Malim salim nakuomb uzidi kuwambia ukweli awo wt kusa lak as nn mtum at hawatak kumfat na hal yakuw kaja kuwambia au kuwahd uzima wa milele )wajb ap wakisto unao wahoj tupat kujuw sie binadamu wenziwe wasikae ivo t nafikira mbay wanavo ambiw na mapaste wao watawapelek moton san)ubay uko wp na faid niyao
Shekh salim huyo mkristo alie soma quran kuwa ati imesema imeruusu mtu ajiue nmfano tu wa mzazi aambie wanawe ikiwa mtu hajaridhika kuishi na mimi basi aondoke..lakn itakuwa hajafukuza mtu huyu mzazi kwaio waelewe wakristo quran haijaruusu mtu kujiua
Soma iyo Qur'an 21:107 Mtume Muhammad katumwa kwa watu wote ila mwnzo alianz kuwalingania watu wa karbu na Mji wake na huwez kuwalingania watu wa karbu yko kw lugha tofaut na wao wanayozungumz hata wao watashangaa Mtume Muarabu lakin maandiko aliyokuja nayo ni tofaut na lugha yke.
Maana ya inswaf ni jambo lolote ambalo utafurahiya mtu akikufanyia! Lau jambo hilohilo likiwa halito kufurahisha ukifanyiwa basi na wewe usimfanyie mtu mwengine
Takbiiiiiiiiiiir...Allahu Akbar. Allaah Awajalie maisha marefu masheikh wangu kwa kazi nzuri mnaifanya. Ameen
Aameen ameen ameen sote
Insh ALLAH nawaombea walimu wetu Mupate Gari lenu ili mufikishe dawaa kila mkoa Amiin.❤❤❤
Inn shaa Allah lengo letu ujumbe ufike kwa wale hawajafikiwa
Mashallah nimekua wapili Leo
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Mash'Allah
Masha allah ❤❤❤
ASALAAM ALEHKUM WALAHMATULAI WABALAKATUH
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Mashallah ❤❤❤
Allah amlaze mema apa n kesho akhera na waislam wote
Aameen ameen ameen
😂😂😂Eti unga wa kisyagi....
Hahaaaaaaa 😂🤣😂😂😂
Assalam alaik warahma tullah wabarakatu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Allahu Akbar kwa neema ya uislamu
Alhamdulillah
may Allah protect you
Aameen ameen ameen all of us
Mashallah tabarkallah
mashaAllah
Maswali zuri hata mm naomba Korean ya kiswahili
Allahu Akbar ♥️
ALLAH AKBAR
Mashallah
Ulkkuwa ustadhi umkamate. Huyo Pale aliposema Solomon amejenga hikalu au synagogue je ndio nini hao wote walikuwa .nani waislam au wakristo.
Inn shaa Allah
Mashaallah
Malim salim nakuomb uzidi kuwambia ukweli awo wt kusa lak as nn mtum at hawatak kumfat na hal yakuw kaja kuwambia au kuwahd uzima wa milele )wajb ap wakisto unao wahoj tupat kujuw sie binadamu wenziwe wasikae ivo t nafikira mbay wanavo ambiw na mapaste wao watawapelek moton san)ubay uko wp na faid niyao
Shekh salim huyo mkristo alie soma quran kuwa ati imesema imeruusu mtu ajiue nmfano tu wa mzazi aambie wanawe ikiwa mtu hajaridhika kuishi na mimi basi aondoke..lakn itakuwa hajafukuza mtu huyu mzazi kwaio waelewe wakristo quran haijaruusu mtu kujiua
Masha Allah jibu nzuri hiyo inn shaa Allah
We never sent a messenger except to his own people speaking his own language.....sura 14:4
Mohamed was sent to his own people,the Arabs
Soma iyo Qur'an 21:107 Mtume Muhammad katumwa kwa watu wote ila mwnzo alianz kuwalingania watu wa karbu na Mji wake na huwez kuwalingania watu wa karbu yko kw lugha tofaut na wao wanayozungumz hata wao watashangaa Mtume Muarabu lakin maandiko aliyokuja nayo ni tofaut na lugha yke.
@@dulividuli5237 Na alitumwa kama rehema na waislam wanamuombea rehema Kwa Allah.Rehema anaombewa rehema
@@NathanielNathan-m4o wapi Waislamu wanamuombea rehema?
Maana ya inswaf ni jambo lolote ambalo utafurahiya mtu akikufanyia! Lau jambo hilohilo likiwa halito kufurahisha ukifanyiwa basi na wewe usimfanyie mtu mwengine
Masha Allah shukuran kwa ukumbusho huo
Sheikh salim wapumbavu kama huyo jamaa aliyevaa kofia anaulizia vita,mpuuzeni,msiwape nafasi, washenzi tu hao
Ma sha ALLAH
Mashaallah baarakallah