Napenda sana vitu vya hii program. Kuna taarifa za kueleweka na ufuatiliaji. Sio bla blah tupu. Analysis inakuwa na msingi wa kutosha toka vyanzo mbalimbali. Keep it up friends ❤
Frida kiafrika mwanamke huna reason yoyote kuusu kuzaa, upande wa mwanaume akiongea kuusu kuzaa iyo inakua automatic mwanamke utazaa tu. Ila kwa sisi ambao tunaoishi inchi za watu kwakweli mwanamke ana kila kitu chakupanga kuusu ndoa, ao akatae kuzaa ao aitike na mwanaume huna lolote la kuongea.
Nyie wana habari hebu tafuteni habari mhim kama zetu sisi tunao fanya kazi oman kujua hasara na faida tunazo zipata sote tulopo nchi za kiatabu tunamafanikio makubwa ususani tumejenga ingawa tunapitia changamoto lkn uvumilivu wetu tumepata majumba na tunasomesha hao kina shilole wa achieni wenyewe na mambo yao .
Basi na wewe wakuachie mambo yako maana mwana habari kuna mazuri mabaya yakufurahisha yakusikitisha sasa unaposema hizi sio habari muhimu unakosea ivyo heshimu chombo cha habari cha mwenzako km unahela na unamajumba km usemavyo fungua kituo chako alafu upost hizo habari zako
Hapo Romi akisema nimemrudia mke wangu kabla miezi 3 haijaisha basi bado ni mkewe na ndoa inaendelea lakini ikiisha miezi 3sio mkewe hapo Shilole anaweza kuolewa na mwanaume baada ya kumaliza miezi 3 ya eda
Mim ni Mwanaume lkn nasimama na Frida. Suala la kuzaa liwe maamuz ya watu wawili sio automatic mkiwa kwenye ndoa jamii iwasakame kwamba mzae. Pia mwanamke ndo final say kwamba anazaa au hazai. Anawwza kataa na ni sahihi. Ni makubwa mno wanapitia kuweza kumleta mtoto mmoja duniani. Na pia kama hujamuoa mtu, usianze kutaka mtoto, unakuwa haumtendei wema hata huyo atakae zaliwa.
Millard you are very brilliant boy.. akili kubwa
Napenda sana vitu vya hii program. Kuna taarifa za kueleweka na ufuatiliaji. Sio bla blah tupu. Analysis inakuwa na msingi wa kutosha toka vyanzo mbalimbali. Keep it up friends ❤
Kuzaa wtt ndani ya ndoa ina raha zake
Wakwanzaa leo naombenii like zangu jamanii 1k tu❤❤
Huyu dada ana upeo mkubwa mno....very matured reasoning
Chuchu anachotaka kwanza ndoa ndio wazae wtt
Yaaan nilivyoumia na ndoa ya shilole jamn daaaa acha niwe mpole maana siyajui ya uko ndan
Hii si nzuri kbs inasikitisha😢😢
Frida kiafrika mwanamke huna reason yoyote kuusu kuzaa, upande wa mwanaume akiongea kuusu kuzaa iyo inakua automatic mwanamke utazaa tu. Ila kwa sisi ambao tunaoishi inchi za watu kwakweli mwanamke ana kila kitu chakupanga kuusu ndoa, ao akatae kuzaa ao aitike na mwanaume huna lolote la kuongea.
Aunty Sadaka uko sahihi... Kuna shida mahali
Akitaka kumrudia anaweza saa yoyote kabla ya huo muda wa kusubiri eda
Mapenzi ya mastar yapo kama timu ya simba😂😂😂😂😂
Kipozeo enz za uhai wa gadner
Mbona milad ayo ulikuwa na hamisa mbeto mkiwa ndani ya suti kqanini msiowane yu mlipendeza kinoma sana
Uyo rey amuowe chuchu sio kuzaha tu nje ya ndoa
LEO SIJAPENDA MM NAPENDA KUANGALIA MACHO YA FRIDA KWANN KAVAA MZULAA MPAKA MACHON BHANA
😀😀 frida bwana❤❤
Ila frida ety jicho lilegee kwa mtu unaemchukia😅🤣
Farida😂😂❤
We mtangazaji wakike toa mkofia wako unatukera hatukuoni uso
Milard, please, uwe natia neno AMPLIFAYA kwenye title ya Video ili tusiwe tuna pitwa bhana😊😊
From 🇨🇩✌️✌️
Nyie wana habari hebu tafuteni habari mhim kama zetu sisi tunao fanya kazi oman kujua hasara na faida tunazo zipata sote tulopo nchi za kiatabu tunamafanikio makubwa ususani tumejenga ingawa tunapitia changamoto lkn uvumilivu wetu tumepata majumba na tunasomesha hao kina shilole wa achieni wenyewe na mambo yao .
Basi na wewe wakuachie mambo yako maana mwana habari kuna mazuri mabaya yakufurahisha yakusikitisha sasa unaposema hizi sio habari muhimu unakosea ivyo heshimu chombo cha habari cha mwenzako km unahela na unamajumba km usemavyo fungua kituo chako alafu upost hizo habari zako
Lazma mke atoe important rsns
Frida Amani ukija tena USA nitafute!🤣
👍🏼👍🏼
Ndoa zinapumulia mipira duuh kaachwa huyo hakuna ndoa hapo
Hawana ndoa toka zamani
Video Vodox 😅😅😅😅😅😅
Anataka ndoa
Vido yupo sahh aukam uingie kwny ndoa Alf hutak kuwa na watt how?
Duuh🤣
Hi ni Kiki zao tu
talaka haina kiki kwenye uislam