa Allah ni mwenye kuondolea watu matatizo bila qualifications yaeza leta fitna kwa watu wenye magonjwa kwenye nyoyo zao
❤
Jordan or lebanon
Aameen