Enyi wakarimu, matarajio yao yamefeli. Amerika kwa nguvu zake zote haikuweza kuvunja nguvu za watu wa Sham kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita. Na karibuni mtawala wao atasema, "Kwaheri ewe Damascus," bila kurudi tena. Na karibuni Sham itakuwa jinamizi kwa Mmagharibi. Je, mnadhani watafanikiwa sasa katika kile walichoshindwa kwa miaka mingi? Hawana tena uamuzi wowote juu ya Sham sasa. Wallahi, hatukudhani vibaya kuhusu Allah, Mwenye kunusuru Jeshi lake na kuinua Dini Yake. Na Mwenye kuwashinda maadui peke Yake. Enyi mnaofanya kazi ya kutabikisha Uislamu, simameni imara! Wallahi, ni uvumilivu wa muda mfupi, na alfajiri itang'ara, dhiki itaondoka, na giza la madhalimu litatoweka. Abu Mazin
Dasturi hiyo Wayahudi bado wanaifata mpaka hivi leo...kila tarehe ishirini na tano mwezi wa kumi na mbili wafumgwa huwa wana achiliwa kutoka gerezani Israel siku ya leo majambazi wanasherekea kwajili wame tolewa gerezani na hawa wenzetu wakristo pia wanasherekea bila kujuwa kuwa hii sherehe ni ya majambazi si mwana wa mungu kuzaliwa
Ma sha Allah
Bwana ALLY UKO VYED 🤗 hii Tim hiii🎉🎉🎉🎉🎉
Swafi sana! Husseini tunakukubali sana usomaji wako hubabaiki na maandiko ya Qurani MashaAllah yanaskika loud and clear JAZAKALLAH
Subhanaka lahummah❤ subhanallah KAZI safi walimu wetu
MashaAllah Masheikh walimu wetu Allah grant you all jannah tullfirdausulalah🤲🤲🤲🤲
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki 😂 vipi leo mbona sheikh salim hayuko Bila yeye kwa kweli haisisimui mihadhara
Nikajua nampenda peke yangu😊😊😊 hua ananifurahisha🎉
Angaa ushike Mike mwanzo mpaka mwisho ni maoni Ila nawapenda sana kwa ajili ya Allah
Maa Shaa Allah ndani ya Texas, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu,, Allah awalipe Jannatul Firdaus
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH ma ikhwaaaa ALLAH IBARIQ
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
MashaAllah
Allah Akbar
Enyi wakarimu, matarajio yao yamefeli.
Amerika kwa nguvu zake zote haikuweza kuvunja nguvu za watu wa Sham kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Na karibuni mtawala wao atasema, "Kwaheri ewe Damascus," bila kurudi tena.
Na karibuni Sham itakuwa jinamizi kwa Mmagharibi.
Je, mnadhani watafanikiwa sasa katika kile walichoshindwa kwa miaka mingi?
Hawana tena uamuzi wowote juu ya Sham sasa.
Wallahi, hatukudhani vibaya kuhusu Allah, Mwenye kunusuru Jeshi lake na kuinua Dini Yake.
Na Mwenye kuwashinda maadui peke Yake.
Enyi mnaofanya kazi ya kutabikisha Uislamu, simameni imara!
Wallahi, ni uvumilivu wa muda mfupi, na alfajiri itang'ara, dhiki itaondoka, na giza la madhalimu litatoweka.
Abu Mazin
Dasturi hiyo Wayahudi bado wanaifata mpaka hivi leo...kila tarehe ishirini na tano mwezi wa kumi na mbili wafumgwa huwa wana achiliwa kutoka gerezani Israel siku ya leo majambazi wanasherekea kwajili wame tolewa gerezani na hawa wenzetu wakristo pia wanasherekea bila kujuwa kuwa hii sherehe ni ya majambazi si mwana wa mungu kuzaliwa
Ma sha Allah