UTATA! FAMILIA YA MAREHEMU SAID YAFUNGUKA YA MOYONI JUU YA KIFO CHA NDUGU YAO!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 477

  • @rahmamohamed6912
    @rahmamohamed6912 2 ปีที่แล้ว +30

    Jamani muache unafki nyumba imefungwa na polisi nendeni polisi mkadai funguo muache kuwatia ubayani wana familia ya marehemu Salha

    • @priscarkasitu8101
      @priscarkasitu8101 2 ปีที่แล้ว +1

      Police hawawezi kufunga nyumba.wanaweza kuzuia chumba kimoja tu kilichohusika na tukio. Na huyo mtoto WA Marehemu wale wanamzuia Kwa kuwa wanajua atatoa siri.maana miaka kumi na mbili ni mkubwa

    • @salmakhamis3827
      @salmakhamis3827 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli wanataka waonekane wao wema wakati mtihani umeshatokea umoja ilikuwa Ni jambo muhimu Sana hapo.lawama zikae pembeni siku yako ukifika humpi mwenzako

    • @cuteyforever7238
      @cuteyforever7238 2 ปีที่แล้ว +1

      @@salmakhamis3827 hawa wanafamilia hawakuwa wanampenda huyo msichana ndio hata uchawi wakamtumia sasa mambo yamewageukia pia wao wamekosa.

    • @cuteyforever7238
      @cuteyforever7238 2 ปีที่แล้ว +2

      @@priscarkasitu8101 hao wako hapo kupigania mali mambo ya familia ni magumu mungu atupe maisha marefu tulee watoto wetu jamani.

    • @enterenter1921
      @enterenter1921 2 ปีที่แล้ว

      Kwann wafungue

  • @fatmasaid4806
    @fatmasaid4806 2 ปีที่แล้ว +4

    Aisee nimeamin adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie jmn roho chafu zimetawala dada wa watu swalher amekufa akiwa na maadui weng aisee dah mungu akusamehe uliokosea ila kwakwel na wa2 wabaya ulikuw nao swalher mpenz Allah akueke mahal pema

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +24

    Jamani TUSIKIE LIPI kuna kijana alisema kuwa aliwambia rafiki yake kuwa anakwenda kumuuwa mke wake mtoto wakike unatoba ushahidi nawewe NI mchepuko mwizi nilazima amshuku mwenziwe maana huyu mwanaume NI malaya ndio maana akawa anamshuku mke wake

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

      Very true

    • @naalyhussen3253
      @naalyhussen3253 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa kwanini ajiue

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +5

      haswa 👌👌ukiwa malaya unajua na mwenzio malaya

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 2 ปีที่แล้ว +3

      Hapo umepatia mchepuko Huwa anamshuku mwenziwe nimtihani 😔

    • @asharamadhan1090
      @asharamadhan1090 2 ปีที่แล้ว

      kama watu mmeshindwana muachane kwa wema na sio kuuana

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 2 ปีที่แล้ว +12

    Mbele ya mwenyezi mungu SAIDI ana jukmu langu jibu coz kauwa nafsi mbili.. Allahu amfanyie wepesi

  • @Sppah697
    @Sppah697 2 ปีที่แล้ว +20

    Huyo Sallher Alikuwa na maadui wengi aisee!

    • @zubedamagambo9600
      @zubedamagambo9600 2 ปีที่แล้ว +1

      Sababu ya wivu,

    • @habibaomarykiponda4036
      @habibaomarykiponda4036 2 ปีที่แล้ว

      Muwe mnasikiliza vizuri sio mnalum tu huyu said anaonekana kashaishi naww awake swala ni watatu na nikwel inaonyesha alikua na wiv sana Sasa mkimlaum hu dada akieleza anaeleza ukwel maj yashamwagika

    • @naalyhussen3253
      @naalyhussen3253 2 ปีที่แล้ว

      Kwasababu nyumba kaikuta salha alijenga said na mke wa kwama sijakosea. .na ukiwa na kauzuri na beez zako utaona tu machukuki

    • @rachelngereja7209
      @rachelngereja7209 2 ปีที่แล้ว

      Yani huyu

  • @Mwanamkesahihi01
    @Mwanamkesahihi01 2 ปีที่แล้ว +22

    Tupunguze Chuki mlikuwa wapi Saidi akimuoa Salha ? Hakumuoa kwa siri Wanawake acheni Chuki eti swaliha hasalimii akikusalimia mtu kama wewe Unawivu ,hila unamfanyia Marehemu Jaman Wanawake tuache kuwa Cheep

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +2

      swalha kaolewa na mama mkwe alikuwepo sasa jiran anasema hamjui

    • @kenethkayuni8658
      @kenethkayuni8658 2 ปีที่แล้ว +1

      Acheni roho mbaya alikuwa hasalimii akikusalimia unapata nn? Saidini hukumu inamhusu

    • @gaudensiamganga8140
      @gaudensiamganga8140 2 ปีที่แล้ว +1

      Eti alikuwa asalimii, mama mkwe anasema alikuwa anaongea na vizuri mbona ataji mapungufu yk, tatizo watu mnapendaga mkisalimiwa adi majumbani mikanyagano iwepo na ubea na kujua Siri za watu, mkishaona mwanamke Ana Tanbia hizo mnaaanza anajiskia oooh asalimii, vinausiana nn uliojiwa kuhusu msiba ya kusalimiana yamekujaje bs na ww sema mapungufu yako hp na utwambie unasalimiana na wote tangu usichana wako mpk uzee unakuijia😔. Ata dalili za uzuni hamna

    • @yassintaibrahim24
      @yassintaibrahim24 2 ปีที่แล้ว

      Saana Yani Kwanza Hata Haya Hawana Co Mambo Ya Kumzungumzia Marehemu Kwenye Kadamnasi Na Media

    • @yassintaibrahim24
      @yassintaibrahim24 2 ปีที่แล้ว +1

      @@gaudensiamganga8140 Umeongea Point Kabisa
      Utadhani Yeye Malaika Anasalimiana Na Kila Mja Mtaani Kwake😏😏😏

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว

    khaaa,mama naa,mama ashrafu,swalha,na huyu anehojiwa,na yule mwingine 🙌🙌mpk hapa wanawake 5 mpk hapa,aisee
    said kiboko

  • @azizafaki4899
    @azizafaki4899 2 ปีที่แล้ว +7

    Tangu lini msiba ukafanyika nyumban kwa marehem msiba unafanyika kwao mnataka muwatie ubaya tu familia ya swalha

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 2 ปีที่แล้ว +2

    mtu keshakufa hata kama hakusalimii ndio uongee haitakiwi sio vizuri innalillah wainnaillah rajiun

  • @dinahkimario3361
    @dinahkimario3361 2 ปีที่แล้ว +12

    Mhh kwakweli hapa mambo ni mengi muda ni mchache kiukweli hap nikujifunza kwakil mmoj sio mwanamke Wal mwaume kote kuna shidaaa.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว +3

      Watu walimtupia lawama mke kumbe mume nae alikuwa hajui ashike wapi

    • @janethjoseph8725
      @janethjoseph8725 2 ปีที่แล้ว +3

      Kweli mwanaume alikuwa Malaya ndo maana alihis kila MTU malaya

    • @cellulars-rb6ji
      @cellulars-rb6ji 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli hili ni funzo kwetu, Kuna kitu hakipo Sawa pande zote zilikuwa na shida! Na hawakuwa tayari kufix. Tufix mahusiano yetu jamani

  • @seifsalim2667
    @seifsalim2667 2 ปีที่แล้ว +5

    Uyu mchepuko hana ata aibu unatoa mguu kwenu unapeleka msibani kusema ulikua na mahusiano na marehemu si angekuoa basi we ata ni zaidi ya malaya mshenzi kabisa kafie mbali

  • @ArafaMichael
    @ArafaMichael 19 วันที่ผ่านมา

    Subuhana llaaa poleni sana ndugu wa salha inaonekana swalha alikuwa na msdui wengi sana nayote sababu na mwanaume

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 2 ปีที่แล้ว +8

    Umbea huo , mtu ameshazikwa unamsema vibaya . Umejichubua uso kwa umbea. Wengine woote wamemsifia wewe tu na roho yako .kwendraaaaa

  • @salmaamiry7674
    @salmaamiry7674 2 ปีที่แล้ว +8

    Sasa huyo hawara jamn hata aibu uoni khaa jamn eti anajieleza kabisaa wan awake sisi 🙌🙌🙌🙌🙌

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaaani Abu naona mimi,ametuaibisha sn sisi wanawake kwani angenyamaza angepungukiwa kitu gani?

    • @hadijayahaya3854
      @hadijayahaya3854 2 ปีที่แล้ว +1

      Duhhhh mshipaaaa waaibuuu haan duhhh zotemalii

  • @aishaahmady3113
    @aishaahmady3113 2 ปีที่แล้ว +12

    🥺🥺watu ni wanafki et anamsumbua warudiane daah

    • @hgfivcj1832
      @hgfivcj1832 2 ปีที่แล้ว

      Yani mpaka anamsemea uongo alie fariki

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 ปีที่แล้ว +16

    Sasa wameshaa kufa wote, shida nini? Wafiwa wote gangeni yajayo, kesi yao ni kwenye mahakama ya hakki sasa, ya mungu. Na uzuri wapo wote, mshitaki na mshitakiwa.

    • @juliasmolellmolell4815
      @juliasmolellmolell4815 2 ปีที่แล้ว

      Ee bana hukumu mungu pekee ndiyo atatoa hukumu ya haki hii ya kuhukumu walio kufa sio kazi yetu

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 2 ปีที่แล้ว

    Dadaangu mwenyew nakupenda na hongera kwakujal jamii,, and polen saan wafiwa niseme tuu innalillah wainna ilayh rajiunah 😥 😥

  • @mamasia9741
    @mamasia9741 2 ปีที่แล้ว +8

    Hapo kuna shida yan nimlolongo wa mambo ila ndugu wa bi mkubwa kufunga nyumba sio ishu iv hawajifunz tuu wenye nyumba ndo hao wa meenda sasa wanachoongelea ni nyumba jaman jmn hakuna atakae kwenda na nyumba wala kitu chochote

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 ปีที่แล้ว

      Subiri waanze kugombea mali

    • @annakinyami2998
      @annakinyami2998 2 ปีที่แล้ว +2

      Kutaliwa ufunguo jamani nisawa kabisa mpaka waje watoe vitu vya mtoto wao jamani mkumbuke mpe bado Kuna vitu vya marehem

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 2 ปีที่แล้ว +2

      Pumbavu ww nyumba ilifungwa na polisi kwa upelelezi zaidi

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 ปีที่แล้ว +17

    Dada wewe una roho ngumu sana hukumpenda huyo mke wa Saidi kwa hiyo utamsema kwa ubaya hata katika kifo jambo ambalo si zuri muogope Mungu dada.

    • @wamugimohammed3848
      @wamugimohammed3848 2 ปีที่แล้ว

      Wallah huyu bint hata heshima hana ! Mbona katoka tena kurudi kuzunguka mwenzake mbuyu ! Hao diyo wavujao nyumba za watu! Hata aibu hana ! Subuhana Allah

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Utadhani hana watoto au yeye sio mwanammke sijui Saidi aliwahi kumla?

  • @muniraame1535
    @muniraame1535 2 ปีที่แล้ว +13

    We Dada ni muongo Sana Kuna tv moja ulisema umeondoka kw sababu alikua anakupiga Sana,muongo mkubwa ww au kwa kua uko na wakwe zako

    • @zuweinamohamed2073
      @zuweinamohamed2073 2 ปีที่แล้ว +2

      Mshenzi huyu mwanamke kumanina zake panya pori huyu hana ata aibu pumbavu zake tena muongo sana

    • @hieljoe1017
      @hieljoe1017 2 ปีที่แล้ว +1

      Angesema ukweli wangemwambia anamsema marehem vibaya si umeona jiran anavyochambwa kisa kasema mkewe alikua hasalimii majirani

  • @fadhwah555
    @fadhwah555 2 ปีที่แล้ว +4

    Lione hili lenye dred....mtoto wa Marehem kakaa vizur na mama wa kambo....nyny mumtoe sifa mbaya...hakuna lolote hawa ubwaa hawa wanaushari sana....

  • @fatumaabasi777
    @fatumaabasi777 2 ปีที่แล้ว +7

    Allah kashakataza kusimulia mabaya ya marehem, tuyazungumzie mema yake na mabaya tuyaache Allah ndie hakim, huwez sema salha alikua anaringa hasalimii wkt tyr hayuko hai hta kama unamsingizia hawezi kuja kujitetea, tujarib kua na utu na khofu ya Allah

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 ปีที่แล้ว +5

    Hyo nyumba inamgogoro tyr wangeenda kumzika kwao kama alivyozikwa mwanamke. Hapo wao wanafanya nn wakati siku zote hizo kwani wameambiwa wao wataishi hapo?

  • @pascalinapetro3732
    @pascalinapetro3732 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tu atusaidue

  • @aishamaganga5304
    @aishamaganga5304 2 ปีที่แล้ว +7

    Mwenyez Mungu akufanyie wepes wafiwa ote pande2!🤲🤲🙏 lakn alie funga mrango hajafanya vzri. Hapa Dunian tunapta tuu!😔😔

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      😥😥😥😥😥😥

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว +2

      Hapo ndo mauaji yalifanyika, polisi bado wanaendelea na uchunguzi. Kwa nini hao hawaulizi kwa nini mke amezikwa kwao? Wamemwua mtoto wa watu, na hawana habari naye.

  • @mariej6962
    @mariej6962 2 ปีที่แล้ว +7

    Hamisha msiba mama mkampumzishe kijana wenu, mambo ya mirathi baadae

  • @hamadeddymaclayz
    @hamadeddymaclayz 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuh jamaa amefariki yule mungu ampe kauli thabiti

  • @aishamminge2996
    @aishamminge2996 2 ปีที่แล้ว +1

    Wataingiaje ndani nawakati bado kunafanyiwa uchunguz isitoshe humo wakumbuke kuwa kuna mali za swallah wakae kwa kutulia nao wasisumbue watu kwanza kwann awajaenda kuzika kule c wangeonyeshaa ushirikiano kwanza

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 2 ปีที่แล้ว +34

    Wivu ukizidi ni hasara, tuowane kwa wema tukishindwana tuacane kwa wema

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mama aliyesema marehemu alikuws hasalimii amenikera sana..
    Asee wanawake tuna wivu sana puuu.

  • @judithygeorge9138
    @judithygeorge9138 2 ปีที่แล้ว

    polen jaman ila mungu yupo pamoja nanyi

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallaha poleni wafiwa nyote kwani kila mtu akifika muda wake ataondoka ila kuna sababu yakuondokeya

  • @fridakaishaza1032
    @fridakaishaza1032 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti alikua kwenye process ya kumwacha mkewe🤣🤣 alooo! Na huku talaka ndoa ya kiislamu ata akitamka tu Kama Hana peni na karatasi kamaliza👌 Pole dada, halikua fungu lako Hilo we pambana na mabaharia huko huyo ashaenda tena kaenda na wake😏

  • @ntulisuzan897
    @ntulisuzan897 2 ปีที่แล้ว +17

    Ufunguo lazima wakae nao hawajatoa vitu vyao, nyie mngekaa kwingine hata Kwa ndugu, wakimaliza kuzika Kwa Mke muuhamishie hapo baada ya upande WA mke kufika! Hawana makosa

    • @serafinamalecela4728
      @serafinamalecela4728 2 ปีที่แล้ว

      Vitu vyao gani na nyumba ni ya mwanaumeeee

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

      Exactly!

    • @ntulisuzan897
      @ntulisuzan897 2 ปีที่แล้ว

      @@serafinamalecela4728 Nimesema watoe vitu vyao nikimaamisha vyombo vya marehemu mkewe sio nyumba. Na Hii itapunguza malumbano yasiyo ya Lazima endapo vitu vya marehemu mkewe vitapotea wakati hakuna mwangalizi.

    • @yusrazamra64
      @yusrazamra64 2 ปีที่แล้ว

      @@serafinamalecela4728 kwani nyumba inahamishika jamani hata mke anavitu vyake hapo nguo navingine

    • @zainashikuku7334
      @zainashikuku7334 2 ปีที่แล้ว +1

      @@serafinamalecela4728 vya mume na mke. Kama kitamaduni,wakina mke wangebeba kila kitu na wachome hyo nyumba

  • @dalilasaliim2819
    @dalilasaliim2819 2 ปีที่แล้ว +8

    Si nilisema ukiona mwanamme Ana wivu ujue yy Malaya

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 ปีที่แล้ว +2

    Eee jaman waandishi bac tena msiyapekue hyo ndowashatangulia huo upekuzi hautasaidia jaman mpaka mahawara wake muwahoji vibaya ivo

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 2 ปีที่แล้ว +8

    Binti yangu kauawa na mumewe na mume hajulikani alipo naachaje nyumba wazi? Wakati naendelea na msiba zinakuja taarifa kuwa na mtuhumiwa kajiua, nguvu za kukumbuka funguo na kuzitoa kuwapa nazitoa wapi? Isitoshe nyumba ni bora kuliko mtoto niliyempoteza? Hao ndugu wa saidi nao hawafikirii vizuri wanawaza tu maumivu yao siyo yangu!!! Hapa nimejiweka katika viatu vya mama Swalha!!!! Wabomoe tu mlango halafu watatengeneza ila nadhani funguo si issue sana wakati watu wana maumivu makali sana. Wawaonee huruma zaidi hao waliopoteza mtoto wao, saidi kajiua mwenyewe na alijua alichokifanya na isitoshe alikuwa mkubwa sana miaka 38!!!! Swalha alikuwa bado binti mdogo sana na nadhani alikuwa na utoto pia. Miaka 28 kwa siku hizi huwa bado ni watoto sana. Kama saidi aliona Swalha anamsumbua kwa nini hakumuacha tu!!!!! Kunuua ni unyama tu!!!!! Hakuna uchawi wowote hapa saidi ni myama tu. Hii inathibitisha ule usemi kuwa muogope binadamu kuliko mnyama. Vifo vingi vya wanadamu vinfanywa na wanadamu wenzao!!!!

    • @doreenkimory4618
      @doreenkimory4618 2 ปีที่แล้ว +1

      Mi ningekua ndgu wa said hata nisingekubali kuhojiwa maana jamaa kafanya ukatili sana Hadi aibu..hebu wapeleke msiba huko msoma

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 ปีที่แล้ว +1

      @@doreenkimory4618 kwakweli jmn

    • @betrackjasson6698
      @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kaka hawa ndugu wa said hawana haibu

    • @nyamkamawanjara29
      @nyamkamawanjara29 2 ปีที่แล้ว

      wajita ni wasenge, hapo maneno ndo kwao kiwanda

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani wee dada Bora ungenyamaza tena kwa mawazo yangu huna hata uchungu sasa ukisema hivyo utapata nn na huyo jiran kumbuka mtu anajitokeza kusema mabaya au mazuli mtu akifa iliyobaki ni kuwaombea

  • @mauamnobwa7412
    @mauamnobwa7412 2 ปีที่แล้ว +15

    Wewe dada uliye sema eti marehemu swalha alikua hasalimii watu si vizuri hivyo kusema hivyo Mtu akifashafariki haifai kabisa kumsemea mabaya yake inatakiwa umsemee mema yake alioyafanya shauriyako ni dhambi hivyoo!!!!?.

    • @paulmsilanga3917
      @paulmsilanga3917 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani uongo ?

    • @meedyshow8807
      @meedyshow8807 2 ปีที่แล้ว +3

      Sasa ulitaka aseme uwongo sindio mlivyo wanawake mkipata kaamaisha kido jeuri

    • @vomalizavomaliza746
      @vomalizavomaliza746 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyo mama hakili yake ni mbaya hunawenza kuko na laana

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว +3

      We ulitaka aseme nini? Ameeleza aivyomfahamu marehemu...unataka asifiwe ili iweje? Lazima asema uhalisia sio kufunika funika haina maana.

    • @ricksonlyimo2662
      @ricksonlyimo2662 2 ปีที่แล้ว +3

      Akuna dhambi ya hivyo kusema ukwer ndo kitu cha msingi dada yupo sahihi

  • @zimammtiga5448
    @zimammtiga5448 2 ปีที่แล้ว

    Hana ht aibu huyu dada jamani pooooh Mungu nizidishie stara Mimi.

  • @maryjosephat2885
    @maryjosephat2885 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwa hyo we umeumia kuhusu saidi lakin mke wake hujaumia? Wanawake roho mbayaaa

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 2 ปีที่แล้ว +3

    Inalilah wainarilahi lajuun polenisana ndungu Jamaanamarafiki mwenyezimungu awape subra polesana kaka mungu akupesubra katika hikikipindi kigum pia ailaze roho yamalihem mahalipema peponi amiiii

  • @ediphabakunda8759
    @ediphabakunda8759 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada bora hata hujaonekana umejiaibisha Sana .unapata ujasiri gani wa kwenda kwa mume wa mtu ndani .pengine hata migogoro ya ndani ww ni chanzo

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 2 ปีที่แล้ว

      Anataka arithi nyumba kwa kujipendekeza

  • @luluabdala6369
    @luluabdala6369 2 ปีที่แล้ว +6

    Duh mwanamme alikuwa maraya

    • @salmakhamis3827
      @salmakhamis3827 2 ปีที่แล้ว +3

      Ndio maana akashindwa kumuamini mwenzake,kwakuwa nayeye hajatulia

  • @azizakajembe6514
    @azizakajembe6514 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwahyo ulienda kwake mwezi wa 3 ilhali ana mke, kama humtaki kwann ulikuwa mnakutana had kwake ulienda we dada wewe nna wacwac mno na ww, said alivyooa c bure roho ilikuuma ukafanya ulivofanya

  • @zuweinamohamed2073
    @zuweinamohamed2073 2 ปีที่แล้ว +19

    Sasa wewe kimbau mbau kama saidi alikua mtu mzuri kwanini hakukuoa wacha wivu na makasiriko eti saidi kasema ananipenda mie turudiane...haya mfate basi huko aliko...sasa ungenyamaza hapo unhepungukiwa kitu gani? Nyau wewe

  • @agnessjohn1222
    @agnessjohn1222 2 ปีที่แล้ว

    MTU kijana mdogo kaisha owa mara 4afu mseme anakili Sawa kumbe kajaa mipepo Mungu atusaidie

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 2 ปีที่แล้ว +7

    Basi hana wivu ni muuwaji tu maana afanye yeye akifanya mwenziwe anampiga risasi

    • @zuweinamohamed2073
      @zuweinamohamed2073 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndo tabia mtu anaesaliti hua hamuamini mwenziwe hata kama si msaliti lakkni anamchukulia mfano wake

    • @mishabakari3066
      @mishabakari3066 2 ปีที่แล้ว

      Mmmh

  • @rosemaryromanlyimo9210
    @rosemaryromanlyimo9210 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo said nae alikuwa aja tulia bwana

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 2 ปีที่แล้ว

    Nani anakatalia ufunguo siningevunja mlango wew Alaa

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 2 ปีที่แล้ว

    Mm sioni kesi Tena hapa juh hakuna alowatuma wauwane n mapenz Yao maybe walikuliana kiapo hatujui mapenz buana hzi familia zngekaa kmya nakuwastr marehem 🙏ila wanawake wengne wapenda bwabwaja maneno ovyo , 🙄

  • @nurukavumbi2477
    @nurukavumbi2477 2 ปีที่แล้ว +15

    Nyumba kufungwa ni sawa ili vitu vya wenda zao viivathiwe mpaka baada ya mazishi. Lazima kuna vitu muimu na pia bado ni scene of crime.

    • @zuweinamohamed2073
      @zuweinamohamed2073 2 ปีที่แล้ว +4

      Kabisa ni sahihi kama mazishi ilikua wakafanyie kwao saidi then ikomaliza misiba ndio wakutane pande zote

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 2 ปีที่แล้ว +2

      Watu wsshafanya tamaa na Mali" Walokwenda washakwenda Binaadamu ss🤔

    • @vinozamhone1110
      @vinozamhone1110 2 ปีที่แล้ว

      @@zuweinamohamed2073 cio sahihi maana Saidi hapo hakuwa mpangaji bali alikua mwenye nyumba isitoshe hao ndugu was Saidi hawakumtuma Saidi to kill his wife kwahiyo kwaupande wamwanamke wasiwe nachuki namama Saidi kwasababu even mama Saidi she fill pain like them

    • @cuteyforever7238
      @cuteyforever7238 2 ปีที่แล้ว +1

      True why can't they go mourn at their rural home? Then these people from said's side are very baised they can't see that their man had issues 🙄. Then the girlfriend is lying why did she cover herself?

    • @cuteyforever7238
      @cuteyforever7238 2 ปีที่แล้ว

      @@zuweinamohamed2073 true 👍

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +4

    Sasa si waende police wakapate kuamuliwa labda police ndy wamezuia funguo isitoke je tutajuaje na jirani nae kajua kuyamwaga duh wanawake sie roho zetu hatari sana

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Jirani ndio mmoja wa mahasidi maana sijui anamaana gani

    • @blaqyrn3655
      @blaqyrn3655 2 ปีที่แล้ว

      😅😅

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +6

    umalaya tu ww na huyo muuwaji wako chovya chovya km alikupenda kwanini.hakukuoa kala.mzigo kasepa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu msiba ni sufuria na mfuniko vilikutana wacha wakaionje pepo pamoja kama kulikuwa na vidudu mtu walisababisha wauwane basi tafunaneni wenyewe sasa uwanja ni wenu

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 2 ปีที่แล้ว

    Huyojirani wa mchongo cpend na hicho kimwanamke chake chuki ni nyingi kinajifanya alikua na ugomvi wa kawaida dah jamani huyo said mmkoshe muwezavyo amefanya ukatili dhid ya dadaetu mdogo wetu kipenz na dhid yake mwnyw mungu hasamehi dhambi ya kuua na kujiua.halafu watznia msiba usikie kwa jirani tu.

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว

    Nimerudi kuangalia hii interview mara ya pili baada yakuiona nyingine ya huyu dada hapa anasema alikuwa wanaishi tu wamezaa watoto wa 2 lkn kwingine anasema alimuoa na kazaa nae mtoto mmoja wa kike na kiwanja wamenunua wote na wamejenga wote kaishi nae miaka 6 akiwa anamlelea watoto wake hatari hii linapotokea jambo kila neno huzungumzwa Subhannallah

  • @annakinyami2998
    @annakinyami2998 2 ปีที่แล้ว +12

    Huyo mdada nae mmbea tu Sasa anatusimulia maujinga alikuwa anaempenda sarha ndo maana kafa nae

  • @jenabmakobeh3694
    @jenabmakobeh3694 2 ปีที่แล้ว +6

    Mbona hamukuenda kule kuzika mkwe wenu

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว +9

    Police ndo wamefunga nyumba

  • @mrpambatv3420
    @mrpambatv3420 2 ปีที่แล้ว +1

    Jilan jilan jilaniiii punguza umbeaaa

  • @dianaloy7952
    @dianaloy7952 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ailaze roho za marehemu mahali pema

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 2 ปีที่แล้ว

      ee basi mna mzaa na MUNGU yaani watu wAnauwana halafu mnasema MUNGU azilaze loho zao mahali pema peponi ushauli wangu tuvunje makAnisa misikiti Kwa sababu tukifa tutakua tuna tanatamkiana ulazwe pema peponi hata Kama ulikuwa lizinzi mna fikili mbingu ya Babu yenu

  • @chiialki3197
    @chiialki3197 2 ปีที่แล้ว

    Hivi wemama unamoyo kweli angekua mtt wako ungeongea hayo kweli

  • @mwaminikashindi1835
    @mwaminikashindi1835 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana familia yamereemu

  • @naalyhussen3253
    @naalyhussen3253 2 ปีที่แล้ว +8

    Hawa ndio watashikwa uchawi wa yule njiwa . wanapenda kuonekana wema wakati na chui wamevaa sura ya mbuzi.

  • @kijakija3218
    @kijakija3218 2 ปีที่แล้ว

    Pole na msiba

  • @purryselestineraggty3171
    @purryselestineraggty3171 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣 🤣 🤣 🤣 Mchepuko... Nae.. Aku.. Kahaa... Mbali... Mweeeeh... 🤣🤣

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 ปีที่แล้ว +2

    Said aende t roho mbaya t pole sana da Flora kwa kz mzuri.

  • @serafinamalecela4728
    @serafinamalecela4728 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwanaume alikua mzinziiii na mwanaume alikua mzinziiii😓mshahara wa dhambiiii😓

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว +10

    Haka kadada ni kehu kanafikiri kikisifia kitapendwa na wakwe wakati mke wa ndoa kasema aliondoka sababu ya vipigo wivu kusingiziwa maneno.

    • @chikuathumani3243
      @chikuathumani3243 2 ปีที่แล้ว

      Apendwe KWa lipi kwanza anajizalilisha tu hapo hta Kijko hapatii na hao ndo wachonganish waliokua wanaivuruga ndoa ya mwenzao KWa maneno wao wangekua wamekamilika mbona yaliwashinda na wakaondoka tena kama hyo hata wasingemuhoji maana hana nafas yyte Katka familia bora wangemuhoji bi mkubwa ningewaona wa maana kam vip watafute sasa ma x wake wote Hadi wa shule ya msingi wawa hojii pumbafu zao na KWa taarifa yao hakuna watakachopta ht waongeee mpka wazimie

    • @eshasozy69
      @eshasozy69 2 ปีที่แล้ว

      Anataka kuonekana yy alikiwa bora sana kuliko wenzie unafki tuuu

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 2 ปีที่แล้ว +1

    Myapewaje ufunguo hakuna ata ndugu mmoja wa mmke nakunavitu vya mwanamke umo bola angekuf kawaida mumeangekuwepo na ndugu wangekuwepo mana msibani watu wanakuja na mambo mawili mawili

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa c wangewafungulia waweke msiba ndugu jaman....aliyefanya tukio sio wao...maisha yanabidi yaendelee hata kama ni kwa uchungu

    • @magesaneema1903
      @magesaneema1903 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 ปีที่แล้ว +3

      lakini polidi wamefunga ? au wale ndugu wa swalha ? hata hivyo muna vitu vyao diku hizi watu wakienda kwenye msiba wanaiba , hawatokuta kitu ukisha msiba

    • @salmakhamis3827
      @salmakhamis3827 2 ปีที่แล้ว +2

      Hili Ni jambo la kuzungumza tu familia zote.wazazi Wana haki,lkn na familia ya salha pia Wana haki c unajua kifo chenyeww kilivyotokea,wanafamilia wa salha pia Wana haki yakuenda kuweka sawa baadhi ya mambo mle ndani.Si haki ya kuiba aah.sisi wanawake tunajijua tunavyokuwa nyumbani kwetu

  • @faridaislam236
    @faridaislam236 2 ปีที่แล้ว

    Jamanii mbonaa maneno mengi ebu waombeeni duaa hamjui kilichowakutaa maana wote wamekufaa hanuwez jua hapo mkosefu nani

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jamani

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 ปีที่แล้ว

    Akaah hii michepuke kwani vipe linabwabwaja to upumbavu halijui km linarikodiwa na inabaki kwenye mitandao na mby sn ingawa muhucka kafariki kumbe na yy alikua kicheche huyu said nae alikua kiwembe ..maisha yote mwanamme afanye yy to ukitendwa yy inauma. Alafu wanaamua maamuzi km haya ya kuua na kujiua.eeh!

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 ปีที่แล้ว +8

    Ila wanawake tulipofikia ni pabaya tunahitaji maombi mtu wewe mwanamke wa nje unafanya na interview kabisa kwa mume wa mtu 😰

    • @zuweinamohamed2073
      @zuweinamohamed2073 2 ปีที่แล้ว

      Wallah tena hata aibu hana eti nimekuja usiku mkewe alikua ameenda kwao...usikute hawa ndio wanasababisha ndoa mazikilizano ya mke na mume kutoelewana kila siku....panya wee

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว

      Huyu ni zaidi ya mchawi

  • @emmanueljema9725
    @emmanueljema9725 2 ปีที่แล้ว +4

    Kifo cha nwanamke ni uzembe wake umesha olewa papala za nini jamani nyie wanawake mungu anawaona

    • @catherinecolbert2766
      @catherinecolbert2766 2 ปีที่แล้ว +4

      Ww nae n muuaji

    • @fatmasaid9400
      @fatmasaid9400 2 ปีที่แล้ว

      Labda amemshuku siumeskia anawivu

    • @naalyhussen3253
      @naalyhussen3253 2 ปีที่แล้ว +1

      Na mwanaume je??

    • @jessjames4300
      @jessjames4300 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm sijaona na swala sijasikia swala ma kwamba mwanamke alikuwa anachekupa wala alikuwa Malaya maaana angekuwa Malaya hao upande wa mwanaume lazma wangeseama yote maana wako na hasira lazma wangesma kuwa mwanamke alikuwa Malaya pia hata huyo jirani angesema Kama kaweza sema alikuwa hasalimiij na huyo kaka alikuwa anaenda kumuelezea kila kituu kuhus kilichotokea kwake angeshindwaje kumuambia mke wake anachepuka hapo mm sijasikia Kama mdada alikuwa Malaya kabsaa na lazma wangesema lkn wote wanasema walikuwa tuu vizuri na wanapendanaaa

    • @SeluSelu-lc8rp
      @SeluSelu-lc8rp 2 ปีที่แล้ว

      Angekua mwanao aliuliwa uone utamu wake

  • @ednanyaboke9849
    @ednanyaboke9849 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Dada 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว

    ktk interview zote nimesikiliza,wanawake 5,bado naendelea

  • @RtyRty-oq1yh
    @RtyRty-oq1yh 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mama anaoneka ako na roo mby kama mwanae said .awa watu wa upande wa mume awana uzini juu mtto wao ndio aliuwa mtto watu .

  • @jumamudrick2125
    @jumamudrick2125 2 ปีที่แล้ว

    Shida kubwa Kwa wanandoa ni kuacha viapo wanacyoapa wakati Wa ndoa hasa wamama baazi Yao Kwa maana ndoa zote kiapo cha mke ni kuntii na kumuheehimu mume Ila Hilo kwasasa hua la siku moja Tu hiyo ya kufunga ndoa baada yahapo sasa utajua hujui

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 ปีที่แล้ว

      Na ninyi huwa hamuwapendi wake zenu ,ndoa ni give and take sio upande mmoja

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 2 ปีที่แล้ว

    Hujui mwanamke alikuwa wapi mara alikuwa nyumbani kwao,acha unafiki dada unaongea uongo tu

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe jiran ni mchawi. Ulikuwa unataka uolewe wew nini na rasta zako km katani😏na wew mchepuko kichwa kikubwa akil hna km unajiamin kwanini unajificha sasa shwain😏😏😏

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Ukijenga ukakuta jirani ule ujirani uwa wengine wanamtindo wa kutaka kutawala alowakuta ndio huyo vingine usiku aliliwa mbona anachuki kwa kuona kaolewa mrembo kumzidi mpuuzi sana mrefu akili hana

  • @damaridamari1778
    @damaridamari1778 2 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @dalilasaliim2819
    @dalilasaliim2819 2 ปีที่แล้ว +3

    Ww mwanamke huna aibu kusema boyfriend wako duh wanawake sisi

    • @angelageofrey9756
      @angelageofrey9756 2 ปีที่แล้ว

      😲 mwanaume alikua ana matatizo May Be daa

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Hawa michepuko inawezekaka wamefanya jambo salha afe, waolewe wao, bahat nzur saidi baada ya kuua, kashtuka kaona kafanya jambo baya bora na yy afe

  • @tabiafataki6896
    @tabiafataki6896 2 ปีที่แล้ว +4

    Sasa mbona unajificha wakati uyo Said amekufa unamuogopa na Malaya ww

  • @GULF444
    @GULF444 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama scene of crime huez fugua ovyo bila polisi.kumalizia

    • @suntzu8959
      @suntzu8959 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa, how do you allow access to the scene of crime to people who may destroy some evidence?

    • @GULF444
      @GULF444 2 ปีที่แล้ว

      @@suntzu8959 sure

  • @wardmohamood5845
    @wardmohamood5845 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani apo itakuw kun michezo fulan km sio kwa mkewe mkubwa basi kwa awa mchepuko yake sababu akun mtu asiye penda kuish maish manzur na km bi Mkubw alijenga nae iyo nyumb Kisha akaja akaoa akampelek apo apo uwo nawo mtean alafu ww mchepuko koma kwaiy unajua km ulikuw unapendwa anavyo kwambia Ana Aman kweny. Ndoa yake mbona alikuw a ajakuona ww

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama umepoteza kijana wako kisa wanawake wazuri bi wadogo mnachangamoto. sasa huyo mama kabeba ufunguo kutetea hiyo nyumba na Mali zote. maybe bi mkubwa Hana hata nyumba 🤣🤣🤣🤣 shikamoo ndoa

    • @doris122lugendo5
      @doris122lugendo5 2 ปีที่แล้ว

      Binti yao ashakufa warudishe funguo kwa mama wa kijana

    • @doreenmkwamila1229
      @doreenmkwamila1229 2 ปีที่แล้ว +1

      @@doris122lugendo5 funguo ziko polisi walifunga kwaajili ya upelelezi

    • @olivajoseph1697
      @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว

      @@doris122lugendo5 wanataka nyumba na gari. Umeona kule kwa mwanamke wanatuonyesha hata nyumba uku kwa mwanaume ndo kunanyumba mwanaume alikuwa Tajili alafu Kuna watoto amewaacha hiyo nyumba wangewaachia watoto huyu malehem kama hakuzaa watulie huko.

    • @olivajoseph1697
      @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว

      @@doris122lugendo5 kunasehem wanasema funguo police waliwakabidhi ndugu wa mke walichunguza kidogo sana watu wamejiua wote wanachunguza nini

  • @saidiabas8855
    @saidiabas8855 2 ปีที่แล้ว

    Sasa najiuliza hii Tanzania INA Amani gani Kwa sababu achilia mbali siku tatu kila siku watu watu wanauana sababu ndogo Tu MTU anaweza kukuua tunatakiwa tupambane na haya mauaji Hadi nchi yetu iwe salama

  • @dianarichardkiri1318
    @dianarichardkiri1318 2 ปีที่แล้ว

    Mwanaume inaonyesha alikuwa Malaya Sana na miwvui na swala la uchawi wasimsingizie swalha coz kwenye uke wenza uchawi haukosekani hawa wake lazima kuna aliyehusika kishirikisha

  • @serafinamalecela4728
    @serafinamalecela4728 2 ปีที่แล้ว

    Huyu nae kama pumbafuuuu🤣🤣et alikua boyfriend wangu sasa kama alikuachaaa umeenda kwenye vipazasautiiii umeenda kufanyajeee si angekuoa wewe huna aibuuuu msyuuuuu✍🏿

  • @winnieseba2257
    @winnieseba2257 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ni migogoro ya Mali tu ila kwanini wasingetafuta pa kufanyia msiba alafu wakaa wakajua wanafanyaje kuhusu Mali

  • @aminaabdallah4359
    @aminaabdallah4359 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu girlfriend ndio mchawi

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 ปีที่แล้ว

    Nlichogundua Kuna mambo mengi sana kwenye hii issue

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 ปีที่แล้ว +1

    Mseme tu ukweli jamaa alikuwa player afu anawivu,anatafuta pesa ila hakujipenda

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว

      🤔🤔🤔ndugu majina ya said Acha tu

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 2 ปีที่แล้ว

    Poleni wafiwa

  • @prudencemwashitete3532
    @prudencemwashitete3532 2 ปีที่แล้ว

    Yaan siku zote watu wanaoishi kweny nyumba nzuriii huwa Aman hamna duuuh wivu huuu jmn

  • @zainashikuku7334
    @zainashikuku7334 2 ปีที่แล้ว

    Huyu malaya alikuja kwa hyo nyumba mwezi wa tatu,huyu akauawa May. Inaonekana huyu malaya mwenye alifanya ushirikina kwa hiyo nyumba ili mwenzake auawe naye arudi kwa hiyo nyumba. Mungu naye n nani?Wote wameenda,xx wewe pambana na kulea