MUME ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMPIGA RISASI, MWILI WAKE WAKUTWA FUKWE ZA ZIWA VICTORIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 430

  • @albert3359
    @albert3359 2 ปีที่แล้ว +56

    Kwamaana mshara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Yesu Kristo bwana wetu

  • @sulekun7245
    @sulekun7245 2 ปีที่แล้ว +37

    Huyo Marehemu mume wa Marehemu Salha kwa mungu ana kesi 2 za kujibu. (1) Kwann Ulimuua Mkeo. (2) Kwann Ulijiua.

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 2 ปีที่แล้ว +3

      Ni mtazamo tu....

    • @marianaemanuel9458
      @marianaemanuel9458 2 ปีที่แล้ว +1

      Anaehukumu ni mungu pekeee tumwachieeee yy tuzid kuwaonbea

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 2 ปีที่แล้ว

      mungu ndio wakuhukumu wewe kaa pembeni wajuaje sababisho walikua wawili ndani

    • @sulekun7245
      @sulekun7245 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mathewdyzymaleyafrica9128 Ww Huna ht kitabu chenye Nuru Ulicho kisoma. Pagani ww.

    • @shammysleyman7112
      @shammysleyman7112 2 ปีที่แล้ว +4

      @@mathewdyzymaleyafrica9128 hio haina sababisho walaa mwenye sababu katika dini yetuu aliejiuwaa hafai kuzikwa anatumwa shimonii kama mzoga kwaio ni kweli analakujibu mbelee ya mungu kwann ameua na kwann amejiuwa

  • @neemaberny3598
    @neemaberny3598 2 ปีที่แล้ว +41

    Vijana tujifunze kuwa safari ya ndoa inaenda sambamba na ukuaji mambo hubadilika taratibu ..kuishi na mtu sio jambo dogo ni kuwa na Hali ya ku compromise kadri mnavyoweza..hakuna binadamu aliekamilika mkiridhiana kuoana mtambue kuwa wote mnaoingia kwenye commitment hiyo HAMJAKAMILIKA..mwenendo wa maisha yenu yanahitaji busara,maelewano na hofu ya Mungu...Tusibebwe na hisia za msukumo matokea yake sio mazuri siku zote.Jamii mnaozunguka watuwaishio kwenye ndoa muwe sehemu ya kujenga na sio kubomoa..Safari ya ndoa ni kama hatua za mtoto kukua changamoto ni nyingi muwekeane desturi ya kuzungumza na kukubaliana na kujisimamia wenyewe kabla ya kuhusisha watu wa nje maana nyie Ndio mnafahamiana zaidi kuliko hao wa nje.Giza linapoingia mnapopanda kitandani muwe msharidhian na Kila mtu ana amani..Mungu awapunzishe kwa amani.

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli lkn hamna Cha kupumzika kwa amani hapo,ni kuheaabiwa waliyoyatabguliza kwa Mola wao,zaidi ni adhabu Kali maana wanauana si kwa ajili ya Mola wao,ni kwa ajili ya tamaa za dunia na ujinga tu,je wamejiuliza wameandaa Nini Cha kupeleka kwa Mola wao?? Ngoja waende watajua hawajui,hesabu iko pale pale

    • @neemaberny3598
      @neemaberny3598 2 ปีที่แล้ว +6

      @@mwajumamohd7930 kwa Imani yangu nilifunzwa kwamba kinachotendeka kwa Mungu baba Mwenyezi ni fumbo yeye Ndiye anayeweza kuhukumu.Mimi nachopaswa kufanya ni Kumpenda Mungu wangu,kumjua ,kumtumikia na kumshukuru Kila siku kwa zawadi ya utashi.🙏

    • @hassanmassaga2476
      @hassanmassaga2476 2 ปีที่แล้ว +3

      Umenena kwa busara sana...umeolewa?! Kama bado naomba nkuoe mimi 😌..ntavumilia mbilinga zako zozote hadi kifo kitu farakanishe..😶

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว +1

      Shoo mbona una akili sana mwaya hongera umeongea kwa hekima sana umeniongezea kitu kwa akili yangu nimekupenda bure 🥰❤️🙏🏻

    • @frolamugurusi9657
      @frolamugurusi9657 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanmassaga2476 kweli dada amenena kwa busara

  • @pastorbaharia598
    @pastorbaharia598 2 ปีที่แล้ว +8

    Ukiwa na Yesu umepata yote,Wokovu ni Neema na unabadirisha,Okokeni ndugu zangu mpate amani ya ndoa,na maisha na uzima wa milele.

    • @ciarmnyone738
      @ciarmnyone738 2 ปีที่แล้ว +1

      Koo ukiokokaa shetani hakufatilii ......hkuna kty hkinaga pingamiziii

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 2 ปีที่แล้ว

      Hakika Amen Amen hawana hofu ya Mungu

  • @fineboyAfrica
    @fineboyAfrica 2 ปีที่แล้ว +48

    Mchizi kapiga both team to score..😂Mahakama yachaniwa mkeka. Big up legend. R.I.P 🙏🏾 you have our respect👊🏾

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว +12

    Wanawake wa mjini, usiolewe kama hujamalizana na furushi la mabwana zako na mambo yako, Ukiolewa mengine achana nayo. La sivyo yatakukuta utajua hujui, hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia dharau, matusi, kejeli, kiburi, maigizo, mashindano kwenye ndoa.

    • @rssymeh7087
      @rssymeh7087 2 ปีที่แล้ว +8

      Sasa dadaangu unavosema hvo... marehem Swalha unamfahamu??? Maana sasa inakua kama alikua na sifa chafu na sidhani kama unamjua😑kwani hamuezi muombea kheri huko alipo🥺je ikiwa tatizo lilikuwa upande wa mwanaume 💔 ukweli wote wanaujua wao na Mungu wao sisi wengne tunyamaze tu na kuwaombea😌

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว +5

      @@rssymeh7087 Swalha ni binadamu hivyo aliishi na kujihusisha na wanadamu hivyo lazima ajulikane na kufahamika kwa wanadamu. Iwe kwa mabaya au mazuri, ndo maana imebaki funzo la kujifunza kwa upande wa wanawake mengine yanawekwa akiba na kwa wanaume pia lipo la kujifunza KUPIGA/KUUA SIO SOLUTION unapoona kuna conflicts zisizoisha. All in All Marehemu wote wanaombewa wapumzike kwa amani bila kujali waliondoka vipi, Kazi kwetu kujifunza kupitia wanaotutangulia. Mema yao tunabeba na mabaya yao ni funzo kwetu sisi tulio hai.

    • @davidmbwilo4954
      @davidmbwilo4954 2 ปีที่แล้ว +2

      Umeongea ukweli queen watu waridhike na walivyonavyo mbona inawezekana kuwa waaminfu tupunguze tamaa ndugu zangu

    • @olivajoseph1697
      @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว +1

      ​@@davidmbwilo4954 lakini mbona kama mmewe alikuwa Tajili tu huko kwingine alikuwa anatafuta nn

    • @issaalfani1030
      @issaalfani1030 2 ปีที่แล้ว +1

      Fact

  • @hellenamtende9505
    @hellenamtende9505 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliamua kutoabudu mapenzi kuliko uhai na muumba. Nilishinda mungu nilindie wanangu. Mama nrene and mrene.

  • @anajoycejames5250
    @anajoycejames5250 2 ปีที่แล้ว +14

    uokovu ni mzuri jamn kama unamjua Mungu huwezi kufanya huu wenda wazimu. Ee Mungu saidia watu wako

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +14

    Hiyo yote ni kutokuwa na hufu ya Mungu tutayaona mengi sana kabla ya Yesu kuja ila inatakiwa watu waokoke wamjue Mungu na wawe na hofu ya Mungu kweli kweli neema ya Bwana wetu Yesu kristo iwe pamoja nanyi 🙏

    • @alimakame5645
      @alimakame5645 2 ปีที่แล้ว

      Wewe mwenyeo humjui Mungu wako Aliekuumba na Akakupa pumzi na akakujaalia Rizki na nguvu za kiwiliwili na Akakujaalia Neema tele. Kama unamjua usingekaa ukamuabudia Yesu ambae yy mwenyewe ni Binaadamu ila yy alikuwa ni Mtume alieletwa kufikisha haki

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 2 ปีที่แล้ว

      Amen and Amen ,mtumishi ,na Mungu atasaidie

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 2 ปีที่แล้ว

      @@alimakame5645 kwani hapo shida ni kutaja Yesu au ,soma vema coment Hofu ya Mungu ,alafu tutaona mengi kabla na nabii ISSA kuja au shida kutaja jina Yesu na sio ISSA, unajua nn? Mpendwa wetu iko hivi kama vile ww kaka maombi yako lazima utataja mtume Mhamad ila Mungu kwanza alafu mitume na baba zetu wa Imani waliyotutangulia, sasa sijui kosa hapo liko wapi hadi umkosoe , kitubwa ni kumtumaini Alla , Au Mungu muumba mbingu na nchi atatuepusha na hizi adhabu za kujitakia

    • @catherinemzurikwao3265
      @catherinemzurikwao3265 2 ปีที่แล้ว

      @@alimakame5645 Acheni udini, hautawaidii chochote hapa duniani. Tafuteni hela, tendeni mema yatosha. Dini ipi iko sahihi, ipi sio sahihi, havina faida yoyote kwenu. Mungu hakai kwenye dini.

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 2 ปีที่แล้ว +15

    Mapenzi yameiteka dunia uaminifu umekuwa dhaifu mwisho wake ni umauti

  • @angelique10
    @angelique10 2 ปีที่แล้ว +24

    Jeshi la police mwanza safi sana maana hyo ingeokotwa na raia yangekuwa mengine

  • @wismankamendu6264
    @wismankamendu6264 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni sawa mwanaume amekosea sana kuua mke wake .lakin wanawake Ni wanafiki was upendo

  • @limymasele21
    @limymasele21 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwa siraha kupatikana nimefrahi sana Asante Mungu sabb hiyo siraha ingeumiza watu wengi mno

  • @mamacaroline6046
    @mamacaroline6046 2 ปีที่แล้ว +33

    Tukemee roho za mauti katika familia zetu . We Mungu warehemu marehemu wote.

    • @Elizabeth-777-r3p
      @Elizabeth-777-r3p 2 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

    • @yassintaibrahim24
      @yassintaibrahim24 2 ปีที่แล้ว

      Ameen 🙏🙏🙏

    • @emraanmansour8568
      @emraanmansour8568 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwanza mungu sio we sio rekebisha kauli

    • @f.a6043
      @f.a6043 2 ปีที่แล้ว +1

      @@emraanmansour8568 ni Kweli Ilipasa aseme Ee MWENYEZI MUNGU

  • @zeyfaafarzey1036
    @zeyfaafarzey1036 2 ปีที่แล้ว +5

    Duh! Inasikitisha sana inaogopesha mpaka unahof kumiliki silaha

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 2 ปีที่แล้ว +21

    Innalillah wainnailaih raajiun

  • @agnesskisima2249
    @agnesskisima2249 2 ปีที่แล้ว +31

    Sasa dunia inaendaa wapii mungu tunaomba mwisho mwemaa

    • @ms_caramel2688
      @ms_caramel2688 2 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 2 ปีที่แล้ว

      Hakuwez kuwa na mwisho mwema maana ni lazima yaliyofunuliwa katika Qur'an na ufunuo vitimie🙏🙏Ila mwenye Imani na kuvumilia mpaka mwisho ndo atakuwa na mwisho mwema

    • @jamilamanariyojamila1487
      @jamilamanariyojamila1487 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 ปีที่แล้ว

      Dunia ndiyo imeshafika hivyooo huko ilikokuwa ikienda😬😬😬

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunaomba dua asubuhi na jioni Allah atujaalie umri mrefu tulee watto wetu.Kumbe kuna wengine wanawaza kujidhulumu nafsi zao.yarraby tupe mwisho mwema.

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 ปีที่แล้ว +8

    Duuu balaaa haya mapenzi yatatumaliza innalinlah wainna linlah rajuni 😭😭

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭😭😭😭familia zote mbili poleni Sana nimejikuta naumia mno Mungu atupe mwisho mwema

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว +4

    Ukiowa na kuolewa vibaya unasogeza kifo kwenye maisha yako😭

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendi gusa maandishi ya bluu
    th-cam.com/channels/iIyK3R72QZNvRlzWezWIKw.html

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 2 ปีที่แล้ว +9

    Mkatafute stori za upande wa ndugu wa mume pia, pengine kashare story yake nao au marafiki wa karibu

    • @ramsikhamis7083
      @ramsikhamis7083 2 ปีที่แล้ว

      Yaaa sahihii kabisa dam yanguu 🤟🏾

    • @mgeniyussuf4964
      @mgeniyussuf4964 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaa Wasema hutaki kupitwa cyo,wataka kujua in and out

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 2 ปีที่แล้ว

      @@mgeniyussuf4964 yes , binadamu tuko bias sana... tusikie na wao wanasemaje kuhusu ndugu yao.... wampendelee na wao, alafu tutachuja wenyewe.

    • @mgeniyussuf4964
      @mgeniyussuf4964 2 ปีที่แล้ว

      @@manish-fp1fb yeah myb he know why he was killed so acha tu tusikizie although nipo Kenya but iliniuma kweli

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 2 ปีที่แล้ว +3

    Jitu zima mindevu ming akil halina. Ungejiua ww uliechoka kuish kuliko kumuua mtoto wa watu..Pumbav kabisa

  • @paullebon6014
    @paullebon6014 2 ปีที่แล้ว +20

    Mungu ni wajabu sana , ukiuwa kwa risasi lazima nawewe utakufa kwa risasi, ndomaana malipo ni hapahapa duniani minguni tunaesabiwa tu dhati tu 🙏

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว +3

      Sio mungu yeye alikwa mjinga mungu haja mpiga risasi yeye ndio Ali taka ku ondoka,...

    • @paullebon6014
      @paullebon6014 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zawadix9574 ndomaana nimesema malipo nihapahapa duniani, asingemuuwa mkewe basi na yeye asingepata ujasiri wakujiuwa ! Mungu awarehemu wote 🙏

  • @amossbuyamba7326
    @amossbuyamba7326 2 ปีที่แล้ว +7

    Ndo ilivyopangwa watapitia hiyo njia so kila jambo huwa linasababu zake.mungu azilaze mahali pema peponi roho za ndugu zetu hao

    • @prayerstv8416
      @prayerstv8416 2 ปีที่แล้ว +3

      Mungu hajapanga amuue mke wake wala kujiua bali huo ulikuwa mpango wa shetani na si mpango wa Mungu.
      Jamani Yesu yu karibu Sana kurudi mara ya pili kulichukua kanisa hivyo wewe ambaye hujaokoka mpe Yesu maisha, tembea kwenye utakatifu maana pasipo utakatifu hakuna atakayemwona Bwana. Unajua watu wafike mahali waache kujifariji na maneno ya uwongo eti tumwombee marehemu asamehewe. Baada ya hukumu ni mauti na mtu atavuna alichopanda, nataka nikwambie leo siku zako za kuishi hapa duniani utavuna ulichopanda kwa Mungu na baada ya kifo ni mauti.. wale wachungaji na mashehe wanaowasema wanaowaambia waumini wao kwamba tumwombee marehemu asamehewe makosa yake kwa Mungu au apunguziwe ghadhabu kwa Mungu hii haipo ndg zangu ukishakufa utavuna ulichopanda ukiwa hai na wakati wa kuwaeleza watu ukweli umefika na tuwaambie watu ukweli ya kwamba waishi maisha matakatifu, maisha ya kumpendeza Mungu na tuwaambie Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Hata tufunge na kuwaombea marehemu kwa ibada makaburini, kanisani au msikitini hakutabadilisha kwenda motoni ( jehanamu) ya milele ikiwa waliisha maisha ya dhambi wakiwa hai. God bless you 🙏
      Jichunguze mwenyewe maisha unayoishi na ujiulize ukifa wakati wowote unaenda jehanamu ya moto au unakwenda mbinguni kumwona Mungu?

  • @ummkolthumkoalthum3271
    @ummkolthumkoalthum3271 2 ปีที่แล้ว +7

    Atatufanya tuchume DHAMBI huyu mwanaume midevu.. Au huyu mama watoto mwenye mtt nae ndiye aliyeanza nae maisha baada ya kuona maisha yamekuwa mazuri akamsaliti akaona nyumba yake inastahili kuishi na pisi kali... Nawaza Sanaa MAANA Hawa wanaume wengine wakishakuwa bora ww wa mwanzo unaonekana takataka.. Sasa hapo Ndipo patamu tugawane majengo jela au kaburi.. Siku kwa mungu ndiye atakaye hukumu

  • @sailingships9739
    @sailingships9739 2 ปีที่แล้ว +10

    alitakiwa kwenda jela ajutie kafa kirahisi sana

    • @themaquin2177
      @themaquin2177 2 ปีที่แล้ว +1

      Hamna kifo raisi ndugu

  • @laurenciazacharia9197
    @laurenciazacharia9197 2 ปีที่แล้ว +3

    Hata kama asingejiuwa, hakika serikali ingemuadhibu kwa kifo, kwani alidhamilia kuuwa kabisa

  • @dianacornely4600
    @dianacornely4600 2 ปีที่แล้ว +3

    Dahhh mungu atusaidie jamani

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuomba sana Mungu upate mpenzi au mwanandoa mwenzio asiye na ghadhabu. Kajiua maana kajua ataozea jela. Mke mkubwa yani naona Anasema ebu kwanza ncheke🤣

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 2 ปีที่แล้ว +25

    Kamanda alisema Kama mumechokana achana kuepusha matatizo wanawake ni wengi

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +1

      @Mtanzania Halisi kweli ni ngumu sana

    • @jacrinsubi4198
      @jacrinsubi4198 2 ปีที่แล้ว +1

      Mapenzi hayana fundi hao polisi hata wao huwa yanawakuta tena wanatumia hizohizo silaha za serikali.

    • @emmanuelchristopher9436
      @emmanuelchristopher9436 2 ปีที่แล้ว

      Ivi unajua maana ya kuachana ama? Ivi unajua kumuona mwenzawako namwingine inavyo umaa ama Mungu atuepushe na asira za mauaji tu daaah love love

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kuuwa hata kama mtu unampenda ukisha kuona haziendi achana nae utapata mzuri zaidi usizulumu kashaiuwa na huko anamajibu 2 anasubiriwa na motoni ndio anapoenda kuishi

    • @marianaemanuel9458
      @marianaemanuel9458 2 ปีที่แล้ว

      Yes it's true talaka tuu ilikua inatosha Ila ni way tuwaombeee tuu

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 ปีที่แล้ว +10

    Ya Allah uwasamehe madhambi yao 🙏na utuepushe nasi na roho za kisheitwani 🙏na kama kuna mtu aliwahusudu wanandoa hawa wewe ndio mjuzi zaidi atapata hukumu yake hapahapa duniani....wameniuma sana haswa huyu mtoto wa kike jamani 😢😢😢bado mtoto mdogo kabisa Allah ampe kauli thabiti 🙏

  • @amoslucas4384
    @amoslucas4384 2 ปีที่แล้ว +2

    Unanunua kitu af kinabeba maisha yako💔

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Roho ya mauti ilishawavuta

  • @bulaloalindamtobesyaofficial
    @bulaloalindamtobesyaofficial 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah polisi wamemsachi 😅 hatari sana

    • @omarymakota8252
      @omarymakota8252 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣nacheka utadhani mazuri

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 ปีที่แล้ว

    Pole jaman

  • @rosemalle3600
    @rosemalle3600 2 ปีที่แล้ว +6

    Damu ya mkewe alivyomuua ilikuwa inamsumbua,kwani majuto mjukuu,ndio maana amejiua

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanza mwanza mwanza acheni ushamba wa mapenzi kama sikosei hilo tukio la mwanaume kumpiga risasi mkewe na kisha na yeye kujimiminia risasi ni la pili kutokea ndani ya miaka 4 kwa ajili tuu ya wivu wa mapenzi yote hayo ni kwa ajili tuu ya ulimbukeni wa mapenzi

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo jama kapata demu ukubwani before alikuwa anatafuta ela au ana kaza shuleni sasa hayo ndio matokeo yake ya mtu kuijua K ukubwani lazima awe kirambawisee na wivu kibao , Fedha haimalizi matatizo

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 2 ปีที่แล้ว

    Daah kweli wanadamu tunahali mbaya sana kwakweli

  • @williamlulale8791
    @williamlulale8791 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmh maelezo yanatatanisha Japokuwa nyumbani inasemekana kulikuwa na watoto , alafu mwili siku Moja inawezekanaje kuibuka ?

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว

      Hakufa maji kajiua ndani ya maji ivyo kuna tofauti kufa maji na alivyofanta yy

  • @noelbernard6390
    @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว +3

    Wakina mama tulieni kwenye ndoa zenu, siyo kila mtu ni wakuchezea.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah!kaona bora na yeye ajiuwe alikua anaroho ngumu 😭.

  • @jemmylove100
    @jemmylove100 2 ปีที่แล้ว +8

    What a tragedy 😭

    • @fatmasaid4114
      @fatmasaid4114 2 ปีที่แล้ว +1

      Tuwe na subra binadamu sotee matatizo yote yabaki kifuani huwezi kufanya kitu

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeh Mwenyezi Mungu warehemu wawili hawa,na utulinde sisi na kutuepusha na shinikizo la shetani

    • @nembibenard8440
      @nembibenard8440 2 ปีที่แล้ว

      Mwanaume wala mungu asimrehem kafanya unyama wa kiwango cha juu wivu wa kijinga

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 2 ปีที่แล้ว +3

    Watakutana wote mbinguni Kwa MUNGU 😭😭

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 ปีที่แล้ว

    Raia anajua magazine,

  • @jandaboytzz2755
    @jandaboytzz2755 2 ปีที่แล้ว +1

    Police hongereni Sana

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว +6

    Unafanya mchezo na damu ya mtu,,hata asingejiua, asingekuwa na amani

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 2 ปีที่แล้ว

      Nadhani hasira ikizidi kwa baadhi ya watu ndio kinachotokea hasa kwa yule anayepende sanaa kwa mwenzake.

  • @thedon8048
    @thedon8048 2 ปีที่แล้ว +12

    Wanawake mnatatakiwa mfike mahala muelewe kuwa hakuna mwanaume anaeweza kufanya hvo bila sabab!! Hilo tukio kuna aliesababisha mpaka ikafikia hivoo so wanawake muwe makini kwenye ndoa zenu

    • @archbordygodfrey2614
      @archbordygodfrey2614 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli kabisa

    • @Tee-King
      @Tee-King 2 ปีที่แล้ว +4

      Sio wanawake tu ata wanaume tujifunze umpend m2 Mwambie sio kunpotezea muda then ukimbie mana. Tutaepusha madhara yasio yalazima.

    • @francescafrancesca8901
      @francescafrancesca8901 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu zangu kuoa mwanamke mrembo ni shida.
      Sisemi mengi.

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว +1

      Kujiua au kuutoa uhai wa mtu kisa kuma. Ni ukuma sana kumamamake huyo jamaa tena Na achomwe na moto wa milele. Mwanamke hata ukimkuta anatombwa fukuzia mbali tafuta chupi mpya oa . Wamejaa warembo wengi kama miti. Unaua mtu kisa uchi. Kazi ya kuvuna viumbe muachie muumbaji wa viumbe vyake sio unamvuna zao la muumba kabla hata halijafikia muda wa mavuno. Wivu wa kisenge2.

  • @ShannyShania
    @ShannyShania ปีที่แล้ว

    Polen familia zote mbili😂😂

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa nani kamuua mwenzake hapo,swali fikirishi hilo...

  • @marianaemanuel9458
    @marianaemanuel9458 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee mwenyez mungu naomba uwapunguzieee marehem wote adhabu ya kaburi rip inauma atakama siwajuiii

  • @justinemico1871
    @justinemico1871 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa alikosea kuoa , but alitakiwa atemane nae tu mbona mademu wako kibao

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว

    Mapenzi jamani mm nikiona hizi dalili namwambia huyo mwanamke aende sitaki hasara kwa kijana wangu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni njia kweli na uzima!
    mshahara wa dhambi ni mauti!

  • @franciscaaugustino4305
    @franciscaaugustino4305 2 ปีที่แล้ว

    Ila kwa ufupi msiba unamaumivu Yake jaman hata awe jambazi vip na ndiye nduguyo jaman inauma hata awe kichaa viip

  • @agapepalangyo4316
    @agapepalangyo4316 2 ปีที่แล้ว +2

    Ambao hamjaoana msubirisubiri kidogo hali siyo shwari

  • @angelfrancis929
    @angelfrancis929 2 ปีที่แล้ว +5

    Aliolewa na limwanaume katili sana shetani na nusu litachomwa moto wa milele R.I.P 😭😭😭😭 dada yetu mungu akupumzishe Kwa amani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @bobjulieoneheartband
      @bobjulieoneheartband 2 ปีที่แล้ว +2

      Don't judge

    • @rooneyasilitv7939
      @rooneyasilitv7939 2 ปีที่แล้ว

      @@bobjulieoneheartband Uko Sawa

    • @rooneyasilitv7939
      @rooneyasilitv7939 2 ปีที่แล้ว +2

      Huwezi Jua Huenda Hata Mwanamke Alikuwa Na Makosa

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 2 ปีที่แล้ว

      Ya kumpa amani lkn kama alipenda dunia,mmh hamna Cha kupumzika kwa amani hapo,zaidi ni shida tupu

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 2 ปีที่แล้ว

      Atapumzika kwa amani iwapo aliyatanguliza

  • @chazykisarwa8436
    @chazykisarwa8436 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaaaa tango pori siraha imeokotwa ndani ya maji tena ziwan kuna mengi bongo haya bhana

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya mkaendeleze mbinguni matatizo yenu na sisi tuendelee na yetu bhana

  • @adelakimario7945
    @adelakimario7945 2 ปีที่แล้ว +1

    Mshahara wa zambi Ni mauti,Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
    Mungu kwanza :maamuzi sahihi tu.

  • @samsonelieza6906
    @samsonelieza6906 2 ปีที่แล้ว

    dah inasikitishakweli hv wivu ndoumuuwemwenzio jamani simuachane tu

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 ปีที่แล้ว +1

    Devil is at work 😭

  • @kebibasherry3117
    @kebibasherry3117 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations police 🥰 good job ❤️👌

  • @evelynekashwabi8348
    @evelynekashwabi8348 2 ปีที่แล้ว +1

    Et amechomwa n mkuki😂

  • @mawazoaliselemani8909
    @mawazoaliselemani8909 2 ปีที่แล้ว

    yaani hamna hata simu janja mngechukua picha?au ndio uoga wa watu wa mwanza?

  • @DisBes
    @DisBes 5 หลายเดือนก่อน

    Huenda jamaa alisukumiwa pepo la mauaji unaweza kumlaumu bure

  • @hadijasururu1159
    @hadijasururu1159 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuacheni kuangalia movie za kihindi jamn wote ni wivu huo 😔rab atunusuru

    • @salehaliy7198
      @salehaliy7198 2 ปีที่แล้ว

      Eti movie za kihindi😂😂😂😂😂😂😂

    • @hadijasururu1159
      @hadijasururu1159 2 ปีที่แล้ว

      @@salehaliy7198 sasa je

  • @mayqueen6798
    @mayqueen6798 2 ปีที่แล้ว +1

    kwa serikali yangu ya kichwa something is fishy..,..very fishy

    • @nobbylovetv4977
      @nobbylovetv4977 2 ปีที่แล้ว

      Kwamba muuaji ni mwingine?. Na kafanya kwa wote wawili.. Mh... Dunia inatisha

    • @mayqueen6798
      @mayqueen6798 2 ปีที่แล้ว

      @@nobbylovetv4977 kuna uwezekano tena mkubwa tu

  • @abubakarhare5315
    @abubakarhare5315 2 ปีที่แล้ว

    Huo mwili wa uyo jaa usizike achomwe uyo jamaa mjinga sana

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiviiii...mfano..
    Wakaonana peponi.......itakuwa furaha ...au Shari tena.....
    Inatafakurisha.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 2 ปีที่แล้ว

      Kitu kimoja naweza nikakuhakikishia ... Huyo mume hana cha pepo ... Kwanza kaua pili kajiua ... Motoni tu

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว

      Inasemekana Mwanaume Alipewa limbwata. sasa mapendo kupitilizaa. ndio shidah Sasa kwa MUNGU sijui nani ndie Ataenda motoni

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว

      @@lucykapinga369 Mmmh... Alimpa kwa kutaka ampende zaidi ampiku mke mwenzie...na umekuwa kweli... Nyie wanawake kwa kudanganywa na kudanganyika....ham..vumi lakini mmo.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa

  • @SSAS_TECH
    @SSAS_TECH 2 ปีที่แล้ว +1

    Jionee mambo ya kilimo
    th-cam.com/channels/4UWwKickgQ5ftfWAb9rkVw.html

  • @alimkumba9459
    @alimkumba9459 2 ปีที่แล้ว

    apo kwanza ncheke🤣🤣🤣

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 2 ปีที่แล้ว

    Mshara wadhambi ni mauti huyo alifanya dhambi ya mauwaji

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว

    Ambao bado hatujaolewa vipi bado tuendelee kusubilia kuolewa.au tubaki single nawatoto wetu??? Inatosha sana

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu tunusuru wanaume wanatumaliza😭😭

    • @fauzimohamed5757
      @fauzimohamed5757 2 ปีที่แล้ว +2

      Acheni tamaa za dunia mungu atawanusuru

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 2 ปีที่แล้ว

      Pia nyie wanawake wa kizazi hiki mmekuwa ni wajinga saana..mnajari mambo ya kijinga heshima kwenye ndoa hakuna..huyo jamaa dhambi yake au anaonekana mmbaya kwakuwa ameua Ila angekuwa hai na kuhojiwa pengine alikuwa na manunguniko mengi aliyameza moyoni... wanawake Hawa ma sister du wamekuwa ni tatizo saana!!!nyodo nyingi kiburi na dharau.....RIP

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwachieni mungu aliyetuumba atuhukumu🙏kwanini umtoe mtu roho Kama amekushinda mwachie dunia,ivi wanawake watauawa mpaka lini?

    • @noelbernard6390
      @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว

      Tulieni kwenye ndoa zenu

  • @sirben7
    @sirben7 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaribuni kutoa habari badala ya kuhoji watu. Hoji watu kwa maswala ya muhimu. Uwana habari mzuri ni wewe mwenyewe fanya research, kisha tupe habari mwenyewe.

    • @jrjunior743
      @jrjunior743 2 ปีที่แล้ว

      Bro 😂 kama haujasoma geography mambo ya research na aina research huzijui tulia na kama ulisoma basi hukuelewa chochote shule ulifata miogo nenda kasome Tena geography form 4 utaziona aina za research zipoje huyo mwandishi wa habari hajaibuka tu kama chizi amesomea huyo anajua nn ambacho anafanya na kingine kama ulikuwa hujui hiyo media nikubwa inafatiliwa na mamilioni ya watu sio kama Media zingine za mchongo kwaiyo bro kama vitu huelewi uliza watu watakujibu usikurupuke kama chizi

    • @sirben7
      @sirben7 2 ปีที่แล้ว

      @@jrjunior743 go google the word research, and see it is used in other ways other than geography, then come back here and embarrass yourself with mediocre replies. It looks like you only studied geography.

    • @sirben7
      @sirben7 2 ปีที่แล้ว

      @@jrjunior743 niliishi tanzania miaka kumi. Nimeoa mtanzania. Hakuna kitu sijui kuhusu Millard Ayo. Niheshimu channel yake. Lakini pia sio kusema maana hiyo channel ni kubwa kwamba wanahabari wote wako perfect ha hawawezi rekebishwa. Soma comment yangu ya kwanza vizuri.

  • @evahcharles4032
    @evahcharles4032 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Auae kwa upanga atakufa kwa ipanga imeandikwa

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani janga limeingiya kwenye hiiiduniya poleni wafiwa

  • @michaelbwire8574
    @michaelbwire8574 2 ปีที่แล้ว +1

    sasa uyo bwana mdogo kajtuptia vp uko majin

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanaume mngese sana! Unahelaaa afu unahangaika na mwanamke eti ka kucheat! Wanawake wako wangapi haya makasiriko ni ya watu wasio na helaaa. Poor

  • @msasenathpotiphar1732
    @msasenathpotiphar1732 2 ปีที่แล้ว

    Ona Sasa nyie mnao tetea et kafanya sahihi kuua kisa et mke alikuwa msaliti ameambulia nini sasa 😔 😢 ameamua kujimalizia mwenyewe 💔 jaman mlio oana mkiona hamuelewani kila kukicha bora muachane tu kwa aman kila mmoja aendelee na maisha yake kivyake kuliko kufikia hatua hii😢, na kwa sasa technology ilivokuwa mtu akifanya jambo hakuna Siri tena yaan utasemwa wewe hata kama ulikuwa unatamanj kuendelea kuwepo dunian unaona ujiondokee tu ili kuziepuka kelele zenye MAUMIVU ya walimwengu ,inawezekana hata yeye alijutia alichokifanya lakini maneno ya watu kumwandama kila Mtandao kwa maamzi yake Ndo yakamuongezea uchungu na hasira zaidi akaona kuliko kwenda gerezan Kutumikia kifungo chake huku akisimangwa kwa maneno ya watu mitandaoni ndugu zake kumsimanga akaona dunia hii haina usalama tena kwake badala mtu apewe hata faraja kidogo tu pale yanapo mfika mazito ndo huzidi kubebeshwa mzogo zaidi ya ule alio kuwa nao akajiona hafai na akachukua maamzi ya kujiua, na siku hizi watu wengi wanajidhulu kwa Sababu ya maneno mabaya wanayosemwa mitandaoni,ulimi ni kiungo kidogo lakini ni MOTO HUBARIKI na pia HUUA Mungu atusaidie kwakweli hata kama mtu amekukosea kiasi gani hauna Mamlaka wala ruhusa ya KUUA binadamu mwenzio hiyo ni kazi ya MUNGU hatupaswi kuingilia kazi yake kwa hasira na wivu wetu japo wote tutakufa tutake tusitake safari yetu ni hiyo ila tusiwahishane kiasi hicho jaman kabla MUNGU hajatuita😢🙌,pole Kwa wazazi wao na ndugu zao walale salama 💔😢

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh! bado kuna mashaka hapo,,,,!!!

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

    NILI COMENTS SANA KUWA HUYU BINTI HANA MAKOSA NIKAWAMBIA MTU MWEYE WIVU KUPITA KIASI NI MARADHI NA HAWANA TOFAUTI NA MWENDAWAZIMU NDI HAYO BAADA YA KUUWA AKILI IMERUDI NDIO KAJUWA KAMA ALIKUWA HANA SABABU YAKUM'UWA MKEWE NA KIFUNGO KINAMGOJA NDIPO KAJIUWA MWENYEWE M'MUNGU AMSAMEHE MDHAMBI YAKE.

  • @christopherochieng2518
    @christopherochieng2518 2 ปีที่แล้ว

    Alijipiga risasi kandoya Bahari?

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 2 ปีที่แล้ว +1

    yaani ndio kanuni ya silaha. ukiwa nayo usipoua utajiua. kakini ukiua na wewe ipo siku utajiua tena

    • @jolinkimaro9939
      @jolinkimaro9939 2 ปีที่แล้ว

      @Watson Wallace ni kweli ndio maana ni bora kumtumaini Mungu na kuishi na watu vizuri. tusibebe silaha hatarishi tukifikiri tunajilinda mwishowe ndio haya. mimi sasa ninamiaka zaidi ya 30 kila wakati nakuta mtu kaua kisha akajiua kwa silaha yake mwenyews. mara mwingine amekasirika tuu anajiua. mara mwingine ameibiwa gari badala aue mwizi kajipiga risasi ili aachane na dunia. sasa hii ni nini wandugu.

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 2 ปีที่แล้ว

    Watafika mbinguni wamechoka sana ... Eeee mungu anomba uniondoleee loho ya visasi loho chafu za mauti loho chafu za kuenda kinyume na maandiko yako

  • @shakilashakila5142
    @shakilashakila5142 2 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah

  • @iamgamamedicine2756
    @iamgamamedicine2756 2 ปีที่แล้ว

    Asa hamuonyeshi ata mwili ulivopatikan mnatuonesh ziwa tu,onyesheni na wanavouchukua mwili

  • @sonyboyofficial
    @sonyboyofficial 2 ปีที่แล้ว +1

    Msukuma akiwa anaelezea huwez kuhoji anamwagika mpak mwisho

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @victorkivuyo6126
    @victorkivuyo6126 2 ปีที่แล้ว

    HUYU DADA NAE MAJIBU KWA MUMEWE NDIYO YAMECHANGIA KIFO CHAKE, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA

  • @julitamassawe3104
    @julitamassawe3104 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @quunomben6900
    @quunomben6900 2 ปีที่แล้ว

    Mungu hawaze maali pema peponi

  • @gabrielgari1372
    @gabrielgari1372 2 ปีที่แล้ว

    Polen sana

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 2 ปีที่แล้ว

    Duh.Risasi humjui hata anae kumiliki unammua mmiliki wako. risasi nikushtaki wapi. nimekuchukia risasi.

  • @rahimaamani9618
    @rahimaamani9618 2 ปีที่แล้ว

    Duh maskini amejiuwa nayeye

  • @khalekichambo1131
    @khalekichambo1131 2 ปีที่แล้ว

    Ujasiri wa kuua na kujiua watu wana utolea wapi?
    Tujifunze kusema na wivu na hasira zetu maana adhabu za kuua na kujiua hatuziwezi. Kadhulumu nafs ya mwenzie na sasa kadhulumu yake hasara kweli kweli

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 ปีที่แล้ว

    Dah poleni sana msababishaji wayote haya nihuyo salha kama alikua hajataka kutulia asingeolewaa