Wakristo waanza kuelewa maswali wayaleta moto moto ajabu ya jibiwa hizi vitabu nani kaandika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @sonaratz
    @sonaratz 11 หลายเดือนก่อน +23

    Uje na Tz. Dar Es Salaam tunapenda sana mafundisho yako

  • @SaidPazi-u9y
    @SaidPazi-u9y 11 หลายเดือนก่อน +13

    Shekhe Salim. Mnafanya kazi ngumu Sana. Mungu awaongezee

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Aamiin amiin amiin sote

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 11 หลายเดือนก่อน +18

    La ilaha ila Allah muhammed wa rasulu Allah☝️..av never regretted revert to islam..thank u Allah n thank u salim dawaah team

    • @sheemaryam
      @sheemaryam 11 หลายเดือนก่อน +2

      Daa hujambo kwema

    • @sheemaryam
      @sheemaryam 11 หลายเดือนก่อน +1

      Alfu Kuna ingine ya Abbas online tv pale Eastglish 😅 huwa nitamu especially ustadhi Anwar na salim ndenda na Abbas wallahi ni tamu they do apload 8am kindly go there and learn more😅

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 11 หลายเดือนก่อน +2

      Welcom sis to the right path Allah guide you here and here after

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@sheemaryam kwema dadangu

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@Nora-v1m3p ameen ameen inshallah

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 11 หลายเดือนก่อน +8

    Sheekh salim may Allah sw guide your parents to Islam Amiin

  • @mohamedsimba4157
    @mohamedsimba4157 11 หลายเดือนก่อน +4

    Allah abaarik kaka zangu hakika mnafanya kazi ya Allah...karibuni kwetu Tz

  • @JustinKitsao
    @JustinKitsao 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyez mungu awaweke hadi tuonane nami pia mnifundishe

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q หลายเดือนก่อน

      Ameeen bora ww umeiona nuru❤❤❤

  • @ismailsuleiman394
    @ismailsuleiman394 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah Allah awazidishie hikma na ilmu zaidi ya hivyo kuwajibu waridhike kwa jawabu moja

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 11 หลายเดือนก่อน +23

    ALLAH awajalie wazazi wako shekh salim wajekuwa waislam kwakweli inauma ukishaijua haki kisha wazazi hawajajua,najua inauma sana mm dadangu ameritad inaniuma sana sana😢

    • @ElishaPeter-ln1ud
      @ElishaPeter-ln1ud 11 หลายเดือนก่อน +3

      Amin

    • @mwangimuhammad-sx9hb
      @mwangimuhammad-sx9hb 11 หลายเดือนก่อน +1

      Noma sana,,huuma zaidi hasa mtu wako akirtadi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +2

      Aamiin amiin amiin Allah awaongoze

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 11 หลายเดือนก่อน +1

      kafuata mume

    • @sheemaryam
      @sheemaryam 11 หลายเดือนก่อน +6

      Pia mm huwa yauma sana kwanza mamangu hataki ata umtajie hilo jina uisilamu it's very painful ila kuwaombea tu

  • @faridaalwaily-hk4xf
    @faridaalwaily-hk4xf 11 หลายเดือนก่อน +7

    MashaAllaah wawafahamishaa kwa busarah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Allah atupe ufahamu zaidi

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q หลายเดือนก่อน

      @@salimdaawah123ameeen

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 11 หลายเดือนก่อน +5

    Allah amfanyie wepesi kueneza dini yake.kazi nzr walim ngu

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 11 หลายเดือนก่อน +4

    Asalam aleikum warrahmatulah wabarakatuh Allah azidi kuwahifadhi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah cku moja mjipange muende Tz aaa mnanikosha sana masheikh wetu allahumma awafanyie wepes ama hakika kazi yenu ni ngum lakin mbele ya Allah ina malipo makubwa much more love❤❤❤ and respect🙌

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Inn shaa Allah tutapanga tuingie Tanzania

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 11 หลายเดือนก่อน +1

      Barakallahu fik...❤

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q หลายเดือนก่อน

      @@salimdaawah123mtoe taarifa yaan ntasikiza hbr kwa umakin kabisa

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 8 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah sheikh Ali na ustadh salim kazi nzuri sanaa

  • @ggv866
    @ggv866 11 หลายเดือนก่อน +4

    Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 11 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah napenda sana kusikiza maandiko nafsi yangu ina farijika sana ALLAH awalinde mashkhe wtu awazidishie elim awalinde na husuda 🤲🤲 ju kunawatu wanachukia kazi munao fanya

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Aamiin amiin amiin huwezi pendwa na kila mtu wanaochukia Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @josemu870
    @josemu870 6 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiweni sana sana

  • @Mudi-zk2cy
    @Mudi-zk2cy 11 หลายเดือนก่อน +1

    ManshaAllah ustadh Salim leo masomo yalikuwa moto.

  • @b.funditv4781
    @b.funditv4781 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashekhe wetu hongereni sana mnafanya kazi ngumu sana Allah atawalipa ila pia wachungaji ipo siku ALLAH atawapa mapigo makubwa sana nandomana hata Allah amewaita Mbwa kwenye kitabu chao 56:10 Isaya soma hiyo shekhe Salim

  • @linas.lifestyle
    @linas.lifestyle 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah tabarakallah , assalam aleikum warahma tulla , sheikh nilikua na swali .. hivi kati ya sisi malaika na majini .. binadamu ndio tunakufa mwanzo kisha malaika na majini wafate baadae ama hata malaika na majini kila siku wanafariki? Shukran ❤ may Allah bless you amen ❤

    • @jamilaomari2444
      @jamilaomari2444 11 หลายเดือนก่อน +3

      Malaika wafi,, ila watakufa na kufufuliwa cku ya kiyama. Ila majini na wanadamu wanakufa kila cku.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 11 หลายเดือนก่อน +4

    Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh

  • @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
    @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 11 หลายเดือนก่อน +3

    Jazaka llah kher

  • @abduljaffer
    @abduljaffer 11 หลายเดือนก่อน +3

    Allah awaongoze

  • @UzatHassan
    @UzatHassan 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulinde popote ulipo napenda dawaah yako sana na wenzako

  • @saudahassan3804
    @saudahassan3804 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Allah awalipe fil Dunia wa akhera

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 11 หลายเดือนก่อน +5

    Alhamdulillah ❤

  • @Araphatswai
    @Araphatswai 11 หลายเดือนก่อน +6

    Assalam alaykum

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 11 หลายเดือนก่อน +1

      Walykhum salaam..bless u n ua family

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Aamiin amiin amiin all of us

  • @isackjuma-fp2ch
    @isackjuma-fp2ch 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah

  • @Adm9464
    @Adm9464 11 หลายเดือนก่อน +11

    It’s always wajipange. Haki Ajabu. The pastors are scared of coming to this field. They come to the battle field to practice. They are never prepared.

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg 11 หลายเดือนก่อน +5

    في بيوت اذن الله وان ترفع ويذكر فيها اسمه يسبح له فيها بالغدو والاصال

  • @SaumuSaumuchizzy
    @SaumuSaumuchizzy 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mungu awazidishie

  • @FadumoAbdullahi-g5y
    @FadumoAbdullahi-g5y 11 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah ❤❤

  • @ShaliphZbel-it8id
    @ShaliphZbel-it8id 11 หลายเดือนก่อน +3

    Manxhallaa

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri sana tumeipenda sana

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallhu heira

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 11 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani ya kesho naitaji maana napata faida sana

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mambo ya atawale tawale😅😅😅

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 11 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah!

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Long time my sister

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@salimdaawah123 Niko na nyi siku zote, Alhamdhulillahi kwa kazi yenu, Allah awape Aafiyah wa rizqan tayyiban.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      @@nubianqueen6700 aamiin amiin amiin sote

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 11 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu anauliza kuhusu dua za supplications. Dua ya kuingia choo, kukula, kulala, kuamuka, ya kuingia msikitini,,, etc.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Okey hatukumfahamu vinzuri Allah atuongoze sote

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 11 หลายเดือนก่อน +11

    I have never seen a Christian acknowledging what the bible says

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +4

      Christians don't follow the bible they follow what the pastor says

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 11 หลายเดือนก่อน +1

      Sure they don't believe it

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 11 หลายเดือนก่อน

      If they acknowledged what the Bible says they won't be Christians anymore.

    • @Cynthia-it9uy
      @Cynthia-it9uy 7 หลายเดือนก่อน

      May our Lord Jesus have mercy on you.

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh 8 หลายเดือนก่อน +2

    Daawah ❤❤

  • @jalalmohamed141
    @jalalmohamed141 10 หลายเดือนก่อน +4

    Salim waulize kuna aya yesu aliva mwili ya mwana adamu

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 10 หลายเดือนก่อน +2

    SISI WAISLAM KANDO YA SALAA TUNA DUAA KILA KITENDO CHETU,
    UKIVAA NGUO IPO DUAA
    UKIINGIA SOKO IPO DUAA YAKE
    UKITOKA NA UKIRUDI HOME IPO DUAA YAKE
    BAADA KULA IPO DUAA
    UKIPANDA KIPANDO IPO DUAA
    UKIVAA NGUO MPYA IPO DUAA
    UKIFIKIWA NA HABARI YA MSIBA IPO DUAA
    UKISIKIA ADHANA IPO DUAA
    UKIINGIA MSKITINI NA UKITOKA IPO DUAA
    UKIINGIA NA UKITOKA TOILET IPO DUAA
    KUNA DUAA YA ASUBUHI NA JIONI IPO DUAA,
    UKILALA NA UKIAMKA IPO DUAA
    WAISLAM MAISHA YOTE NI DUAA.
    NA SALA TANO ZA FARIDHA LIKA SIKU,
    NA SALA ZA SUNNA
    NI DHUHA NA KABLIA NA BAADIA
    SALA YA QIYAM LEIL ,SALA ZA TARAWEH,SALA ZA EID NA KADHALIKA..........

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 หลายเดือนก่อน +1

    Asc,Mbwa akiwinga mnyama kisha amuue and umpige ndege aanguke ake kufa ni halali kula?

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi = mwenye + uwezo .
    Mwenyezi mungu = mungu mwenye uwezo .....yaan mungu asiyeshindwa na lolote.😅

  • @rahilyas254
    @rahilyas254 5 หลายเดือนก่อน +2

    Allahu Akbar!

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pape ni brazilia au argentino

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah kwa ukumbusho huo

  • @mamawamuya
    @mamawamuya 10 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAHU Akbar

  • @IsmailAbubakar-gh1zb
    @IsmailAbubakar-gh1zb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuja huku kayole junction omega Obama

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 11 หลายเดือนก่อน +4

    WHY CHRIST😂IAN WE DON'T BELEAVE THE BIBLE?

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani wakristo wana kwenda kanisani na Maumbwa ni sawa kwao kwenda kanisani na Mbwa ni sawa kwa sababu wazungu ni dini yao ukristo na mzungu na mbwa kama baba na mama

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 11 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂 ALLAHU AKBAR hilo swali laleo nikali ent mukifunga alaf mutume muhammad swala ulahu waaliy assalam ent anakuja kukula idi makubwa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Propaganda wanazopewa na wachungaji wao

  • @omaar5693
    @omaar5693 11 หลายเดือนก่อน +2

    Skia hii 01:30:25

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 11 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wazuri wa dini = wachaMungu

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wapoteza muda

  • @abdallahalbaity361
    @abdallahalbaity361 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuhusu chakula in islam (Surah An-Nahl, 16:114)

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  6 หลายเดือนก่อน +1

      Masha Allah shukuran kwa ukumbusho

  • @seifmajid8088
    @seifmajid8088 11 หลายเดือนก่อน +1

    JINA LA ALLAH , HATA UKIANGALIA NA KUSOMA KWENYE BIBLIA YA LUGHA YA KIARABU UTALIKUTA JINA LA ALLAH. JINA LA ALLAH SIO KUWA LINAPATIKANA KWENYE QUR'AN.

  • @samuelmwauragichuhi6568
    @samuelmwauragichuhi6568 11 หลายเดือนก่อน

    namimi nauliza swali Nani akaadika Qur'an?...sitaki jibu ilitoka Kwa Mungu...najua Mohamad diye chanzo cha Qur'an na alikuwa hajui kuadika na kusoma...lazima kuna mwenye alimwadikia hio Quran..sitaki jibu Kwa hisira mimi

    • @Motheking-ps2tl
      @Motheking-ps2tl 8 หลายเดือนก่อน +2

      Quran 80 11 hao ndo walioandika quran.
      Quran 2 97 Huyo ndo aliemletea quran mtume muhammad. Kila kitu kiko wazi. Nyie waafrika ndio wabishi wenzenu wazungu wamepiga research mpaka wanaslim kwafujo.

    • @samuelmwauragichuhi6568
      @samuelmwauragichuhi6568 8 หลายเดือนก่อน

      @@Motheking-ps2tl aliyekuwa andui wa jubilii..unasidwa kusema hivo..

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q หลายเดือนก่อน

      @@samuelmwauragichuhi6568polee my dear poleeee endelea kuchagua majibu😢😢