Mimi naombwa kujibiwa swali moja nami nisilimu ni wapi Ala Mwenye asema dini hii ya uisilamu ni yangu na nawapatia muifuate bila kusemewa na mtu maneno yatoke kwake 😊
@@SimonNjau-yl7hg usisilimu hatuna hasara wala faida ukisilimu kwetu hatuchukui sadaqa angalau ukasema utatujazia mskiti tupate sadaqa nyingi so Baki huko kuna Moto pia unataka watu,ati ALLAH ajisemee ww uko Kwa ukiristo kuna pahali hata bibilia imetaja hio dini ,yesu kuna pahali akujua ww ,kuna pahali yesu amesema mm ni mungu na nyinyi mwamuabudu ,kuna pahali amesema mm ni mtoto WA mungu na Baba yangu mzazi ni mungu ,? Mbona waifuata but huku waeka kikwazo ambapo dini imetajwa na Allah ,waislam wametajwa iko wazi kabisa but hulazimishwi ni ww mwenyewe muhimu NI ujumbe umepata
Walimu wetu ALLAH awape afya njema na kila mutakacho ALLAH apokee Dua zenu awape Jannatul Firdaus insh ALLAH amiin ❤️❤️❤️
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Mbarikiwe sana🙏❤️
Aameen ameen ameen sote
Jazakumullah kheir
Wakwanz mie reo nawapenda san kwajili ya Allaah
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Mashallah Allah ya sheikh. Quran ni maneno ya mwenyezi Mungu si ya bin adam wala ya malayika.
Allah blessed you and protect
Aameen ameen ameen sote
Alhamdhulilah
Huyo mzee anaelewa vzur , bado kuchukuwa uamuzi tu .
Masha Allah
Usilamu kiboko yao
Mashallah
Waalkm mslam waramatullah wabarakatu
Masha Allah ❤
Asalam aleikum warahmatulahi wabarakuth
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Allah ampe afya elimu na hekma mzidi kueneza dini y haki
Aameen ameen ameen sote
Safi
kkkkk huyu taaabani kabisa. hata hajui john 3:16
Ndio hivyo
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora
Aameen ameen ameen sote
M,a
Masha Allah
ASALAAM ALEHKUM WALAHMATULAI WABALAKATUH
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Ustadh ali tulia
Mimi naombwa kujibiwa swali moja nami nisilimu ni wapi Ala Mwenye asema dini hii ya uisilamu ni yangu na nawapatia muifuate
bila kusemewa na mtu maneno yatoke kwake 😊
@@SimonNjau-yl7hg usisilimu hatuna hasara wala faida ukisilimu kwetu hatuchukui sadaqa angalau ukasema utatujazia mskiti tupate sadaqa nyingi so Baki huko kuna Moto pia unataka watu,ati ALLAH ajisemee ww uko Kwa ukiristo kuna pahali hata bibilia imetaja hio dini ,yesu kuna pahali akujua ww ,kuna pahali yesu amesema mm ni mungu na nyinyi mwamuabudu ,kuna pahali amesema mm ni mtoto WA mungu na Baba yangu mzazi ni mungu ,? Mbona waifuata but huku waeka kikwazo ambapo dini imetajwa na Allah ,waislam wametajwa iko wazi kabisa but hulazimishwi ni ww mwenyewe muhimu NI ujumbe umepata
Na kwnye Qur'an hamna Maneno ya Mtu yyte ispokuwa ni ya Allah pekee
@@dulividuli5237 Qur'an hakuna maneno ya mtu yoyote
@@dulividuli5237 hakuna kma yako tuoneshe ispokua kuna sema ewe mtu anambiwa kusema
Quran ni maneno y Allah yeye ndie alisema dini ya haki ni uislam