Sawa dada agape!!!!lakini kumbuka kuna shetani na kuna akili na kuna Mungu lakini efeso 4_27 biblia inasema wala msimpe ibilisi nafasi,kama ibilisi akipata nafasi akili inakuwa haina kazi tena maana anakuwa anacontrol
Na ukija hapa kucomment useme kitu unauhakika nacho...msiongee kufurahisha umati maana hakuna amjuae mwanaume au mwanamke kwa undani...ni heri mnyamaze kuliko kuhukumu na kuwaongelea vibaya😏
@@jumakapilima7295 ndugu yangu mke anauma asikwambie mtu labda hujampenda utaona kawaida.kingine utaendaje sehemu tena hotel hata kama unaenda kupiga picha tu bila idhini ya mme wako??!! Yani huyo.kaka kiufupi alivumilia mengi ndani ya hiyo miezi 5 kwa sabubh gani huyo dada anainekana alikuwa wa kishua sana yanj mtoto wa mijjni mpaka amepitiluza maana ukiangalia hiyo family ya huyo dada kuna wadogo zake 2 alikuwa akiishi nao hapo nyumbani.family yenye maadili mema haiwezi ruhusu watoto wakaishi kwa dada yao haga kama kaolewa na mwanaume mwenye uwezo kimaisha kwa hali ya sasa siyo vyema kabisa hata kwa muislamu pia
Tatizo umalaya na ujeuri mana mtu anahangaika maisha halafu mke anakufanya kama mwehu hakujali hakusukilizi na ujeuri na umalaya uvivu .kiasi umwage damu mtihani kweli
Inaonekana Uyo kk alivumilia vijimambo flan ivi yakamshinda.. muhoji na ndugu wa marehemu mume wake waandishi kuweni fair 😀. Izi media zetu zinaumwa sana.
Yeye pia amejiua...sasa kapata faida gani. Vitabu vyote vya dini vinasema moto unamsubiri kwa kujiua mwenyewe na kumuua mtu mwingine. Hatupaswi kuhukumu au kutoa maisha ya mtu mwingine. Ni mwenyezi Mungu pekee mwenye mamlaka ya kuchukua uhai wa mtu.
TUZIDISHE IBADA WATU WENGI HAWAPENDI UFANIKIWE. TUZIDISHE IBADA..UPENDO..HESHIMA UELEWA NA UTII KWENYE NYUMBA ZETU. PIA KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA NAOMBA TUCHUNGUZANE NA KUPEANA MDA WAKUJUANA VYEMA MAANA YAZAMANI SI YA SASA MAMBO YAMEBADILIKA.
We mtangazaji mjinga sana kwanza huna nidhaku unavuta bibi wa watu eti sogea basi!we vipi umekuta wasukuma wastaarabu na wenyenidhamu wengne ungeikimbia a maik
@@adrophinakamugisha5014 kabisa tamaa ukiiendekeza ndio mwisho unaroga upate mali mali zenyewe za moto haziliki kwa raha tuweke imani kwa mungu tunapita dunia isitudanganye
Jamani swala la mausiano ni gumu sana tukio limetokea pia Imani na ofu ya mungu itawale ila msijadili zambi ya mtuhumiwa tumwachie mungu na atuepushe hatua Kama za mtuumiwa
Umenena, wanawake wa mjini wanataka ndoa, kuslay, mitandao, pesa, maisha mazuri, wanaume wa nje, yaani huwezi kutaka vyote, "Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote" Ndoa ziheshimiwe.
Mungu akubariki sana Bibi umeongea vizuri sana hakika nimekuelewa.Bora ukosee kujenga nyumba utaibomoa ujenge nyingine kuliko kukosea kuoa au kuolewa .R.I.P
Hili suala la mahusiano halina formula wa syllabus rasmi. Na kanuni za ndoa yako mimi haziwezi nisaidia. Unaishi na mtu aliyezaliwa na wazazi wengine, kabila lingine na utamaduni tofauti inahitaji kuchuja madhaifu ya kila mmoja wetu ili tukae sawa.
Jelly Ness wanawake badilikeni vitabu vya dini vyenyewe vimewapa onyo wanawake mtaongoza kwenda motoni na jehanamu si mimi vitabu vya Mungu hivyoooo.Wanawake ni chanzo cha kuharibika amani kabisa.Tulia na ndoa.Mwenzio anahangaika mpate maisha timiza wajibu wako mwanamke acha Tamaa na midomo ya ovyooo.
Kwa hili tukio kuna mengi chini ya pazia. Huezi ingia garama kuoa mtu umpendae alafu ndani ya miezi 5 unamuua. Kulingana na maelezo ya mama wa marehem kuna mambo mengi sana ikiwemo mke kutomtii na kumshulikia ipasavyo mmewe
Jumba zuri limebaki halina mtu. Halafu wanaume ukiona mwanamke ameanza heka heka zake zisizoeleweka mambo mengi ni bora umuache aende zake na umuombe MUNGU akupe ambaye atakuwa ni wa kwako yawezekana ulivamia ndoa ambayo sio ya kwako
Dah bro kavuruga system yote ya watoto wake mtu ukiona humuelewi mpe talaka haya umeua na wewe umejiua jamani umeacha mali zako watoto wako na wazazi kwasababu ya wivu tu
Endeleeni kusema mwanaume ambaye hana hela wanini muendelee kuuwawa matukio mengi ya wana wake kuuwawa na waumezao unakuta mzee ana miliki kimango ndefu na chuma juu kaeni chonjo
mwanamke ata awe na bwana mwenye fedha kiasi gan lakin awa viumbe uwa hawatosheki. wanawake punguzeni ujinga mtapungua.. jamaa amejiua ameacha mali zote lol
Mmeambiwa muolewe na wakina the kabwela generation ila hamtaki ndio faida yenyewe hiyo hadi mnauwawa na kupigwa, kabwelas tuko peaceful sana hatupigi sisi wapenzi wetu, ila tatizo jinsi ya kutupata ndio shida maana tunaishi mbali sana kwenye visiwa vidogo vidogo vya pacific. Tutakuja the kabwelas kama 3000 huko nchi danganyika wakati wa kuzindua the royal tour yetu , karibuni madada wote wadanganyika nation ili msake bahati yenu muolewe na kabwelas, halafu tuhamie na nyie huku the kabwela land huku pacific island na kazi iendelee ya kuijaza dunia na tuwafundishe some skills za kushona suti viraka
Faida inakuaje kwenye kifoo unafelii ww mwenyew unajuaa unaishi na mtu waaina ganii ajalii ni popotee uyo uyo unae mwamini kesho atakubadilikiaa unafel sanaa eti ndo faidaa
Mke wa mtu usupa6 wa nn ukikubali kuolewa ulale bila nguo, maana yake acha manjonjo yko yote lea familia. Hili ni funzo kwa wanawake wa ulimwengu huu wa sasa. Wajue ndoa ni agizo la Mungu mwenyewe na c ngonjera na madrama, Enyi wake watiin waume zenu, lakn Leo mmebadili Ss mnataka mwanaume amtii mwanamke haki sawa zmewapa vbur sna wanawake wa Leo utii hakuna kila kitu 2ko sawa solution yake ni haya tunayoyaona leo.
Wewe ni mjinga kweli sana na huna akili fala wewe. Mtu ameuawa unasherekea...hivi kuna wapumbavu wengi kama wewe. Sasa aliyeua, amejiua amepata faida gani?. Mshenzi mkubwa ?
Ndivyo ilivyo, Mwanamke mpumbavu, anayetanguliza tamaa za pesa na kumvulia kila mtu mwili wake,hajitambui thamani yake, wala hajawa tayari kuolewa kuwa mke na kumtii mumewe hasiingie kwenye ndoa. Wanawake kama hao ndo chanzo cha kuwafanya wanaume waonekane makatili kwa sababu Mwanaume ambaye hapendi ushenzi, maigizo,dharau,katika ndoa hawezi kuvumilia na kukuacha kirahisi,matokeo yake ni kifo. Wanaume chagueni vizuri msihadaike na muonekano, Pia control hasira zenu, ukiona mkeo ni dada wa mjini achana naye, USIUE, USIPIGE, sio solution mwache aende zake. N:B: Mtatukana na kukasirika kuusikia ukweli mchungu, Lakini pande zote zina shida ,na wanawake wanachochea zaidi vitendo hivi. Hata siku moja kichwa hakiwezi kuwa mkia, japo hakuna mtu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwingine.
Tusimsahau mtangazaji jamani anaiweza kazi yake vizuri Sanaa
UPENDO, HESHIMA,UELEWA, UTII NA UAMINIFU vinahitajika KATIKA NDOA MUNGU TUSAIDIE 🙏🏻🥰
Amiin Yarabby 🤲
Ameen
Ashura Tunamtaka Diwani Wetu
@@alphamulokozi35 hahah diwani uyo kwio si kajipeleka mwenyewe 🤣
@@alphamulokozi35 😂😂😂😂😂
Upuuzi mtu unahangaikia maisha umefaulu baadae unajiua kisa mwanamke
Bibi wnazungumza Safi Sana
Kweli mapenzi sio pesa.....jumba kubwa zuri hivyo na bado amani hakuna
Yani bibi amejibu vizuri sana
Wanaume poleni kwa kweli. 1. Petro 3:7. Wanaume mmeambiwa ishini na wake zenu kwa akili. Someni maandiko mpate kupona.
Sasa ss tunakosa gani
Akili zipi izo tuelekeze bac
Sawa dada agape!!!!lakini kumbuka kuna shetani na kuna akili na kuna Mungu lakini efeso 4_27 biblia inasema wala msimpe ibilisi nafasi,kama ibilisi akipata nafasi akili inakuwa haina kazi tena maana anakuwa anacontrol
Amina mpendwa ubarikiwe
TIBA PEKEE YA MAMBO KAMA HAYA NI YESU KRISTO PEKEE
Huyo uliemtaja huwa anazidaka risasi, wazee wa opportunist bana
@@ramadhankatoto7214 au anageuza risasi kuwa maji? vichwa maji bana
Ww unaongea punba
Yes anao uwezo wa kuzuia ukimuami na kumtumikia
@@aaSs-yf8oq uko sahihi kwa mwenye akili timamu🙏💕
Bibi umeongea vzr sana. Nimempenda sana
Ata mm kiukwelii bib yuko Safi saanaa ✊🏾
Umeona eeh rams
Huyu Bibi aise yupo vzur
Na ukija hapa kucomment useme kitu unauhakika nacho...msiongee kufurahisha umati maana hakuna amjuae mwanaume au mwanamke kwa undani...ni heri mnyamaze kuliko kuhukumu na kuwaongelea vibaya😏
Kwa Kweli Maana Kunawatu Wanarosoka Utadhani Walikua Mabodgurd Wa Marehemu Swalha
Nikweli wengine wanakomment tu
Mwanzah 🙌🙌 ni pazur haswaah ntakuj hko sku1
Huyo marehemu anaonekana alikuwa mtu ambae hana shoo mbovu.yaaan hajatuli😘😘😘bibi umeongea vizuri sana
Hata kama alikuwa hatulii hiyo si sababu ya kumuua
@@jumakapilima7295 ndugu yangu mke anauma asikwambie mtu labda hujampenda utaona kawaida.kingine utaendaje sehemu tena hotel hata kama unaenda kupiga picha tu bila idhini ya mme wako??!! Yani huyo.kaka kiufupi alivumilia mengi ndani ya hiyo miezi 5 kwa sabubh gani huyo dada anainekana alikuwa wa kishua sana yanj mtoto wa mijjni mpaka amepitiluza maana ukiangalia hiyo family ya huyo dada kuna wadogo zake 2 alikuwa akiishi nao hapo nyumbani.family yenye maadili mema haiwezi ruhusu watoto wakaishi kwa dada yao haga kama kaolewa na mwanaume mwenye uwezo kimaisha kwa hali ya sasa siyo vyema kabisa hata kwa muislamu pia
@@omanmobile5746 Kaka nakubaliana na wewe, lakini Kwa Hali yoyote ile haihalalishi kuua kaka
@@jumakapilima7295 nimtihani kwa kweli ALLAH awapunguzie azabu ya kaburi🙏🙏
Millard ayo unafatilia taarifa mpk mwisho hadi raha! 💥💥💥
Huyo bibi anazungumza safii sana ,,😕
🤣
Tatizo umalaya na ujeuri mana mtu anahangaika maisha halafu mke anakufanya kama mwehu hakujali hakusukilizi na ujeuri na umalaya uvivu .kiasi umwage damu mtihani kweli
Wewe pia utaua yaonekana
@@estherpeninah7842 nikiwa naishi na wewe mwenye tamaa kila unaemuona unamtamani nakumwaga mavi
Mtangazaji umefanya disrespect kwa ......mama usinge mvuta sawaaaah
Tena inabidi waanze kujitambulisha maana hizo camera wengine hasa wazee zinawashitua
nikwel aliteleza hapo
Inaonekana Uyo kk alivumilia vijimambo flan ivi yakamshinda.. muhoji na ndugu wa marehemu mume wake waandishi kuweni fair 😀. Izi media zetu zinaumwa sana.
Ndoa inamiezi 5 tuu
huyu mwandishi ni nazi, bibi kasema ni mgeni halafu anauliza je matukio hayo ni ya mara kwa mara mahali hapo
jinga sana , uliza kwa hekima
@@mereyamhomesmariamhomes3464 uwezi juw wenda walianza kuw n mhusiano muda mrefu mana uyu alikuwa Mke mdogo
Itakuwa ivyo ivyo maana uyo Dada ane naonekana yumo. Nae ila uyo kaka nae kasha jiripuwa Nayy kf
Umeona eee upande wa mume vip
Ukimwambia bibi sogea hapa , unatakiwa umwambie naomba bibi usogee hapa , kijana kuwa na nidhamu
Hata mi nimeshangaa
Hata mimi sijapenda alivyomkokota mkono utafikiri ni rika yake.
Kwa kweli
Afu bonge la mjengo❤️🙌
Haya makasiriko sio mazuri kabisa ni matumizi mabaya ya uhai sasa amepoteza vyote..namsihi asirudie tena ..RIP na MALISASI SIO MAZULI BIBI KASEMA APO!
Yeye pia amejiua...sasa kapata faida gani. Vitabu vyote vya dini vinasema moto unamsubiri kwa kujiua mwenyewe na kumuua mtu mwingine. Hatupaswi kuhukumu au kutoa maisha ya mtu mwingine. Ni mwenyezi Mungu pekee mwenye mamlaka ya kuchukua uhai wa mtu.
😂😂😂😂
@@cattymoganah7064 unacheka😁😁😁
Hahaha dah nomaa sana noma sanaaaaaa.
Ngoja tupambane nawanaume wetu walio panga ata chumba kimoja
Bb kackia puuuh tena kackia phuuu bb kackia noma sana
Kwa kweli tukasema tumevamia
@@khadijahali4837 tukasema tena tumevamiwa
@@neemazee1864 😁😁😁
😁😁😆😆
Poleni na ndoa zenu akaa!!
Ila.kubadilisha.badilisha.wanawake wengine wanakuwa wachawi watanzania.tumheshimu Mungu tutapona
Safi sana bibi.umejibu vizuri mno
🤣🤣🤣🤣😀🙈Yan wewe rose
Bibi shikamoo upo juuu san bibi yng.
Mhu jamani hatuwez juwa ya ndan mke wa kwanza bona alikimbia kwann aiache mujengo huo
TUZIDISHE IBADA
WATU WENGI HAWAPENDI UFANIKIWE.
TUZIDISHE IBADA..UPENDO..HESHIMA UELEWA NA UTII KWENYE NYUMBA ZETU.
PIA KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA NAOMBA TUCHUNGUZANE NA KUPEANA MDA WAKUJUANA VYEMA MAANA YAZAMANI SI YA SASA MAMBO YAMEBADILIKA.
We mtangazaji mjinga sana kwanza huna nidhaku unavuta bibi wa watu eti sogea basi!we vipi umekuta wasukuma wastaarabu na wenyenidhamu wengne ungeikimbia a maik
Hata mi nimeona yaani kamvuta kama katoto
Utajir una sir nyingi sana unaona nje mtu kapendeza shida za ndani mungu anajua bora uwe masikini lakini una amani
Me niliishia kuwaza wewe bora umeliweka wazi,maana nimeangalia iyo nyumba nikakumbuka na yakuchomana moto Kigambon
Lakini kwenye hili swala umaskini na utajiri vimesingiziwa tu
@@nereaigogo4442 katizame mdogo wa mwanamke kasema shemeji yake kaleta waganga nyumban wanini waganga?
@@adrophinakamugisha5014 kabisa tamaa ukiiendekeza ndio mwisho unaroga upate mali mali zenyewe za moto haziliki kwa raha tuweke imani kwa mungu tunapita dunia isitudanganye
Muwahoji na ndugu wa mwanaume tusikie
Hâta akihojiwa ndugu wa Mme. Kitendo alichofanya huyo kaka ni ukatili. Akikukwaza muache hâta kama kafanya kitu chochote kibaya
Jamani swala la mausiano ni gumu sana tukio limetokea pia Imani na ofu ya mungu itawale ila msijadili zambi ya mtuhumiwa tumwachie mungu na atuepushe hatua Kama za mtuumiwa
Kitendo Cha kuua unataka wahojiwe iweje? Hata ufanyie nini huwezi kutoa uhai wa mwenzio
Bibi aliskia "pu, halafu tena pu 😀
nikweli mapenzi ya nauma
ila hadi kufikia kuuwa au kujiuwa
huo niulimbukeni wa ma mapenzi...
Ukichagua mwenye pesa kuliko mcha mungu. Mwanaume ametumia nguvu kuliko akili ameharibu maisha yake mwenzie na watoto wake pia
Kweli kabisa, inasikitisha sana, si bora angejiua yeye mwenyewe akamwacha Dada wa watu😭😭😭
Bibi nimemuelewa anajibu kisomi,maana maswli had yanachosha wa2 wana huzun
Majirani munasikia risasi kila siku hamuripoti atakwa mjumbe mtihani kwakweli.
🤣🤣heti wamezoea khaaa hongera zao
INNALILLAHI WAINA RAJIUN
Mungu atuondolee roho za kishetani
Mwanamke ukisha olewa inatakiwa mambo mengine tuyaache mitandao hainafaida kwetu
kweli uko sawa
Nikweli mpenzi ila ilikuwa hana haki ya kumzulumu bora alikuwa amuwache tu
@@sabraabdilnasir8826 upo sawa kabisa alikuwa aachane nae tuu sio kumuuwa
Umenena, wanawake wa mjini wanataka ndoa, kuslay, mitandao, pesa, maisha mazuri, wanaume wa nje, yaani huwezi kutaka vyote, "Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote"
Ndoa ziheshimiwe.
@@queenandchill91 uko sawa kipenzi
Bibi Safi Sana hyu.
Mara alienda Kuangalia mpira akachelewa kurudi mambo yanakuwa mengi sana
Wwww ujui ata kazi yako
Mwanddishj unakela bibi kakwambia yeye ni mgeni lakin inazidi kuuliza hamsikiagi Rosas zinalia
Mungu atakufanyia wepesi
Mungu akubariki sana Bibi umeongea vizuri sana hakika nimekuelewa.Bora ukosee kujenga nyumba utaibomoa ujenge nyingine kuliko kukosea kuoa au kuolewa .R.I.P
Hvyo mtu unaishi vizur hv unafeli wapi kutulia na mumeo?dah
Hili suala la mahusiano halina formula wa syllabus rasmi. Na kanuni za ndoa yako mimi haziwezi nisaidia. Unaishi na mtu aliyezaliwa na wazazi wengine, kabila lingine na utamaduni tofauti inahitaji kuchuja madhaifu ya kila mmoja wetu ili tukae sawa.
Tamaa nyingi Hakuna jingine
" wadada wengi huwa wanapenda wanaume wenye pesa ,lakini unakuta wanapenda pesa na hawajampenda
Waliozoea kudanga na wanaume wengi hawawezi kutulia na mwanaume mmoja matokeo yake mwanaume asie ongea ana kujibu na risasi Kama huyu alivyo fanya
Jamani polen sana hasila ni hasala
Tafuteni mama ya mtoto alikimbia jumba lote hilo kuokoa maisha yake
Acha nitafute maisha yangu aisee wanaumme 🙌🙌🙌
Nimesikia Pia mke wa kwanza alimuuwa pia
@@samiraabdimahamed4449 Subuhanallah kweri au stolituza watu kikitokeakitu
@@samiraabdimahamed4449 heeeh jomon kaua na bado yuko anakula bata
Jelly Ness wanawake badilikeni vitabu vya dini vyenyewe vimewapa onyo wanawake mtaongoza kwenda motoni na jehanamu si mimi vitabu vya Mungu hivyoooo.Wanawake ni chanzo cha kuharibika amani kabisa.Tulia na ndoa.Mwenzio anahangaika mpate maisha timiza wajibu wako mwanamke acha Tamaa na midomo ya ovyooo.
Mh kiukwel ni bora angechukua uamuzi mwingine kuliko na siyo kumuua kikatili ivo dah wanau
Me
Jirani yetu pumzika kwa amani
Bibi ana upeo mkubwa na IQ zake inaonekana iko juu kuliko mtu anayemuoji
Kha!😅🤣😂
😂😂
🤣🤣🤣kwakweli
😂😂😂😂
Ni kweli
Bibi anaongea vzr kweli
Masha Allah jumba jumba kweli
jumba si la kitoto haikuwa hata na haja yeye ya kuhangaika kupamba alikuwa atulie ndani
Bibi kasem ni mgen lkn ndoa anajua ina miez 5
Bibi ana hana dogo
Pole familia
Bibi kanichekesha eti yeye ni mgeni kahamia juzi 😂kila siku nakuona
Kwa hili tukio kuna mengi chini ya pazia. Huezi ingia garama kuoa mtu umpendae alafu ndani ya miezi 5 unamuua. Kulingana na maelezo ya mama wa marehem kuna mambo mengi sana ikiwemo mke kutomtii na kumshulikia ipasavyo mmewe
Kwani wote wainne niwabaya alaaaah
Hapo kwa Mwanaume(saidi) sio kwa swalha bhana!!
Bibi anajibu maswalii vizuri sana
watakutana mbinguni sio shida tabu iko palepale yani vita bado mbichi.
Mhhh hilo jumba ndomn yule dada alikuwa akipiga lakini hatoki
Nyumba yakishamba mno..eti wanamuita bilionea...kweli bongo watu wengi wanaishi maisha duni
Hapo ni Kwamwanaume,SIO KWA MWANAMKE,HIYO NYUMBA IMEJENGWA KWA MIEZI MITANO,
Sasa nini maana ya ndoa?Kama walikuwa wanaishi wote Ina maana ni nyumba yao wote
Unawajuwa
@@jacklinejacklinejonh6530 Yaani hata simwelewi huyu ndugu?
Kwa kweli ucha wi upo uyu jamaa kalogwa Mambo ya uke wenza hayo
Ww inawezekana eeeh?
Umeonaee joy ukewwnza mama hapo n ndumba umefanya kazii
Acha ujinga na majungu, na yule mwengine alijipigaga risasi huku dar nae ni ukewenza?
Jumba zuri limebaki halina mtu. Halafu wanaume ukiona mwanamke ameanza heka heka zake zisizoeleweka mambo mengi ni bora umuache aende zake na umuombe MUNGU akupe ambaye atakuwa ni wa kwako yawezekana ulivamia ndoa ambayo sio ya kwako
jumba zur lkn hajuna amani
Heshima ipo juu Mwanza . Ukileta zako unatulizwa
Wanawake wengine atujaturia kwenye ndoa
Nyumba kalii ila mke hayupo mpka saa sita usiku dahha😔
Duuuu Maamuz bwana atar saaana. Sasa kaacha huo mjumba Kamuachia Nan aasa
Kamuachia mtt wake si anae mmoja
Dah bro kavuruga system yote ya watoto wake mtu ukiona humuelewi mpe talaka haya umeua na wewe umejiua jamani umeacha mali zako watoto wako na wazazi kwasababu ya wivu tu
Kawatia hasara wazazi wa Binti .Umenena vyema kabisa
Kumbe na yeye amejiua
@@marthageorge7538 kajia tyr
Kwaule wakat huwez kuji control
Hii ya mwanaume kujiuwa sijaelewa vizuri. No kweli wamekufa wote?!
Endeleeni kusema mwanaume ambaye hana hela wanini muendelee kuuwawa matukio mengi ya wana wake kuuwawa na waumezao unakuta mzee ana miliki kimango ndefu na chuma juu kaeni chonjo
Kamanda alisema Kama mumechokana achana kuepusha Shari wanawake ni wengi
mwanamke ata awe na bwana mwenye fedha kiasi gan lakin awa viumbe uwa hawatosheki. wanawake punguzeni ujinga mtapungua..
jamaa amejiua ameacha mali zote lol
Jamani kuna watu hawajipendaki kweli. Ona hilo jumba
Kuta hizi zinaficha mengi.
Aisee bonge jumba kudadek 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hujui kapataje ndugu yangu
Yaani
Jifunze qura kwa hukmu gusa maandishi ya bluu
th-cam.com/channels/iIyK3R72QZNvRlzWezWIKw.html
Jamani wenye wame wafuga ndevu muishi nao kwa akili.amina hamza bado wapo
English please!!!
Tuwaombeen wa mwenyez mungu jaman
umemfanya Vibaya kumkamata Bibi Kama Mtuhumiwa
Jamani dunia twaipeleka wapi
Hata km alikukosea mke wako. C umrudishe kwao? Inahaja gani kumdhulumu roho yke? Utakwenda kujibu kwa Allah
Bibi umejb vzr hapo huwezi kumjua mtu ya moyoni mwake kwa kumuona tuu usoni
Apoo mm nimemwelewaa Sanaa kiukwelii 🍾✊🏾
@@ramsikhamis7083 🙂
Bibi nimempenda bure
Daa awa dada zetu tamaa ata Kama ni Mimi ningechinja kabisa
Jina la Said naliogopaaa;
Ni nyumba
Bora jumba LA udongo kuna amani teeeeleee kuliko jumba LA kifahari aiseee
Wanaume wenye pesa ndio huwa Ego zao hawajiamini, kila siku wanawaza kubiwa tuu.
th-cam.com/video/laB9Ha0ZU5M/w-d-xo.html
Mahakama imechaniwa mkeka kweli kweli dah........no judgement
Wakwanza milio miwili....
Wapili minne
Mmeambiwa muolewe na wakina the kabwela generation ila hamtaki ndio faida yenyewe hiyo hadi mnauwawa na kupigwa, kabwelas tuko peaceful sana hatupigi sisi wapenzi wetu, ila tatizo jinsi ya kutupata ndio shida maana tunaishi mbali sana kwenye visiwa vidogo vidogo vya pacific. Tutakuja the kabwelas kama 3000 huko nchi danganyika wakati wa kuzindua the royal tour yetu , karibuni madada wote wadanganyika nation ili msake bahati yenu muolewe na kabwelas, halafu tuhamie na nyie huku the kabwela land huku pacific island na kazi iendelee ya kuijaza dunia na tuwafundishe some skills za kushona suti viraka
Mshenz ww au ww ndo umeuaa nn unaongea nn hkii hayaa kumbuka na ww n binadamuubutakufaa tuu kwan alipenda uyo dadaa huna huruma
@@ireneluvanda8261 Huruma yanini?
Faida inakuaje kwenye kifoo unafelii ww mwenyew unajuaa unaishi na mtu waaina ganii ajalii ni popotee uyo uyo unae mwamini kesho atakubadilikiaa unafel sanaa eti ndo faidaa
@@ireneluvanda8261 Sasa hata akiwa na huruma atawarudisha??au sijui unasema huruma ipi??
Hatareeeee
Beautiful home is empty now
😢😢😭
Inasikitisha sanaa
Dada uyo kaka atalaaniwa nenda kwa amani rip
Na wanaume wasiacheache
Mke wa mtu usupa6 wa nn ukikubali kuolewa ulale bila nguo, maana yake acha manjonjo yko yote lea familia. Hili ni funzo kwa wanawake wa ulimwengu huu wa sasa. Wajue ndoa ni agizo la Mungu mwenyewe na c ngonjera na madrama, Enyi wake watiin waume zenu, lakn Leo mmebadili Ss mnataka mwanaume amtii mwanamke haki sawa zmewapa vbur sna wanawake wa Leo utii hakuna kila kitu 2ko sawa solution yake ni haya tunayoyaona leo.
Wewe ni mjinga kweli sana na huna akili fala wewe. Mtu ameuawa unasherekea...hivi kuna wapumbavu wengi kama wewe. Sasa aliyeua, amejiua amepata faida gani?. Mshenzi mkubwa ?
Nonsense
Mhh alikuwa amuache kwa nini kamuuwa
Ndivyo ilivyo, Mwanamke mpumbavu, anayetanguliza tamaa za pesa na kumvulia kila mtu mwili wake,hajitambui thamani yake, wala hajawa tayari kuolewa kuwa mke na kumtii mumewe hasiingie kwenye ndoa. Wanawake kama hao ndo chanzo cha kuwafanya wanaume waonekane makatili kwa sababu Mwanaume ambaye hapendi ushenzi, maigizo,dharau,katika ndoa hawezi kuvumilia na kukuacha kirahisi,matokeo yake ni kifo. Wanaume chagueni vizuri msihadaike na muonekano, Pia control hasira zenu, ukiona mkeo ni dada wa mjini achana naye, USIUE, USIPIGE, sio solution mwache aende zake.
N:B: Mtatukana na kukasirika kuusikia ukweli mchungu, Lakini pande zote zina shida ,na wanawake wanachochea zaidi vitendo hivi. Hata siku moja kichwa hakiwezi kuwa mkia, japo hakuna mtu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwingine.
@@queenandchill91
Umeongea Point sana Sister.🤘👊
Maninti wa vivu muenderehe kupenda wanaume wenye pesa