Masha'Allah. Leo tena, Session ime kuwa Moto 🔥 kabisa! Very good control from Ustad Salim, aptly assisted by Ustad Hassan! 😊😊 MashAllah kwa Ma Helpers wengine pia. TabarakAllah Team mzima!
Sasa kwa kanisa pastor anasomanga chapters zote ama anasomanga kifungu....mbona wakristo mko na uongo hivi? Kuelewa kwenu ni ngumu sana wakristo....kuweni wepesi kwa kuisikiliza na kufunguka akili...wacheni kuwa rigid hivo jameni eeh😅
WAKRISTO huyu Salim anajitahidi KUWAONYESHA NJIYA ILIYO HAKI Sasa na nyinyi pigeni magoti mumliliye mola awaonyeshe na AWAONGOZE NJIYA ILIYO HAKI kuifuata laa sivo muta chomwa na ALLAH muta kuja kujuta na haitawafaliya kitu .tulet
Hivi‼️🤔, NI KWANINI, BAADHI YA WAKRISTO WALIO WENGI, WAKISOMEWA MAANDIKO YALIYOMO KTK BIBLIA YAO, KITABU WANACHOKIAMINI, WANAKASIRIKA NA KUJIONA WANATUKANWA ⁉️"Jamani, jamani, Isomeni Biblia kwa makini, ili mfumbuke Macho na Akili" Wazungu waliwalisha nini ‼️🥱❓mbona YESU Aliweka wazi kila kitu kiko wazi ktk. Biblia‼️.
@@salimdaawah123 Nitajie wapagani waliandika Bible.Halafu uniambie Ibn Sarh ni nani? Na alifanyaje ndio Mohamed akatamka haya maneno katika Qur'an sura Al-An'aam 93?
@@salimdaawah123 Luka ni mpagani.Toa maelezo zaidi kuthibitisha madai yako.Nikisema Fulani ni mpagani bila maelezo zaidi hiyo nikuonyesha ni madai yasiyo na msingi.Jenga msingi sasa
Kiongozi akifariki na kuzikwa.Huyo hawezi kuendelea kuwa kiongozi.Sema hamna kiongozi wa umma tena sheikh. Imagine tuwe tunasema kiongozi wa hii inchi ni marehemu kibaki😂 Magufuli alipofariki Samia alichukia uongozi. Uislamu ni mtihani kweli
@@salimdaawah123 unajua ni nini maana ya "kiongozi?" Baba anapofariki,atabaki kua baba.Mjomba anapofariki atabaki kua mjomba.Shangazi anapofariki atabaki kua shangazi.Tofauti kabisa na kiongozi.Pengine useme Mohamed ni baba wa waislam
Nilikuwa mkristo yaani ungeniambia kitu tungebishana sana lkn baada ya haki kuingia nilislim na kuingia kwa Dini ya Allah na Manabii . MashAllah🙏🙏
Allah akulinde mja.
Alhamdulillah🤲 Allah azidi kukubariki. Na usichoke Kuwaelimisha wengine, Inshaallah.
@@HamzaAkilimali Inshaallah Allah amfanyie wepes kufanya hivyo
@@HamzaAkilimali Amiin, Mwenyezi Mungu amzidishie katika kher
Masha Allah Masheikh Kwa Mafunzo Mazuri ya Dini Kwa kweli Twajifunza Mengi Sana. Kupitia Nyi Walimu Wetu Allah Atubariki Sote Insha Allah
Yaani sheikh salim utalipwa kheri tupu na Allah kwa jitihada za kuwazindua ndugu zetu...tuombee na sisi tuwe pamoja inshallah
Sote Allah atulipe
Allahumma aamiin Yaa Rabb Al 'alamiin
Masha'Allah.
Leo tena, Session ime kuwa Moto 🔥 kabisa!
Very good control from Ustad Salim, aptly assisted by Ustad Hassan!
😊😊
MashAllah kwa Ma Helpers wengine pia.
TabarakAllah Team mzima!
Masha Allah hapa mpaka kieleweke inn shaa Allah
Mashaallah Ma Sheikh wetu Allah awajalie kila kheri kwa kueneza dini ya haki ❤❤
Historia ya wanawaisrael nzuri ya kufungua wakristo macho. MashaAllah sheikh. Endelea kuwafungua macho ili wasijiite waisrael.
Allhamdulah Sheikh ramadhani vs salum kabur zenu ziwe bustan njema insh Allah mungu awape kheli ❤❤
Allah awape umri muzidi kueneza qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah
Allah amzidishie juhudi walim ngu nampenda kw ajili y Allah
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Mchungaji ashtuka kuskia shetani afundisha mema😂😂😂😂
Shukran Iko sawa sauti
MashaAllah mashaikh Allah awajaalie IKHLAS na shaikh hasan atafute miwani❤
Inn shaa Allah
Mashaalah
Mashallah mashee wetu kwa
Mafunzo ya mwenyezi Mungu Allah awaongoze watu wapate kufwata njia ya haki
Aamiin amiin amiin
Mashallah mashekhe wetu, mnaelimisha vizuri sana. MUNGU awajaze kila la kheri.
Aamiin amiin amiin
Jazzakallahu Khaira.ALLAH awakutanishe na kipenz chetu MTUME MUHAMMAD REHMA ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE.
Aamiin amiin amiin sote
allah awalipe kwa muyatendayo kulingania makafiri❤
Masha allah. Twajifunza mengi kupitiya nyinyi.allah awalipe kheri
Aamiin amiin amiin
Watakaseni ujira wenu upotayari kwa Allah daawa mpaka kiama.
Mchungaji ameanza topic ya majini kumbe imejaa kwao😂😂😂
ALLAHU AKBAR
Allah atakulipa sheikh
Haina sauti ustadh ......
Iko sawa sasa
Dawa ya Jipu ni kupasuliwa tu. Wapashe tu. Ingawa watasema ni ;TAKA TAKA❗⁉️😭😭" Ukweli ni ukweli tu, acheni ubishi Wakiristo "
Hao ndiyo kawaida yao, ukiwaeleza ukweli, siku hiyo wataitana, na kusema eti ni TAKA TAKA.😂😂😂😂
Masha allah sheikh salim mimi malim ibrahim niko bura tana river❤❤❤❤😂😂
Sauti sheikh
Video zake zikitumwa na kufungua apo apo zinakua hazina sauti lazima ichukue mda kidogo
Mash'Allah
Injika 😂
Sauti zii
Sauti ipo. Kwa Simu na pia TV.
Check your equipment.
Barikiweni
Mwalimu naba andiko ya macca ni mahal pa amani 🙏niweke katika maktba yangu
Weuh!!! Shida wakristo😮
Shekh salim kutoka congo naomba muende na mswala walev wankojoa apo
Inn shaa Allah
Mambo ni mawili eidha usilimu ama uikatae bibilia.
Ndio hivyo
Hapo ni COLLAGE....ukija kuelimika utaelimika kweli kweli😅😅😅
College
Yesu anasema mm niendako nyinyi hamuwezi kuja na wakristo wanasema Yesu ameenda kutuandakia makao🤣🤣🤣🤣sasa sijui wataendaje
Yaani wakristo inabidi wafungue macho
@@salimdaawah123
Kabisa
Sauti Sauti
Iko sawa sasa
Is it possible nipate contacts za shiikh salim ama shiikh Hasan kariuki?
Yeah it's possible
Salim+254 727 431 691
Hassan+254 718 225 333
Kweli hawa wamedanganywa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
WASANUENI HAO WASANUKE WAACHE KUPORWA .😅😅😅😅
Hataki kuambiwa ukweli uyo jamaa
Mashallah
Wakristu wnaijichanganya wakti bibilia intusi Mungu kitu hiko kwetu kwa Quran
Yaani wakristo dah
Kwani hizi Tsunami Earthquake vita tunaona kwani Yesu ali sahau KUCHUKUWA Ghafla I hızı Au corona
Ndio nashangaa
Assalam aleikum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Huyu jamaa yupo all around, ndio ukristo huo
Sasa kwa kanisa pastor anasomanga chapters zote ama anasomanga kifungu....mbona wakristo mko na uongo hivi?
Kuelewa kwenu ni ngumu sana wakristo....kuweni wepesi kwa kuisikiliza na kufunguka akili...wacheni kuwa rigid hivo jameni eeh😅
Asalam aleikum
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
WAKRISTO huyu Salim anajitahidi KUWAONYESHA NJIYA ILIYO HAKI Sasa na nyinyi pigeni magoti mumliliye mola awaonyeshe na AWAONGOZE NJIYA ILIYO HAKI kuifuata laa sivo muta chomwa na ALLAH muta kuja kujuta na haitawafaliya kitu .tulet
Sasa si mpaka Allah apende,kwani hujui Qur'an yasemaje?
@19: 05 " Bibilia ni story za watu vile walikua wana deal na mungu". I rest my case.
Namuhisi huyo mchungaji kweli anasoma na anataka kujuwa
Tena sana Allah amuongoze aone haki na aifuate
Hivi‼️🤔, NI KWANINI, BAADHI YA WAKRISTO WALIO WENGI, WAKISOMEWA MAANDIKO YALIYOMO KTK BIBLIA YAO, KITABU WANACHOKIAMINI, WANAKASIRIKA NA KUJIONA WANATUKANWA ⁉️"Jamani, jamani, Isomeni Biblia kwa makini, ili mfumbuke Macho na Akili" Wazungu waliwalisha nini ‼️🥱❓mbona YESU Aliweka wazi kila kitu kiko wazi ktk. Biblia‼️.
Yeah Allah awaongoze waione haki na waifuate
Mandiko y watu lazima kasoro njoo kw kitabu Cha muumba mlenzi wetu hakina ata nukta y kasoro
Mbona Uthuman alichoma Qur'an kama haikuwa kasoro? Hayo makundi mawili yalikua yakipigana kisa ni nini?
Ukweli kabisa bibilia wandishi wengi ni wapagani so kasoro kibao
@@salimdaawah123 Nitajie wapagani waliandika Bible.Halafu uniambie Ibn Sarh ni nani?
Na alifanyaje ndio Mohamed akatamka haya maneno katika Qur'an sura Al-An'aam 93?
@@NathanielNathan-m4o Luka ni wakwanza
@@salimdaawah123 Luka ni mpagani.Toa maelezo zaidi kuthibitisha madai yako.Nikisema Fulani ni mpagani bila maelezo zaidi hiyo nikuonyesha ni madai yasiyo na msingi.Jenga msingi sasa
Na uyo jamaa ajasoma maana haelewi bibilia yao
Saum makbul walim ngu
Maswali mengine yenye wakristo wanauliza mpaka unashangaa kwani shule watu huwa wanajifunza nini?
Ni mtihani sana
Kiongozi akifariki na kuzikwa.Huyo hawezi kuendelea kuwa kiongozi.Sema hamna kiongozi wa umma tena sheikh.
Imagine tuwe tunasema kiongozi wa hii inchi ni marehemu kibaki😂
Magufuli alipofariki Samia alichukia uongozi.
Uislamu ni mtihani kweli
Ujinga wa ukristo ni balaa so Ibrahim alikufa so sio baba wa imani tena au
@@salimdaawah123 unajua ni nini maana ya "kiongozi?"
Baba anapofariki,atabaki kua baba.Mjomba anapofariki atabaki kua mjomba.Shangazi anapofariki atabaki kua shangazi.Tofauti kabisa na kiongozi.Pengine useme Mohamed ni baba wa waislam
@@NathanielNathan-m4o hii ndio ujinga baba maanake pia ni kiongozi ndio anaitwa baba
@@NathanielNathan-m4o nilikuwa kama wewe ni mwanaume tuweke debate sijapata majibu kama unajiamini tupange debate
@@salimdaawah123 Kwa hiyo Mohamed ni baba ya waislam?
Sauti Sauti
Iko sawa sasa