Shekh salimu upo vizuri Sana ,unajua kufafanua vizuri kuliko yule Mzee, natamani uwe unapambana mwenyewe tuu kama leo ,wewe ni jeshi LA mtu Moja na unamudu
Allhamdhullillaih namshukuru ALLAH kwa kunijalia neema ya uislam , naipenda sn hii timu ya Da'awah mtaani kwa ajili ya ALLAH , na ALLAH awajalie umoja na masikizano ili muifikishe dini ya ALLAH
Allah alitumiliza manabii na quran ndio iwe muongozo wa watu lkn watu wengi hawajui ndio wakajiundia dini zao nyingine ila dini ya haki mbele ya Allah ni uisilamu pekee yake
Mashaallah, masheikh wetu ,Allah awaongoze Kwa daawah hii muifanyayo inshaallah nikitumai Kwa uwezo wake Allah Hao wajiitao wakristo watajiunga nasi KARIBUNI maana Uislamu ndio Dini ya haki mbele ya Allah ,Allah awajazie Kila la kheri masheikh wetu nawapenda Kwa Ajili ya Allah
Mwalimu Salim: Ningeomba ku comment kidogo. Neno Yehuda limetokana na jina Yuda ambae Ni mmoja katika watoto kumi na mbili wa Yakub. Yuda kiengereza Ni Juda . Baada ya nabii Suleiman kufa ufalme wake uligawanyika into two Judea (Yuda) na Samaria lakini Judea ( Yehuda) ndio ilio julikana sana ndio raia wake wakaitwa Yahuda. Kabila zengina ndio wakawaita mtu yeyote ambae ametikana na Israeli wakati huo kuwa Yahudi including citizens from Sumaria ambayo pia ilikuwa Ni wa Israeli. You can find this in Wikimedia.
@@samuelmwauragichuhi6568 1- Hiyo hiyo gea ya Roho ndio Ndacha alidungiwa na YESU WA TONGAREN bt akabisha. Sasa wewe kusema mambo ya Roho, wala sikushangai ju NDIO UJANJA MWATUMIA KULAGHAI WAUMINI, NA KUTAKA KUINGIA PEPONI🍒🍍🍖🍹KWA MLANGO WA NYUMA. 2- Hiyo hiyo gea ya #Roho ndio inayowapeleka SHAKAHOLA kwa MacKenzie & EZEKIEL 😅. 3- Anaesingizia #Roho huwa Ana wazimu 4- Utaungua JAHANNAM🔥 ukiwa Pamoja na Roho Wako
Mashalla allahmdulilah shekh
Shekh salimu upo vizuri Sana ,unajua kufafanua vizuri kuliko yule Mzee, natamani uwe unapambana mwenyewe tuu kama leo ,wewe ni jeshi LA mtu Moja na unamudu
Masha Allah bro
Shekh Salim Mungu akulinde
Islam is straight forward Wallahi Alhamdulillah. The Koran is the talking, walking book that answers every question.
Masha Allah kazi nzur hustadhi salim
Masha Allah mafundisho mazuri alhamdulillah
Hawa wakristo mungu awaongoe kwa sababu hawajui lolote 😢
Safi!
Allhamdhullillaih namshukuru ALLAH kwa kunijalia neema ya uislam , naipenda sn hii timu ya Da'awah mtaani kwa ajili ya ALLAH , na ALLAH awajalie umoja na masikizano ili muifikishe dini ya ALLAH
Mashaalah mafundisho mazuri Allah azidi kuwaongoza inshaalah muzidi kuwaonyesha njia ya haqi iliyonyooka allahuma ameen
Mashalla Allah
I love the teaching alhamdulilah watu Wanaelewa
Mashallah i love your work brother.
Ma Shaa Allah,,Allah akuhafidhi upate rizq halali , Allah akulinde na maadui
Allahumma Aamin 🤲
Masha allahy Sheikh Salim Allahy azidikukupatia Kipaji Ameen
Mkiristo hata umchape viboko hatokubali manenii ya kweli ya Mungu wao weshadanganywa yesu ni Mungu mara ni mtoto wa Mungu
Naamini sheikh salim wanakufahamu labda wakupinge tu
Allah awatie nguvu masheikh wetu muzidi kuelemisha,aamiin
Aameen ameen ameen
Mashaallah sheikh wetu
wape sure yao hao maana wanapotea hawajui uslamu ndio dini ya kweli na wakubali kusilimu wamfate bwana mtume sww
Allah alitumiliza manabii na quran ndio iwe muongozo wa watu lkn watu wengi hawajui ndio wakajiundia dini zao nyingine ila dini ya haki mbele ya Allah ni uisilamu pekee yake
Masha Allah 🥰
Huyu jatelo uy karb atakua muislam
Inn shaa Allah
Assallam aleikum mashekhe wetu furaha ilioje kuwaona tena Allah awazidishie na awape umri mrefu inshaAllah tuko pamoja kama kawaida
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
Mashaallah, masheikh wetu ,Allah awaongoze Kwa daawah hii muifanyayo inshaallah nikitumai Kwa uwezo wake Allah Hao wajiitao wakristo watajiunga nasi KARIBUNI maana Uislamu ndio Dini ya haki mbele ya Allah ,Allah awajazie Kila la kheri masheikh wetu nawapenda Kwa Ajili ya Allah
Mashaallah
Hâta muyahudi hali nguruwe nahio nikabila ya yesu nanguruwe hawali kabisa tena ukiweka kitu karibu mfano ndani ya friji basi muyahudi hali
kweli kabisa sheikh salim ni mungu pekee ndio anaweza kukurahisishia mambo
Kuabudu kuna matendo yenye lazima hufaywe....kuomba nayo unaeza omba masaa zote bila matendo kama kuabudu
kweli ngamia husomewa na wakalala ndo wachinjwe
Hata Ulaya Wayahüdi wanakula nyama iliyochinjwa na WAILAMU HALAL MEAT.
Wayahudi wanakula nyama ya WAISLAMU HALAL MEAT.
Mwalimu Salim:
Ningeomba ku comment kidogo.
Neno Yehuda limetokana na jina Yuda ambae Ni mmoja katika watoto kumi na mbili wa Yakub. Yuda kiengereza Ni Juda . Baada ya nabii Suleiman kufa ufalme wake uligawanyika into two Judea (Yuda) na Samaria lakini Judea ( Yehuda) ndio ilio julikana sana ndio raia wake wakaitwa Yahuda. Kabila zengina ndio wakawaita mtu yeyote ambae ametikana na Israeli wakati huo kuwa Yahudi including citizens from Sumaria ambayo pia ilikuwa Ni wa Israeli. You can find this in Wikimedia.
Ide Mubarak
Takabbalallahu Minna wa waminkum
Assalam alaikum sauti
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko angalia tena
Akuna sauti
Angalia tena iko sawa sasa
Wa yahudi wanasema ( kasher ) manake kuchinja mnyama muyahudi lazima yachinje
Yesu ndiye peke yake
Amefanya nini
Yahudi imetokana na kabilia yuda
wadanganye kabisa
NDIO MAANA YAKE....... KAMA YEREMIA 50/6
@@chiefmkalikibz1503 kama hauna roho mtakatifu huwezi elewa Bibilia...ebu soma hio Jeremiah vizuri kuazia moja Hadi kumi...mnasoma kimskiti
Ungetoa mfano tumendanganya wapi na wewe ukweli wako uko wapi
@@samuelmwauragichuhi6568 1- Hiyo hiyo gea ya Roho ndio Ndacha alidungiwa na YESU WA TONGAREN bt akabisha. Sasa wewe kusema mambo ya Roho, wala sikushangai ju NDIO UJANJA MWATUMIA KULAGHAI WAUMINI, NA KUTAKA KUINGIA PEPONI🍒🍍🍖🍹KWA MLANGO WA NYUMA.
2- Hiyo hiyo gea ya #Roho ndio inayowapeleka SHAKAHOLA kwa MacKenzie & EZEKIEL 😅.
3- Anaesingizia #Roho huwa Ana wazimu
4- Utaungua JAHANNAM🔥 ukiwa Pamoja na Roho Wako
@@samuelmwauragichuhi6568 🤣🤣🤣🤣🤣ww uko nae uyo roho
Mashaallah sheikh wetu