Asalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh ya Salim kwa hakika nafurahia dawah na ninajivunia kua muislam ila nachangia kidodo yakua wakati mnafunza mkue mkiuliza hao wakristo wote wako hapo kama wanaelewa inshallah❤
@@sheemaryamshuku ni yule alikuwa anagoogela akipignagan shida ni kuwa unabiwa ukweli eg1+1 ni ut bt wanataka kusema 11 haki ni moja mbele ya mwenyezi Mungu
Ukiristo..neno kristo nilakigiriki..bibilia neno lakigiriki..yesu jina halisi qliitwa masihi...ambaè nijina lakiirael ..hawa wagiriki wanaingia vipi kumpa yesu jina..ama kutoa jina la kitabu ilhali yesu analugha yqke asili
Kwa hakika juwa halichwi wala halichomozi isipo kuwa ime zoweleka kusemwa hivo kwa juwa lachomoza na kuchwa bali dunia ndio inayo zunguka, hiyo habari ya kuchwa kwenye matope ni mfano tu
Surahyapili ayah 144 : Kwa yakini tukiona unavyo geuza geuza uso wako mbinguni Basi tutakuelekeza kwenye Kibla ukipendacho Basi elekeza uso wako upande wa Msikiti Mtakatifu; na popote mnapokuwa zielekezeni nyuso zenu upande huo; na hakika wale walio pewa Kitabu wanajua kwamba hiyo ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na yale wanayo yatenda
Mungu awape wepes masheik wetu kwa kz nzur munayoifanya Ameen.
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah,,,, Allah awahifadhi nyote na awalalipe,,,Ratemo kidogo research haijakamilika
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Masha Allah mafunzo mazur sana nikisikiza maandiko napata utulivu wa moyo etn Wana tawadha kwasiri 😂😂
Mash Allah alhamdulilah alhamdulilah kwa nihma ya Islam
Mashallaha
Ma sha Allah
MashALLAH alhamdulilah
Allhadullh Allah kunijaalia uislam
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Masha Allah
Asalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh ya Salim kwa hakika nafurahia dawah na ninajivunia kua muislam ila nachangia kidodo yakua wakati mnafunza mkue mkiuliza hao wakristo wote wako hapo kama wanaelewa inshallah❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Mashallah
Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatuh nimechelewe lakini nimewahi mjadala motomoto Allah awahifadhi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin
Allah
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakat
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Doctor salim ngugi waulize maswali ndio wapate kufahamu
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh
Huyo wambua ameandikiwa na hajielewi na ni mshindani na ni msabato ni group la kina ndacha
Kuweni makini nae anajifanya anatoa aya kwa wingi ili achanganye watu ukimwambia aya moja kwa moja ikaguliwe hujifanya haelewi.
Allahu Akbar ❤
Mashaa Allah, mnafanya kazi masheik zetu
Asalam alaykum sheikh Salim .naomba number yako kama itawezekana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh+254 727 431 691
Hawa hawana mpya isipokua hupandikizana propaganda nyingi sana .ajabu wengi huuchukia uislam.
Kabisa na ubishi bila and iko kwanza yule wa jana ati mbona mtume anaozea kwa kaburi yet yy akifa anaenda kaburini 😂
@@sheemaryamshuku ni yule alikuwa anagoogela akipignagan shida ni kuwa unabiwa ukweli eg1+1 ni ut bt wanataka kusema 11 haki ni moja mbele ya mwenyezi Mungu
Kweli kabisa yaa
Sheikh matendo ya mitume ni kitabu gani
Act of apostles
Ni baada ya injili kama alivyoandika yohana 😅
Iko kwa Bibilia
Please doctor salim ngugi you need to explain to these guys about that verse talking about the dead ones and living ones.
Inn shaa Allah
Alhamdulai brothers
Inaitwa Ukristo yaani huna usahaidi
Ukiristo..neno kristo nilakigiriki..bibilia neno lakigiriki..yesu jina halisi qliitwa masihi...ambaè nijina lakiirael ..hawa wagiriki wanaingia vipi kumpa yesu jina..ama kutoa jina la kitabu ilhali yesu analugha yqke asili
Kichana mjaanja kweli, jumapaulo
Verse 35-22.pls doctor salim ngugi try to explain to them about that verse
Inn shaa Allah
Asalamualylkum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Kwa hakika juwa halichwi wala halichomozi isipo kuwa ime zoweleka kusemwa hivo kwa juwa lachomoza na kuchwa bali dunia ndio inayo zunguka, hiyo habari ya kuchwa kwenye matope ni mfano tu
Surahyapili ayah 144 : Kwa yakini tukiona unavyo geuza geuza uso wako mbinguni Basi tutakuelekeza kwenye Kibla ukipendacho Basi elekeza uso wako upande wa Msikiti Mtakatifu; na popote mnapokuwa zielekezeni nyuso zenu upande huo; na hakika wale walio pewa Kitabu wanajua kwamba hiyo ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na yale wanayo yatenda
Masha Allah kwa ukumbusho huo mwalimu alishahu hiyo aya