TAZAMA NDARO NA LEONARDO WALIVYOZICHAPA/BEEF ZITO/NDARO ATOKA NDUKII/WATAMBIANA NAN MKALI KUCHEKESHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2024
  • WAZTAZAMA NDARO NA LEONADO WALIVYOZICHAPA/BEEF ZITO/NDARO ATOKA NDUKII/WATAMBIANA NANI MKALI KUCHEKESHA #NDARO #LEONADO #chekatu #utacheka #ndaroleonado #carrymastorytv #ndarowakizichapa #ndaronaleonadowakizichapa #leonard #ndaroleonardo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 128

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 2 หลายเดือนก่อน +20

    Kwenye stande up leonardo yuko vizuri zaidi ya ndaro.kwenye comedie za mitaani ndaro yuko vizuri sana.chapeni kazi vijana achaneni nahao watangazaji taarabu.

  • @MiddyTuesday-on8jp
    @MiddyTuesday-on8jp 2 หลายเดือนก่อน +19

    Ila leonard hayuko serious😃😃😃

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 2 หลายเดือนก่อน +36

    Team Leonardo tujuane
    👇

    • @user-sq6sl3tb3j
      @user-sq6sl3tb3j 2 หลายเดือนก่อน

      Lrleonrdo pesa iyo sasa weka kwenye tofar

  • @user-kg2tm2eq7q
    @user-kg2tm2eq7q 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wote wapo vzr nawapenda sana haswa wakiwa pamoja

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 2 หลายเดือนก่อน +12

    Yani nakubali sana Leonardo mana uyu jamaha ni smart sana

  • @Zpauljr994
    @Zpauljr994 2 หลายเดือนก่อน +10

    Ndaro is the best comedian

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 2 หลายเดือนก่อน +11

    Usifanyeeeeee ndaro waandishi wa Habari wanafki sanaaaa

  • @AmanJuma-qj5yy
    @AmanJuma-qj5yy 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri zinazokuja kutoka kwa ndaro na Leonardo maana tayari mshatengeza introduction

  • @SMLS995
    @SMLS995 2 หลายเดือนก่อน +4

    Leonardo we ni mkali sana. Ndaro pia mwamba kweli kabisa. ila wewe ni ju kumuzidi Ndaro

  • @gaudeciajackson8398
    @gaudeciajackson8398 2 หลายเดือนก่อน +9

    Waandishi wa habari mnakosea sana yan mnatengeneza bifu kilazima

  • @shadracksinody
    @shadracksinody 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nakushika na nakushikashika 🤣🤣🤣🤣

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 หลายเดือนก่อน +2

    I love this guys Leo and Ndaro👌

  • @user-wl8fg8ne1f
    @user-wl8fg8ne1f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Eti nimekimbia moment kwanza 😅😂😅😂

  • @user-mu5cc9rl2i
    @user-mu5cc9rl2i 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ndaro bado sana kwa leornado

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dn 2 หลายเดือนก่อน +2

    Leonardo anajua sana

  • @musaabdul4397
    @musaabdul4397 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ukute Kiki ya kubrand show ohoo

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli anajua sana

  • @user-qm3ov7mj6u
    @user-qm3ov7mj6u 2 หลายเดือนก่อน +4

    Et tathnia ya comedy imeingiliwa na mwqlm ndaro😅😅😅😅

  • @user-qk5tr8dt7j
    @user-qk5tr8dt7j 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ila waandishi nao wachonganishi sana

  • @user-pu5he5he7x
    @user-pu5he5he7x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Leonard acha vurugu ogopa waty wakimya wew jifunze kwa waty mbn unasifaa broo acha sifa

  • @Tiba-dk9wm
    @Tiba-dk9wm 23 วันที่ผ่านมา

    Kama kweli mmegombana mie sijapenda,,,napenda Saana kazi zenu

  • @mariamandambike5013
    @mariamandambike5013 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂 Leo .. cjui mda Gani tupo serous me naona tu anachekeshaa😂😂

  • @SafariJamal
    @SafariJamal 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wanahabari wa bongo wengi wachonganishi sana adi mnakera aisee 😎

  • @MsafiHaji-tv4no
    @MsafiHaji-tv4no หลายเดือนก่อน +1

    Waandish wa habari kumbe wambea ivi acheni ushamba ndaro yupo vizuri nyiee acheni umama

  • @KaburaBerchimas
    @KaburaBerchimas 2 หลายเดือนก่อน +2

    Halafu Ndaro yupo serious kweli

  • @Mubarakaashim
    @Mubarakaashim 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndaro ni mnyama

  • @Halim-in5gm
    @Halim-in5gm 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waandishi wachonganishi sanaa

  • @djjailoskyelambeya6072
    @djjailoskyelambeya6072 2 หลายเดือนก่อน +1

    safi ndaro

  • @ibrahimthomas5041
    @ibrahimthomas5041 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan hawa hawajui chochote, sanaa yakishamba saa hii wanayotak kutuonesha

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Leonard 😂😂😂😂😂😂khaaaaaaaaa

  • @Jeysen_lemar
    @Jeysen_lemar 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii imepangwa aliemuona ndaro wakati anapita alikua anacheka like hapa😂😂😂😂

    • @sulleRuth
      @sulleRuth หลายเดือนก่อน

      Anasoma aibu

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndaro asa mihasira ya nn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @CharamKabul
    @CharamKabul 2 หลายเดือนก่อน +9

    Uyu Leonard ahache ujinga awezi mfikia ndaro kwa chochote

  • @nuhumhanje8412
    @nuhumhanje8412 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa waandishi kama nyumbu wameshindwa kufanya ya maana

  • @ngalohboe1808
    @ngalohboe1808 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hhhhh uyo ndaro ni kama anamawivu flan iv af pia kam mmesanuka nikwel anamwogopa Leonard hhhhh😂

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 mwandishi jmn et utamuua😂😂😂

  • @djjailoskyelambeya6072
    @djjailoskyelambeya6072 2 หลายเดือนก่อน +2

    madogo zangu acheni utoto huo pigeni kazi....

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uniwezi kiuchawi😅😅😅

  • @user-ix9ed2ie9z
    @user-ix9ed2ie9z 2 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣 aka kajamaa kanachekesh jinsi kalivoo

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan n kweli ama utani 😂😂

  • @user-wb6vq4qn3g
    @user-wb6vq4qn3g หลายเดือนก่อน

    Leonard hajui

  • @user-vv5pf4rj9w
    @user-vv5pf4rj9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waqndiahi wa habari wasenge kwelii yaan wanawachonganisha watu aisee

  • @Zahara-or3cf
    @Zahara-or3cf หลายเดือนก่อน

    Leonard ❤

  • @irenemtaguzwa-lf6rd
    @irenemtaguzwa-lf6rd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndora is the best

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anamuogopo kitugani... nyinyi watangazaji niwachonganishi....ndaro achana nahao wapumbavu... pambana na Maisha yko siku zisonge

  • @DicksonMhagama
    @DicksonMhagama หลายเดือนก่อน

    Roasting ambaz wakiw pamoj n nzur mnooooo
    What a volley ❤❤

  • @nyandatesther6045
    @nyandatesther6045 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leornado kiboko ❤😊

  • @jumamshana3417
    @jumamshana3417 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye menye menye...(menejment)

  • @user-vv5pf4rj9w
    @user-vv5pf4rj9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na huyu Leonard kama mtoto na sifa nyingii mara maraa khee

  • @KishoraKishoralimbu
    @KishoraKishoralimbu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi wa bongo cjui wanasomea na wapi tuu asei...ndaro mkali saana namkbl cema hakuna ndaro bila leonardo🤪🤪🤪

  • @asnathally18
    @asnathally18 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Leonardo kumbe ni mjinga sana Sasa mnamlazimishaje mtu agombane na mtu waandiahi wa habari nao mabwege wote

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa gombani wote wapo kwenye matani angalia vzr utagundua ndaaro anacheka akiondoka kwenye camera

  • @irenekaro2848
    @irenekaro2848 หลายเดือนก่อน

    Wahaa wabishi jamini

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo the best

  • @ashirafkhamis1556
    @ashirafkhamis1556 2 หลายเดือนก่อน

    hv hawa wana beef kweli au,maan walikuwa mabest sana mbona ghafla sana hivo

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nmemdharau leonardo

  • @DoubleD69114
    @DoubleD69114 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli hili battle ni atar ndaro asili yetu wa kigoma wa bishi kweli lakini ku panic kwa reply za nduguyo huyu best wako kaka kama ni kick watu wa cuba tuna elewa njoo uchukue uchawi ziwani na lime jaa

  • @starfireog8695
    @starfireog8695 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha usenge ndaro mnamfananisha nawapumbavuu

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt หลายเดือนก่อน +1

    Wanatuchora mapimbi ao

  • @bukurufreddy28
    @bukurufreddy28 2 หลายเดือนก่อน

    Yani ndaro bana😂😂😂😂

  • @SinyinzaDavid
    @SinyinzaDavid หลายเดือนก่อน

    Ndaroo kachafukwaa😂😂😂😂 hataki jaman muacheni😅😅

  • @user-vv5pf4rj9w
    @user-vv5pf4rj9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu leonard sifa zimemzidiii

  • @Rafaeli-ml3ji
    @Rafaeli-ml3ji หลายเดือนก่อน

    Acheni kutuingizia

  • @officielmiraclemimason4370
    @officielmiraclemimason4370 2 หลายเดือนก่อน

    KWANI lonardo ninani Congo hatumujuwi fala wewe acha ndaro🇨🇩

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ndaro kamaindi,
    Ukimaindi bila sababu mbele ya wanaume wenzako au watu iyo ni point ya udhaifu(uwoga).😂

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 2 หลายเดือนก่อน

      Hajamaindii na yy anaigiza tu muangalie akiondoka kwenye cameras anacheka añgalia vzr utaagundua hicho kitu

  • @SurprisedBakedCustard-vp8oi
    @SurprisedBakedCustard-vp8oi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anaogopa lol 😂😅

  • @warshysaid8564
    @warshysaid8564 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama umegundua kma mm gonga like angalieni video vizur ndaro aanacheka akiondoka kwenye camera

  • @user-kd6fn8br2s
    @user-kd6fn8br2s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Achaneni na hao watangazaji fanyeni kazi

  • @CelestineTchakoma-no5fs
    @CelestineTchakoma-no5fs 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Leonard iko nafanya vitu via utoto ahache utoto jamani

  • @KasikileKaluta
    @KasikileKaluta 2 หลายเดือนก่อน +1

    Is that real guys 😯😯 in need your answers

  • @Mzunah
    @Mzunah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi wahabari unafiki upo kwa damu mpka hapo mmezingua sana rudini shule tena mkajiongeze mnashida
    Mmebase upande mmoja tu wanafiki hadi so poa

  • @EdwardJasper-wk9yn
    @EdwardJasper-wk9yn 2 หลายเดือนก่อน

    Kiki😂😂🙌

  • @NancyNyary
    @NancyNyary 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yan aka kadog anawajua Waha kwel😂

  • @OfficialChaly
    @OfficialChaly 2 หลายเดือนก่อน +1

    Afu Kuna wanaojua ety Wana bifu kweli wakati ni inatengenezwa2 ku push comedy ya bongo😂hawana bifu Wala nn

  • @mwajabukapemba5458
    @mwajabukapemba5458 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ndaro kakasilika kweli yaani

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 2 หลายเดือนก่อน

      Hajakasirika anaigiza angalia vzr ukiondoka kwenye camera unagundua anacheka

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndaro anajinunisha

  • @mushtaqakram9843
    @mushtaqakram9843 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bongo kazi awafanyi mpaka kwanza wafanye kiki ndio baadae kazi

  • @kelvinmaluki6131
    @kelvinmaluki6131 หลายเดือนก่อน

    Ndaro do tunamtambua

  • @AdamAnold
    @AdamAnold 2 หลายเดือนก่อน +3

    Leonard umejishusha Sana kaka

  • @geradyritte3875
    @geradyritte3875 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rojaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @KasikileKaluta
    @KasikileKaluta 2 หลายเดือนก่อน +1

    Is that real guys or they're just joking

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aya kajamaa ka dodoma kishamba kampong kingereza ndo mchongo

  • @user-ec4in8po5e
    @user-ec4in8po5e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashindano ni siku gani?

  • @adelinatate9704
    @adelinatate9704 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndaro mwanaume!

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 2 หลายเดือนก่อน

    Hii imepangwa iwe hivo wasituchezee akili

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndaro amekasirika kweli 😮 ata upendezi kuwa hivo

  • @user-dy9yk8po6d
    @user-dy9yk8po6d หลายเดือนก่อน

    Ovyooooooooooo, yaan kazi ya ugombanoshi tuu hmna lolote, fanyeni ya maana acheni kugombanisha watu , maadui wakubwa nyinyi.

  • @thomaschacha2739
    @thomaschacha2739 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ety kwetu ukerewe ujue

  • @ShehzadaJr-ih7os
    @ShehzadaJr-ih7os 2 หลายเดือนก่อน

    Leonardo anajikut kinyama an

  • @kdpretoria780
    @kdpretoria780 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kuwa na mtoto ndo kuwa na nguvu za kiume kumbe 😅

  • @user-og3sx6th9w
    @user-og3sx6th9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤🎉😂😂😂🎉

  • @MasokaSakina
    @MasokaSakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leonardo Ana tafuta kipigo

  • @wildlife5730
    @wildlife5730 2 หลายเดือนก่อน +1

    😀😀😀😀😀😀

  • @thomgeon74
    @thomgeon74 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmm😂

  • @JOSEPHKOMBA-yt3hd
    @JOSEPHKOMBA-yt3hd 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kama leonardo anajisikia hivii

    • @user-qm3ov7mj6u
      @user-qm3ov7mj6u 2 หลายเดือนก่อน

      Mmh asa kajiskia wapi kijana anabattle😂😂😂😂

  • @journey2profitability
    @journey2profitability 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @Napioni2
    @Napioni2 หลายเดือนก่อน

    👇

  • @evelynekoseko2275
    @evelynekoseko2275 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @SimonWembo-re3sq
    @SimonWembo-re3sq 2 หลายเดือนก่อน

    Leonador yuko pw bhn ndalo amuwez uyo dogo

  • @antonymodestus2872
    @antonymodestus2872 2 หลายเดือนก่อน

    Tunajua sio bifu mchongo tu alafu mkituchekesha tumacheka hadi kingwendu anachekesha nado achaukocho kingeleza nn maku ww